You are on page 1of 2

THTU CBE BRANCH KUMBUKUMBU ZA KIKAO CHA PILI CHA WANACHAMA WA THTU KILICHOFANYIKA TAREHE 26/06/2012 .

MAHUDHURIO. Orodha ya wanachama waliohudhuria yameambatanishwa. UFUNGUZI. 1. Kikao kilifunguliwa saa KUMI mchana na mwenyekiti baada ya kufikia akidi. 2. Mwenyekiti aliombwa wanachama wajitambulishe maana kulikuwa na mgeni,afisa ushirika wa wilaya ilala Mr Mwimbe 3. Mwenyekiti aliwataarifu wanachama kuwa agenda ya kikao ilikuwa moja tu,wanachama waliridhia na kuipitisha. AGENDA. 1.kuanzisha saccoss ya chama.

KUANZISHA SACOSS. Kumbu na 6 4.1 Afisa ushirika (w) Mr Mwimbe alieleza taratibu zinazotakiwa ili kusajili SACCOS. 4.2 Katiba na sera za BIASHARA saccos zilipitishwa na kikao. 4.3 Uongozi wa muda ulichaguliwa:viongozi hao ni Reginald Mariki(m/kiti),Ogakhan Nyamu(katibu),Sebastin Mlingwa(mjumbe) Kembo Bwana(mjumbe) Roselyne Massam(mjumbe),Marry Makondo(mjumbe) 4.4 Ilikubalika kuwa taratibu zote alizoeleza afisa ushirika zikuwa zimekamilika .

KUFUNGA KIKAO Kwa kuwa kulikuwa hakuna la ziada,mwenyekiti aliwashukuru na kuwapongeza wajumbe kwa kushiriki kikamilifu katika kikao hiki muhimu.kisha alifunga kiako saa 11 jion.

. MARIKI,R MWENYEKITI THTU

.. NYAMU,O KATIBU THTU

You might also like