You are on page 1of 8

MAMBO MUHIMU YANAYOHUSU RUSHWA KATIKA MABUNGE

(Mada Iliyotolewa katika Semina ya pamoja juu ya Ufanisi wa Vyombo


vya Kupambana na Rushwa ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki,
African Dreams, Dodoma:
Tarehe 7 Aprili, 2017)
_______________________




Adv.SaidiYakubu,LLB (Hons), M. A. Corp. Gov. FCIS


1.0 UTANGULIZI
Rushwanidhanapanaambayokwaujumlawakeinamaanisha:-
Kitendokinachofanywakushawishiuvunjajiwasheriakwakutoafedha,
zawadiauahadiyamali;
Ukosefuwamaadili;
Vitendovyauvunjajiwasheriahususankwawaliomadarakanikwamaslahi
binafsi.

Kwadhanatajwahiyo,ilirushwaiwepoyabidikuwenayafuatayo:-
Mtoaji
Mpokeaji;
Malipo;
Hojayakuvunja/kupindishasheria;na
Maslahibinafsiauyawachache.
Mada hii itaangalia mambo muhimu yanayohusu rushwa katika Mabunge
pamojananamnajitihadazilizofanyikakupambananarushwakatikaMabunge
mbalimbali.
2.0 SABABU ZA KUWEPO RUSHWA BUNGENI

BungekamaChombochaUwakilishiwaWananchikinamajukumumakubwamatatu:-

Kutungasheria;
KuisimamianakuishauriSerikali;
KupitishabajetiyaSerikali.

Kwa muktadha huo, kama mifano kadhaa itakavyojionesha, Bunge linakuwa na fursa adimu na ya
kipekeeyakusimamiamaendeleoyanchi.Lakinipialinakuwahatariyakutumiwanavikundimaslahi
wanaotakakulitumiakupitishayaliyoyaokwamaslahiyao,mfano:-
Aidha,kwaupandemwingine,chaguzizakuwaingizaWabungekatikanafasizao
nizagharamakubwa.Gharamahizozinajumuisha:-

Wabungewanatimuzakampenizinazohitajikulipwa;
Wabungewanahitajivitendeakazikamamagari,PA system,mafuta,
majukwaa,vitin.k.kwatakribansiku60zakampeni;

Wabungehuhitajikawakatimwinginekusafirishawafuasiwao,vikundivya
burudanin.k.;

Wabungehulazimikakulipiagharamazamatangazo,waandishiwahabari,
vipeperushi, t-shirt namengineyo.

YotehusababishakuwepokwarushwakwakuwaWabungehulazimikakuomba
kuungwamkononawatuwenyeuwezo.
Wabunge wamejitambua nguvu zao na hivyo katika baadhi ya mifumo
tutakayoionaWabungewenyewewamekuwachanzocharushwakwakujitokeza
kuomba na kupokea rushwa ili waweze kufanya mambo yatakayowanufaisha
haowalioomba.
3.0 HITIMISHO
IngawanafasiyaBungekatikakupambananarushwainatambuliwadunianikote,
Mabunge mengi hasa katika nchi zinazoendelea hayana uwezo wa kutekeleza
jukumuhiloipasavyo.Hivyo,yanahitajimisaadakutokakatikaTaasisinyingineili
kutengeneza mifumo ambayo itahakikisha ufanisi katika mapambano dhidi ya
rushwa.

Hata hivyo, yako mambo ambayo Mabunge yenyewe yanaweza kusimamia ili
kupambananarushwa.Hapatunatoamapendekezomachache:-

3.1Vyamakuwamakininauteuziwawagombea;

3.2VyamakupitiaCaucuszaokufuatiliakwakaribuWabungewao;

3.3 Kuwa na Code of conduct kama mwongozo wa mwenendo na tabia za


Wabungeambaoutajumuishayafuatayo:-
KuwekavizuizikwaWabungenaviongoziwenginewaliopomadarakanina
hatakwakipindifulaniwakitokamadarakani;

KuzuiaWabungenaviongoziwenginewaummakutumianafasizao
kunufaikabinafsi;

KuzuiaWabungenaviongoziwenginewaummakutumiataarifa
wanazopatakupitiavyeovyaokwamaslahibinafsi;

KuzuiaWabungenaviongoziwenginekupataajirazaSektawaliyokuwapo
baadayakutokakatikaUtumishiwaSektahiyo(miakamiwiliauzaidi);

Kuwekataratibuzaupokeajiwazawadizenyethamanikubwa;
KuwakilishawatejabinafsikatikaSektahiyoanayohusikakiongozi;
Kuwekamisingikushughulikiamigonganoyamaslahiyakifedha;
Kuongozautaratibuwakutoaajirazawatuwakaribu;
Kuongozaajirazawatumishibinafsi;na
Kuongozautaratibuwasafarikwashughulibinafsi.

3.4Kuwanasherianakanunimadhubutikukabiliananamasualahayo;

3.5 KutoamafaonamarupurupuyakutoshakwaWabungekuepusha
vishawishi;na

3.5KutoamafunzoyamarakwamarakwaWabungenawatumishi.

__________________

You might also like