Professional Documents
Culture Documents
ISBN 978-1-56592-479
Nkukurah. D Page 0
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
YALIYOMO
SHUKRANI .................................................................................................3
UTANGULIZI .............................................................................................4
0I. MAANA YA UNABII NA AINA ZAKE .............................................5
01:1. Nabii ni Nani? ..................................................................................5
01:2. Aina za Unabii .................................................................................5
01:2:1. Unabii wa Kweli ........................................................................5
01:2:2. Unabii wa Uongo.......................................................................6
02. UNABII ULIOKWISHA KUTIMIA ....................................................8
03. UNABII WA WAKATI WA MWISHO .............................................11
03.1. Mnyama wa kwanza (Simba) au kichwa cha dhahabu kwenye
sanamu[Dan.2:32] ...................................................................................12
03.2. Mnyama wa pili (Dubu) au kifua na mikono ya fedha .................12
03.3. Mnyama wa tatu (Chui) au tumbo na kiuno cha shaba .................12
03.4. Mnyama wa nne (mnyama wa kutisha) [Dan.7:7-8], au miguu ya
chuma [Dan 2:33] ...................................................................................12
03.5. Mnyama wa tano; pembe iliyozuka na kuziangusha pembe tatu
mbele yake ..............................................................................................15
03.6. Mnyama wa sita .............................................................................15
03.7.Mnyama wa saba, ...........................................................................16
04. UNABII WA DANIEL7:25 .................................................................20
04.1. Je, kanisa la Rumi wanahusianaje na unabii wa Daniel7:25? ..........20
04.2. Nukuu .............................................................................................21
05. JE, WAPROTESTANTI (wakristo wengine) WANASEMAJE? .......25
05.1. Nukuu .............................................................................................25
05.1.1 Lutheran Free Church: ..............................................................25
05.1.2. Protestant Episcopal: ...............................................................26
05.1.3. Presbyterian: ............................................................................26
Nkukurah. D Page 1
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 2
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
SHUKRANI
Nkukurah. D Page 3
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
UTANGULIZI
Nkukurah. D Page 4
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Kabla ya kujifunza UNABII huu kwa undani kwanza tujue tafsiri yake;
“Na maono ya hizo nyakati za jioni na asubuhi yaliyosemwa ni kweli;
lakini wewe yafunike maono hayo; maana ni ya wakati ujao baada ya
siku nyingiӠ (Daniel 8:26).
Hivyo kwa kusoma Daniel 8:26 twaweza kujua maana ya neno
unabii.Neno unabii umaanisha maono ya kiroho ya mambo yajayo.
01:1. Nabii ni Nani?
Nabii ni mtu wa jinsi yoyote (ke/me) mcha Mungu, kwake huyo MUNGU
akipenda kumtumia hujifunua katika maono ya wakati uliopo na wa
baadaye, au Nabii ni mtume wa Mungu kwa kusudi la kuwapa watu
mafunuo ya mambo yajayo.
Mfano; nabii Hulda [2 Wafalme 22:14-20], Isaya, Daniel, Yohana na
wengine.
01:2. Aina za Unabii
Zipo aina kuu mbili za unabii nazo ni:-
(a) Unabii wa kweli.
(b) Unabii wa uongo.
Kama ndivyo, je twawezaje kuzitofautisha nabii hizi?
01:2:1. Unabii wa Kweli
Chimbuko la unabii huu wa kweli ni MUNGU.
Biblia takatifu inayo majibu sahihi kama ifuatavyo;
“Kisha (MUNGU) akawambia, akiwapo nabii kati yenu, Mimi BWANA,
nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndotoӠ (Hesabu
12:6)
Unabii wa kweli ni lazima utimie sawasawa na jinsi ulivyotabiriwa katika
muda uleule bila kukosea.
-mfano:- 1. Nabii Isaya anaoneshwa maono ya;
Nkukurah. D Page 5
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 6
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 7
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 8
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 10
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 11
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 12
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 13
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 14
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 16
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 17
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 19
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Soma Daniel 7:24, “Na habari za zile pembe kumi, katika ufalme huo
wataondoka wafalme kumi; na Mwingine ataondoka baada ya hao; naye
atakuwa mbali na hao wa kwanza; naye atawashusha wafalme watatu”
Nkukurah. D Page 21
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
4. “God simply gave his (catholic) church the power to set aside
whatever day or days, she would deem suitable as Holy Days. The church
chose Sunday, the first day of the week, and in the course of time added
other days, as holy days.”
“Kanisa Katoliki lilipewa uwezo na Mungu wa kutenga siku yoyote, na
kuifanya kuwa takatifu. Hivyo Kanisa liliichagua Jumapili siku ya kwanza
ya Juma, na kwa kadri ya muda kanisa liliongeza siku zingine na kuziita
takatifu, mfano Jumatano ya majivu.”
- Vincent J.Kelly, Forbidden Sunday and Feast-Day Occupations,
page 2.
5. “Protestants….accept Sunday rather than Saturday as the day for
public worship after the catholic church made the change…… But the
protestant mind does not seem to realize that……in observing the Sunday,
they are accepting the authority of the spokesman for the church, the
pope.”
“Waprotestanti (wakristo wengine) wanaikubali Jumapili badala ya
Jumamosi kama siku ya ibada baada ya kubadilishwa na kanisa
Nkukurah. D Page 22
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 23
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 24
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 26
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
05.1.6. Methodist: “It is true that there is no positive command for infant
baptism. Nor is there any for keeping holy the first day of the week. Many
believe that Christ changed the Sabbath. But, from His own words, we see
that He came for no such purpose. Those who believe that Jesus changed
the Sabbath base it only on a supposition.”
“Ni kweli kuwa hakuna andiko linaloagiza ubatizo wa watoto
wachanga. Pia hakuna utakatifu wa siku ya kwanza ya juma. Watu wengi
uamini kuwa Kristo alibadili Sabato.Lakini katika maneno yake, tunaona
Yesu hakuja kwa kusudi hilo.”
- Amos Binney, Theological Compendium, pages 180-181.
05.1.7. Episcopalian: “We have made the change from the seventh day
to the first day, from Saturday to Sunday, on the authority of the one holy,
catholic, apostolic church of Christ.”
“Tumekwisha kufanya badiliko kutoka siku ya saba kwenda siku ya
kwanza, kutoka Jumamosi kwenda Jumapili, kwa mamlaka ya mtakatifu
mmoja, Katoliki, kanisa la Kitume la Kristo.”
- Bishop Symuor, Why we keep Sunday.
Nkukurah. D Page 27
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 28
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Kauli hizi nzuri hutoa utambulisho wa kanisa kwa watu wa Dunia hii
kujua kuwa alama/chapa ya kanisa Katoliki ni siku ya Jumapili.
06:2.Hesabu Yake; 666.
“Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, aihesabu hesabu ya
Mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia
sita sitini na sita” [Ufun. 13:18].
Fungu hili la kitabu cha Ufunuo linatoa angalizo kwa watu ili waweze
kumtambua mnyama huyu, tena linabainisha kuwa hesabu iliyotumika ni
hesabu ya kibinadamu ambayo inahitaji tu, hekima na akili.
Katika kofia ya Papa kulikuwa na mshipi wenye maandishi haya;
VICARIUS FILII DEI, ambayo yaliandikwa kwa Lugha ya Kilatin
(Kirumi).Maneno haya matatu hutoa hesabu ya Ufun.13:18 yaani, 666.
Soma nukuu ifuatayo toka Biblia ya Kikatoliki;
“Fungu la 18 Ufunuo sura ya 13, linaonesha hesabu hiyo ya mnyama
kuwa ni 666. Herufi za jina lake hutoa hesabu kamili ya namba;666”
-The Douay (Catholic) Bible.
“Njia iliyotumika katika hesabu hii ni ile ya GHEMATRIA ya kirabini,
ambayo uchukua kila herufi na kuipa namba yake ya kihesabu;na hivyo
njia hii hutoa hesabu 666 sawasawa na jina lake.”
-Marvin R. Vincent, D.D., Word Studies in the N. T., Notes on
Revelation 13:18
Ili kujiridhisha na kuyaondoa mashaka yote ya njia hii, tutatumia Lugha
tatu za kiunabii yaani,Kiebrania Kirumi na Kiyunani kama ilivyoandikwa
katika Yohana, 19:20 “Basi anwani hiyo waliisoma wengi
katikaWayahudi; maana mahali Pale aliposulibiwa Yesu palikuwa karibu
na mji; nayo iliandikwa kwa Kiebrania,na Kirumi,na Kiyunani.” Lugha
Nkukurah. D Page 29
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
hizi tatu hutupa hesabu sawa ya 666 kwa jina hili VICARIUS FILII
DEI, tuangalie vile maneno haya hutoa hesabu hii.
06:3. KWA HESABU YA KIRUMI….LATIN
V………………..5
I………………...1
C……………..100
A……………......0
R……………......0
I………………...1
U……………......5
S……………......0
112
F……………......0
I………………...1
L………………50
I………………...1
I………………...1
53
D……………..500
E………………..0
I……………......1
501
= 666
Nkukurah. D Page 30
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
……… ר..200
………… ו...6
………מ....40
…………י.10
…………י.10
………ת..400
= 666
Nkukurah. D Page 31
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Ufunuo 17:11; “Na yule mnyama aliyekuwako naye hayuko, yeye ndiye
wa nane, naye ni mmoja wa wale saba, naye aenenda kwenye uharibifu.”
07:1 Ni Kwa namna ipi mnyama wa tano atakuwa na nguvu tena?
Kama tulivyokwisha kujifunza huko nyuma mnyama huyu wa tano
alitumia mbinu mbalimbali na kufanikiwa kuingia madarakani. Alikatilia
mbali ibada ya Biblia na kuanzisha ibada yake, alifanikiwa kuwatesa na
kuwaua wakristo walioendelea na ibada ya Biblia.Alifanikiwa kabisa
kuangamiza ibada zingine, hivyo katukuka na hata kunena kinyume chake
aliye juu.
Daniel 7:25; “Naye atanena maneno kinyume chake aliye juu, naye
atawadhoofisha watakatifu wake aliye juu; naye ataazimu kubadili
majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati
mbili na nusu wakati.”
Mnyama huyu wa tano alitawala kipindi cha muda wa miaka 1260, [538-
1798 AD]. Nguvu zake zilianza kufifia baada ya kuanza kwa
matengenezo (Protestantism); [1517 AD]. Mwaka 1798 Papa akiwa
gerezani alikufa, (jeraha la mauti) na kupisha mnyama wa sita.
Mnyama huyu anayo mikakati anayotumia ili kurudi tena, mojawapo ya
mikakati yake ni kama ifuatavyo:-
07:1:1. Kumtumia mnyama wa saba.
Ufunuo 13:11-12, “Kisha nikaona mnyama mwingine akipanda juu
kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa
mwanakondoo, akanena kama joka. Naye atumia uwezo wote wa yule
mnyama wa kwanza mbele yake. Naye aifanya Dunia na wote wakaao
ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la
mauti lilipona. †”
Nkukurah. D Page 32
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 33
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 34
WITO MKUU -Kweli Nyuma ya Pazia 2010
Nkukurah. D Page 35