Professional Documents
Culture Documents
Mheshimiwa,
Nawasilisha.
Charles E. kichere
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI
Uanzishwaji
Madaraka na wajibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
yameelezwa kwenye Ibara ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ya Mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa) na kufafanuliwa zaidi
katika Kifungu cha 10(1) cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na.11 ya Mwaka
2008 pamoja na Kanuni za Ukaguzi wa Umma za Mwaka 2009.
Dira
Kuwa Taasisi ya Kuaminika na ya Kutukuka katika Ukaguzi wa Sekta ya
Umma.
Dhamira
Kutoa Huduma Bora za Ukaguzi wa Hesabu ili Kuimarisha Utendaji,
Uwajibikaji, Uwazi, na Thamani ya Fedha katika Kukusanya na
Kutumia Rasilimali za Umma.
Misingi ya Maadili
Katika kutoa huduma zenye ubora, ofisi hii inaongozwa na vigezo vya
msingi vifuatavyo:
• Uadilifu: Sisi ni Taasisi adilifu inayotoa huduma kiuhakikifu na bila
upendeleo.
• Ubora: Sisi ni Taasisi yenye weledi inayotoa huduma bora kwa
kuzingatia viwango kubalifu vya ukaguzi.
• Uaminifu: Tunazingatia na kudumisha kiwango cha juu cha uaminifu
na kuzingatia utawala wa sheria.
• Kuwalenga watu: Tunalenga zaidi matarajio ya wadau wetu kwa
kujenga utamaduni mzuri wa kuhudumia wateja na kuwa na
watumishi wataalamu na wenye motisha ya kazi.
• Uvumbuzi: Sisi ni asasi ambayo wakati wote inahamasisha
utamaduni wa kupokea na kuendeleza mawazo mapya kutoka ndani
na nje ya asasi.
• Matumizi bora ya raslimali: Sisi ni asasi inayothamini na kutumia
kwa umakini mkubwa rasilimali za umma ilizokabidhiwa.
i
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
• Kuwahusisha wadau wetu katika mfumo wa ukaguzi; na
• Kuwapa wakaguzi nyenzo za kufanyia kazi ambazo zitaimarisha
uhuru wa Ofisi ya Ukaguzi.
© Kwa mujibu wa Kifungu cha 39 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008
(kama ilivyorekebishwa), Taarifa hii ya Ukaguzi imekusudiwa itumiwe na mamlaka za
Serikali. Hata hivyo, mara baada ya kupokelewa na Spika na kuwasilishwa Bungeni, taarifa
hii huwa kumbukumbu ya umma na usambazaji wake hauzuiliwi.
ii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Yaliyomo
Dira... ........................................................................................ i
Dhamira ...................................................................................... i
Misingi ya Maadili ........................................................................... i
Dibaji. ....................................................................................... xi
Shukrani.. ................................................................................. xiv
MUHTASARI WA MAMBO MUHIMU ....................................................... xv
SURA YA TATU............................................................................. 12
UTENDAJI WA KIFEDHA ................................................................. 12
3.1 Utangulizi .......................................................................... 12
3.2 Ufadhili wa Miradi................................................................. 12
3.3 Hati za Ukaguzi Zilizotolewa .................................................... 22
CHAPTER THREE
UTEKELEZAJI WA MIRADI ................................................................ 33
4.1 Utangulizi ............................................................................ 33
4.2 Miradi Iliyoathirika Kutokana na Wakandarasi Kutokulipwa Madai Yao .... 33
4.3 Kuchelewa Kuanza kutekeleza Mradi ............................................ 35
4.4 Miradi Isiyotekelezwa Kikamilifu ................................................. 35
4.5 Miradi Iliyokamilika Lakini Haijaanza Kutumika ............................... 37
4.6 Miradi Iliyochelewa Kukamilika .................................................. 39
iii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
SURA YA SABA ............................................................................. 53
MAPENDEKEZO ............................................................................ 53
7.1 Utangulizi ............................................................................ 53
7.2 Mapendekezo........................................................................ 53
7.3 Mapendekezo ya Jumla ............................................................ 53
7.4 Mapendekezo Maalumu ............................................................ 54
VIAMBATISHO .............................................................................. 56
iv
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Orodha ya Majedwali
v
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Orodha ya Viambatisho
vi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Kiambatisho XXIX: Manunuzi Yasiyoidhinishwa na Bodi za Zabuni ........................... 94
Kiambatisho XXX: Manunuzi Kutoka kwa Wazabuni Wasiothibitishwa ...................... 94
Kiambatisho XXXI: Mikataba Iliyotekelezwa Bila Hati ya Dhamana ya Utekelezaji ........ 95
Kiambatisho XXXII: Miradi Iliyotekelezwa Bila Kuwa na Bima ................................. 96
Kiambatisho XXXIII: Miradi Isiyofanyiwa Uchambuzi wa Athari za Mazingira ............... 96
Kiambatisho XXXIV: Kutokuandaliwa kwa Taarifa za Mkaguzi wa Ndani .................... 97
vii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Vifupisho
viii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
LIC Mradi wa Programu ya Maboresho ya Mazingira ya Wawekezaji wa
Ndani
MIVARF Programu ya Miundombinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani, na
Msaada wa Fedha Vijijini
MSD Bohari Kuu ya Dawa
NCMC Kituo cha Kudhibiti Hewa ya ukaa Nchini
NFAST Mfuko wa Taifa wa Kuendeleza Sayansi na Teknolojia
NORAD Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Norwei
OFID Mfuko wa Maendeleo ya Kimataifa wa Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha
Mafuta Duniani
OPEC Umoja wa Nchi Zinazozalisha Mafuta
OR- Ofisi ya Raisi-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
TAMISEMI
PAA Eneo la Mamlaka ya Mradi
PAC Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali
REA Wakala wa Nishati Vijijini
REGROW Mradi wa Maliasili Endelevu kwa Ukuaji
RSSP Programu ya Msaada katika Sekta ya Barabara
RWSSP Programu ya Usambazaji wa Huduma ya Maji Safi Vijijini
SATTFP Mradi wa Uwezeshaji Biashara na Uchukuzi wa Kusini mwa Afrika
SE4ALL Mradi Endelevu wa Nishati kwa Wote
Sh. Shilingi ya Kitanzania
SIDA Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa la Uswidi
SMMRP Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Raslimali za Madini
SWIOFish Mradi wa Usimamizi wa Uvuvi na Ukuaji wa Pamoja Kusini Magharibi
mwa Bahari ya Hindi
TANESCO Shirika la Umeme Tanzania
TANROADS Wakala wa Barabara Tanzania
TASAF Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
TEDAP Mradi wa Maendeleo ya Upatikanaji na Ukuzaji wa Nishati Tanzania
TEITI Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta, na
Gesi Asilia Tanzania
TEMESA Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania
TIRDP Mradi wa Maendeleo ya Reli Tanzania
TPRS Mpango wa Kupunguza Umaskini Tanazania
TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania
TSCP Mradi wa kuboresha Miji Tanzania
TSSP Programu ya Msaada wa Sekta ya Usafiri
UN Umoja wa Mataifa
ix
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
UNDP Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
UNEP Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa
UNICEF Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto
USAID Shirika la Misaada la Watu wa Marekani
VAT Kodi ya Ongezeko la Thamani
WB Benki ya Dunia
WSDP Programu ya Maendeleo katika Sekta ya Maji
x
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Dibaji
xi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Aidha, ripoti hii inajumuisha Washirika wa Maendeleo
wengine kama vile, Shirika la Mazingira la Umoja wa
Mataifa (UNEP), Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD),
Mfuko wa Bill na Melinda Gates (BMGF), Shirika la
Maendeleo ya Kimataifa la Kanada (CIDA), Shirika la
Maendeleo ya Kimataifa la Denmaki (DANIDA), Shirika la
Idara ya Mambo ya Nje, Biashara na Maendeleo (DFATD),
Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA),
Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Norwei (NORAD),
Mfuko wa Maendeleo ya Kimataifa wa Jumuiya ya Nchi
Zinazozalisha Mafuta Duniani (OFID), Shirika la Ushirikiano
wa Maendeleo ya Kimataifa la Uswidi (SIDA), na Shirika la
Misaada la Watu wa Marekani (USAID).
xii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
umma na watumiaji wengine wa taarifa hii kwa muda
muafaka.
Charles E. Kichere
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI
xiii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Shukrani
xiv
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
MUHTASARI WA MAMBO MUHIMU
xv
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
zenye shaka, na moja ni hati isiyoridhisha. Hati zingine 13 ni
zile zinazohusu mifumo ya udhibiti wa ndani, na uzingatiaji
wa sheria na kanuni.
1
Miradi ya “Turnkey” awamu ya I, II, na II imekuwa ikifanyika katika miaka 2010/2012,
2013/2015, na 2018/2020 mtawalia.
xvi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
wengine kama TANESCO watakuja na mpango wa kina
kuhakikisha kipaumbele kinatolewa katika kutatua kero hii ya
ucheleweshaji wa miradi ili kazi hizo zikamilishwe na
mikataba husika ifungwe kuepuka ucheleweshaji zaidi.
xvii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
• Bakaa ya Dola za Kimarekani milioni 25.16 Kutokana
na Fedha za Miradi Zilizokaa kwa Muda Mrefu Kwenye
Akaunti za Fedha za Washirika Bila ya Kutumika
Nilibaini kuwa akaunti za fedha za Washirika wa Maendeleo
zinazotunzwa na Hazina zikiwa na bakaa za fedha za miradi
kiasi cha Dola za Kimarekani 25,161,526.18 kutoka kwenye
miradi 12. Bakaa hizo zimekaa kwenye akaunti kwa muda
mrefu bila kutumika. Aidha, mingi ya miradi hiyo
ilishafungwa miaka ya nyuma na baadhi ya bakaa hizo
zimeshakaa kwenye akaunti hizo kwa zaidi ya miaka saba.
2
Kamati ya Tasnia ya Uziduaji Tanzania ipo chini ya mradi wa TEITI ambao unasimamiwa na Wizara ya
Madini.
xviii
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
Ingawa, ninatambua juhudi zilizofanywa na menejimenti ya
TEITI zilizopelekea makampuni 16 kati ya 400 kutekeleza
sheria hiyo, ni vyema TEITI ikahakikisha kwamba makampuni
384 yaliyosalia yanatekeleza sheria husika ili kuhakikisha
uwazi na uwajibikaji kwenye sekta ya uziduaji.
xix
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19
SURA YA KWANZA
1.1 Utangulizi
Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano
unaelezea hatua mpya za kuwezesha Tanzania ya viwanda kwa
njia ambayo itabadili uchumi na jamii. Kuna makundi manne
ya hatua zilizopitishwa katika mpango huu, ambazo ni ukuaji
na uanzishaji wa viwanda; kukuza maendeleo ya watu na
mabadiliko ya kijamii; kuboresha mazingira kwa ajili ya
maendeleo ya biashara; na kuwa na utekelezaji sahihi. Kwa
kuzingatia hatua hizi, Serikali imekuwa ikianzisha na
kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Sura hii inatoa
maelezo ya miradi ya maendeleo iliyokaguliwa kwa mpangilio
wa kisekta, wajibu wa Maafisa Masuuli, wajibu wa Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, madhumuni na mawanda
ya taarifa kuu, mbinu zilizotumiwa kufanya kaguzi, na muundo
wa taarifa hii.
Sekta ya Kilimo
Serikali imeendelea kuibadili sekta ya kilimo ili kuleta
ufanisi mkubwa wa uzalishaji, ukuzaji biashara, uongezaji
faida, na uzalishaji wa ziada ili kukidhi soko la ndani na la
kimataifa.
Sekta ya Elimu
Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu ya Mwaka 2016/2017-
2020/2021 uliundwa ili kuelekeza jitihada za mageuzi
yaliyobuniwa ili kuleta mabadiliko yanayohusisha sekta yote
ya elimu. Aidha, unaweka msisitizo katika upanuzi wa wigo wa
elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na maandalizi ya
nguvukazi yenye stadi na ujuzi kama sehemu muhimu ya
mkakati wa maendeleo ya raslimaliwatu nchini.
Sekta ya Afya
Sambamba na sera za Kitaifa za Kijamii na Kiuchumi,
Mikakati na Mipango ya Serikali, mikakati mahususi katika
sekta hii inasisitiza ushirikiano kati ya sekta binafsi na
umma katika utoaji wa huduma za afya, matumizi ya
teknolojia ya habari na mawasiliano katika kuimarisha
utoaji wa huduma za afya, na kuhamasisha usajili wa
wananchi katika bima ya afya ili wote wapatiwe huduma
bora za afya. Miradi hii ilitekelezwa kwa ajili ya kuinua
kiwango cha utoaji wa huduma za afya nchini.
Sekta ya Uchukuzi
Katika sekta ya uchukuzi, Serikali imenuia kuboresha
miundombinu ya uchukuzi kulingana na Sera ya Taifa ya
Uchukuzi ya Mwaka 2011 – 2025. Katika kutekeleza sera hii,
Serikali imekuwa ikiongeza jitihada za kuboresha viwanja vya
ndege, barabara, reli, na bandari kwa shughuli zake za
kiuchumi na kijamii ndani na nje ya nchi.
Sekta ya Maji
Wizara ya Maji na Umwagiliaji imekuwa ikitekeleza
mageuzi katika sekta ya maji kwa lengo la kuboresha
usimamizi wa pamoja wa rasilimali za maji pamoja na
uboreshaji wa usambazaji wa maji safi na maji taka mijini
na vijijini. Ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya
Miradi Mingine
Miradi mingine ni ile inayohusisha shughuli mbalimbali
mtambuka kama vile mazingira, utalii, uvuvi, sheria,
3
Maafisa Masuuli katika mamlaka za serikali za mitaa, serikali kuu, idara na mashirika ya umma na
taasisi zingine zinazotekeleza miradi ya maendeleo.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 5
yamezingatiwa, na iwapo kuna ufanisi katika matumizi ya
fedha za umma.
4
Idadi ya kaguzi zilizofanyika inategemea idadi ya miradi inayotekelezwa na taasisi husika.
5
Taasisi moja inaweza kutekeleza mradi zaidi ya mmoja.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 6
mbalimbali za mradi zilizokaguliwa, uzingatiaji wa sheria na
kanuni ikiwa ni pamoja na kanuni za manunuzi na matakwa
mengine maalumu yanayoongoza shughuli za miradi. Kaguzi
hizi zilifanywa kwa kuzingatia sampuli; Hivyo, ukomo wa
matokeo ya ukaguzi yalitokana na uwasilishaji wa
kumbukumbu, nyaraka, na taarifa zilizoombwa kwa ajili ya
kaguzi husika.
2.1 Utangulizi
Taarifa zangu za ukaguzi wa miradi ya maendeleo zinazoishia
30 Juni 2018, zilikuwa na jumla ya mapendekezo 5,185. Sura
hii inatoa taarifa ya hali ya utekelezaji wa mapendekezo.
Mapendekezo yangu ya ukaguzi yanayotolewa kwa wakaguliwa
hulenga kuwasaidia watekeleza miradi kurekebisha kasoro
zilizoonekana wakati wa ukaguzi na kupendekeza suluhisho
kwa ajili ya maboresho ya baadae.
45
40
35
30
Asillimia
25
20
15
10
5
-
Mapendeke
Mapendeke Mapendeke Mapendeke
zo
zo zo ambayo zo
yanayoende
yaliyotekele hayajatekel yaliyopitwa
lea
zwa ezwa na wakati
kutekelezwa
2018/2019 30 20 42 8
2017/2018 35 18 34 13
2016/2017 29 17 35 19
2015/2016 22 22 40 16
UTENDAJI WA KIFEDHA
3.1 Utangulizi
Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2018/2019, miradi
iliyokaguliwa ilikuwa na jumla ya Shilingi trilioni 3.43 ambapo
jumla ya Shilingi trilioni 2.31 zilitumika na kusalia kiasi cha
Shilingi trilioni 1.12. Sura hii inaelezea fedha za miradi ya
maendeleo zilizokaguliwa katika mwaka wa fedha 2018/2019.
Chanzo: Taarifa za ukaguzi kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2019
1 Mradi wa Sayansi ya
Magonjwa ya Mishipa ya 5,153.31 4,566.22 587.09
Moyo - MUHAS
2 Mradi wa Mtandao wa
17,091.75 11,881.77 5,209.98
Maabara kwa Umma –
6
Fedha za Mfuko wa Afya zilitumiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Malaria, UKIMWI, na Kifua Kikuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa.
7
Mfuko mkuu wa fedha wa afya ambao unatekelezwa kupitia mifuko mitatu ambayo ni (i) Kifua Kikuu
(TB) (ii) UKIMWI (HIV AIDS) (iii) Malaria
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 16
Jumla ya Bakaa Ishia
Na. Jina la Mradi Matumizi (Sh)
Mapato (Sh) (Sh)
Afrika Mashariki
3 Mfuko wa Kimataifa -
222,644.59 170,114.91 52,529.68
UKIMWI
4 Mfuko wa Kimataifa – Mradi
wa Malaria na Kuboresha 96,096.85 64,172.24 31924.60
Mifumo ya Afya
5 Mfuko wa Kimataifa – Kifua
58,166.82 49,801.87 8,364.95
Kikuu
6 Mfuko wa Afya ya Jamii –
Mamlaka za Serikali za 9,457.09 7,824.97 1,632.11
Mitaa
7 Mradi wa Kusaidia Sekta ya
33,320.33 2,924.21 30,396.13
Afya
8 Kituo cha Kuchunguza
Magonjwa ya Kuambukiza
Kusini mwa Afrika.- Kituo 6,687.82 5,224.96 1,462.86
Mahiri Afrika cha
Magonjwa ya Kuambukiza
9 Programu ya Kuimarisha
Afya ya Msingi kwa 46,103.91 45,893.95 209.96
Matokeo (SPHC4R)
10 Programu ya Kuimarisha
Afya ya Msingi kwa 43,563.24 23,794.68 19,768.56
Matokeo – Wizara ya Afya
11 Ushirikiano wa Tafiti
katika Tafiti za Afya,
4,194.98 2,858.51 1,336.46
Mafunzo na Ubunifu kwa
Maendeleo Endelevu
12 Mfuko wa Afya – Mamlaka
113,668.33 93,426.39 20,241.94
za Serikali za Mitaa
Jumla 656,149.02 482,484.68 173,664.32
Chanzo: Taarifa za ukaguzi kwa mwaka fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2019
Sekta ya Jamii
Shughuli za TASAF III zinafadhiliwa na Serikali ya Tanzania,
Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza, Mfuko wa
Maendeleo wa Kimataifa wa Umoja wa Nchi Zinazozalisha
Mafuta, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Shirika la
Misaada la Watu wa Marekani, Shirika la Maendeleo ya
Kimataifa la Uingereza, Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo ya
Kimataifa la Uswidi na Mfuko wa Bill na Melinda Gates.
8
Katika kipindi cha mwaka wa fedha, Nimekagua mradi huu kwa vipindi viwili vya mwaka wa
fedha 2017/2018 and 2018/2019, hata hivyo katika jedwali hapo juu nimeonesha taarifa za
mwaka 2018/2019 tu. Katika kipindi cha mwaka 2017/2018, Shilingi bilioni 12.77 zilikuwepo kwa
ajili ya matumizi ambapo Shilingi milioni 265.04 zilitumika na kusalia bakaa ya Shilingi bili oni
12.5 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za mradi zilizosalia.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 20
Miradi Mingine
Miradi mingine ilipokea fedha kutoka Benki ya Dunia, Benki
ya Maendeleo Afrika, Shirika la Maendeleo la Umoja wa
Mataifa, Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia
Watoto pamoja na washirika wengine wa maendeleo.
9
Hati 12 zinahusu mifumo ya udhibiti wa ndani (mfuko mkuu wa afya, program ya maendeleo ya umoja
wa mataifa, na shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia watoto), na hati nyingine moja imetolewa kwa
Mradi wa Miundombinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani, na Fedha Vijijini.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 23
sheria na kanuni. Hati za ukaguzi zinazohusu taarifa ya fedha
zimejadiliwa kama ifuatavyo:-
120
100
80
Asilimia
60
40
20
0
2018/19 2017/18 2016/17 2015/16 2014/15
Hati inayoridhisha 97 97 94 91 92
Hati zenye shaka 3 3 6 9 8
Hati isiyoridhisha 0 0 0 0 0
Kielelezo 3.1: Mwenendo wa hati za ukaguzi kwa miaka mitano mfululizo
Hati Inayoridhisha
Aina hii ya hati hutolewa pale taarifa za fedha
zilizowasilishwa na kukaguliwa zinapotoa mtazamo wa
kweli na haki kwa shughuli zote zilizofanywa na kwamba
zimezingatia na kufuata mfumo wa uhasibu uliochaguliwa.
Kiambatisho I kinaonesha jumla ya hati zinazoridhisha 441
sawa na asilimia 97 ya jumla ya hati zote zilizotolewa kwa
watekeleza miradi. Idadi ya hati zinazoridhisha katika
mwaka wa fedha 2018/2019 ni asilimia 97 sawa na ile ya
mwaka wa fedha uliopita (2017/2018).
Hati Isiyoridhisha
Hati isiyoridhisha hutolewa inapobainika kuwa taarifa za
fedha kwa kiasi kikubwa si sahihi zinapoangaliwa katika
ujumla wake; na kwamba, hazikuandaliwa kwa kuzingatia
mifumo ya kihasibu. Maelezo ya hati isiyoridhisha huwa
wazi ambapo inaeleza kwamba taarifa za fedha
hazikuzingatia na kufuata mfumo wa uhasibu na viwango
vya kimataifa vya uhasibu katika sekta ya umma.
10 Bakaa hizo kwa miaka mitatu ni kama ifuatavyo; Sh. 1,410,906,391.12 (2016/17), Sh.
UTEKELEZAJI WA MIRADI
4.1 Utangulizi
Miongoni mwa suala muhimu katika usimamizi wa miradi ni
kuhakikisha kuwa miradi inatekelezwa ndani ya muda, kwa
gharama zilizo ndani ya bajeti na inatumika kutoa huduma
zilizokusudiwa. Sura hii inatoa uchambuzi wa hoja na
utekelezaji wa miradi kisekta. Pia inaonesha hali ya
utekelezaji wa miradi, mapungufu na sababu za mapungufu
hayo.
11
Kazi zilianza mwezi Octoba 2019 badala ya Juni 2019
12
Miradi ya “Turnkey” awamu ya I, II, na II imekuwa ikifanyika katika miaka 2010/2012, 2013/2015, na
2018/2020 mtawalia.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 35
kwamba wakandarasi wamemaliza kandarasi hizo, Jedwali
4.1.
5.1 Utangulizi
Sura hii inachambua13 hoja za ukaguzi zinazohusu
usimamizi wa manunuzi na udhibiti wa kiutawala. Sura
inatoa taarifa ya mapungufu yanayohusu usimamizi wa
manunuzi na udhibiti wa kiutawala kwenye miradi.
13
Hoja hizi.zimetokana na uchambuzi wa taarifa za Ukaguzi za mwaka wa fedha ulioshia 30 June 2019
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 40
thamani ya Shilingi 1,451,357,063.82 zilizonunuliwa kutoka
kwa wazabuni mbalimbali. Hii ilitokana na ufutiliaji hafifu
wa wazabuni kinyume na Kanuni 114 ya Kanuni za Manunuzi
ya Umma za Mwaka 2013 (iliyorekebishwa mwaka 2016).
Kuchelewa kupokea bidhaa na huduma kunaweza leta
hatari ya bidhaa kutofika kabisa au zikafikishwa ambazo ni
tofauti na zilizoagizwa. (Kiambatisho Na. XXV).
HITIMISHO
6.1 Utangulizi
Sura hii inatoa hitimisho kuhusu matokeo ya kaguzi kama
ilivyobainishwa katika sura zilizopita. Nimegawanya
hitimisho langu katika maeneo manne ambayo ni hitimisho
la ujumla, hitimisho kwenye utendaji wa kifedha,
utekelezaji wa Miradi, pamoja na Usimamizi wa Manunuzi
na utawala.
Utendaji wa Kifedha
Hitimisho langu katika eneo la usimamizi wa kifedha
linajumuisha hali ya hati za ukaguzi zilizotolewa,
utekelezaji wa mapendekezo ya ukaguzi ya miaka iliyopita,
pamoja na masuala yanahusiana na usimamizi wa fedha.
45.00
40.00
35.00
30.00
kiasi (Sh. bilioni)
25.00
20.00
15.00
10.00
5.00
-
2014/2015 2015/2016 2016/2017 2017/2018 2018/2019
Mwaka wa fedha
Kielelezo 6.1: Mwenendo wa Kasoro Katika Usimamizi wa Matumizi
MAPENDEKEZO
7.1 Utangulizi
Sura hii inatoa mapendekezo ya jinsi ya kushughulikia
kasoro zinazojitokeza katika taarifa za ukaguzi wa miradi ya
maendeleo kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
7.2 Mapendekezo
Sehemu hii inatoa mapendekezo kwa Ofisi ya Waziri Mkuu
kulingana na hitimisho na kinachopaswa kufanyika ili kuzipatia
ufumbuzi kasoro zilizobainika na kuboresha ufanisi katika
utekelezaji wa miradi nchini.
Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi
1 Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo kwa Matokeo
10 Mradi wa Kukuza Vyuo vya Ualimu (Kitangali, Mpuguso,Shinyanga and Ndala) (UTC)
Sekta ya Afya
Wilaya ya Wilaya ya
3 62 121 Mji wa Geita
Longido Mkuranga
Kigom Simiyu
Wilaya ya a Wilaya ya Wilaya ya
8 67 126
Hanang Buhigwe Bariadi
Wilaya ya Manispaa ya
9 68 127 Mji wa Bariadi
Simanjiro Kigoma
Njombe
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
39 98 157
Nachingwea Rorya Njombe
Morogor
o Wilaya ya Wilaya ya Mji wa
40 99 158
Kilombero Bunda Njombe
Rukwa
Manispaa ya
Jiji la Manispaa ya
54 Tandahimb 113 172
Mwanza Songea
a
Shinya
Manispaa ya nga Mji wa Wilaya ya
55 114 173
Nanyumbu Kahama Madaba
Mji wa Wilaya ya
56 115 174 Mji wa Mbinga
Newala Ushetu
Wilaya ya Wilaya ya
59 118
Kibaha Shinyanga
Sekta ya Uchukuzi
Na. Jina la Mradi
1 Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kimataifa Arusha-Taveta/Holilii-Voi
Sekta ya Maji
Na. Jina la Mradi
1 Mradi wa Uimarishaji Endelevu wa Mifumo ya Maji – Arusha Mjini
2 Kituo cha Miundombinu ya Maji na Nishati Endelevu kwa Matumizi ya Baadaye
14
Kwa mwaka wa kifedha, nilikagua mradi wa Kusaidia Sekta ya Maji awamu ya II kwa hesabu za kipindi
cha mwaka 2017/2018 na 2018/2019, hata hivyo kwenye jedwali linaloonyesha utendeji wa kifedha
nimejumuisha tu tarakimu za mwaka wa fedha 2018/2019. Katika mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30
Juni 2018, mradi ilikuwa na fedha kiasi cha Shilingi bilioni 12.7. Matumizi yalikuwa Shilingi bilioni
265.04, ambapo kulikuwa na bakaa ya shilingi bilioni 12.5 kwa ajili ya matumizi ya shughuli ambazo
hazikufanyika kwa mwaka husika.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 62
Mji wa Wilaya ya Wilaya ya
9 68 127
Kibaha Ruangwa Nkasi
Wilaya ya Manispaa Wilaya ya
10 69 128
Kibiti ya Lindi Sumbawanga
Wilaya ya
Wilaya ya Manispaa ya
11 70 Nachingw 129
Kisarawe Sumbawanga
ea
Wilaya ya NJOMB Wilaya ya RUVUMA Wilaya ya
12 71 130
Mafia E Ludewa Madaba
Mji wa
Wilaya ya Wilaya ya
13 72 Makamba 131
Mkuranga Mbinga
ko
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
14 73 132
Rufiji Makete Tunduru
DAR Manispaa Wilaya ya
15 74 133 Mji wa Mbinga
ya Ilala Njombe
Manispaa
Mji wa Wilaya ya
16 ya 75 134
Njombe Namtumbo
Kigamboni
Manispaa Wilaya ya
Wilaya ya
17 ya 76 Wang'ing' 135
Songea
Kinondoni ombe
Manispaa MANYA
Wilaya ya Manispaa ya
18 ya RA 77 136
Babati Songea
Temeke
Wilaya ya Mji wa SIMIYU Wilaya ya
19 78 137
Ubungo Babati Bariadi
DOD Wilaya ya Wilaya ya
20 79 138 Mji wa Bariadi
OMA Bahi Hanang'
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
21 80 139
Chamwino Kiteto Busega
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
22 81 140
Chemba Mbulu Itilima
Jiji la Mji wa Wilaya ya
23 82 141
Dodoma Mbulu Maswa
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
24 83 142
Kondoa Simanjiro Meatu
Mji wa MARA Wilaya ya SHINYAN Mji wa
25 84 143
Kondoa Bunda GA Kahama
Wilaya ya Mji wa Wilaya ya
26 85 144
Kongwa Bunda Kishapu
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
27 86 145
Mpwapwa Butiama Msalala
GEIT Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
28 87 146
A Bukombe Musoma Shinyanga
Manispaa
Wilaya ya Manispaa ya
29 88 ya 147
Chato Shinyanga
Musoma
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
30 89 148
Geita Rorya Ushetu
Mji wa Wilaya ya SINGIDA Wilaya ya
31 90 149
Geita Serengeti Ikungi
Wilaya ya Wilaya ya Wilaya ya
32 91 150
Mbogwe Tarime Iramba
Wilaya ya
Mji wa
33 Nyang’hw 92 151 Wilaya ya Itigi
Tarime
ale
IRING Wilaya ya MBEYA Wilaya ya Wilaya ya
34 93 152
A Iringa Busokelo Manyoni
Manispaa Wilaya ya Wilaya ya
35 94 153
ya Iringa Chunya Mkalama
Kiambatisho II: Manunuzi ya Bidhaa na Huduma ya Sh. 6,509,405,047.03 bila Kudai Stakabadhi za
Kielektroniki za Mamlaka ya Mapato Tanzania
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 1 38,301,947 A
2 Nishati 1 889,117,943.75 B
3 Afya 27 412,271,868 C
4 Miradi Mingine 3 137,510,467.28 D
5 Maji 26 5,032,202,821 E
Jumla 58 6,509,405,047.03
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo kwa 38,301,947
1
Matokeo
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mradi wa Maendeleo ya Jamii - III 115,903,277.28
Jumla 137,510,467.28
Kiambatisho III: Kodi ya Zuio Sh. 34,495,006.54 ambayo Haikupelekwa Mamlaka ya Mapato Tanzania
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Afya 5 5,007,692 A
2 Maji 5 29,487,314.54 B
Jumla 10 34,495,006.54
Kiambatisho IV: Kodi ya Zuio ambayo Haikukatwa Kwenye Malipo Yaliyofanyika kwa Wazabuni Sh.
3,829,541,120.1
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 1 317,641,269.87 A
2 Afya 14 29,405,862 B
3 Nishati na Madini 1 35,116,867.31 C
4 Miradi Mingine 1 10,926,460 D
5 Uchukuzi 1 564,347,429 E
6 Maji 11 2,872,103,231.92 F&G
Jumla 29 3,829,541,120.1
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kodi ya Zuio (Sh.)
Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo kwa 317,641,269.87
1 Matokeo
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kodi ya Zuio (Sh.)
1 Mradi wa Maboresho wa Huduma za Mahakama na Utoaji wa
Haki kwa Wananchi 10,926,460
F: Sekta ya Maji
Na. Jina la Mradi Kodi ya Zuio (Sh.)
1 Mradi wa Uimarishaji Endelevu wa Mifumo ya Maji – Arusha
Mjini 2,790,836,771.92
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Kilimo 1 47,578,250 A
2 Elimu 1 3,470,000 B
3 Nishati na Madini 1 443,351,897 C
4 Afya 5 432,453,644.73 D&E
5 Miradi Mingine 3 915,930,807 F
Jumla 11 1,842,784,598.73
A: Sekta ya Kilimo
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mradi wa Upanuzi wa Uzalishaji wa Mpunga 47,578,250
B: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mpango wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu 3,470,000
- Tanzania
D: Sekta ya Afya
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mradi wa Mtandao wa Maabara kwa Umma – Afrika Mashariki 341,676,904.43
Jumla 427,807,344.73
F: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mradi wa Maboresho wa Huduma za Mahakama na Utoaji wa 19,377,400
Haki kwa Wananchi
2 Programu ya Kuwezesha Urasimishaji wa Ardhi 875,033,407
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 1 545,448,696.91 A
2 Health 3 6,155,095 B
3 Other 1 19,973,104 C
4 Water 4 252,582,126 D
Jumla 9 824,159,021.91
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo 545,448,696.91
kwa Matokeo
C: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania III 19,973,104
1 4 Wilaya ya
Wilaya ya Namtumbo
219,006,449 Mafia 3,250,000
2 Wilaya ya Kibiti 17,723,250 Jumla 252,582,126
3 Mji wa Mbinga 12,602,427
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 2 446,597,183 A
2 Afya 54 1,131,047,710 B&C
3 Miradi Mingine 4 96,760,143 D
4 Uchukuzi 2 114,561,564.12 E
5 Maji 26 1,316,067,261 F
Jumla 88 3,105,033,861.12
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo 348,880,287
kwa Matokeo
2 Programu ya Elimu na Ujuzi kwa Ajili ya Kazi za Uzalishaji 97,716,896
Jumla 446,597,183
B: Sekta ya Afya
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mfuko wa Kimataifa – Kifua Kikuu 40,117,038
Jumla 565,779,847
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
Mradi wa Maboresho wa Huduma za Mahakama na Utoaji wa Haki 25,726,495
1
kwa Wananchi
2 Programu ya Kuwezesha Urasimishaji wa Ardhi 37,983,648
Mradi wa Usimamizi wa Uvuvi na Ukuaji wa Pamoja Kusini 8,280,000
3
Magharibi mwa Bahari ya Hindi
Mradi wa Kuondoa Umaskini, Kuwezesha Vijana Kiuchumi na 24,770,000
4 Maendeleo Endelevu ya Mazingira – Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Jumla 96,760,143
E: Sekta ya Uchukuzi
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mradi wa Kuboresha Miji Tanzania - Fedha za ziada 2 35,987,564.12
2 Mradi wa Maendeleo ya Mji Mkuu wa Dar es Salaam 78,574,000
Jumla 114,561,564.12
Kiambatisho VIII: Fidia ya Sh. 5,815,781,142 ambayo Haikulipwa kwa Watu Walioathiriwa Kutokana
na Utekelezaji wa Miradi – Sekta ya Uchukuzi
Idadi ya
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh)
Waathirika
1 Programu ya Uboreshaji wa Miundombinu ya 726 5,717,446,142
Usafirishaji Jijini Dar es salaam (DUTP)
2 Mradi ya Kusaidia Sekta ya Barabara (TSSP) 82 98,335,000
Jumla 5,815,781,142
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Afya 5 97,872,775 A
2 Jamii 8 30,696,873.65 B
Jumla 13 128,569,648.65
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
watekelezaji
1 Kilimo 1 30,309,222,214.17 A
2 Elimu 3 23,760,101,661.82 B
3 Nishati na Madini 2 13,669,013,740.8 C
4 Afya 22 916,183,172 D
5 Miradi mingine 5 6,630,896,765.64 E
6 Maji 125 88,942,535,496.56 F&G
Jumla 158 164,227,953,050.99
A: Sekta ya Kilimo
Na Kiasi Kiasi
Jina la Mradi Makadirio (Sh)
. kilichotolewa (Sh) kisichotolewa (Sh)
1 Mradi wa Uwekezaji 36,158,206,651.97 5,848,984,437.80 30,309,222,214.17
katika Kukuza Kilimo
Kusini mwa Tanzania
(SAGCOT-CTF)
B: Sekta ya Elimu
Na Kiasi Kiasi
Jina la Mradi Makadirio (Sh)
. kilichotolewa (Sh) kisichotolewa (Sh)
1 Programu ya Elimu
na Ujuzi kwa Ajili
4,630,284,000 1,500,000,000 3,130,284,000
ya Kazi za
Uzalishaji
2 Chuo cha Sayansi
na Teknolojia Afrika 4,517,735,040 2,743,730,196 1,774,004,843.52
– Nelson Mandela
3 Programu ya
Kusaidia Elimu ya
Ufundi, Mafunzo na 25,526,059,393.64 6,670,246,575.34 18,855,812,818.30
Elimu kwa Walimu
(STVET)
Jumla 10,913,976,771.3 23,760,101,661.8
34,674,078,433.64
4 2
E: Miradi Mingineyo
Kiasi
Kiasi
Na Jina la Mradi Makadirio (Sh) kisichotolewa
kilichotolewa (Sh)
(Sh)
1 Mradi wa Kuhimili
Athari za
Mabadiliko ya
564,805,349.47 146,621,080.57 418,184,268.90
Tabianchi katika
Jiji a Dar Es
Salaam
2 Mradi Endelevu
wa Kuwezesha
Kuzuia na
5,670,615,695 3,404,420,387.42 2,266,195,307.58
Kupambana na
Rushwa –
Tanzania
3 Mradi wa Kuhimili
Athari za
Mabadiliko ya 1,438,109,358.07 1,086,233,832.90 351,875,525.16
Tabianchi Katika
Maeneo ya Pwani
4 Programu ya
Kuwezesha
12,000,000,000 8,858,308,152 3,141,691,848
Urasimishaji wa
Ardhi
5 Mradi wa Kukuza
Uwezo kwa 658,836,096 205,886,280 452,949,816
Kuboresha
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 74
Matokeo na
Ufanisi - Ofisi ya
Taifa ya Takwimu
13,701,469,732.8 6,630,896,765.6
Jumla 20,332,366,498.54
9 4
F: Sekta ya Maji
Kiasi Kiasi
Na. Jina la Mradi Makadirio (Sh) kilichotolewa kisichotolewa
(Sh) (Sh)
1 Programu ya Maendeleo 1,414,962,000 740,000,000 674,962,000
ya Sekta ya Maji Fungu
52
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Kilimo 1 53,800,000 A
2 Elimu 1 2,310,579,130 B
3 Afya 6 215,488,548.5 C&D
4 Miradi Mingine 3 61,788,738 E
5 Maji 9 256,693,705 F
Jumla 20 2,898,350,121.5
A: Sekta ya Kilimo
Na. Jina la Mradi Kiasi(Sh.)
1 Mradi wa Upanuzi wa Uzalishaji wa Mpunga 53,800,000
B: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi(Sh.)
Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo kwa 2,310,579,130
1 Matokeo
C: Sekta ya Afya
Na. Jina la Mradi Kiasi(Sh.)
Wilaya ya
1 Mji wa Kahama 4
39,517,489 Bunda 4,440,000
Wilaya ya
2
Shinyanga 16,424,000 Jumla 70,561,489
Wilaya ya
3
Kishapu 10,180,000
E: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi(Sh.)
Mradi wa Usimamizi wa Uvuvi na Ukuaji wa Pamoja Kusini 2,460,000
1
Magharibi mwa Bahari ya Hindi
Mradi wa Kuondoa Umaskini, Kuwezesha Vijana Kiuchumi na 18,417,358
2
Maendeleo Endelevu ya Mazingira – Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
3 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Awamu ya III 40,911,380
Jumla 61,788,738
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 1 1,843,458,244.87 A
2 Afya 2 203,641,123.89 B
3 Miradi Mingine 1 9,500,598.31 C
4 Uchukuzi 1 499,966,796.55 D
5 Maji 12 1,790,964,240 E
Jumla 17 4,347,531,003.62
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh)
B: Sekta ya Afya
C: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh)
D: Sekta ya Uchukuzi
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh)
1
Mradi wa Kuboresha Miji Tanzania - Fedha za ziada awamu ya II 499,966,796.55
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 2 586,180,500 A
2 Nishati na Madini 1 168,134,730 B
3 Afya 1 48,082,880.27 C
4 Miradi mingine 2 49,338,965.04 D
5 Maji 1 121,085,181 F
Jumla 7 972,822,256.31
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Aliyekopeshwa Kiasi (Sh)
1 Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Wizara ya Elimu 286,180,500
Elimu ya Malipo kwa Matokeo
2 Programu ya Elimu na Ujuzi kwa Ajili ya Chuo cha Ufundi 300,000,000
Kazi za Uzalishaji Arusha
Jumla 586,180,500
B: Sekta ya Uchukuzi
Na. Jina la Mradi Aliyekopeshwa Kiasi (Sh)
1 Wakala wa Nishati Vijijini Mfuko wa Nishati 168,134,730
Vijijini
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Aliyekopeshwa Kiasi (Sh)
1 Mfuko wa Maendeleo ya Halmashauri ya Mji wa Kibaha Sh 25,998,566
Jamii Awamu ya III 9,097,823 na Halmashauri ya Wilaya
ya Lindi Sh 16,900,743
2 Mfuko wa Maendeleo ya Kulikuwa na bakaa ya miaka ya nyuma 23,340,399.04
Jamii Awamu ya III ambayo ilitumiwa kwa ajili ya
kutekeleza shughuli nyingine ambazo
hazihusiana na Mradi kwa
watekelezaji ambao ni Halmashauri ya
Wilaya ya Longido na Ngorongoro.
Kiasi hiki cha fedha kilikuwa
hakijarejeshwa hadi mwishoni mwa
mwaka wa fedha 2018/19.
Jumla 49,338,965.04
A: Sekta ya Kilimo
Kiasi
Kiasi Kiasi
kilichopaswa
Na. Jina la Mradi Kilichochang kisichochangi
kuchangiwa
iwa (Sh.) wa (Sh)
(Sh.)
1 Mradi wa Upanuzi wa Uzalishaji wa
Mpunga 800,000,000 87,050,000 712,950,000
B: Sekta ya Uchukuzi
Kiasi Kiasi
Kiasi kilichopaswa
Na. Jina la Mradi Kilichochangiwa kisichochangiw
kuchangiwa (Sh.)
(Sh.) a (Sh)
1 Mradi wa Maboresho ya 7,734,268,983.
10,982,602,972.9 3,248,333,989.56
Bandari ya Dar es Salaam 34
Kiambatisho XVII: Fedha za Bakaa za Akaunti ya Washirika ambazo Hazijatumiwa kwa Muda, Dola za
kimarekani milioni 25.16
Kiasi kilichobaki
Namba ya
tarehe 30 Juni
Na. Benki Jina la Akanti ya Washirika Maelezo
2019 (Dola za
Akaunti
Kimarekani)
Kiambatisho XVIII: Madeni ya Wakandarasi ambayo Hayajalipwa Sh 1.03 trilioni (Ikujumuisha Adhabu
Sh 224.03 bilioni na Fidia Sh 13.02 milioni)
Na. Maelezo Kiasi (Sh.)
1 Madai bila riba 794,091,175,546.39
2 Riba 224,025,668,186.65
3 Fidia 13,019,579,894.23
Jumla 1,031,136,423,627.3
Idadi ya
Na. Sekta kiasi(Sh.) Viambatisho
Watekelezaji
1 Kilimo 3 1,472,177,950 A
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali AGR/DP/2018/19 83
2 Jamii 1 636,579,815.62 B
3 Maji 2 681,982,904 C
Jumla 6 2,790,740,669.62
A: sekta ya Kilimo
Na. Mradi/ Mtekelezaji Mradi Kipindi cha Tarehe ya Kiasi cha
Mkataba Kumaliza Mkataba (Sh.)
1 Programu ya Ujenzi wa soko 2017 453,711,970
Miundombinu ya wilaya ya Chato
Masoko, Uongezaji wa
Thamani, na Msaada
wa Fedha Vijijini
(MIVARF)
2 Programu ya Ujenzi wa ghala 10/08/ 14/05/2017 956,193,900
Miundombinu ya lenye uwezo wa 2016 hadi
Masoko, Uongezaji wa kuhifdhi baridi 14/05/2017
Thamani, na Msaada Madihani wilaya
wa Fedha Vijijini ya Makete
(MIVARF)
3 Programu ya Ujenzi wa Kituo 2018 62,272,080
Miundombinu ya cha Mafunzo
Masoko, Uongezaji wa baada ya
Thamani, na Msaada Mavuno (PHTC)
wa Fedha Vijijini katika
(MIVARF) Halmashauri ya
Wilaya ya Magu
Jumla 1,472,177,950
B: Sekta ya Jamii
Na. Mradi/Mtekelezaji Mradi Kiasi cha
Mkataba (Sh.)
1 Mfuko wa Maendeleo Miradi sita (6) ya watekelezaji watano(5) wa 636,579,815.62
ya Jamii (TASAF) miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
(TASAF) ambao ni; wilaya za Arusha, Longido,
Meru, Unguja na Halmashauri ya Mji Mdogo wa
Njombe ilikamilika pasipo kutumika
C: Sekta ya Maji
Na. Halmashauri Taarifa za Mradi Kiasi (Sh.)
1 Kumalizia skimu ya usambazaji maji katika vijiji vya
Wilaya ya Monduli 609,271,552
Emairete na Eluwai
Wilaya ya Ngara Mradi wa ukarabati wa usambazaji maji kijiji cha
Shanga/Mugoma kwa kununua pampu na kuweka 72,711,352
2 transfoma
Jumla 681,982,904
Idadi ya
Na. Sekta Kiasi (Sh.) Kiambatisho
Watekelezaji
1 Elimu 2 496,258,232 A
2 Afya 22 618,912,468 B&C
3 Miradi Mingine 3 208,588,715 D
4 Maji 1 5,696,600 E
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Matokeo Makubwa Sasa katika Mradi wa Elimu ya Malipo kwa Matokeo 377,644,759
2 Programu ya Elimu na Ujuzi kwa Ajili ya Kazi za Uzalishaji 118,613,473
Jumla 496,258,232
B: Sekta ya Afya
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1 Mfuko wa Kimataifa – Kifua Kikuu 322,347,920
2 Mfuko wa Kimataifa - UKIMWI 117,028,750
3 Mfuko wa Afya 7,244,160
Jumla 446,620,830
C: Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
1
Programu ya Kusaidia Elimu ya Ufundi, Mafunzo, na Elimu kwa Walimu 207,582,642.22
B: Sekta ya Afya
Na. Jina la Mradi/ Mtekelezaji Kiasi (Sh.)
1 Mfuko wa Kimataifa – Malaria
226,324,000
C: Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
1 11
Wilaya ya Tabora 81,883,781.95 Wilaya ya Kondoa 6,361,200
70,583,677 5,797,620.49
2 Wilaya ya Kiteto 12 Wilaya ya Kibaha
D: Miradi Mingine
Na. Jina la Mradi/ Mtekelezaji Kiasi (Sh.)
Kiambatisho XXVI: Mali na Vifaa Ambavyo Havijaingizwa Kwenye Leja ya Vifaa Sh. 463,826,899
Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
1 16
Wilaya ya Kalambo 60,599,495 Wilaya ya Nyasa 10,525,115
Wilaya ya
2 17 Wilaya ya Siha
Ngorongoro 58,012,414 8,420,103
Wilaya ya
3 Wilaya ya Kwimba 18
30,387,390 Karagwe 8,001,500
Wilaya ya
4 19
Wilaya ya Kaliua 28,759,688 Kigamboni 6,359,808
1 Wilaya ya
Wilaya ya Songea 5
15,535,310 Buhigwe 3,010,400
2 6
Wilaya ya Nkasi Jiji la Dodoma
14,729,400 2,279,000
3 Wilaya ya Mbarali 6,762,000 Jumla 47,802,640
4
Wilaya ya Bagamoyo
5,486,530
Kiambatisho XXVII: Manunuzi ya Dawa na Vifaa tiba bila Kibali cha Bohari Kuu ya Dawa – Mfuko wa
Afya Sh. 366,078,953
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
A: Sekta ya Elimu
Na. Jina la Mradi Kiasi (Sh.)
B: Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
Wilaya ya
1 19
Wilaya ya Kalambo 89,309,034 Arusha 12,358,531
Wilaya ya
2 20
Wilaya ya Ludewa 55,270,602 Kaliua 10,960,736
Wilaya ya
3 21
Wilaya ya Mbeya 51,536,852 Karatu 9,951,800
Wilaya ya Wilaya ya
4 22
Ngorongoro 45,742,600 Buchosa 9,122,396
Wilaya ya
5 23
Wilaya ya Mpanda 41,650,374 Handeni 8,440,846
6 24 Mji wa Mbulu
Wilaya ya Urambo 39,524,806 7,203,405.97
Wilaya ya
7 Wilaya ya Lushoto 25
35,347,248 Kiteto 6,722,113
Wilaya ya
8 26
Wilaya ya Busokelo 27,540,868 Kakonko 5,065,000
Wilaya ya
9 27
Manispaa ya Tabora 26,379,719 Hanang 4,690,000
Manispaa ya
10 28
Wilaya ya Tabora 22,102,171 Moshi 4,344,760
Manispaa ya
11 Wilaya ya Ngara 29
20,579,850 Kigoma 4,214,000
Wilaya ya
12 30
Wilaya ya Malinyi 20,115,200 Mkalama 2,916,250
Wilaya ya
13 Wilaya ya Same 31
19,985,052 Simanjiro 2,463,073
Manispaa ya
14 Wilaya ya Babati 32
19,817,257 Kigamboni 2,247,208
Wilaya ya Wilaya ya
15 33
Sumbawanga 19,427,939 Kyela 1,517,200
Wilaya ya
16 Jiji la Arusha 34
18,497,519.72 Newala 700,000
17 Wilaya ya Butiama
16,319,800 Jumla 675,699,202
A: Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
Wilaya ya 10,353,338
1 8
Mji wa Makambako 82,655,418 Mkuranga
2 Wilaya ya Lushoto 38,534,198 9 Wilaya ya Mkinga 9,177,160
5,198,300
3 Manispaa ya Songea 38,401,333 10 Wilaya ya Arusha
4 11
Wilaya ya Kondoa 26,869,787 Wilaya ya Mbinga 4,847,780
5 Wilaya ya Biharamulo 17,624,170 12 Jiji la Tanga 3,953,000
Kiambatisho XXX: Manunuzi ya Bidhaa na Huduma ya Thamani ya Sh. 149,505,182 kwa Wazabuni
Wasiothibitishwa – Mfuko wa Afya
Na. Halmashauri Kiasi (Sh.) Na. Halmashauri Kiasi (Sh.)
1 10
Wilaya ya Mbeya 28,533,551 Mji wa Njombe 3,545,000
2 11
Wilaya ya Nanyumbu 20,748,160 Wilaya ya Mpimbwe 2,968,009
3 Wilaya ya Ngorongoro 12 Wilaya ya Muheza
19,488,997 2,885,600
4 Wilaya ya Arusha 13 Wilaya ya Handeni
16,259,752 2,237,330
Kiambatisho XXXIII: Miradi yenye Thamani ya Sh. 17,320,938,633.56 Iliyotekelezwa bila Kufanya
Uchambuzi wa Athari za Mazingira
Kiasi cha Mkataba
Na. Halmashauri Namba ya Mkataba
(Sh.)
Wilaya ya LGA/026/2017/2018/RWSSP/W/042 LOT 1 3,216,865,931
1
Iringa LGA/026/2017/2018/RWSSP/W/042 LOT 2 1,647,262,810
Wilaya ya
2 ME-011/2017-18/CONTRA/W/06 2,895,334,490
Mlele
Manispaa ya LGA.101/2016/2017/W/01. 594,474,943
3
Mpanda
LGA.101/2016/2017/W/02. 142,499,000
LGA/161/2017/2018/BHL/W/06/Lot 3 182,623,486
Wilaya ya
4 LGA/161/2017/2018/Boreholes/Power/NWILAY
Nsimbo 138,736,081
A/W/06/01
LGA/161/2017/2018/BHL/W/Maji/01/Lot 2 361,846,621
LGA/161/2017/2018/W/Maji/2 186,750,500
Wilaya ya
5 LGA/031/2017-2018/HQ/W/01 LOT No. 1 1,300,000,000
Njombe
Wilaya ya
6 LGA/097/2017/2018/WS/W/05 2,943,086,780
Sumbawanga
LGA/117/IWILAYA/2017/2018/HQ/W/01 Lot 1 1,640,149,964.56
7 Wilaya ya Itigi
LGA/117/IWILAYA/2017/2018/HQ/W/01 Lot 2 998,634,472
Jumla 17,320,938,633.56