Professional Documents
Culture Documents
25 MEI, 2019
1. Kutoa fedha
U MOJA
SWITCH
2. Kujua salio
3. Kubadilisha PIN
24 HRS. A TM 4. Taarifa fupi ya akaunti
5. Kuhamisha fedha kwenda M-pesa, Tigo pesa na Airtel Money
6. UnionPay: Salio, kutoa na kuhamisha fedha.
6. Taarifa ya Wakurugenzi 22
8. Bodi ya Wakurugenzi 62
9. Menejimenti ya Benki 63
DIRA
Kuwa Benki inayoongoza kwa kukidhi mahitaji ya ukuaji wa ujasiriamali, kampuni ndogo ndogo, za
kati na zile kubwa kwa kuzipatia huduma za kibenki zenye uadilifu na za kiwango cha juu cha ubora.
DHIMA
Kuwa benki inayotoa huduma za kifedha za hali ya juu kwa sekta zote na kwa ngazi za kiuchumi kwa
kasi endelevu inayooana na matarajio ya wadau.
Taarifa inatolewa kwamba; Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wanahisa wa Benki ya Biashara Mkombozi
utafanyika tarehe 25 Mei, 2019 kwenye Kituo cha Msimbazi ukumbi wa Kardinali Adam jijini Dar es
Salaam kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Ajenda
10.1 KUFUNGUA MKUTANO
10.2 KURIDHIA AJENDA ZA MKUTANO
10.3 KUTHIBITISHA KUMBUKUMBU ZA MKUTANO MKUU WA TISA WA MWAKA ULIOFANYIKA
TAREHE 26 MEI, 2018
10.4 KUPOKEA NA KUJADILI YATOKANAYO NA TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA TISA WA MWAKA
WA WANAHISA ULIOFANYIKA TAREHE 26 MEI, 2018
10.5 KUPOKEA, KUJADILI NA KUPITISHA TAARIFA YA BODI YA WAKURUGENZI KWA MWAKA
ULIOISHIA TAREHE 31 DESEMBA, 2018
10.6 KUPOKEA, KUJADILI NA KUPITISHA TAARIFA YA FEDHA YA BENKI KWA MWAKA ULIOISHIA
TAREHE 31 DESEMBA, 2018; NA KUPOKEA RIPOTI YA MKAGUZI WA NJE WA HESABU, JUU YA
TAARIFA HIYO YA FEDHA.
10.7 KUPOKEA, KUJADILI NA KUIDHINISHA MPANGO WA KUONGEZA MTAJI WA BENKI;
10.8 KUTEUA MKAGUZI WA NJE WA HESABU ZA BENKI
10.8 KUPANGA TAREHE YA MKUTANO MKUU WA MWAKA UJAO
10.9 MENGINEYO
10.10 KUFUNGA MKUTANO
Angalizo:
1. Mwanahisa anayetaka kushiriki katika mkutano huu ni lazima aje na nakala ya risiti yake
ya ununuzi wa hisa au cheti cha hisa cha kumtambulisha kuwa ni mwanahisa.
2. Mwanahisa mwenye stahili ya kuhudhuria mkutano huu ana haki ya kumteua mwakilishi
wake wa kupiga kura kwa niaba yake kwa mujibu wa taratibu za kampuni. Fomu husika
inayopaswa kujazwa na Mwanahisa kwa ajili ya uteuzi huo inatakiwa kufikishwa kwa
katibu wa benki siku tatu kabla ya mkutano. Fomu hiyo iandikwe kama ifuatavyo: -
4. Vitabu vya taarifa ya hesabu za benki vitakuwepo katika matawi ya benki wiki moja kabla
ya mkutano.
Sekta ya nje ilikwamisha ukuaji wa uchumi huku pengo la uhaba katika akaunti yetu likizidi kukua
au kuongezeka (licha ya kushuka kwa thamani ya shilingi), kutokana na kiwango kikubwa cha bidhaa
kilichoagizwa toka nje kwa mwaka 2018 kulinganisha na kile cha mwaka 2017.Ongezeko hili kwa
sehemu kubwa linatokana na uingizaji wa vifaa/mitambo ya usafirishaji;bidhaa za ujenzi;mali
ghafi za viwandani;bidhaa za mafuta ya kuendeshea mitambo katika miradi mikubwa ya uwekezaji
unaofanywa na serikali mfano Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).
Mfumuko wa bei uliripotiwa kuwa asilimia 3.3% mwishoni mwa Disemba 2018 ambao umeenda
sambamba na sera za taifa za kifedha za muda mrefu. Benki Kuu ya Tanzania iliendelea kushikilia
sera rafiki za kifedha zilizolenga kukuza mikopo kwa sekta binafsi na shughuli za kiuchumi. Hali ya
ukwasi kifedha katika mfumo wa kibenki kwa ujumla iliendelea kuwa juu ikienda sambamba na
sera za kifedha za nchi. Kiwango cha riba kwa fedha zinazo kopeshwa haraka haraka na kwa muda
mfupi kilipanda mpaka asilima 4 Disemba 2018 ikilinganishwa na asilimia 3 mwezi Disemba 2017.
Hata hivyo, viwango vya riba za mikopo vimeendelea kuwa juu kutokana na madhara yanayotokana
na aina ya biashara/sekta inayokopeshwa. Vilevile, kuna maboresho katika ukopeshaji kwa sekta
binafsi na sekta ya umma katika uchumi kulikoenda sambamba na kuimarika kwa ubora wa mikopo
kwa sekta nzima ya benki. Wastani wa Mikopo chechefu katika soko ulishuka mpaka asilimia 10.70
Disemba 2018 ukilinganisha na asilimia 11.21 Disemba 2017. Kwa upande wa fedha za kigeni, shilingi
ya Tanzania ilishuka dhidi ya dola ya Marekani kutoka 2,250 mwezi Disemba 2017 mpaka 2,300
mwezi Disemba 2018.
Licha ya matatizo ya kiuchumi na mazingira ya soko; Benki ya Biashara Mkombozi iliweza kupata
faida baada ya kulipa kodi ya shilingi za kitanzania milioni 806.04. Faida hii ni ndogo ukilinganisha
na faida iliyopatikana katika mwaka uliotangulia kutokana na benki kujikita katika ufunguaji wa
matawi ili kuwafikia wateja wengi zaidi pamoja na athari za kuanza matumizi ya kanuni namba tisa
(9) ya Kanuni za Kimataifa za Uwasilishaji wa Taarifa za Fedha inayojulikana kwa kitaalamu kama
International Financial Reporting Standards (IFRS 9) inayotaka mikopo yote itengewe asilimia fulani
ya kutokufanya vizuri tangu inapotolewa siku ya kwanza. Hata hivyo, na mbali na vikwazo vyote hivyo
Benki iliweza kufungua matawi mawili katika mwaka 2019. Tawi la Dodoma lilifunguliwa tarehe 11
Machi 2019 na lile la Iringa tarehe 18 Machi, 2019. Benki inatarajia kufungua tawi lingine Njombe
mwezi Juni 2019. Tawi la Njombe litakapofunguliwa litafanya Benki kuwa na idadi ya jumla ya matawi
kumi na moja (11) nchi nzima. Benki iliendelea kuimarisha matawi yaliyopo na kupata ongezeko
la kuridhisha la wateja na rasilimali huku amana zikipanda kwa asilimia 13; mikopo asilimia 21 na
rasilimali kwa asilimia 19. Hali ya uhusiano katika soko la taasisi za fedha iliendelea kuwa nzuri sana
1 Kuiweka au kuifanya benki kuwa ya ukubwa wa kati kutoka ule mdogo ndani ya miaka mitatu
(2019 - 2021 huku ikiwa na Mizania ya Hesabu za ukubwa unaozidi thamani ya shilingi za
kitanzania bilioni 500).
MAHUDHURIO YA WANAHISA
WATU BINAFSI
JINA LA MWANAHISA NAMBA YA SIMU
1 ABEL ELEUTER KUSIGA 0713440838
2 ADELA FELICIAN KAVISHE 0764401028
3 ADOLPHINA MATHEW NGONYANI 0755144302
4 ADRIAN ANDREA MPANDE 0754316766
5 ADRIANO GERALD MNIMBO 0688964669
6 AGATHA ELIAS MAYEMBA 0713613249
7 AGNES ELIAS KAMBONA 0653800889
8 AGRIPINA BLASS MKAMY 0652231188
9 ALBANI PETER MWALO (MWAKILISHI MODESTA P 0767255140
MWALO)
10 ALBERT HASSAN MILLANZI 0755769426
11 ALEX ATHANAS KADALA 0787152585
12 ALEX HENRY NYEREMBE 0756449447
13 ALFRED BENITO MILEMBE 0782832314
14 ALOYS BENEDICK KALOKOLA 0753897300
15 ALPHONCE RIWA & PHILOMENA L. LYARUU 0784727799
16 ANANIAS MARCO NGUGO 0764807113
17 ANANIAS SAMWEL MPELEMBWA 0752522952
18 ANASTASIUS SEBARD GUTERUKA 0754990489
WAWAKILISHI WA MAJIMBO
Na. JINA NAMBA YA SIMU JINA LA JIMBO
1 FR. CELESTINE KAPINGA 0756 577287 MBINGA
2 FR. CHARITY HOKORORO 0786 316631 MTWARA
3 FR. DEODATUS MMOLE 0769 761277 TUNDURU MASASI
4 FR. EMMANUEL MEZZA 0754 758017 MBEYA
5 MR. MATHEW JERONIMO 0763 900373 KAHAMA
6 MR. MELKIADES MSIMBE 0754 565150 MOSHI
7 SR. PHILIPINA ARUDIKA 0784 724966 TANGA
1 Kufungua mkutano
2 Kuridhia ajenda
3 Kupitisha kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Nane uliofanyika tarehe 27 Mei, 2018
4 Kupitia yatokanayo na kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Nane uliofanyika tarehe
27 Mei, 2018
5 Kupitia taarifa ya Wakurugenzi kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba, 2017
6 Kupitia taarifa ya mkaguzi wa nje wa hesabu za benki kwa mwaka ulioishia tarehe 31
Desemba, 2017
7 Kupokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kutoa gawio
8 Uchaguzi wa Wakurugenzi;
9 Kupokea, kujadili na kuidhinisha marupurupu ya Wakurugenzi;
10 Kuchagua mkaguzi wa nje wa hesabu za benki;
11 Kupanga tarehe ya Mkutano Mkuu ujao;
12 Mengineyo; na
13 Kufunga mkutano.
9.3 KUTHIBITISHA KUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA NANE WA MWAKA ULIOFANYIKA TAREHE
27 MEI, 2018
Wanahisa walithibitisha kuwa kumbukumbu zilizowasilishwa zilikuwa sahihi.
9.4.1 Taarifa ilitolewa kuwa azimio la Wanahisa la kutoa gawio kwa Wanahisa wa benki kwa mwaka
2016 ulianza kutekelezwa mara tu baada ya Mkutuno mwaka 2017. Hata hivyo Wanahisa
waliojitokeza kuchukua gawio ni 7755 kati ya 14,930 ambao kwa ujumla wao wamechukua
jumlaya Shs 316,005,063.00. Wanahisa 7175 ambao wanafikisha idadi ya Shs 75,685,103.00
bado hawajafikakuchukua gawio. Benki ilitoa matangazo kwenye vyombo vyahabari lakini
mwitikio wa Wanahisa kuja kuchukua gawio ulikuwa ni mdogo.
9.4.2 Taarifa ilitolewa kuwa azimio la Wanahisa la kuichagua kampuni ya Ernst & Young kuwa
mkaguzi wa nje wa hesabu za benki kwa mwaka 2017 lilitekelezwa.
9.4.3 Taarifa ilitolewa kuwa azimio la Wanahisa kufanya Mkutano Mkuu uliofuata tarehe 26 Mei
2018 lilitekelezwa.
9.5.1 Taarifa ilitolewa kuwa kazi kubwa ya benki kwa mwaka 2017 ilikuwa ni kufanya biashara ya
kibenki pamoja na huduma zingine zinazoendana na benki kulingana na sheria ya uendeshaji
na usimamizi wa benki na taasisi za fedha ya mwaka 2006. Hapakuwa na badiliko lolote la
kazi za benki kwa kipindi kilichoishia tarehe 31 Desemba, 2017.
9.5.2 Taarifa ilitolewa kuwa hisa zilizolipwa hadi mwishoni mwa mwaka 2017 zilikuwa 20,615,272.
9.5.3 Taarifa ilitolewa kuwa Wakurugenzi wa benki walioitumikia benki kuanzia Januari, 2017 hadi
mwishoni mwa mwaka walikuwa ni saba na hapakuwa na Mkurugenzi yeyote aliyemiliki hisa
Zaidi ya 0.3% ya mtaji uliohidhinishwa
9.6 TAARIFA YA MKAGUZI WA NJE WA BENKI NA TAARIFA YA FEDHA KWA MWAKA ULIOISHIA
TAREHE 31 DESEMBA, 2017
9.6.1 Taarifa ilitolewa kuwa mkaguzi wa nje wa hesabu za fedha za benki kwa mwaka 2017 alikuwa
ni Ernst & Young (EY) ambaye alikagua taarifa za fedha za benki.
9.6.2 Taarifa ilitolewa kuwa Wakurugenzi wa benki waliwajibika kwa matayarisho na uwasilishwaji
wa taarifa za fedha kwa mujibu wa viwango vya kimataifa katika utayarishaji wa hesabu na
kwa mujibu wa sheria ya makampuni, Na. 12, Sura ya 212 ya mwaka 2002, na kwa udhibiti
huo wa ndani, Wakurugenzi walihakikisha kwamba uwezeshaji wa matayarisho hayo ulikuwa
ni wa kweli na kwamba haukutokana na udanganyifu wowote ama makosa yeyote yale ama
upotoshwaji wa ukweli wowote ule.
9.6.3 Taarifa ilitolewa kuwa wajibu wa mkaguzi wa nje ulikuwa ni kutoa maoni juu ya taarifa hizo
za fedha kutokana na ukaguzi uliofanyika. EY walifanya ukaguzi kwa kuzingatia viwango vya
kimataifa katika ukaguzi. Viwango hivyo vilihitaji kwamba EY wafuate mahitaji ya kimaadili,
waandae mpango wa kufanya ukaguzi ili kujiridhisha kuwa taarifa hizo za fedha hazina mawaa
yanayoweza kuzuia ukweli juu ya ukaguzi.
9.6.4 Taarifa ilitolewa kuwa taarifa za fedha za benki zilitoa taswira na mtazamo halisi wa kifedha juu
ya hali ya masuala ya fedha ya benki mpaka ilipofikia tarehe 31 Desemba 2017 na mwenendo
wake ulizingatia viwango vya kimataifa katika uwasilishwaji wa taarifa za fedha.
9.6.5 Wanahisa walipokea, walijadili na kupitisha ripoti ya mkaguzi wa nje kama ilivyowasilishwa.
9.7.1 Taaarifa ilitolewa kuwa kutokana na mafanikio ya utendaji wa Benki ya Biashara Mkombozi kwa
mwaka ulioishia tarehe 31, Desemba 2017 na kupata faida halisi baada ya kodi ya Shilingi bilioni
1.44 Bodi ya Wakurugenzi, katika kikao chake cha tarehe 21 April, 2018 iliazimia kuwasilisha kwenye
Mkutano Mkuu pendekezo la kutangaza gawio la Sh 25 kwa kila hisa kwa mwaka wa fedha wa 2017
na kwa wanahisa waliorodheshwa kwenye daftari ya wanahisa. Ridhaa ya Benki Kuu ya Tanzania kwa
aili ya gawio hili ilikwisha patikana. Hivyo basi Bodi ya Wakurugenzi iliapendekeza kwa Mkutano Mkuu
kujadili na kuridhia pendekezo la gawio na kuazimia ifuatavyo:
9.8.1 Taarifa ilitolewa kuwa kanuni namba 80 ya kanuni za uendeshaji wa benki ilielekeza kwamba
kila ifikapo mwaka wa tatu wa uendeshaji wa benki moja ya tatu ya Wakurugenzi wa Bodi
watastaafu. Hii inamaana ya kuwa Wakurugenzi wawili walipaswa kustaafu na wawili wapya
kuchaguliwa. Utaratibu huu ulizingatia umuhimu wa mwendelezo wa uzoefu na utawala bora
katika uendeshaji wa benki. Kutokana na hilo Bodi iliwataarifu Wamahisa kuwa mkurugenzi
Method Anatoli Kashonda ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Bodi na Bwana Marcellino
Xavier Kayombo walistahili kustaafu rasmi ukurugenzi wa benki mara baada ya majina ya
Wakurugenzi wapya kupitishwa na Benki Kuu ya Tanzania.
9.8.2 Taarifa ilitoewa kuwa ili kujaza nafasi ya Wakurugenzi hao wawili Bodi ya Wakurugenzi kwa
kuongozwa na kanuni ya 74 ya benki ilitoa kazi kwa kampuni ya washahuri binafsi iitwayo
Lindam Group Limited kutangaza kwenye magazeti nafasi tatu za Wakurugenzi wapya kwa
ajili ya kujaza nafasi mbili za hao Wakurugenzi waliotarajiwa kustaafu na nyingine moja
iliyoachwa wazi na Mkurugenzi Emmanuel Johannes aliyejiuzuru. Kampuni binafsi ilipewa
kazi ya, kuwafanyia usahili na kupeleka kwenye Bodi majina sita ya wagombea wa nafasi hizo
tatu
9.8.3 Taarifa ilitolewa kuwa kanuni iliyotajwa hapo juu iliwataka washahuri hawa kuleta kwenye
Bodi ya Wakurugenzi majina mawili kwa kila nafasi moja ya ukurugenzi iliyo wazi kwa ajili ya
Wanahisa kupiga kura.
9.9.1 Taarifa ilitolewa kuwa katika mkutano wa kwanza uliofanyika tarehe 28 Mei, 2010 Wanahisa
walipitisha maruprupu ya Wakurugenzi kama ifuatavyo:
(i) Malipo ya shilingi 350,000.00 kwa Mwenyekiti na shilingi 300,000.00 kulipwa kwa kila
mjumbe mwingine wa Bodi wanapohudhuria vikao vya Bodi
(i) Malipo ya shilingi 1,500,000.00 kwa Mwenyekiti na shilingi 1, 200,000.00 kwa kila
mujumbe mwingine wa Bodi ikiwa ni ada ya ukurugenzi inayolipwa mwishoni mwa
mwaka.
9.9.3 Taarifa ilitolewa kuwa Kwa kipindi chote hiki Bodi ya Wakurugenzi haikutoa pendekezo la
ongezeko la stahiki na posho ya mwaka pamoja na kuzingatia kuwa malipo yao yalikuwa
chini. Hii ni kwasababu Bodi ilitaka benki ijipanue kibiashara.
9.9.5 Taaarifa ilitolewa kuwa kwa kipindi hicho benki ilishapanuka kibiashara na hivyo ulikuwa ni
wakati mwafaka kufanya mapitio ya stahiki za Wakurugenzi kuendana na soko kwa ujumla,
kukaribia stahiki zinazotolewa na mabenki ya rika ya benki na kuzingatia wajibu wa kisheria
na wa kiudhibiti anaoubeba mkurugenzi wa benki. Kwa mantiki hiyo Bodi ilipendekeza kwa
Wanahisa kuidhinisha stahiki za Wakurugenzi kama ifuatavyo:
(i) Malipo ya shilingi 700,000.00 kwa Mwenyekiti na malipo ya shilingi 600,000.00 kwa
kila mkurugenzi mwingine ikiwa ni posho ya kuhudhuria vikao vya Bodi na Kamati
zake.
(ii) Malipo ya shilingi 10,000,000.00 kwa Mwenyekiti na shilingi 9,000,000.00 kwa kila
Mkurugenzi mwingine ikiwa nni ada ya ukurugenzi ya mwaka.
9.12 MENGINEYO
Hapakuwa na mengineyo ya kujadili
_______________________ _______________________
Bw. Method Kashonda Bw. Baltazar Baltazar Mbilinyi
MWENYEKITI KATIBU
Mtaji ulioidhinishwa
Hisa 50,000,000 za kawaida zenye thamani ya shilingi 1,000 kila hisa.
Hisa zilizolipwa
Hisa 20,615,272 za kawaida zenye thamani ya shilingi 1,000 kila hisa.
Jumla ya hisa mwishoni mwa mwaka 2017 ilikuwa hisa 20,615,272 kama ifuatavyo
Jina Idadi ya hisa Thamani ya hisa (TZS) asilimia
Wakurugenzi wa benki waliotumikia benki kwa kipindi chote cha mwaka 2018 ni kama ifuatavyo.
Bodi ya Wakurugenzi ina Wakurugenzi saba akiwemo Mkurugenzi Mtendaji. Hakuna Mkurugenzi
yeyote anayeshugulikia masuala ya kila siku ya benki isipokuwa Mkurugenzi Mtendaji. Bodi inajukumu
la usimamizi wa benki ikiwemo pamoja na jukumu la kuainisha masuala hatarishi na kusimamia kwa
kutoa maamuzi yanayohusu masuala ya fedha nakuidhinisha bajeti ya benki.
Bodi pia inajukumu la kuhakikisha kwamba taratibu zote zilizoainishwa na kanuni zilizopitishwa na
Bodi zinafuatwa kulingana na taratibu za uendeshaji wa kampuni.
Bodi inapaswa kukutana angalau mara nne kwa mwaka. Uendeshaji wa kila siku wa benki ulikuwa
chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa benki akisaidiwa na Menejimenti ya benki. Menejimenti ya benki
inakaribishwa kuhudhuria mikutano ya Bodi na kuhakikisha kuwa usimamizi wa shuguli zote katika
uendeshaji wa benki unaangaliwa vizuri katika maeneo yote ya uendeshaji wa benki.
Kwa kipindi cha mwaka 2018 Bodi ilikutana mara nne katika mikutano ya kawaida na mikutano nane
ya dharura kutokana na masuala muhimu ambayo yalihitaji maamuzi ya Bodi.
Maelezo zaidi juu ya mikutano ya Bodi na kamati zake ni kama inavyoonekana hapa chini.
Mahudhurio ya Wakurugenzi:
Na Jina Wadhifa Idadi ya Idadi ya Asilimia
mikutano mikutano
aliyohudhuria
Bodi ya Wakurugenzi ina kamati tatu. Kamati ya ukaguzi, Udhibiti na ukubalifu, Kamati ya Mikopo na
kamati ya rasilimali watu. Kila kamati ina mwongozo wa kutekeleza majukumu yake.
Benki imedhamiria kujikita katika misingi ya kuendesha benki kwa kufuata misingi ya utawala bora
na Wakurugenzi wanatambua umuhimu na hitaji la kuendesha shughuli za benki kwa kufuata misingi
ya utendaji bora kupitia katika kamati zake kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
Kamati ya Mikopo
Na Jina Wadhifa Idadi ya Idadi ya mikutano %
mikutano aliyohudhuria
1. Bw. Marcellino X. Kayombo Mwenyekiti 16 16 100
2. Askofu Mkuu Raymond Saba Mjumbe 16 15 94
3. Bw. Ayoub Mtafya Mjumbe 16 15 94
4. Bw. Robert Mtendamema * Mjumbe 16 5 31
* Mkurugenzi huyu alijiunga kwenye kamati hii tarehe 19 Septemba 2018.
10.5.7 MENEJIMENTI
Kwa kipindi cha mwaka 2018 Menejimenti ya benki ilikuwa chini ya Mkurugenzi Mtendaji
akisaidiwa na wafuatao: -
• Mkurugenzi wa Fedha na Utawala;
• Mkurugenzi wa Uendeshaji wa benki;
• Mkurugenzi wa Hazina;
• Mkurugenzi wa Mikopo;
• Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani;
• Mkurugenzi wa Teknohama;
• Mkurugenzi wa Huduma za Sheria (Katibu wa benki
• Meneja wa Udhibiti na Ukubalifu
• Meneja wa Rasilimali Watu
• Meneja wa Masoko na Ukuzaji wa Biashara
Matawi ya benki
Benki ilikuwa na matawi nane hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2018. Matawi manne yapo Dar es
Salaam na manne yapo mikoani yaani Mwanza, Moshi, Bukoba na Morogoro. Idadi ya akaunti za
amana na mikopo ilikuwa kama ifuatavyo: -
10.5.9 GAWIO
Wakurugenzi wa Bodi wanapendekeza kutotolewa kwa gawio kwa mwaka ulioishia tarehe 31
Desemba, 2018.
10.5.13 VIHATARISHI
Kadiri benki inavyoendelea kukuza uendeshaji wake inahakikisha kwamba hali hatarishi inadhibitiwa
kwa mujibu wa sera na taratibu zote zilizowekwa. Shughuli za kibenki zinazoweza kuwekwa katika
hali hatarishi zinajumuisha shughuli za mikopo, hali ya ukwasi, athari za masoko na athari za kisera.
Masuala yote yahusuyo usimamizi wa hali hatarishi yameainishwa na Bodi ya Wakurugenzi kwenye
sera za benki ambazo zinatekelezwa na Menejimenti ya benki.
Sera hizi zinahusisha uchambuzi, uthamini, ukubalifu na usimamizi wa viwango vya hali hatarishi au
muunganiko wa hali hatarishi kwa ujumla wake.
Bodi imehakiki mfumo wa udhibiti wa ndani kwa kipindi chote cha mwaka ulioishia tarehe 31,
Desemba 2018, na ni maoni ya Bodi kuwa mfumo huo unakidhi mahitaji ya udhibiti kwa viwango vya
kuridhisha.
Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kusimamia mifumo hatarishi na udhibiti wa ndani kupitia
Kamati zake.
Benki imeendelea kutoa haki kwa kila mtu katika kupata ajira, kupandishwa vyeo bila upendeleo.
Benki inahakikisha kuwa mtu yeyote mwenye sifa anapata au kupandishwa cheo bila kujali jinsia, hali
ya ndoa, kabila, dini au ulemavu unaomfanya asishindwe kufanya kazi.
Tiba
Benki imekuwa ikiwalipia gharama za matibabu wafanyakazi wake na wategemezi wao wasiozidi
wanne kupitia huduma ya bima ya afya.
Mafao ya Wastaafu
Benki inachangia mafao stahili ya wafanyakazi wake kwenye mfuko wa NSSF. Wajibu wa benki ni
kumchangia kila mfanyakazi asilimia 10% ya mshahara ghafi kwenye Mfuko wa NSSF.
Wakurugenzi pia wanakubali kuwa ni wajibu wao kuhakikisha kwamba uwekaji wa hesabu za
uhasibu unakuwa sahihi na unaaminika kwa ajili ya maandalizi ya taarifa za hesabu na pia kuwapo
kwa mifumo sahihi ya udhibiti wa ndani ili kuhakikisha uhifadhi wa mali za benki.
Ni wajibu wa wahasibu kuisaidia Bodi ya Wakurugenzi kutekeleza wajibu wa maandalizi ya taarifa ya fedha ya
kampuni inayoonyesha ukweli na uwazi wa ufanisi wa kifedha kuendana na kanuni za kimataifa za hesabu
na sheria ya makampuni ya Tanzania ya mwaka 2002. Uwajibikaji wowote ule wa kisheria unaotokana na
maandalizi ya taarifa hizi unabaki kuwa ni wa Bodi ya Wakurugenzi kama ilivyoanishwa hapo juu.
Mimi Dennis Frank Kejo nikiwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Benki ya Biashara Mkombozi nakiri
kuwajibika kwa kuhakikisha kwamba taarifa ya fedha kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Disemba, 2018
imeandaliwa kuendana na kanuni za kimataifa za hesabu na sheria ya makampuni ya Tanzania ya
mwaka 2002.
Kwa hiyo nathibitisha kwamba taarifa hii ya fedha ni sahihi na inatoa uhalisia wa matokeo ya mtiriko wa fedha
kwa benki ya biashara ya Mkombozi kwa kipindi cha mwaka na tarehe iliyotajwa hapo juu na kwamba taarifa
hii iliandaliwa kutokana na nyaraka halisi za fedha zilizopo benki.
Tarehe: _________________________
Maoni ya Mkaguzi.
Tumekagua taarifa za hesabu za Benki ya Biashara Mkombozi, inayojumuisha mizania hadi kufikia
tarehe 31 Desemba, 2018, na pia taarifa za kina za mapato, taarifa ya mabadiliko katika suala la hisa
zisizo na riba ya kudumu na taarifa ya mtiririko wa mwaka huo na pia kiasi cha kutosha cha muhtasari
wa sera na maelekezo mengine ya kifedha ya mwaka uliopita.
Kwa maoni yetu taarifa za fedha zilizoandaliwa na kukaguliwa zinatoa hali halisi ya kifedha ya benki
kufikia tarehe 31 Desemba 2018; na vivyo hivyo mwenendo wake umezingatia kanuni za kimataifa
za hesabu, sheria ya makampuni ya Tanzania ya mwaka 2002 na sheria ya benki na taasisi za fedha
ya mwaka 2006.
Tarehe: ______________________
Gharama za uendeshaji
Gharama za wafanyakazi 11 (7,013,098) (5,719,714)
Gharama za pango 12 (1,356,973) (1,149,451)
Gharama za uendeshaji ofisi 13 (7,154,105) (5,969,581)
Jumla ya gharama za uendeshaji (15,524,176) (12,838,746)
Faida kabla ya kodi 1,410,479 1,944,749
Gharama ya kodi 14 (604,434) (501,849)
Faida kwa mwaka 806,045 1,442,900
Mapato mengine - -
Madeni
Amana kutoka benki mbalimbali 25.1 13,869,813 3,313,720
Amana toka kwa wateja 25.2 136,466,747 121,121,559
Mikopo chechefu 26 437,886 291,136
Madeni mengine 27 4,743,329 2,149,517
Mtaji
Mtaji uliokwishalipwa 28 20,615,272 20,615,272
Mtaji usiosajiliwa 11,455 -
Akiba ya kisheria 780,919 721,166
Uhamisho wa jumla katika mikopo misafi 1,898,334 2,461,513
Jumla ya Mtaji 23,305,980 23,797,951
Taarifa hii ya fedha ilipitishwa na Bodi ya Wakurugenzi tarehe 30 Machi 2019 na kusainiwa kwa niaba yao
na: -
39
Hadi 31 Desemba 2018 20,615,272 - 2,461,513 721,166 - 23,797,951
Vielelezo 2018 2017
TZS’000’ TZS’000’
23,770,463 19,451,671
7. GHARAMA YA RIBA
8. MIKOPO CHECHEFU
14 GHARAMA YA KODI
a.) Kodi kwa mwaka imekokotolewa kama ifuatavyo: -
Kodi ya mapato ya sasa – kipindi cha sasa 668,329 581,760
Kodi iliyoahirishwa – kipindi cha sasa (63,895) (79,911)
604,434 501,849
GHARAMA YA KODI
Kodi kutokana na faida ya benki inatofautiana kutoka kwenye 2018 2017
kiwango ambacho kingepatikana kwa kutumia asilimia kama
ifuatavyo:
2016 2015
TZS’000 TZS’000
Akiba ya kima cha chini kisheria haitakiwi kutumika kwenye shughuli za benki za kila siku na wala
haijumuishwi na fedha taslimu na thamani iliyo sawa kwa madhumuni ya uandaaji wa taarifa ya
mtiririko wa fedha taslimu (angalia kielelezo 29).
2018 2017
45
Mchanganuo ufuatao unaonyesha viwango vilivyochambuliwa kuonyesha hasara inayotarajiwa kuhusiana na mikopo na karadha.
46
Daraja la Daraja
Maelezo Daraja la pili Jumla
kwanza la tatu
Mikopo hadi 1 Januari 2018 24,942,547 - - 24,942,547
Mikopo mipya - - - -
Mikopo isiyotanbulika au iliyilipwa (ukiondoa iliyofutwa) - - - -
Uhamisho kwenda daraja la kwanza - - - -
Uhamisho kwenda daraja la pili - - - -
Uhamisho kwenda daraja la tatu - - - -
Mikopo iliyofutwa - - - -
Hadi 31 Desemba 2018 24,942,547 - - 24,942,547
Daraja la Daraja la
Maelezo Daraja la pili Jumla
kwanza tatu
Matarajio ya hasara itokanayo na mikopo: hadi 1 Januari
2018 11,501 - - 11,501
Mikopo mipya - - - -
Mikopo isiyotanbulika au iliyilipwa (ukiondoa iliyofutwa) - - - -
Uhamisho kwenda daraja la kwanza - - - -
Uhamisho kwenda daraja la pili - - - -
Uhamisho kwenda daraja la tatu - - - -
Matokeo ya Matarajio ya hasara itokanayo na mikopo hadi
mwisho wa mwaka - - - -
Makusanyo - - - -
Hadi 31 Desemba 2018 11,501 - - 11,501
27,793,299 15,516,614
18. Dhamana za Makampuni - TMRC
48
2018 2017
TZS’000’ TZS’000’
Uhalisia Kiwango Jumla Uhalisia Kiwango Jumla
Mchanganuo ufuatao unaonyesha viwango vilivyochambuliwa kuonyesha hasara inayotarajiwa kuhusiana na mikopo na karadha.
Daraja la kwan-
Daraja la pili
za Daraja la tatu Jumla
Watu binafsi
Watu binafsi
Mikopo hadi 1 Januari 2018 37,242,643 40,188,346 5,759,215 83,190,205
Mikopo mipya 21,208,206 1,373,947 (315,122) 22,267,031
Mikopo isiyotanbulika au iliyilipwa (ukiondoa iliyofutwa) - - - -
Uhamisho kwenda daraja la kwanza - - - -
Uhamisho kwenda daraja la pili - - - -
Mikopo iliyofutwa - - - -
Marekebisho kwenye biashara ya fedha za kigeni 670,431 (1,453,744) (422,009) (1,205,323)
Hadi 31 Desemba 2018 50,566,946 40,108,549 5,022,084 104,251,913
49
19. MIKOPO NA KARADHA KWA WATEJA (INAENDELEA)
50
Daraja la kwanza Daraja la pili Daraja la tatu Jumla
Watu binafsi Watu binafsi
Iliyotokana na: -
Watu binafsi 1,337,623.31 485,667.18 1,594,742.51 3,418,033
Inayojumuisha watu binafsi na biashara - - - -
Jumla 1,337,623.31 485,667.18 1,594,742.51 3,418,033
51
19. MIKOPO NA KARADHA KWA WATEJA (INAENDELEA
52
Jedwali lifuatalo linaonyesha kiwango cha matarajio ya hasara kwenye mali za kifedha kwa mwaka ziliziainishwa kwenye waraka wa mapato ya benki.
TMRC 500,000 -
Umoja Switch Co. Ltd 39,000 39,000
539,000 39,000
Mwaka 2014 benki ilinunua hisa za kawaida kwenye kampuni ya Umoja Switch ikiwa ni moja kati
ya waanzilishi wa kampuni hiyo. Wakurugenzi wanatoa maoni kwamba thamani ya uwekezaji huo
kwenye hesabu za benki zinaonyesha thamani iliyo sawa. Mwaka 2017 Umojaswitch Co. Ltd ililipa
gawio kwa njia ya kuongeza hisa na benki ilipata shilingi milioni 19.
Mwaka 2018 benki ilinunua hisa 308,261 za kampuni ya TMRC kwa shilingi milioni 500.
54
Mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2018 Mashine na Samani komputa Magari Uboreshwaji Uboreshaji Jumla
vifaa na vifaa vya wa pango wa pango
tecknohama unaoendelea
Gharama
Hadi tarehe 1 Januari 2017 1,014,986 1,201,694 1,440,775 143,139 2,295,765 - 6,096,359
Ongezeko 308,264 62,139 432,754 - 481,403 - 1,284,560
Hadi tarehe 31 Desemba, 2017 1,323,250 1,263,833 1,873,529 143,139 2,777,168 - 7,380,919
Uchakavu
Hadi tarehe 1 Januari 2017 274,101 351,302 840,724 50,695 1,544,361 - 3,061,183
Badiliko kwa mwaka 138,465 149,286 340,542 35,785 321,304 - 985,382
Hadi tarehe 31 Desemba, 2017 412,566 500,588 1,181,266 86,480 1,865,665 - 4,046,565
Thamani halisi hadi 31 Desemba 2018 1,064,920 793,876 649,311 20,874 720,815 594,814 3,844,610
Thamani halisi hadi 31 Desemba 2017 910,684 763,244 692,263 56,659 911,503 - 3,334,353
Gharama
Hadi tarehe 1 Januari 2016 602,888 1,032,443 1,176,923 191,346 1,714,176 - 4,717,776
Marekebisho 722 (6,567) 770 (48,207) - (53,282)
Hadi tarehe 1 Januari 2017 1,014,986 1,201,694 1,440,775 143,139 2,295,765 - 6,096,359
Ongezeko 308,264 62,139 432,754 - 481,403 - 1,284,560
Hadi tarehe 31 Desemba, 2017 1,323,250 1,263,833 1,873,529 143,139 2,777,168 - 7,380,919
Uchakavu
Hadi tarehe 1 Januari 2016 174,012 211,408 607,828 63,117 1,252,145 - 2,308,510
Badiliko kwa mwaka 100,184 139,894 232,896 35,785 292,216 - 800,975
Marekebisho (mali zilizoondolewa) (95) (48,207) - (48,302)
Hadi tarehe 31 Desemba 2016 274,101 351,302 840,724 50,695 1,544,361 - 3,061,183
Hadi tarehe 1 Januari 2017 274,101 351,302 840,724 50,695 1,544,361 - 3,061,183
Ongezeko 138,465 149,286 340,542 35,785 321,304 - 985,382
Hadi 31 December 2017 412,566 500,588 1,181,266 86,480 1,865,665 - 4,046,565
Thamani halisi hadi 31 December 2017 910,684 763,244 692,263 56,659 911,503 - 3,334,353
Thamani halisi hadi 31 December 2016 740,885 850,392 600,051 92,444 751,404 - 3,035,175
55
22. MALI ZISIZOSHIKIKA 2018 2017
TZS’000’ TZS’000’
Gharama
Hadi tarehe 1 Januari 1,103,781 1,037,364
Ongezeko 575,765 66,421
Uchakavu (126,928) -
Hadi tarehe 31 Disemba 1,552,617 1,103,781
Kodi iliyoahirishwa katika mali na kodi iliyoahirishwa katika faida katika mnyambulisho
wa hesabu za benki ni kama ifuatavyo
TZS’000’ TZS’000’
25. AMANA
13,869,813 3,313,720
13,869,813 3,313,720
136,466,747 121,121,559
2018 2017
TZS’000 TZS’000
Faida halisi ya Wanahisa
806,045 1,442,900
Namba Namba
Wastani wa hisa zote kwa mwaka 20,615,272 20,615,272
Pato zimulifu kwa kila hisa 39 70
Benki hii inamilikiwa na watu binafsi kwa asilimia 42%, Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kwa asilimia
20%, na taasisi za Kanisa na majimbo kwa asilimia 28%, na taasisi nyinginezo 10%.
Miamala kadhaa ya kibenki ilifanyika kati ya Benki na ama watu binafsi au taasisi zenye mahusiano
na benki katika hali ya kawaida ya biashara. Hii ni pamoja na mikopo, uwekaji amana kwenye benki,
utumaji fedha na mengineyo. Kiasi cha miamala inayohusika, salio lililokuwepo mwishoni mwa
mwaka na mapato na matumizi husika kwa mwaka ni kama ifuatavyo: -
2018 2017
TZS’000’ TZS’000’
Mikopo kwa Menejimenti ya benk
Kiasi mwanzoni mwa mwaka 284,074 403,552
Mikopo iliyoongezwa ndani ya mwaka 1,236,271 136,522
Mikopo iliyorejeshwa kwa mwaka 312,436 (256,000)
Mikopo iliyopo mwishoni mwa mwaka 1,023,834 284,074
2018 2017
TZS’000’ TZS’000’
32.1.1 Upangishwaji
Desemba 2018
Pango la jengo 209,528 720,815 930,343
209,528 720,815 930,343
Desemba 2017
Pango la jengo 648,479 263,024 911,503
648,479 263,024 911,503
Benki imeingia mikataba kwenye majengo kwa ajili ya kuendesha biashara. Mikataba hii inawastani wa miaka
miwili mpaka mitano na kuna fursa ya kurudia tena kupanga iliyoainishwa ndani mikataba hiyo. Hakuna zuio
lolote ambalo benki inayo kwenye mikataba hii.
Bw. George Rwezaura Shumbusho Bw. Marcellino Kayombo Prof. Marcellina Mvula Chijoriga
Mkurugenzi Mtendaji Mkurugenzi Makamu Mwenyekiti
Bw. Dennis Frank Kejo Bw. Thomas Enock Bw. Sylivester Remmy Kasikila
Mkurugenzi wa fedha Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani Mkurugenzi wa uendeshaji
@MkomboziBankPlc