YATOKANAYO NA KUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA 87 WA KAWAIDA WA BODI YA USIMAMIZI WA
CHUO ULIOFANYIKA TAREHE 15 MEI, 2023 KWENYE JENGO LA UKUMBI WA MIHADHARA WA CDF KATIKA CHUMBA CHA SEMINA NA. 2 KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI
NA. KUMB. UK. SUALA MHUSIKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI HATUA ZA
NA. KUCHUKUL IWA 15 854.2 6 Mwongozo wa Uendeshaji Naibu Rasi Agizo limezingatiwa. Kuzingatia wa Ukaguzi wa Ndani na Mipango, Mpango Mkakati wa Fedha na Ukaguzi wa ndani pamoja na Ukaguzi wa Ndani Utawala taarifa zake utazingazia mwongozo huu. Bodi ya Usimamizi Mpango wa ukaguzi wa ndani ILISISITIZA kwamba ripoti utazingatia idadi ya watumishi zijazo ziandaliwe kwa waliopo kwenye Kitengo, hata kuzingatia maudhui ya hivyo Kitengo cha Ukaguzi wa mwongozo huo ili kuepuka Ndani kitatumia wataalam hoja ya ukaguzi. Vilevile, kutoka nje ya Chuo katika ILISHAURIWA kwamba kukagua maeneo ambayo Mpango wa Ukaguzi uzingatie yanahitaji utaalamu. idadi ya watumishi waliopo kwenye kitengo cha Ukaguzi.