You are on page 1of 15

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU

GEOFREY LAWRENCE MAKONYU


SHIRATI – MARA 04/05/2023
MUDA TUKIO WAHUSIKA
03/05/2023
3:00 - 3:30 Msafara wa mwili kuwasili Kiongozi wa Msafara
Kanisani (KMT Shirati)
3:30 - 5:00 Ibada na kuaga mwili wa marehemu Kanisa (KMT Shirati)
5:00 – 6:30 Mwili kuelekea nyumbani Kiongozi wa Msafara
6:30 – 8:30 Ratiba ya chakula (Msimamizi wa chakula)
8:30 - Nyimbo za sifa na wazo la usiku Mchungaji (kiongozi wa
Kanisa)
04/05/2023
1:00 - 2:00 Chai Wageni wote
9:00 – 12:30 Shuhuda na salamu za rambirambi Kiongozi wa Ibada (MC)
1: SERIKALI
Mwajiri
Mkuu wa Idara
Wafanyakazi wenzake
DC, Mbunge, Diwani
Kiongozi wa Mtaa/ Mkt/Balozi
Majirani – Askosfu Mr & Mrs Ask.Okwenda
Kiongozi wa Msafara Aliyetoka Dar es Salaam

2: KANISA
 Dayosisi ya Shirali Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi ya Mashariki Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi ya Mwanza Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi Musoma Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi ya Tarime Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi Serengeti Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi Shinyanga/Tabora Askofu/Mwakilishi
 Dayosisi ya Arusha –(Shirati) Askofu/Mwakilishi
 Askofu wa Anglican Tarime Askofu/ Mwakilishi
 Askofu wa Anglican Kowak Askofu/Mwakilishi
 Askofu wa African Ingland
Churchwa Mwanza Askofu/Mwakilishi

i
3: WANA –UAMSHO A/MASHA
RIKI
 Mwakilishi Mwanza Ndugu/Dada
 Mwakilishi North Mara Ndugu/Dada
 Wawakilishi 2 kutoka Kenya Ndugu/Dada

4: FAMILIA : A: (MKE)
 Mke wa Marehemu
 Baba Mkwe
 Mama Mkwe

5. FAMILIA B:(WAZAZI)
 Baba wa Marehemu
 Mama wa Marehemu
 Baba mdogo wa Marehemu
 Baba mdogo wa Marehemu Paulo Makonyu
 Mama Mkubwa/ mdogo wa Ongujo Wakibara
Marehemu
 Mama mdogo
 Wajomba wa Marehemu Mama Baraka Ongujo
Nicodemas Manyi na
Bibi wa Marehemu Ngoko Manyi
Dada zake wa Marehemu
Wadogo zake Marehemu Joyce
Wakwerima (mwakilishi) Bernard Makonyu
Mashemeji (mwakilishi
Binamu wa Marehemu (Upande Mama)
Binamu wa Marehemu (Upande Baba) Robert Mirumbe
Marafiki wa Marehemu
Mzumbe University Daniel Ouma
St. Augustino
Askofu Pascal Yohana Kawira
Mwakilishi
Mwakilishi
Makoro - Burere
12:30 – 13:00 Ibada ya Mazishi (Tenzi 102)
13:00 – 13:15 Wasifu wa Marehemmu Mwajiri/ Familia
13:15 – 14:00 Heshima za Mwisho
14:00 - Msafara kuelekea Burere Mazishi

ii
Ratiba ya Mazishi …………………………………………………………i
Historia ya marehemu …………………………………………………….1
Kuzaliwa ………………………………………………...………….1
Ubatizo ……………………………………………………………...1
Elimu ………………………………………………………………..1
Kazi na ajira ………………………………………………………...2
Picha Marehemu akiwa na wafanyakazi wenzake ………………….3
Mafunzo aliyopata ………………………………………………….4
Sifa za marehemu …………………………………………………..4
Nchi alizotembelea …………………………………………………5
Utumishi Kanisani ………………………………………………….5
Ndoa ………………………………………………………………..5
Picha za familia ya marehemu ……………………………………..6
Kuugua na kifo ………………………………………………….….7
Tamko la Mchungaji ………………………………………………..8
Tamko la Wazazi …………………………………………..………10
Mwisho Neno ……………………………………………………...11

iii
HISTORIA YA MAREHEMU GEOFREY LAWRENCE MAKONYU

KUZALIWA
Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alizaliwa mwaka tarehe 08
0ctober 1976 katika hospital ya Shirati Wilaya ya Rorya katika kijiji
cha Mkoma Kata ya Mkoma Tarafa ya Nyancha Wilayani Tarime,
ambapo kwa sasa ni Rorya. Akiwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika
familia ya Mchungaji Lawrence Said Makonyu na Bi Esther Manyi
Mirumbe.
UBATIZO
Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alibatizwa mwaka 1986
katika Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) jimbo la shirati
Dayosisi ya Shirati, ambapo alibatizwa na mchungaji Nashon
Nyambok Kawira.

ELIMU

1982 - Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alianza shule ya


awali katika shule ya msingi Bwitengi Wilaya ya
Serengeti Mkoani Mara, ambapo alisoma darasa la awali la
kwanza mpaka la pili. Nahatimaye kuhamia shule ya
msingi Mkoma Wilayani Rorya hadi kuhitimu elimu ya
msingi katika mwaka wa 1989.

1990-1993 - Alijiunga na kupata Elimu ya Sekondari katika shule


ya Sekondari Ikizu.

1995 - Alihitimu masomo ya astashahada ya uhasibu katika


chuo cha mafunzo ya uhasibu CCT- Dodoma
(CERTIFICATE IN ACOUNTANCY).

1
1996- 1997 - Alijiunga na chuo cha CBE Dodoma, na kuhitimu
Stashahada ya Uhasibu (DIPLOMA IN
ACCOUNTANCY).
1998- 2001 - Alijunga na chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine
Mwanza na kuhitimu Advance Diploma ya uhasibu am
bapo pia vilevile amekuwa kiongozi wa juu katika
Serikali ya wanafunzi (Rais wa serikali ya wanachuo –
SAUTSO 999-2000)

2002-2003 - Alijiunga na chuo kikuu cha mzumbe na kuhitimu


Shahada ya uzamili wa Biashara na Utawala (MASTERS
OF BUSINESS ADMISTRATION) ambapo pia vilevile
alikuwa kiongozi katika Serikali ya wanachuo.
KAZI NA AJIRA
1995-1996 - Alifanya kazi kama Mhasibu msaidizi katika Hospital ya
SHIRATI – KMT
2003-2004 - Alifanya kazi kama Mkufunzi Msaidizi (LECTURE
ASSISTANT) katika chuo kikuu cha Mtakatifu
Augustine Mwanza
2004 - Alifanya kazi katika Hospital ya (KCMC MOSHI) kama
Project Admistrator and Accountant

2005 - Mpaka mauti yanamkuta alikuwa ameajiriwa kama


mkaguzi wa hesabu daraja la kwanza (I) katika divisheni
ya ukaguzi wa hesabu za taifa kitengo cha walipa kodi
wakubwa (large tax payers department) katika Ofisi ya
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali
(CAG)

2
Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu akiwa na
wafanyakazi wenzake alipokuwa anafanya kazi katika Ofisi
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali
(CAG)

3
MAFUNZO NA KOZI MBALIMBALI ZA KITAIFA NA
KIMATAIFA ALIZOPATA
Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alipata mafunzo mbalimbali
kama ifuatavyo;
2007-2008 - Certificate in Auditing IT control
2008 - Foundation of ACL Concepts and Practices
2008 - Certificate of Achievement The Use of NAO
(T) Regularity Audit Manual and Audit Docu
mentation using Teammate Software
2010 - Certificate in Auditing in an IT Environment
2010 - Certificate in International Accounting and Au-
diting Standard
2012 - Certificate in United National Board of Auditors
(UNBoA) Training
2013 - International Public Sector Accounting Standards
(IPSAs)
EPICOR Accounting System
Risk Based AUDIT Approach
2014 - Certificate of Audit of Budget and Procurement in
United Nations Peace keeping Operations
2016 - Overview of Tax Laws
2012 - Certificate Applications of IPSAS in Enhancing
Audit of Accrual Based Financial Statement

SIFA ZA ZIADA ZA MAREHEMU


 Mcheshi

 Mbunifu na mtu mwenye maono

 Mwajibikaji katika shuguli za maendeleo

 Mwenye utayari wakati wowote katika utatuzi wa changamoto


zozote zilizojitokeza

4
NCHI ALIZOTEMBELEA MAREHEMU KIKAZI AKIWA
CHINI YA CAG
Marekani, Canada, Italy, Ubelgiji, India, Brazil, Ethiopia, Africa
kusini, Kenya, Democratic Republic of Congo (DRC), Zimbabwe,
Somalia na Cameroon ambapo mauti yalimkuta.

UTUMISHI KANISANI
Geofrey Lawrence Makonyu aliwai kuwa kiongozi wa kanisa katika
vipindi
tofauti tofauti ambapo mpaka umauti unamkuta alikuwa ni Mzee wa
kanisa la Mennonite jimbo la Upanga dayosisi ya mashariki.

NDOA
Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alifunga ndoa na Bi Kezia
Amos Ngoya tarehe 24/03/2007 katika kanisa la Mennonite shirati
jimbo la shirati. Marehemu pamoja na mke wake walibarikiwa kupata
watoto wanne (4) ambao ni; Rebecca Geofrey Makonyu, Jenipher
Geofrey Makonyu, Jovani Geofrey Makonyu na Ester Geofrey
Makonyu.

5
Familia ya Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu

Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu na Mke wake

6
KUUGUA NA KIFO:
Geofrey Lawrence Makonyu alisafiri kikazi YOUNDE nchini
Cameroon tangu tarehe 27/03/2023 akiwa mwenye afya njema, na
aliwasiliana na familia yake masaa mawili (2) kabla ya mauti
kumkuta tarehe 05/04/2023. Kwa taarifa iliyotolewa na mfanyakazi
mwenzake waliesafiri nae kutoka hapa nchini alisema kuwa mara
baada ya kutoka kazini marehemu alikua mzima na hakukua na dalili
zozote za kuumwa kwa siku ile lakini mara tu baada ya kufika
mlangoni mwa chumba aliyofikia wakati anafungua mlango wa
chumba chake ndipo alipodondoka chini na kupoteza fahamu
alipozinduka alimuomba yule mwenzake amuombee, baada ya
maombi hali yake ilibadilika ndipo alipokimbizwa Hospital alikata
roho ikiwa ni muda wa saa nne (4) usiku.

KAULI ALIYOPENDA KUTUMIA MAREHEMU

Marehemu Geofrey Lawrence Makonyu alipenda kutumia kauli ya


“EE MUNGU WANGU NISAIDIE” katika nyakati tofauti tofauti
za maisha yake.

7
TAMKO LA MCHUNGAJI
LAWRENCE SAID MAKONYU
Mambo matatu yaliyonishinda kupambanua

 Nitakufa lini – Anatho karang’o


 Nitakufa kifo gani - Tho mane maenonega
 Nitafia wapi – Anatho kanye

YEREMIAH 15:1-2, 8,9:16:4,6-7

8
Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa, Naam, Asema
roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa
matendo yao yafuatana nao

UFUNUO 14:13

9
Mwanangu hatarudi nilipo mimi bali mimi ndiye
nitakae enda kwake yeye, AMINA.

2 SAMWELI 12:18-23

10
Heri wafu wafao katika bwana tangu sasa.
Naam ,Asema roho, Wapate kupumzika
baada ya taabu zao: kwa kuwa
matendo yao yafuatanao

UFUNUO 14:13

11

You might also like