Professional Documents
Culture Documents
Kwa wale waliotuma maombi kupitia Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar, wanatakiwa kufika
katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein uliopo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari, 2024 saa 1:00 asubuhi.
Waombaji wote wanatakiwa kufika na Vyeti Halisi (Original Certificates); Cheti cha
Kuzaliwa, Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Vyeti vya
Taaluma, Cheti cha kuhitimu Mafunzo ya Awali ya Kijeshi kutoka JKT/JKU, Vyeti vingine
vya Uhitimu wa mafunzo katika fani mbalimbali na Kalamu ya wino ya buluu.
Aidha, wasailiwa wote wanatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa
zoezi husika.
Tahadhari:
Mwombaji yeyote atakayebainika kuwasilisha nyaraka za kughushi
atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa Mahakamani.
Limetolewa na;