You are on page 1of 2

UMAMIKI FISHING CO- OPERATIVE SOCIETY LTD

S.L.P 35
SENGEREMA
27/01/2024
MENEJA WA TAWI LA
CRDB BENK
S.L.P 58
SENGEREMA

K.K
AFISA USHIRIKA WA WILAYA
S.L.P 175
SENGEREMA
YAH: OMBI LA KUFUNGUA AKAUNTI BENK CRDB
Tafadhali rejea kichwa cha somo hapo juu chahusika ushirika wetu wa
UMAMIKI FISHING CO-OPERATIVE SOCIETY LTD
unaomba kufungua akaunti katika tawi la CRDB BENK tawi la
Sengerema.

Wako katika ujenzi wa Taifa


BELLA LUTTI JEJE ALISENI SILVANUS ALISENI
……………………….. ………………………………
MWENYEKITI KATIBU
MUHTASARI WA MKUTANO WA WANACHAMA CHA UMAMIKI
FICOS LTD ULIOFANYIKA TAREHE 27/01/2024
MAHUDHURIO
Orodha ya wanachama imeambatanishwa
AGENDA
1. KUFUNGUA KIKAO
2. KUOMBA KUFUNGUA AKAUNTI BENK CRDB
3. KURIDHIA AGENDA
4. KUFUNGA KIKAO

1. KUFUNGUA KIKAO
Mwenyekiti alifungua kikao saa 8:40 mchana kwa kuwaeleza
wanachama wawe watulivu mwisho waweze kuchangia hoja.

2. KUOMBA KUFUNGUA AKAUNTI BENK CRDB


Mwenyekiti aliwaeleza wanachama kuwa tunataka kufungua
akaunti benk ya CRDB kwa ajili ya kupokea mradi wa ufugaji wa
samaki kwa njia ya vizimba hivyo mnaombwa kuridhia agenda

3. KURIDHIA AGENDA
Wanachama wote waliridhia agenda hiyo na wamekubaliana
kuwa wafuatao watatia saini katika hati za kuchukuwa fedha benk
1. BELLA LUTTI JEJE (Mwenyekiti)
2. ALISENI SILVANUSI ALISENI (Katibu)
3. YUSUPH MSAKU MWANGA (Mhasibu)
4. OSCAR TIFULUKWA KABAYA (Mjumbe)
Kati ya hao walio orodheshwa wawili wanaweza kutia saini
wakati wa kutoa pesa benk
4. KUFUNGA KIKAO
Mwenyekiti aliailisha kikao saa 10:50 jioni na kuwatakia
wanachama siku njema
Wako katika ujenzi wa Taifa
BELLA LUTTI JEJE ALISENI SILVANUS ALISENI
……………………….. ……………………………
MWENYEKITI KATIBU

You might also like