You are on page 1of 1

Naku penda,Ee Bwana

siku ya mungu ya makumi matatu Mwaka A


Musique:Bernard Misangi
Zab:17
 = 80
4       
 4              
  
Na ku pe nda ee Bwa na u li ye ngu vu ya ngu

             
4            
4 

5
 
           

1.nakupenda,ee Bwana,uliye nguvu yangu


Bwana mwamba wangu,ngome yangu,mwokozi wangu
Mungu wangu,mwamba wangu,nakimbilia kwake
Ngao yangu,pembe ya wokovu,boma langu.

2.Nitamwita Bwana mwenye kustahili sifa


Nami nitatoka salama katika adui zangu
Akanitoa,aka ni peleka penye nafasi pa salama
Akaniokoa kwa kuwa anipenda.

3.Bwana aishi,Asifiwe aliye Mwamba wangu


Kwa masifu atukuzwe Mungu,Mwokozi wangu
Aliyempa mfalme wake mashindi makubwa
Aliyemtendea mpakwa wake kwa wema.

Bukavu Octobre 2023 Bernard Misangi contact:0993501411.

You might also like