Professional Documents
Culture Documents
MURZAH
MURZAH
“ASSALAAM ALEYKUM”
Kwa kuliona hili, TEHE tumeamua katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan kushirikiana na
Eternal International Ltd. kampuni ya China inayotoa huduma ya afya hapa nchini kupima
afya kwa watu wote. Eternal International wamekubali kutoa huduma hiyo kwa gharama ya shs.
20,000/= tu. kwa magonjwa yote yasiyo ambukizwa kama:- Presha, Sukari, Gauti, Magonjwa
ya kizazi, Tezi dume, Figo, Ini n.k.
Ili ndugu zetu wasikose hela ya kununulia futari, TEHE imeona iombe ushirikiano wa taasisi na
makampuni ya hapa nchini, katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani, kusaidia kupima
wananchi (angalau 3,000 tu) BURE KAMA SADAKA YETU KWA MWENYEZI MUNGU
KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU .
Ili lengo letu la kutoa huduma hii bure, liweze kutekelezeka tunakuomba kama mdau wa
maendeleo kutuunga mkono kwa kutufadhili kifedha kadri “ALLAH” alivyo kujalia.
KIASI
S/No SHUGHULI WAHUSIKA KIASI SIKU KIASI(TZS) (USD)
@
Usafiri gari 1
1. Maandalizi Petrol 20 Lts 2,400 3 144,000 57.6
toka mwanzo hadi Simu; Email,
kutoa ripoti Watu 2 3,000 3 18,000 7.2
Kujikimu 48
waandaaji 2 20,000 3 120,000
Kwa barua hii tunakuomba kwa kadri utakavyo jaliwa na Mwenyezi Mungu, uwasilishe
swadaka yako kupitia kwenye akaunti ya Asasi yetu.
Maelezo ya benki yetu ni kama ifuatavyo:-
Jina la benki: CRDB BANK PLC
Tawi la benki: AZIKIWE BRANCH
Jina la akaunti: TEHE TRUST
Namba ya akaunti TZS: 0150266295700
Namba ya akaunti USD 025026629570
Swift code: CORRUTZTZ
Kumbuka: Swadaka yako itagusa watu wengi ambao wameshindwa kupima afya zao kwa
kutokuwa na uwezo wa kipato.
Tumeambatanisha hati ya Asasi yetu na hati na leseni ya Eternal International kwa uhakiki
wako.
”RAMADHAN KAREEM”
Wako,
BASIL M. BINTAMANYIRE
0766 898 722
KATIBU MKUU.