You are on page 1of 2

FOMU YA MCHANGO YA KWAYA YA MT.

YOSEPHU BABA MRISHI


WA YESU KIGANGO CHA SANZA PAROKIA YA SANZA 7/7/2020

LENGO KAMILI NI KUTOA MKANDA WA NYIMBO (AUDIO) KABLA


YA MWEZI WA KUMI MWAKA HUU HUU

NDUGU……………………………………………….
Husika na soma tajwa hapo juu
Sisi wanakwaya ya mtakatifu Yosephu Baba Mrishi
Wa Bwana wetu Yesu Kristu tunayo furaha kubwa
Kukuomba (kuwaombeni) muweze kutuchangia kiasi chochote ili tukarekodi
nyimbo kwa ajili ya kuitangaza parokia yetu kwa uinjilishaji wa nyimbo za
kanisani. Tunakuomba utuongezee na ndugu,marafiki wasiopungua tisa. Asante
NO MAJINA KIASI
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

1. SAHIHI YA BABA PAROKO ……………………………………


2. SAHIHI YA MW/ PAROKIA ……………………………………..
3. SAHIHI YA MW/ KIGANGO…………………………………….
4. SAHIHI YA MW/ KWAYA…………………………………………

You might also like