You are on page 1of 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

RATIBA YA UJIO WA RAIS WA JAMHURI YA


MUUNGANO WA TANZANIA BUNGENI – DODOMA
TAREHE 22 APRILI, 2021

UTARATIBU NDANI YA BUNGE


______________

NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA

1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge

2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za Kiutawala Ukumbini Katibu wa Bunge/Chief of


Protocol

3. 8:00 – 9:00 Alasiri Waheshimiwa Wabunge na Wageni Katibu wa Bunge/Chief of


Waalikwa kuingia Ukumbini na kwenye Protocol
Galleries

4. 9:15 – 9:50 Alasiri Viongozi Mashuhuri kuingia ndani ya Katibu wa Bunge


Ukumbi wa Bunge:

Msafara wa Kwanza:
(i) Spika Baraza la Wawakilishi –
Zanzibar, Mhe. Zuberi Ally Maulid
(ii) Spika Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki (EALA), Mhe. Martin
Karoli Ngoga

Msafara huu utaongozwa na


Mhe. Samson Jasson Rweikiza,
akitanguliwa na Mpambe wa
Bunge Fatuma Hamza na
kufuatiwa na Makatibu Mezani
Neema Msangi na Emmanuel
Mpanda
NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA

Msafara wa Pili:

(iii) Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.


Prof. Ibrahim Hamis Juma
(iv) Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe.
Omar Othman Makungu

Msafara huu utaongozwa na


Mhe. Dkt. Christine Gabriel
Ishengoma, akitanguliwa na
Mpambe wa Bunge Haji
Mbaraka na kufuatiwa na
Makatibu Mezani Zainab Issa na
Mossy Lukuvi

Msafara wa Tatu:

(v) Makamu wa Kwanza wa Rais –


Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
Othman
(vi) Makamu wa Pili wa Rais –
Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman
Abdullah

Msafara huu utaongozwa na


Mhe. Najma Murtaza Giga,
akitanguliwa na Mpambe wa
Bunge Ruth Kaijage na
kufuatiwa na Makatibu Mezani
Asia Minja na Athuman
Hussein

Msafara wa Nne:

(vii) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti


wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Msafara huu utaongozwa na


Mhe. Mussa Azzan Zungu,
akitanguliwa na Mpambe wa
Bunge Rashid Kapongo na
kufuatiwa na Makatibu Mezani
Joshua Chamwela na Ruth
Makungu

2
NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA

Msafara wa Tano:

(viii) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya


Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango

Msafara huu utaongozwa na


Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson, akitanguliwa na Mpambe
wa Bunge Silvano Simkaza na
kufuatiwa na Makatibu Mezani
Lawrance Makigi, Pamela
Pallangyo na Bakari Kishoma

5. 9:55 Alasiri Spika wa Bunge na Rais wa Jamhuri Katibu wa Bunge


ya Muungano wa Tanzania kuingia
Ndani ya Ukumbi wa Bunge
akitanguliwa na Mpambe wa Bunge,
Ndg. Mohamed Mwanga na kufuatiwa
na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kagaigai, Ndg. Nenelwa J.
Mwihambi na Ndg. Ramadhani Issa

6. 10:00 – 10:05 Alasiri Wimbo wa Taifa na Wimbo wa Brass Band


Jumuiya ya Afrika Mashariki

7. 10:05 – 10:10 Alasiri Maelezo ya Spika Spika

8. 10:10 Alasiri Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Rais


Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia
Suluhu Hassan

9. Neno la Shukrani kwa niaba ya Bunge Mhe. Jumanne Kibera


Kishimba

10. Utambulisho wa Viongozi na Wageni Spika


waalikwa

11. Spika wa Bunge na Rais wa Jamhuri Katibu wa Bunge


ya Muungano wa Tanzania kutoka
Ndani ya Ukumbi wa Bunge na
kuelekea Holding Room

3
NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA

12. Misafara ya Viongozi Mashuhuri Katibu wa Bunge/Mpambe


kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge na wa Bunge
kuelekea Holding Room

13. Waziri Mkuu kutoka nje ya Ukumbi na Katibu wa Bunge


kuelekea eneo la picha

14. Waheshimiwa Wabunge kutoka nje ya Katibu wa Bunge


Ukumbi wa Bunge na kuelekea eneo la
Picha

You might also like