You are on page 1of 8

Katekisimo ya Kanisa

Pamoja na
Katekisimo ya Uaskofu

Kanisa Angli kana Tanzania

A Central Tanganyika Press


S.L.P. 1129, Dodoma
Cc;) Ka111s;i l.1 Anglibn� Taman1a

K11 nc.:l,.,pw,1 tt:na 1976, 1981, L98 3. 1986,


1990, 1991, l99\ 1995, 2001, 2005, 2007,
2010, 2012.

ff.: .. : 1 n:::; 9976 GG 292 4

Tyo

3 1vi
2. Tusome sehemu ya Neno la Mungu kila siku, au KATEKISIMO YA KANISA
kulisikia likisomwa kila siku, au kila tuwezapo.
3. Tuhudhurie katika ibada ya kanisa kila mara. YAANI
4. Tutufike mara nyingi kwa Ushirika Utakatifu. MAFUNZO YAMPASAYO KILA MTU AJIFUNZE,
5. Tutoe kadiri Mungu atufanikishavyo. KABLA HAJALETWA KUTHIBITISHWA NA ASKOFU
6. Tuangaziwe mwanga wa Mungu, ili wengine wauone
Swali.
katika maisha yetu.
7. Tulete wengine kwa mafundisho na ibada ya kanisa. JINA lako nani?
8. Tumjue Kristo na uwezo wa kufufuka kwake·. Jibu. (Taja jina la ubatizo.)
9. Tuvute wengine kwa ushuhuda wetu. Swali. Jina hilo ulipewa na kina nani?
Jibu. Wadhamini wangu, katika ubatizo wangu, nilipofanywa
kiungo cha Kristo, na mtoto wa Mungu, na mrithj ufalme wa
mbinguni.
Swali. Wadhamini wako walifanya nini kwa ajili yako wakati
Maonyo. ule?
Haitoshi kujua Katekisimo ya Kitabu cha Sala na Jibu. Waliahidi na kuweka nadhiri ya mambo matatu mahali
·
Katekisi tu hii ni ya kuanzia tu. lnampasa mtu aamini kwa moyo pangu. La kwanza, kwamba nilimkataa Shetani na kazi zake
zote, fahari na anasa zisizofaa za dunia hii mbaya, na tamaa
na kwa haki, na tusipo mjua Kristo kwa kumtambua mioyoni mbaya zote za mwili. La pili, kwamba nitaziamini sharti
mwetu kuwa ni Mwokozi wetu, hatutaingia kamwe katika zote za imani ya Kikristo. La tatu, kwamba nitayashika
utimilifu wa urithi wetu kama viungo vya Kristo, wana wa mapenzi na maagizo matakatifu ya Mungu, na kuenenda
Mungu na warithi wa Ufalme wa Mungu. katika hayo siku zote za maisha yangu.
Swali. Huoni, basi, kwamba imekupasa kuamini, na kutenda,
kama walivyoahidi kwa ajili yako?
Jibu.Hakika naona; na kwa msaada wa �.fongu nitatenda
hivyo. Nami kwa moyo wangu wote ti:,.m:;hukuru B.iba
yetu wa mbinguni, kwa sababu ameniita niirigie k.atika hali
hii ya wokovu, kwa Yesu Kristo Mwokozi wet'J. Tena
namwornba Mungu anikirimie neema yake, iii nipate
kuendelea katika hali hiyo hata mwisho wa maisha yangu.
3
14
KATEKISMO (c) Njia ya kupatia nguvu na kubt:rudika rohoni
(d) Shukrani kwa rehema zote za Mungu kwetu sisi.
'Mwalimu.
Serna sharti za Imani yako. 24. Iliyo sharti kabla ya kupokea Ushirika Utakatifu ni
Ji6u. nini?
NAMWAMIN1 Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba mbingu Kipa lma.."a
Kujipima moyo.
na nchi: Kuwa na toba la kweli la muyo.
Na Yesu Kristo, Mwana wake pekee, Bwana wetu, Kupendana na majirani.
•aliycchukuliwa mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu, Kukusudia kuishi maisha mapya na kuzitii amri za Mungu.
akazaliwa na Bikira Mariamu, akateswa zamani za Pontio, Kukumbuka kwa shukrani kifo chake Kristo.
akasulubiwa, akafa, akuzikwa, akashuka kuzimu; siku ya tatu
25. Agano la kikristo ni nini?
akafufuka, akapaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa
Maagano ya Mungu na watu kuwa atatusamehe dhambi
Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu
zetu zote, kutuhesabu wenye haki mbele yake kwa sababu
watu waliohai nao waliokufa.
ya kazi ya Kristo aliyoitenda kwa ajili yetu, kutupa uzirna.
Namwamini Roho Mtakatifu; Kanisa takatifu Katholiko; utakatifu,kujitoa maisha yetu kwake, atutawale.
ushirika wa watakatifu; ondoleo la dhambi; kufufuliwa kwa
mwili. na uzima wa milele. Amin. 26. Muhuri ya Agano ni nir,i?
Ubatizo, kuwa dalili kwamba tumekwisha kupatanishwa na
Swali. Umejifunza mambo gani makuu katika sharti hizo za Mungu.
imani yako? Ushirika Utakatifu kuwa dalili kwambu
twayakumbuka .
Jibu. Kwanza, nimejifunza kumwamini Mungu B aba, �
aliiyeniunba mimi, na ulimwengu wote. maagano yetu.
La pili, kumwamini Mungu Mwana, aliyenikomboa mimi, na Pia Mungu huwatia muhuri kwa Roho Mtakatifu wakristo
wa kweli wote.
wanadamu wote.
La tatu, namwamini Mungu Roho Mtakatifu, anitakasaye mimi, 27. Watu wa Mungu husaidiwa kwa njia gani?
na wateule wote wa Mungu. 1. Kwa msaada wa Roho Mtak.atifu akaaye mioyoni
Swali. Umesema ya kwamba wadhamini wako waliahidi kwaajili mwao.
yako kwamba utazishika Amri za Mungu. Niambie, ni ngapi
2. Kwa hlshirikiana na Bwana Yesu. Bwana yu pamoja
hizo?
nasi siku zote.
Jibu. Kumi
Swali. Nazo ni zipi? 3. Kwa msaada wa Mungu akijibu tnaombi yao. "Ewe
Jibu. Mungu 4nisaidie" huleta neema ya kufaa.
28. • Kanuni za maisha ya kikristo ni nini?
Ni zile alizozinena Mungu katika sura ya ishirini ya Kitabu
cha Kutoka, akisema, Mimi ni Bwana, Mungu wako, I. Tutnwombe Mungu kila siku kwa faragha na pamoja
niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. najamaa.
4 13
KATEKISIMO
I. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
18. Iliyo sharti kwa ubatizo ni nini?
2. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu
kufundishwa na kuiamini imani ya Krikristo kuziacha chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani,wala
njia na dhambi, na kufuata mapenzi ya Mungu. kilicho chini dunian�wala kilicho majini chini ya dunia.
19. Twaendeleaje katika kanisa? Usivisujudie wala kuvitumikia : kwa kuwa mimi ni Bwana
Kwakuwa katika neema na katika kumjua Bwana na Mungu wako ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana
Mwokozi wetu yesu Kristo. maovu ya Baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha
wanichukiao, nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na
kuzishika amri zangu.
Fadhili na nguvu za Mungu tupewazo. 3. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako maana Bwana
21. Njia nyingine ambazo Mungu hutubariki katika katika hatamhesabia kuwa hana hatia alitajaye jina lake bure.
neema yake. 4. lkumbuke siku ya sabato uitakase. Siku sita fanya kazi,
Kutubu na kuungama dhambi ili tupate kusamehewa. utende mamba yako yote, lakini siku ya saba ni sabato ya
Kulipokea na kulitii neno la Mungu tukilisoma kwa Bwana Mungu wako. Siku hiyo usifanye kazi wewe wala
kutafakari Sakramenti mbili alizoziamuru Bwana mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako,
Mwenyewe. wajamjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni
Ubatizo Utakatifu. aliye ndani ya malango yako. Maana kwa siku sita Bwana
Ushirika utakatifu yaani Chakula cha Bwana alifanya mbingu na nchi na bahari na vyote vilivyopo,
kuomba nyumbani pamoja na jamii yetu.
Faraghani mbele za Mungu. ukastarehe siku ya saba, kwahiyo Bwana akaibariki sik1 ya
Ibadani kanisani n ikishirikiana na wengine sabato akaitak.asa.
Kawaida za kipa Imara na na ndoa takatifu 5. Waheshimu baba yako na mama yako, siku zako zipate
Kumtii Mungu kuongezeka katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako.
Tukimtolea mali yetu kwa kazi zake. 6. Usiue
7. Usizini
Kwa kuwaleta wengi wetu wengine kwa Kristo 8. Usiibe
Kuona jinsi neema ya Mungu inavyofanya kazi katika 9. Usimshuhudie jirani yako uongo
maisha ya wengine. I 0. Usitamani nyumba ya jirani yako, usitamani mke wa jirani yako
22. Kipa Irnara ni nini? wala mtumwa wake, wala mjakazi wake wala ng'ombe wake,
Kawaida ya Mtume ya kutia mikono, ifuatayo Ubatizo, wala punda wake, wala chochote alicho nacho jirani yako.
Roho Mtakatifu akawatia nguvu wanaotiwa mikono
baada ya kuombewa. Swali

23. Ushirika Utakatit'u ni nini? Umejifunza mambo gani makuu katika amri hizo?
(a) Ulrnmbusho wa kufa kwake Kristo Msalabani Jibu : nimejifunza mambo mawili yanipasayo kwa Mungu,
(b) Arabuni takatifu ya pendo la Mungu
yaninipasayo kwa jirani yangu.
12
Swali: yakupasayo kwa Mungu ni yapi?

5
KATEKISMO 7. Anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya
uzima. (Yohana 8:12).
Jibu,Yanipasayo kwa Mungu ni kumwamini, kumcha, na
kumpenda, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote, na 8. Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata
kwa nguvu zangu zote; kumwabudu, na kumshukuru, akamtoa Mwanawe pekce, ili kila mtu amwaminiye
na kumtegemea gemea kabisa, na kumwomba, na asipotee, bali awe na uzima wa milele. (Yohana 3:16)
kuliheshimu jina lake takatifu na neno lake, na kumtumikia
vema siku zote za maisha vangu. 9. Mimi ndimi chakula cha uzima, yeye ajaye kwangu hataona
Swali. Yakupasayo kwa Jirani yako ni yapi? njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu kamwe.
(Yohana 6:35).
Jibu. Yanipasayo kwa Jirani yangu ni kumpenda kama
nafsi yangu, na kuwatendea watu wote, kama nitakavyo 10. Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa
wao wanitendee mimi: kuwapenda, na kuwaheshimu, na uhai wake kwa ajili ya kondoo. (Yohana 10: 11)
kuwasaidia baba na mama yangu: kuwaheshimu na kuwatii
wakuu wote wa Serikali: kuwatii wakubwa wangu, na 11. Naye kila aishiye na kuniarnini hatakufa kabisa hata milele.
walimu wangu, na wachungaji wangu: kunyenyekea mbele (Yohana 11 :26)
za wote walio wakubwa kuliko mimi na kuwaheshimu:
12. Nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, ninyi
nisimdhuru mtu kwa neno wala kwa tendo: kuwa na adili na
haki katika mwenendo wangu wote: nisiwe na uovu wala mtende vivyo. (Yohana 13:15)
chuki moyoni mwangu: tusitukane mtu wala nisi1ukanc mtu, 13. Mkin.ipenda, mtazishika amri zangu. (Yohana 14:15)
wala kusema uongo, walawa nisitukane na kujitunza mwili
wangu niwe na kiasi, nisiwe mlafi wala mlevi, wal .. 14. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi; akaaye ndan.i yangu
mwashcrali: nisitamani wala ku1alca mali ya watu wala, bali nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi
ninyi hatuwezi kufanya neno lotote. (Yohana 15:15).
tujifunze na kufanya kwa bidii kazi ya kujipatia riziki zangu na na
kutenda yanipasayo katika hali ambayo Mungu ataniitia. Mungu amemfanya Yesu huyo mliyemsulubisha kuwa
15. Bwana na Kristo. (Matendo 2:36).
Mwalimu.
Mwanangu mpenndwa, fahamu kwamba hutaweza kuyatenda
16. Mtakasen.i Kristo Bwana mioyoni mwenu. (1 Petro 3:14).
mambo haya kwa nguvu zako, wala kuenenda katika amri za,
Mungu, wala kumtumikia, usipokuwa na neema yake; basi, huna 15. Kanisa ni nini?
budi kujifunza kutaka daima neema hiyo kwa kuomba sana. Wote wanaomwarnin.i Kristo na kubatizwa.
nataka basi useme Sala ya Bwana.
16. Kanisa limewekwa kwa ajili ya nani?
Jibu. Kwa ajili ya wote, maana mtu aweza kufahamu n.ia ya
Mun�u kwake, na kushlnda l:atilca maisha yake,
BABA yetu, uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme katika .ush.irilca wa kan.isa tu.
wako ujc, Mapenzi yako yatimizwc hapa duniani kama huko
mbinguni. Utupe leoridhiki yetu. 17. Twaliingiaje Kanisa?
Utusamene makosa yetu, kama sisi tunavyowasamehe Kwa ubatizo Mungu atutiapo muhuri, akitupokea kama
waliotukosea. Usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule wana wake, nasi hapo twajiweka kuwa watumishl wa
muovu. Amin. Kristo.
6 11
akaaye ndani yeru. Kuokolewa katika kuipenda dhambi KATEKISMO
kwa upendo mkuu wa Krisw. Swali. Ni nini utakayo kwa Mungu katika sala hiyo?
9. Kwajinsi gani Kristo huwa Mwokozi wetu? Jibu: Namtaka Bwana, Mungu wangu, Baba yetu wa rnbinguni,
mtoa wema wote, anipelekee mimi na watu wote neema yake;
K wa kutufia Msalabani, alipozichukua dhambi zetu tupate kumwabudu, na kumtumikia, na kumtii, kama
mwilini mwake. itupasavyo. Tena namwomba Mungu atupelekee riziki zetu zote
10. Alikufa kwa sababu gani? za roho na za mwili; aturehemu na kutusamehe dhambi zetu;
Kwa sababu alitupenda ijapokuwa azichu!da dhambi zetu. atuokoe na kutuhifadhi na hatari zake za roho na za mwili;
11. Tufanye nini iii awe Mwokozi wetu? atukinge na dhambi na maovu yote, na adui yetu wa roho, na
mauti ya milele. Na hayo natumaini kuwa atayafanya kwa
Tuzitubu dhambi zetu.na: kumwamini Yesu Kristo.
rehema zake na wema wake, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kwa
12. Y uko Mwokozi mwingine? hiyo naserna, Amin; na iwe hivyo.
La. Hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa
wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Swali
13. Yatupasaje kuwatendea wasiokuwa Wakristo? Kuna Sakramenti ngapi alizoziarnuru Kristo katika Kanisa
Tuwatendee kwa adabu na upole. Tuwaambie habari za lake?
Yesu Kristo jinsi alivyotusaidia. Jibu: Mbili tu, zilizo faradhi kwa wokovu, nazo ni Ubatizo na
Tusibishane nao wala tusiwalaumu. Tuwasomee Agano Chakula cha Bwana.
Jipva Tuwaombee waokolewe. Swali. Neno hili Sakrmenti maana yake nini?
Jibu: Maana yake ni dalili ya nje ya kuonekana, ya neema ya
l4. Neno :u Mun� lasema ninijuu ya Dwana wetu Yesu ndani ya rohoni tupewayo, nayo imeamriwa na Kristo
Kristo? mwenyewe, kuwa njia ya kupokea neema hiyo, na kuwa amana
l. Wewe ndi we Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa ya kutuhakikishia hayo.
nawe. (Marko 1: 11). Swali. Kuna sehernu ngapi katika Sakramenti?
Jibu: Mbili; dalili ya nje ya kuonekana, na neema ya nidani
2. Mimi nclinli njia, na lcweli, na uzima; Mtu haji lcwa Baba, ya rohoni.
ila kwa njia ya mimi. (Yohana 14:6).
Swali. Dalili ya nje, ya kuonekana, katika matatizo ni nini?
3. Njoni kwangu, ninyi nyote msumbu�ao na wenye Jibu: Ni maji; ambayo mtu abatizwa kwayo kwa jina la Baba, na
kulemcwa na mizigo, nami nitawapumzisha. Mwana, na Roho Mtakatifu.
(Mathayo 11:28) Swali. Neema ya ndani ya rohoni ni nini?
Jibu: Ni kuifia dhambi, na kuzaliwa mara ya pili katika haki;
4. Mimi na Baba tu umoja. (Yohana 10:30). kwani sisi kwa asili tumezaliwa hali tuna. dhambi, nasi tu watoto
wa ghadhabu, lakini hapo tumefanywa watoto wa neema.
5. Aliyeniona mimi amemwona Baba. (Yohana 14:9)
Swali. Watu watakaobatizwa wamepaswa kufanya nini?
6. Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichuki.::.iye dhambi ya
Jibu: Toba, ili waache dhambi; na imani, ili waziamini ahadi za
Ulimwengu. (Yohana 1:29). Mungu walizopewa katika sakramenti hiyo.
10 7
KATEKISMO Katekisimo Ya Uaskofu
Swali. K wa sababu gani basi, watoto wachanga hubatizwa, 1. Mungu yu nani?
hali hawawezi kutenda hayo kwa kuwa ni wadogo? Roho mmoja aishiye milele, mwenyezi, mwenye kufahamu
Jibu: Kwa sababu waahidi mambo hayo yote mawili yote, mwema, kamili. Muumba wa vitu vyote. Baba wa
kwa; midomo ya wadhamini wao; nao wakipata kuwa watu wote
wazima itawapasa wenyewe kuitimiza ahadi hiyo.
Swali. Kwa kusudi gani sakramenti ya Chakula cha Bwana 2. Bwana Yesu Kristo yu nani?
imeamriwa? Yu Mungu.
Jibu. Kuwa kumbukumbu la daima la dhabihu ya kufa kwake
Mwana pekee wa Mungu na Mwanadamu wa kweli.
Kristo, na la mambo mema tunayopokea kwalo.
Mwokozi wa wote.
Swali. Sehemu ya nje au dalili ionekanayo katika Chakula
cha Bwana ni nini? AtakuwaMwamuzi wa wote.
Jibu. Mkate na Divai, ambavyo Bwana aliamuru vipokewe. 3. Roho Mtakatifu yu nani?
Swali. Sehemu ya ndani, au jambo la kudhihirishwa, ni nini? YuMungu.
Jibu: Mwili na Damu ya Kristo, vinavyotwaliwa na Mtoa uzima
kupokewa kwa kweli pasipo shaka na wale waaminio, katika Mwalimu
Chakula cha Bwana.
Mfariji
Swali. Ni mema gani tunayoshirikishwa kwa Mwili na Damu
ya Kristo? 4. Kuna Miungu wangapi?
Jibu. Kwa mwili na Damu ya Kristo, twapata nguvu na Mungu ni mrnoja tu.
kuburudishwa roho zetu, kama vile miili yetu inavyopata
nguvu na iniuurudishwa kwa mkate na divai. 5. Utatu ni nini?
.Swali: Wale wajiao Chakula cha Bwana, wamepaswa kufanya Ni Nafsi tatu katika Mungu mmoja.
nini? Baba ni Mungu, Mwana ni Mungu, na RohoMtakatifu ni
Jibu. Kujipeleleza kama lcweli wametubia dhambi zao za Miungu, ila si Mungu watatu bali Mungu mrnoja
zamani, na lmkusudia kuishi maisha mapya; na kama wana
imani iliyo hoi katika rehema za Mungu kwa Kristo, na 6. Mbele ya Mungu sisi wanadamu tu hali gani?
kukumbuka kwa shukrani kufa kwake; na kama wana Tu wenye dhambi, waasi mbele yaMungu.
upendano na watu wote.
Umri wa wutoto ukitosha,nao wakijua kusema na kufahamu 7. Mungu alifanyaje ili atuokoe katika dhambi?
kwa 1ugha yao, Imani, na Sala ya Bwana, na Amri Kumi; nao Mungu alimpeleka Mwana wake atukomboe katika
wakiweza kujibu maswali mengine ya Katekisimo hii, ndipo
waletwe kwa Askofu. Na kila mmoja awe na mdhamini kama utumwa wa dhambi.
shahidi wa kuthibitishwa kwake.
8. Wokovu ni nini?
Askofu, aagizapo watoto waletwe kwake kuthibitishwa,
Mchungaji wa kila mtaa alete karatasi yenye sahihi ya mkono Kuokolewa toka katika mauti, iliyo adhabu ya dhambi,
wake, ya majina ya watu wote wa mtaa wake, awaonao kwamba Kuokolewa toka katika utawala wa dhambi, kwa Kristo
wa tayari kuthibirishwa. Na, Askofu akiwakubali, awawekee 9
mikono kwa jinsi ifuatayo.
8

You might also like