Professional Documents
Culture Documents
Huruma Kuu Ya Mungu ?
Huruma Kuu Ya Mungu ?
i) ISHARA YA MSALABA
ii) NAKUUNGAMIA MUNGU MWENYEZI ...........
iii) SALA YA HURUMA KUU (Saa Tisa Mchana)
Ee Yesu uliyechoka mno, uliye . chimbuko la lJ .
. ika kwa ajili ya Roho, uhye bahari ya l_J Ztrna
ul1omwag D . . E n.Ururn
iliyofunguliwa kwa ajili ya. .um~ nziklllla:funik
w_e chernchern Ya
. Huruma ya Mungu 1s1yopun a u1
Uzima, e Dunia . a
. tu AMIN nz1Ill.a
na ujimwage lcabisa mioyom mwe . A.
lV.
·Baba Yetu ......... Salamu Maria x3 ...... , Nasadiki... .. ... .
Baba wa Milele ninakutolea Mwili na Damu, Roh
v. . B o na
Umungu wa Mwanao Mpenz1 sana, wana wetu Yesu T<-=
b. Ul' .i~.r1sto
Kwa kulipia dhambi zetu, na dham 1 za imwengu mzuna. '
(Kila Penye Punje Kubwa)
vi. Kwa ajili ya Mateso Makali ya Bwana Wetu Yesu Kristo
Utuhurumie Sisi na Ulimwengu m_zima (Kila Penye Punj~
Ndogo)
vii. Kumalizia..... Mungu Mtakatifu, Mtakatifu mwenye Enzi
Mtakatifu Unayeishi Milele Utuhurumie sisi na Ulimweng~
mzimax 3
M un gu il iy I-'. •
wote w en ye U ch ungu Moyoni
Huruma ya '
0 iara.,a ya
Tunakutumainia
14
a ya Mungu, iliyo Tumaini la Roho zinazosumb .
}-{UJ1lll1 U1lWa
na M}(ato wa Tamaa. Tunakutumainia
I-IUfU11la ya Mungu, iliyo Mwenzi wa Daima na Popote kwawatu
wote. Tunakutumainia
I-IUfU111a ya Mungu, inayowahi kutuletea Neema Zak~.
Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo Ama ni yao Wanaokufa.
Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo Burudisho na Faraja yao Marehemu
Toharani. Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo furaha ya Mbinguni kwa Watakatifu
wote. Tunakutumainia·
Huruma ya Mungu, iliyo Taji la Watakatifu Wote.
Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, chemchem ya Miujiza isiyokauka.
Tunakutumainia
Mwanakondoo wa Mungu uliyetuonyesha Huruma yako Kuu
Katika Kuukomboa Ulimwengu kwa Msalaba wako Mtakatifu
Utusamehe ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu unayejitolea kwetu kwa Mapendo na
Huruma katika KilaAdhimisho la Sadaka Ya Misa Takatifu.
Utusikilize ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu unayeondoa Dhambi za Ulimwengu
Kwa njia ya ~uruma yako isiyo na Mwisho. Utuhurumie