You are on page 1of 7

4TH SUNDFAY OF LENT.

ORDER OF MASS.

ENTRANCE

BWANA UNIHIFADHI MIMI

Bwana, unihifadhi mimi,


Nakulilia wewe mchana kutwa.
1. Unisikilize, maana mimi ni fukara, ee Bwana.
2. Wewe ni Mungu wangu, unionee huruma, ee Bwana.
3. Mimi ninakulilia, mchana kutwa,ee Bwana
4. Wewe u mwema, na mwenye huruma, ee Bwana.
5. Umejaa upendo, kwa wote wanaokuomba, ee Bwana.
6. Usikie sala yangu, uangalie kilio changu, ee Bwana.
7. Siku za tabu, nakuita, ee Bwana.
8. Hakuna Mungu, aliyekama wewe, ee Bwana.
9. Hakuna awezaye kufanya, unavyofanya wewe, ee Bwana.

UTUHURUMIE (MISA CENTINARY)

{ Utuhurumie ee Bwana ee
Ee Bwana (tuhurumie) ee Bwana
Utuhurumie ee Bwana ee
eh eh eh - ee Bwana, eh eh eh - ee Bwana } *2

/s/ Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie


Uturumie ee, ee Kristu tuhurumie, ee Kristu tuhurumie
/a/ Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie, ee Kristu tuhurumie,
Eee Kristu ee Kristu, ee Kristu tuhurumie
/b/ Ee Kristu, ee Kristu, ee Kristu, ee Kristu,
Ee Kristu utuhurumie *2
/t/ Ee Kristu tuhurumie tuhurumie
Eeh eeh, Ee Kristu tuhurumie

Utuhurumie ee Bwana ee . . .
BIBLE PROCESSION

{Ting`o Muma aa ting`o Muma, ting`o Muma nalemo } *2

Nating`o muma nalemo,


Nating`o muma, nalemo, nating`o ang`o
{ Ting`o muma, ting`o muma
Ting`o muma, nalemo (nating`o ang`o) } *2

Naweyo chode nalemo,


Naweyo chode nalemo naweyo ang`o
{ Weyo chode, weyo chode
Weyo chode, nalemo (naweyo ang`o) } *2

Naweyo kong`o nalemo . . .

Naweyo magpiny nalemo . . .

Naweyo njaga nalemo . . .

Naweyo kwede nalemo . . .

Naweyo kwalo nalemo . . .

GOSPEL ACCLAMATION

Maneno yote ya injili mitume tangazeni kote duniani………….x2

Haya sasa fungueni maskio, haya sasa fungueni maskio maneno ya injili
yaenezwe….x2

Yesu aliwaambia mitume……………….x2


OFFERTORY COLLECTION

Nitakwenda Mimi Mwenyewe

Nitakwenda mimi mwenyewe, nikatoe sadaka kwa Bwana


{ Aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi
Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu
Kwa kuniumba hadi nikapendeza } *2

Kaniumba kwa mfano wake, kuliko viumbe vingine


Na sasa nikatoe shukrani

Vyote nilivyo navyo ni vyake, nimrudishie kwa mapendo,


Na sasa nikatoe shukrani

Mema mengi amenijalia, ya mbinguni na duniani


Na sasa nikatoe shukrani

(Siku zote wanilinda vyema, wanitunza na kunijali


Na sasa nikatoe shukrani)

OFFERTORY PRESENTATION

SADAKA ZETU TWAZILETA

Sadaka zetu twazileta, Baba uzipokee *2


Bariki yote mali yako, Baba uzipokee

{ (Eeko) Twakutolea, twakutolea


Twakutolea vyote ni mali yako } *2

Mazao yetu twayaleta . . .

Mkate wetu twauleta . . .

Divai yetu twaileta . . .

Na fedha zetu twazileta . . .


SALA YANGU IPAE MBELE ZAKO

Sala yangu ipae mbele yako Bwana * 2


{ Kama moshi wa ubani altareni,
Na kuinuliwa kwa mikono yangu
Iwe kama sadaka, sadaka ya jioni } * 2

Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu,


Pamoja na maisha ya kila siku.

Uwe radhi kuipokea sadaka yetu,


Kama zile za mababu wa zamani.

Hivyo sadaka ifane mbele zako Bwana,


Na iwe sadaka ya shukrani kubwa.

Nasi utubariki maisha yetu yote,


Na mwisho utujalie heri yako.

MTAKATIFU (MISA CENTINARY)

Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu
Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi *2

Mbingu na dunia zimejaa utukufu


Mbingu na dunia, mbingu na dunia
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako

{ Hosanna juu, hosanna juu


Hosanna juu, hosanna juu mbinguni } *2

Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina


Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana
Ajaye kwa jina la Bwana
SIGN OF PEACE

AMANI YAKE BWANA ISAMBAE

1. Amani yake Bwana isambae Bwana mioyoni mwetu daina milele


2. Upendo...
3. Neema...
4. Baraka...
5. Fadhili...
6. Faraja

MWANAKONDOO

(Mwanakondoo wa mungu uondoaye dhambi za ulimwengu utuhurumie ..x2

Ee mwanakondoo mwana wa baba utuhurumie x2)]]x2

(Mwanakondoo wa mungu uondoaye dhambi za ulimwengu utupe


amani ..x2

Ee mwanakondoo mwana wa baba utupe amani..x2)

HOLY COMMUNION

KAMA AYALA- FR CLEMENT MUGASH

kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo ninavyokuonea kiu Mungu
wangu x2

1. Ninatamani kushibishwa kwa mwili wakoBwana wangu, Ninatamani


kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangu
2.
3. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana-sishibishwi, Utanituliza nafsi
yangu Mungu-wangu uliye hai
4. Karibu Bwana moyoni mwangu niishikiekaristia ili nipate raha ya
kwelinikupendeze siku zote.

WATUMISHI WAKE BABA

Watumishi wake Baba wangapi waliopo


Wanakula na kusaza chakula chake Baba

Nami - Nami nataabika hapa


Nashi - Nashiriki na nguruwe
Chaku - Chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
Nita - Nitarudi na kusema
Baba - Baba yangu nisamehe
Nime - Nimekosa kwake Mungu, na mbele yako Baba
Baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
Akakimbia kumlaki kamkumbata na busu

Baba sistahili tena kuitwa mwana wako


Unifanye kama mmoja wa watumishi wako

Baba yangu nimekosa ninaomba huruma


Unisamehe nirudi nikakutumikie

Wanikaribisha mimi kwenye karamu yako


Meza imeandaliwa inaningoja mimi

THANKSGIVING

YESU ASANTE SANA


Yesu asante sana - Yesu asante sana *2
Kujifanya chakula - kujifanya chakula
Kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo *2

Wewe ndiwe chetu chakula cha uzima,


Kinatushibisha Yesu asante

Kila tunapokula mkate huu,


Tunapata uzima wa milele

Kila tunapokunywa kikombe hiki,


Tunapata uzima wa milele

Yesu aliwaosha wanafunzi wake,


Akawapa mfano wafanye vilevile

Alituamuru tufanye hivyo kwa ukumbusho,


Wa mwili na damu yake

Tunapofanya hivyo kwa moyo safi,


Twatangaza kifo cha Bwana wetu

Hapa duniani tunaishi kwa karamu,


Mbinguni tutaishi daima na Baba

EXIT

GOD OF MERCY AND COMPASSION

You might also like