You are on page 1of 21

1

HYMNE DU CONGRES EUCHARISTIQUE


1. DJAMA EKLEZIA NDOGO KATIKA SAFARI YAKE
HAPA DUNIANI UKARISTIA INATUPATIA NGUVU
MPYA, UPATE KUWA MAKAO YA KINARA CHA
MUNGU DUNIANI, UPATE KUWA MAKAO YA
KINARA CHA MUNGU DUNIANI.
UKARISTIA FUMBO LA IMANI NA LA WOKOVU
WETU; JAMAA ZETU ZINA ITWA WAKATI WA
MAGUMU, KUPATA NDANI HUMO MWANGAZA
NA AMANI KATIKA SACRAMETA HIYO YAKI
TULIZO.

REF/ UKARISTIA FUMBO YA KUSADIKI;


UKARISTIA FUMBO YA KUSADIKI.
UKARISTIA FUMBO YA KUSHARIKIA; UKARISTIA
FUMBO YA KUSHARIKI
UKARISTIA FUMBO YA KUISHI, UKARISTIA
FUMBO YA KUABUDU.
2. NDANI YA JAMAA YAKIKRISTU, UKARISTIA
UNALISHUA NA KUKINGA NI SACREMETA YA
WENYI KUWA NA HAMU KWETU SISI NI ALAMA
YA MAPENDO NA REHEMA, MAPENDO NA
REHEMA ISIMO NA MIPAKA.
JAMAA YA MUNGU UMWABUDU YESU NDANI YA
UKARISTIA YEYE A LIJITOLEA KWETU SISI
WAKOSEFU, TUNA UNGAMA NAYE KATIKA
UKARISTIA KWAMA ISHA YETU MPAKA UZIMA
WA MILELE.
3. EKLEZIA JAMAA YA MUNGU YA INCHI YETU YA
CONGO USIFU UTATU MTAKATIFU, MTAKATIFU
KWA BABA, ALITU POKEYA KAMA WANA WAKE,
KWA MWANA ALIYEJITOLEYA JUU YETU KWA
2

ROHO MTAKATIFU ANAYE TUTAKASA. AMEN


AMEN AMEN.
TUMWENDEE BWANA
Tumwendee Bwana aliye tualika kwake Tukusanyike hapa
1.Tujazwe mapendo: tukusanyikehapa
Tujazwe furaha:" " Tujazwe amani:"" Tujazweimani:""
2.Tuache fitina: tukusanyikehapa
Tuache ugomvi:" "Tuache uwivu:" "Tuache mabaya:""
3.Turudi kwa Baba: tukusanyikehapa
Tulishike neno:" " Tushikwe naneno:" "Tuone ukweli:""
4.Tusiwe wawivu: tukusanyikehapa
Tupewe juhudi:" "Tupewe uzima:" "Tuponyeshwe:""
5.Tutulize moyo: tukusanyikehapa
Tutulize njaa:" "Tutulize kiu:" "Tuonje umoja:""
6. Tuishi undugu: tukusanyikehapa
Tuunde Eklezia:""Tuishi na Mungu:""Aichi na sisi:""
NDUGU ZANGU NAWAITA (TB p. 21)
K. Ndugu zangu nawaita: twingie.
Kwani leo ni siku kuu: twingie.
Kwetu sisi : tuingie kwa shangwe kubwa
nyumbani mwake Mungu, tuingie (2x).
1. Ufalme wako uje hapa duniani, ee Yesu.
Kwa msalaba, utupe mapendo.
2. Uwape uhodari maskini, wazaifu.
Ni wewe matumaini, utuvute kwa Baba.
3. Ukusanye wandungu katika mapendo.
3

Kwa wewe Mungu Baba atupokee kwake.


TWIMBENI SHANGWE
Refrain: Twimbeni shangwe, shangwe kubwa (bis)
Naingiya nyumbani mwa Bwana
1. Bwana yesu mwenyi huruma, leo sisi twa kufikia (bis),
mbele ya mlango wako (bis)
2. Twatamani ku kungamiya makosa yetu ya jumaa iyii (bis),
kwani tutaondolewa (bis)

LELO ESENGO A E
R/ Lelo esengo a e, esengo (2 x)
Nzambe tokoyembela a yo
Nzambe biso to ye lelo na esengo a e
1. Batata esengo a e, esengo (2 x)
2. Bamama esengo a e, esengo (2 x)
3. Bilenge esengo a e, esengo (2 x)
4. Bankumu esengo a e, esengo (2 x)
5. Basango esengo a e, esengo (2 x)
6. Bakristu esengo a e , esengo (2 x)
WA BABA INGIENI
- Wa baba : ingiyeni nyumbani mwake bwana wa
- Wa mama
- Wa zee
Kwa shangwe tumwimbie nyimbo nzuri.
1. Nalifurayi wakinyambia Twende nyumbani mwa Bwana Mungu
wetu (2x)
2. Ninasimama kwa kumwendea Mumbaji wa vyote tunavyo
duniani (2x)
4

3. Kweli kwa furaha tulitukuze jina lake Bwana kwani ye ni


mwema (2x)
4. Bwana mapendo Bwana huruma tunakuja kukwabudu tupokee
(2x)
WANDUGU TWINGIYE KWA YAHWE

Refrain: (Wandugu) x2 Twingiye e kwa Yahwe twingiyee 2x


1. Twingiye ili tumuombe Bwana yeye wa mapendo
2. Twingiye ili tumuombe Bwana yeye wa furaha
3. Twingiye ili tumuombe Bwana yeye wa amani.
TUINGIE WOTE NA FURAHA
K. Tuingie wote na furaha Nyumbani wake Bwana x2
1.Bwana Mungu anatungojea, tumsifu(tumusifu)
Nashangwenafuraha.
2. Ewe baba,achakaziyako,tuingie,tumsifu (tumusifu)
Na shangwe na furaha.
3.Ewe Mama na watoto wako,tuingie,tumsifu (tumusifu)
Na shangwe na furaha.
4.Nyinyi ndugu na rafiki zenu,tuingie,tumsifu (tumusifu)
Na shangwe na furaha.
5.Sisi wote Mungu atupenda,tuingie,tumsifu(tumusifu)
Na shangwe na furaha.

KARIBUNI WOTE
K. Karibuni wote: karibuni wote karibuni ndugu ee
Ee ingiyeni na furaha kubwa (wandugu) nyumbani wa Bab'etu
x2
1. Nalifurahi sana waliponyambia twende kwa Bwana.
2.Sasa miguu yetu ya simama katika wanja la Bwana.
5

3.Tunaomba amani kwa ajili ya ndugu rafiki zetu.

DIEU EN ATTENTE

Réf : Entrez Dieu est en attente, sa maison est un lieu pour la paix.
Goutez: Dieu est en partage, sa table est un lieu pour se
donner.
1.Vous êtes le peuple de Dieu: Pierres vivantes de son Eglise.
Traces brûlantes de son passage, jetant les grains de l’Evangile
2.Vous êtes le peuple de Dieu: Marques vivantes de son visage.
Signes visibles de sa tendresse, portant les fruits de l’Evangile.
3.Vous êtes le peuple de Dieu: Fêtes vivantes de sa promesse.
Pages ardentes de sa Parole, jouant les mots de sa musique.

BWANA AMEWALISHA

Bwana amewalisha ngani bora,


Na amewashibisha na asali ya mwambani.
1. Mshangilieni Mungu aliye Muumba wenu
Mpigieni kelele za shangwe

NAMUNGAMIA MUNGU MWENYEZI


Namungamia Mungu Mwenyezi nanyi ndugu zangu
Kama nimefanya zambi tele kwa mawazo, kwa maneno, kwa
matendo
Na nilipo acha mapashwa yangu, (kosa langu) x3 kubwa sana.
Ndiyo maana namuomba Maria mtakatifu bikira siku zote
6

Malaika na watakatifu wote


Na ninyi ndugu zangu kuniombea kwa Bwana Mungu wetu.

KYRIE (EN LINGALA)


Mokonzi limbisa masumu na biso,yokela biso mawa,
Kristu limbisa masumu na biso,yokela biso mawa ,
Mokonzi limbisa masumu na biso  yokela biso mawa.

SIFA KWA MUNGU


K. Sifa kwa Mungu juu mbinguni x2
Na Amani duniani (kwa watu anaowapenda wapenda)x2
1. Tunakusifu / Twakushangilia Tunakwabudu / Twakutukuza
Twakushukuru / Twakuheshimu Kwa ajili / ya sifa yako .
2. Bwana Mungu / Mfalme wa mbingu Mungu Baba / Ni mwenyezi
Yesu Kristu / Mwana wapekee Mwana kondoo / Wa Mungu Baba.
3. Uondoaye / Zambi za dunia U u tu / hurumie Uondoaye / Zambi za
dunia Upokee / Ombi letu Unaye kaa / Kuume kwa Baba U u tu /
hurumie.
4. Kwa maana / wewe peke yako Peke yako / Mtakatifu
Peke yako / Mkuu Yesu Kristu Pamoja / Na Roho Mtakatifu
Katika / Sifa ya Mungu.

EE TAIFA LA MUNGU
K. Ee Taifa la Mungu umtukuze Bwana wako.
7

1. Umtukuze Bwana ee Yerusalemu, umsifu Mungu wako ee


sioni,
Kwani amekaza makomeo ya malango yako, amewabari waana
wako ndani Yako.
2. Ameweka amani katika mipaka yako, anakushibisha kwa unono
wa ngano.
Anapeleka neno lake duniani, neno lake linapiga mbio sana.
VOICI LE PAIN DES ANGES
1. Voici le pain des anges, le pain venu du ciel,
Il est le pain de l'homme, le vrai pain des enfants de Dieu,
Qui me nourrit jour pour jour.
2. D'avance il fut annoncé par Isaac en sacrifice
Par l'agneau pascal immolé, par la manne de nos pères,
C'est Jésus le pain de vie.
3. Ô bon pasteur notre source de vie, c'est toi notre vrai pain.
Ô Jésus le doux sauveur, fais-nous voir les biens éternels,
Nourris-nous de ton amour.

ACCLAMATION (ALLELUIA)
Réf: Alléluia Alléluia Alléluia
1. Moi, je suis le pain vivant, qui est descendu du ciel dit le
Seigneur
Si quelqu'un mange de ce pain vivra éternellement.
8

CREDO
Credo in unum Deum,
Patrem omnipotentem, factorem caeli et terrae, visiblium omnium, et
invisibilium.
Et in unum Dominum Yesum Christum, Filium Dei unigenitum.
Et ex Patre natum ante omnia saecula.
Deum de Deo, lumen de lumine, Deum verum de Deo vero.Genitum,
non factum, consubstantialem Patri : per quem, omnia facta sunt.
Qui propter nos homines et propter nostra salutem descendit de caelis.
Et incarnatus est de Spiritu Sancto et Maria Virgine : Et homo factus
est.
Crucifixus etiam pro nobis : sub Pontio Pilato passus, et sepultus est.
Et resurrexit tertia die, secundum scripturas.
Et ascendit in caelum : sedet ad dexteram Patris.
Et iterum venturus est cum Gloria judicare vivos, et mortuos: cujus
regni non erit finis.
Et in Spiritum Sanctum, Dominum, et vivificantem : qui ex Patre,
Filioque procedit.
Qui cum Patre et Filio simul adoratur, et conglorificatur : qui locutus est
per prophetas.
Et unam sanctam catholicam et apostolicam ecclesiam.
Confiteor unum baptisma in remissionem peccatorum.
Et expecto resurrectionem mortuorum.
Et vitam venturi saeculi. Amen.

SEIGNEUR ÉCOUTE NOUS


Seigneur écoute nous, Bwana utusikilize, Domines audi nos !
Mfumu wila beto, Nzambi utu'teleja, Nzambe yoka biso !
9

LUAYI NE MILAMBO
K. Luayi luayi luayi ne milambo
Luayi we : Bantu luayi ne milombo ya disanka nuenu bisamba
bia Maweja
Tulambule Mulopo tshipapayi kafukela muena
bantu x2
1. Tumulambulayi mampa ne mvinyo (lambulayi kanda kazadi)
Bienze mubindine mashi ya Kristo ( kafukela muena bantu)
2. Tumulambulayi tshiomba ne matala (lambulayi kanda kazadi)
Bualu yeye wakafuka byonso (kafukela muena bantu).
UMENIAMSHA MZIMA
1. Umeniamsha mzima, umenipa utukufu wako ee Mungu wako.
K. Sasa nitakupa nini Bwana x2 pokea mazao ya shamba langu.
2. Kazi naomba wanipatia, vyote naomba wanipatia si vya kulipa.
Sasa nitakupa nini Bwana (x4) Nikupe mazao ya shamba langu.
3. Umemtupa Mwana wako Yesu, awe malipo ya zambi zetu, Upendo
gani?
Sasa nitakupa nini Bwana (x4) Pokea shukrani ya waana wako.

TOLEA MUNGU WAKO

Tolea Mungu wako tolea, ee tolea


Simama ndugu umtolee Mungu, tolea umtolee
Umtolee Mungu wako tolea, tolea alikupa
Mali
Kazi
Vyote
Umtolee yeye Baba wa uwezo
Yeye Baba wa mapendo
10

Umtolee Muumba wako mazao ya kazi yako.

SADAKA HII BORA


K. Bwana wangu nitakupa nini?
Takupa nini Bwana, takupa takupa nini
Vya dunia vyote ni vyako wewe
Mali yangu yote ni yako wewe.
1. Sadaka hii twakutolea, Baba,
uipikee kwako Baba muumbaji wetu.
2. Fuhura nyingi sana kwa watumishi wako
wanakutolea kweli, Baba, sadaka ya roho.

MALAIKA WA BWANA
Refrain : Malaika wa Bwana (Mungu),
Uchukuwe sadaka, upeleke mbele ya uso wa Mungu.
1. Ni mazao ya nchi yetu, na kazi yetu wanadamu. Malaika
2. Mkate mazao ya shamba, Divai tunda la mzabibu. Malaika
3. Ufikishe sadaka hii, karibu na kiti cha enzi. Malaika

MTAKATIFU (Saint Boniface)


Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu
1. Bwana Mungu wa ulimwengu
Mbingu na dunia zimejaa na sifa yako hozana
Réf: Hozana: (Hozana hozana hozana) juu mbinguni (bis)
2. Mbarikiwa anaye kuja
Anaye kuja kwa jina la Bwana Mungu hozana.
PATER NOSTRE
11

Pater noster, qui es in caelis, sanctificetur nomen tuum ;


adveniat regnum tuum ; fiat voluntas tua
sicut in caelo et in terra. Panem nostrum quotidianum
da nobis hodie, et dimitte nobis debita nostra,
sicut et nos dimittimus debitoribus nostris,
et ne nos inducas in tentationem sed libera nos a malo.
Amen.
AGNUS DEI (Messe de Saint Jean)
Agnus Dei, qui tollis peccata mundi : miserere nobis.
Agnus Dei, qui tollis peccata mundi : miserere nobis.
Agnus Dei, qui tollis peccata mundi, dona nobis pacem.

QUI MANGE MA CHAIR


Réf: Qui mange ma chair et boit mon sang, demeure en moi et moi en
lui.
Qui mange ma chair et boit mon sang, demeure en moi et moi en lui.
1. Si vous ne mangez pas la chair du Fils de l'homme
Vous n'aurez pas la vie en vous
Si vous ne buvez pas le sang du Fils de l'homme
Vous n'aurez pas la vie en vous
2. Je suis le pain vivant
Celui qui vient à moi n'aura plus jamais faim
Celui qui croit en moi
Plus jamais n'aura soif
3. Ma chair est une vraie nourriture,
Mon sang est une vraie boisson :
12

Si vous mangez ma chair, si vous buvez mon sang,


Au dernier jour je vous ressusciterai.
4. Le véritable pain du ciel,
C’est mon Père qui le donne.
C’est moi qui suis le pain de Dieu,
Le vrai pain qui donne la vie.

TU FAIS TA DEMEURE EN NOUS SEIGNEUR


R. Tu es là présent, livré pour nous.
Toi le tout-petit, le serviteur.
Toi, le Tout-Puissant, humblement tu t’abaisses.
Tu fais ta demeure en nous Seigneur.

1. Le pain que nous mangeons, le vin que nous buvons,


C’est ton corps et ton sang,
Tu nous livres ta vie, tu nous ouvres ton cœur,
Tu fais ta demeure en nous Seigneur.

2. Par le don de ta vie, tu désires aujourd’hui


Reposer en nos cœurs,
Brûlé de charité, assoiffé d’être aimé,
Tu fais ta demeure en nous Seigneur.

3. Unis à ton Amour, tu nous veux pour toujours


Ostensoirs du Sauveur,
En notre humanité, tu rejoins l’égaré,
Tu fais ta demeure en nous Seigneur.

NDIYO SAA TUMPOKEE MUNGU (TB p. 54)


13

Ndiyo saa tumpokee Mungu Mwana Katika mkate mweupe bora


na Safi Akaamo pasipo kuonekana Ajificha ni mfumbo lake
mwenyezi
1. Ni kwa mapendo amejificha humo
Ndio maana hatuone sura yake.
Twamupokea kama wana vipofu
Na kula mwili wake katika hostia.
2.Mkate huu ndio Mwili wake Mungu,
Na divai ndio Damu yake safi,
Vyote vyafanyiwa katika Umungu.
Ni mujiza mkubwa kwa sisi vipofu.
3.Tuungane kwa Mwili wa Yesu Kristu,
Masiha mwenyi kutungojea sisi.
Mlongo wa mbingu atatufungulia,
Tukifuata Neno lake asemalo.
4.Tumuombe, tumsifu kwa namna zote,
Hata popote atatusikiliza,
Sala zetu zikiwa na nia yake.
Mungu ni mwema tuimbeni sifa zake.

EKARISTIA NI CHAKULA
14

R. Ekaristia ni chakula, chakula cha uzima wa milele,


Ee mkate wa mbinguni shibisha roho zetu
1. Yesu mwokozi kashuka chini kwetu tukampokee
2. Maumbo haya, ni mwili wake Yesu twakiri zote
3. Ye-su mpe - nzi po - ke -a mo -yo wa - ngu na
mi- mi wa-ko
4. Ni - na ku -pe-nda, ku - li - ko naf- si ya - ngu
Mwoko- zi wa-ngu
5. Na- ku -a -bu -du, Ee Ye-su wa-ngu mwe - ma he-
ri ya mbingu

ROHO YA YESU.
 
R/ Roho ya Yesu unitakase
Mwili wa yesu unishibishe
Damu ya yesu unikombowe
Ee yesu Mwokozi wangu unisikie.
 
1. Ee Bwana mimi nakuja kukupokea
Unihurumie mimi mwenye zambi
Ee Bwana ninakuja.
2. Unilishe, ee Bwana, kwa mwili wako
Uninuishe, ee Bwana, kwa damu yako
Ee Bwana ninakuja.
3. Moyo wangu ni mregevu, Yesu, uniponye
Altereni pa ibada nakuomba
Ee Bwana ninakuja.
 
NZOTO NA MAKILA MA YEZU
Refrain: Nzoto na makila ma yezu e, bilei bya solo e;
toteleme banso mpe tolia e, nzoto ya mobikisi.
15

1. Evandi Yezu na bapostolo o meza, olobi na bango mingi,


atomboli miso epai ya Nzambe mpe abenisi mampa.
2. Abuki mampa mpe apesi na balei, alobi na bang oye ‘te :
ya mampa kamatani banso bolia, nzotomei ya ngai wana.
3.Asimbi nkeni mpe asambeli lisusu,Alobi na bangoy'ete;
Ya vinu kamatani banso, nkeni ya libikie
4.Bozui nde nzoto na makila ma bondeko, Bwa sika bwa
sekoe;
Sika wa bino mpe bosala se boye, mpo'ete bato bakika

NITU NA NGE, E MFUMU


K. Nintu na nge Mfumu x4
Mono ozola kutambula yo x2
1. Mampa ya zulu madia na beto
Mampa ya zulu (madia na beto) x2
2. Nitu ya Yezu madia na beto
Nitu ya Yezu (madia na beto) x2
3. Madia ya nzila, nzila ya zulu
Madia ya nzila (nzila ya zulu) x2
4. Nkisi ya nene, nkisi ya madia
Nkisi ya nene, (nkisi ya madia) x2
5. Nkisi ya nene, nkisi ya Kristu
Nkisi ya nene, (nkisi ya Kristu) x2
EE YESU MKATE WA MBINGU

K/ Ee Yesu Mkate wa mbingu, ninatamani uje kwangu wewe ni


uzima wangu heri ya roho yangu.
16

1. Uje chakula cha roho yangu, unilishe unishibishe


2. Uje mwana kondoo wa Mungu, uondoe zambi zangu zote
3. Uje munganga war oho yangu, uponye uzaifu wangu
4. Uje Ee Yesu rafiki yangu uungane name daima.

NI MIMI BWANA NAJONGEA

K/ Ni mimi, ni mimi, ni mimi, ni mimi Bwana


Najongea altere kwako Yesu
kupokea mwili na damu yako unilinde Yesu wangu x2
1. Kama we yesu auponye waponyaji wanafanya kazi ya bure;
Uniponye Yesu wangu
2. Kama we Yesu auchunge, wachungaji wanafanya kazi
bure;
Unichunge Yesu wangu
3. Kama Yesu aulinde, walindaji wanafanya kazi ya bure;
Unilinde Yesu wangu.

KAMA VILE
K/ Kama vile mwenye kiu anavyotamani maji
Roho yangu yatamani kuishi na Yesu milele.
1. Mwili wangu ni chakula ni chakula cha uzima
2. Damu yangu ni kinwaji ni kinwaji cha uzima.
17

3. Kaa mwangu Bwana Yesu unipatie uzima.

JESUS ADORAMUS TE
Jésus, adoramus te
Jésus, adoramus te, Jésus, adoramus te,
Jésus, adoramus te, adoramus te.
1- La vie s’est manifestée, dans la nuit la lumière a brillé.
Le Fils de Dieu nous est donné, nous sommes venus l’adorer.
2- Jésus, vrai Dieu et vrai homme, en Marie tu as pris notre chair,
Pour nous unir à ton amour, tu demeures au milieu de nous.
3- Jésus, Agneau immolé, nous contemplons ton cœur transpercé.
De ton côté jaillit l’Esprit, fleuve de vie qui purifie.

4- Jésus, Christ ressuscité, tu délivres chacun de la mort.


Ton corps de gloire est apparu, nous sommes venus t’adorer.

HYMNE DU CONGRES EUCHARISTIQUE


1. DJAMA EKLEZIA NDOGO KATIKA SAFARI YAKE
HAPA DUNIANI UKARISTIA INATUPATIA NGUVU
MPYA, UPATE KUWA MAKAO YA KINARA CHA
MUNGU DUNIANI, UPATE KUWA MAKAO YA
KINARA CHA MUNGU DUNIANI.
UKARISTIA FUMBO LA IMANI NA LA WOKOVU
WETU; JAMAA ZETU ZINA ITWA WAKATI WA
MAGUMU, KUPATA NDANI HUMO MWANGAZA
NA AMANI KATIKA SACRAMETA HIYO YAKI
TULIZO.
REF/ UKARISTIA FUMBO YA KUSADIKI;
UKARISTIA FUMBO YA KUSADIKI.
18

UKARISTIA FUMBO YA KUSHARIKIA; UKARISTIA


FUMBO YA KUSHARIKI
UKARISTIA FUMBO YA KUISHI, UKARISTIA
FUMBO YA KUABUDU.
2. NDANI YA JAMAA YAKIKRISTU, UKARISTIA
UNALISHUA NA KUKINGA NI SACREMETA YA
WENYI KUWA NA HAMU KWETU SISI NI ALAMA
YA MAPENDO NA REHEMA, MAPENDO NA
REHEMA ISIMO NA MIPAKA.
JAMAA YA MUNGU UMWABUDU YESU NDANI YA
UKARISTIA YEYE A LIJITOLEA KWETU SISI
WAKOSEFU, TUNA UNGAMA NAYE KATIKA
UKARISTIA KWAMA ISHA YETU MPAKA UZIMA
WA MILELE.
3. EKLEZIA JAMAA YA MUNGU YA INCHI YETU YA
CONGO USIFU UTATU MTAKATIFU, MTAKATIFU
KWA BABA, ALITU POKEYA KAMA WANA WAKE,
KWA MWANA ALIYEJITOLEYA JUU YETU KWA
ROHO MTAKATIFU ANAYE TUTAKASA. AMEN
AMEN AMEN.
KWA MEMA YOTE ULIONITENDEA
Intro: Kwa mema yote ulionitendea sina kitu cha kukupa ila
kukusifu wewe (bis)
Tamwimbiya Bwana wangu, tamutukuza muumba wangu.
Refrain: Nita mwimbia Bwana wangu nini , nitamwimbia Bwana
wangu sifa (bis)
Aksanti sana Bwana kwa wema wako, alleluia, alleluia shangwe,
shangwe, shangwe, shangwe, hozana juu mbinguni
1. Bwana wangu na kushangilia wewe ndiwe muumba wangu sifa
kwako
19

2. Nafurahi kwa maana ni mwema amenitendea mimi maajabu.

SAA YA KUMWIMBIA (MAAJABU YA BWANA INAONEKANA)


Inenea inenea, saa ya kumwimbia, saa ya kumchezea , saa ya
kumtukuza inenea , saa ya kumwabudu.
Saa ya Bwana inenea saa ya Bwana
Saa ya sifa inenea saa ya sifa
Ya vinanda ya vinanda
Na vinubi na vinubi inenea
Inenea majabubu ya Bwana imeonekana wazi wazi tutamwimbia kwa
vinanda, vinubi na ngoma na tarumbeta Mungu wetu , Mungu wetu
kweli ni wa kusifu : baba na mama, majabu yake , yeye ni mwema.

MAMA YANGU USINYACHILIE


Ref : Mama yangu usinyachilie, Peke yangu mimi sitaweza
Mama yangu usinyachilie,
1. Sop: Nguvu yako Mama twaijua,
Mama wa Mungu utusalimishe
Kweli kichwa cha nyoka umekifinyanga x2
2. Alto: Mama wa Yesu umejaa na neema,
Roho wa Mungu umekufunika
Ndipo zambi y'asili haitajwe kwako x2
3. Tenor: Mumateso hata mufuraha,
Mama Maria uwe kati yetu
Hata siku moja hukumwacha Yesu x2
4. Basse: Mchana usiku Mama uwe nasi,
kifuani mwake tujilaze
Ndoto nzuri twaona mikononi mwako x2
20

ULIUMBA MBINGU
1. Uliumba mbingu, uliumba dunia
Uliumba jua uliumba mwezi
uliumba nyota, ukaumba maji na ndege ee,
takutumikia Bwana wangu.
R/ wa salama, takutumikia Bwana wangu,Ee Bwana, takutumikia Yesu
wangu.Wa mapendo,
takutumikia Bwana wangu,Ee Bwana, takutumikia Yesu wangu.
a. Maisha yangu ninakupa mpaka wewe
Takutumikia Bwana wangu.
b. Magumu yangu ninakupa mpaka wewe
Takutumikia Bwana wangu.
c. Furaha yangu ninakupa mpaka wewe
Takutumikia Bwana wangu.
d. Mateso yangu ninakupa mpaka wewe
Takutumikia Bwana wangu.
e. Wazazi wetu tunakupa mpaka wewe Takutumikia Bwana
wangu.
f. Maisha yao tunakupa mpaka wewe
Takutumikia Bwana wangu.
2. Uliumba vyote, ukaumba mwanga,
Na ile mwanga ilikuwa mchana
Uliumba vyote ukaumba giza
Na ile giza ilikuwa usiku
3. Siku ya saba ukapumuzika Ukampa mtu uwezo wote
Wakutawala viumbe vyote,
Ee Bwana takutumikia, Yesu wangu.

A l’occasion de la messe de Clôture du 3e Congrès Eucharistique National en date du


dimanche 11/06/2023 par Son Eminence Cardinal LUIS ANTONIO TAGLE, Pro-préfet
du Dicastère pour l’évangélisation, envoyé de sa Sainteté le Pape François
Au stade T.P. MAZEMBE DE KAMALONDO
Jean Claude et Serge Nyembo sé /CDL
21

You might also like