You are on page 1of 2

MALAIKA

NYASHINKI
Uko na tabia za kupendeza roho

Tabasamu ya kupapasa macho

Sauti yako nikiskia pia natulia yananipunguzia hasira nazo

Urembo wako ulininasa roho

Siku ya kwanza kukuona kwa macho

Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo

And i feel you in air when I breathe

I see you in my dreams when I sleep

You’re the one I’ve been waiting for all my life (mmh)

Deep down in my heart I believe

Unanifeel nakufeel hii ni real

The one I’ve been waiting for all my life

Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi nao

Sisemi

Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi

Oh sisemi

Oh sisemi

Oh I love you baby

And even though I’ve never been here before

Somehow I know that this is how it feels to fall in love

Baby you know I love you

I place no one above you

I need you in my life

Forever and ever

You will always have my heart

We were meant to be together me and you-ooh

Oh, me and you

Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi nao

Sisemi

Oh baby, uko sawa na wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi

Oh sisemi

Oh sisemi

You might also like