You are on page 1of 1

Abubakar Mohammed Bakar

Msumbiji
Simu Namba 0621099905……
Zanzibar - Tanzania

02 April, 2024

KAMISHNA,
IDARA YA UHAMIAJI,
S.L.P 1354
ZANZIBAR.

YAH: OMBI LA KUPATIWA PASI YA KUSAFIRIA MTOTO WANGU JUNAYNA


ABUBAKAR MOHAMMED

Tafadhali husika na mada ya hapo juu.

Naomba kuwasilisha kwako ombi la kupatiwa pasi ya kusafiria (pasipoti) kwa mtajwa hapo juu
ambae ni Mtoto wangu wa kumzaa, Raia wa Tanznia na ni mkazi wa Zanzibar.

Mimi Abubakar Mohammed Bakar Raia wa Tanzania namuombea kutengenezewa passport


kwa ajili ya kusafiri nje ya nchi kuja Mozambique kunitembelea baba ake. Mimi Abubakar
Mohammed Bakar ambae ni mume halali wa Raya Haji Pandu ambae ni mama mzazi wa
mtajwa hapo juu nimemruhusu kusafiri na mtoto wetu aje kunitembelea nchini Mozambique na
sina pingamizi yoyote juu ya safari hiyo.

Pamoja na barua hii naambatanisha nakala ya passport yangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa huduma yako

Ahsnte

…………………….
Mimi ni Baba

You might also like