You are on page 1of 1

IDARA YA VIJANA MARA CONFERENCE

FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA KATIKA KLABU YA


WATAFUTA NJIA (PFC)
(Ijazwe na Muombaji Akisaidiwa na Mzazi/Mlezi/Kiongozi)

Jina Kamili ………………………………………………….. Kanisa …………………………


Mtaa …………………… Mchungaji wa Mtaa ……………………………………………………
Mzee wa Kanisa ……………………… Namba yako/Mzazi/Mlezi ya simu
…………………………….. Tarehe ya Kuzaliwa ……………………… Umri …………….

Mimi …………………………………………………..,napenda kuomba kujiunga


katika chama cha watafuta njia kanisa la
…………………………………………………… Nitahudhulia Mikutano, Hiking, Kambi,
Ziara, Mikutano, Mafunzo, Semina, Shughuli za umishionari, na kufanya shughuli
zote nitakazoombwa kufanya na chama cha Watafuta Njia/kanisa kwa ujumla.
Sambamba na hayo na haidi kujishughulisha na huduma za idara ya vijana
kikamilifu na ninakubali kuongozwa na kanuni za chama, kusudi, moto, sheria
na ahadi ya Idara ya Vijana kwa ujumla katika upatanifu na mafundisho ya
Biblia na Roho ya unabii.

Onesha uzoefu wako kwa kujaza taarifa sahihi katika huduma za vijana.
Nimemaliza madarasa haya:
No. WAVUMBUZI √ TAREH No WATAFUT √ TAREHE
E . A
1. Mwana kondoo (4) 1. RafikiNJI
(10)
2. Kinda la awali (5) 2. Mwenzi (11)
3. Nyuki wa Shughuli (6) 3. Mgunduzi (12)
4. Mwali wa Jua (7) 4. Msimamizi (13)
5. Mjenzi (8) 5. Msafiri (14)
6. Mkono wa Msaada (9) 6. Kiongozi (15)

IMETHIBITISHWA NA MZAZI/MLEZI: Tumesoma mahitaji ya uanachama katika


klabu ya Watafuta Njia na hapa tunathibitisha kwamba
…………………………………………….. (Jina la Mtoto), amefikia umri wa miaka
…………… tunapenda ajiunge katika chama cha watafuta njia kwa ajili ya
utumishi na wokovu wake katika Kristo. Kama mzazi/mlezi,
ninahaidi/tunahaidi kumpatia mahitaji yote yatakiwayo katika chama na
kumuruhusu kujishughulisha na huduma zote za wavumbuzi kwa ajili ya Yesu.

NINA SARE CLASS A (NDIYO/HAPANA) ……………………………………………


NINA SARE CLASS B ((NDIYO/HAPANA) ………………………………………………………
SAHIHI YA MUOMBAJI
………………………………………………………………………………. ADA IMELIPWA
(NDIYO/HAPANA)……………………………TSH……………..TAREHE…………………
SAHIHI YA MHAZINI ………………………………………………

SAHIHI NA MUHURI WAKANISA ………………………………………………………………


………………………………………………….TAREHE…………………………………………
IMEIDHINISHWA NA IDARA YA VIJANA KONFERENSI YA MARA

You might also like