You are on page 1of 12

CONSOLATA SHRINE

THE SOLEMNITY OF
OUR LADY CONSOLATA
25th JUNE 2017

My soul proclaims the greatness of the Lord

ENTRANCE HYMN
1) Njooni tumfanyie shangwe Mungu wetu (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
Inukeni wote tuimbe pamoja (Njooni tumfanyie shangwe
Mungu wetu)
TENOR: Kwa miondoko ya raha na madaha (Njooni
tumfanyie shangwe Mungu wetu)
BASS: Kwa ngoma safi, tamu na za midundiko (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Tumpigie makofi, makofi… … …
2) Ona ametenda wema wa ajabu (Njooni
tumfanyie shangwe Mungu wetu)
Machozi ameyageuza vicheko (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Tumwimbie leo tumsifu yeye (Njooni
tumfanyie shangwe Mungu wetu)
BASS: Tukipigapiga vifua kwa maringo (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Tumpigie makofi, makofi… … …
3) Tumpungieni mikono kwa madaha (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
Ajue kwamba leo tumefurahi (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Na shingo zinesenese kwa midundo (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
BASS: Mwili uyumbeyumbe kushoto kulia (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Tumpigie makofi, makofi… … …
4) Watoto nao wabebwe juu juu (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
Wajue kwamba Mungu anawapenda (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Umati wote turukeruke juu (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
BASS: TusisiteMungu yu katikati yetu (Njooni tumfanyie
shangwe Mungu wetu)
TENOR: Tumpigie makofi, makofi… … …

MISA CONSOLATA
BWANA UTUHURUMIE
V: Utuhurumie ee Bwana, ee,
W: Ee Bwana, ee Bwana,
V: Utuhurumie ee Bwana, ee,
W: Ee Bwana, 'tuhurumie.
V: Utuhurumie ee Bwana, ee,
W: Ee Bwana, ee Bwana,
V: Utuhurumie ee Bwana, ee,
W: Ee Bwana, 'tuhurumie
Ee Kristu 'tuhurumie, 'tuhurumie ………
Utuhurumie ee Bwana ee ……………

UTUKUFU
V: Utukufu kwa Mungu juu mbinguni,
W: Na amani iwe kwa watu wenye
Mapenzi mema duniani kote.
V: Tunakusifu,
W: Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu, tunakutukuza.
V: Tunakushukuru, Mungu, kwa ajili,
W: Ya 'tukufu wako mkuu, ee Bwana, ni
Mungu ndiwe Mfalme wa mbinguni
V: Ee Baba Mwenyezi, Bwana Yesu Kristu,
W: Ee Mwana wa pekee, ee Mungu Mwana
Kondoo wa Mungu, Mwana wake Baba.
V: Mwenye kuondoa dhambi za dunia,
V: Utuhurumie, tuhurumie,
Maombi yetu, Bwana, uyapokee.
V: Mwenye kuketi kuume kwa Baba,
W: Utuhurumie, kwa kuwa ndiwe
Pekee yako ni Mtakatifu.
V: Pekee yako, Bwana, pekee yako mkuu,
W: Ewe Yesu Kristu, pamoja naye
Roho Mtakatifu milele yote.

2
NITATANGAZA NENO LAKE BWANA
Nitatangaza neno lake Bwana
Kwa mataifa mbalimbali oo x2
Na Wakenya - Waimbe na Kumsifu Bwana
Na Uganda - Waimbe na kumsifu Bwana
Nitatangaza neno lake Bwana
Kwa makabila mbalimbali oo x2
Na Waluhya - Waimbe ….
Na Wakamba - Waimbe …
Nitatangaza neno lake Bwana
Katika miji mbalimbali oo x2
Nairobi - Waimbe …
Na Mombasa - Waimbe ..
First Reading Zp 3: 14-18
“Be glad and exult with all your heart, daughter of Jerusalem”
A reading from the prophet Zephaniah
Thus says the Lord: Shout for joy O daughter of Zion, Israel, shout aloud! Rejoice;
exult with all your heart, daughter of Jerusalem! The Lord has repealed your
sentence; he has driven your enemies away. The Lord, the king of Israel, is in your
midst; you have no more evil to fear. When that day comes, word will come to
Jerusalem; Zion, have no fear, do not let your hands fall limp. The Lord your God is in
your midst, a victorious warrior. He will exult with joy over you, he will renew you by
his love; he will dance with shouts of joy for you as on a day of festival.
RESPONSORIAL PSALM LK 1:46-55
R. The Lord has consoled his people.
1. My soul glorifies the Lord,
My spirit rejoices in God, my savior.
He looks on his servant in her lowliness;
Henceforth all ages will call me blessed. R
2. The Almighty works marvels for me
Holy his name!
His mercy is from age to age,
On those who fear him. R
3. He puts forth his arm in strength
And scatters the proud-hearted.
He casts the mighty from their thrones
And raises the lowly.
He fills the starving with good things,

3
Sends the rich away empty. R
4. He protects Israel, his servant,
Remembering his mercy,
The mercy promised to our fathers,
To Abraham and his sons forever. R

SECOND READING 2 Cor 1:3-7


“God consoles us in all our tribulations”
A reading from the second letter of St. Paul to the Corinthians
Blessed be the God and Father of our Lord Jesus Christ, a gentle Father and the God
of all consolation, who comforts us in all our sorrows so that we can offer others, in
their sorrows, the consolation that we have received from God ourselves. Indeed, as
the sufferings of Christ overflow to us, so, through Christ, does our consolation
overflow. When we are made to suffer, it is for your consolation and salvation.
When, instead, we are comforted, this should be a consolation to you, supporting
you in bearing the same suffering as we bear. And our hope for you is confident,
since we know that sharing our sufferings you will also share our consolations.

Alleluia
Rejoice O highly favoured! The Lord is with you;
Blessed are you among women.

Alleluia
GOSPEL LK 1:26-38
“Hail, full of grace, the Lord is with you”
The angel Gabriel was sent by God to a town in Galilee called Nazareth, to a virgin
betrothed to a man named Joseph, of the house of David; and the virgin’s name was
Mary. He went in and said to her, ‘Rejoice, so highly favoured! The Lord is with you’.
She was deeply disturbed by these words and asked herself what this greeting could
mean, but the angel said to her ‘Mary, do not be afraid; you have won God’s favour.
Listen! You are to conceive and bear a son, and you must name him Jesus. He will be
great and will be called Son of the Most High. The Lord God will give him the throne
of his ancestor David; he will rule over the House of Jacob for ever and his reign will
have no end.’ Mary said to the angel, ‘But how can this come about, since I am a
Virgin?’ ‘The Holy Spirit will come upon you,’ the angel answered, ‘and the power of
the Most High will cover you with its shadow. And so the child will be holy and will be

4
called Son of God. Know this too: your kinswoman Elizabeth has, in her old age,
conceived a son, and she whom people call barren is now in her sixth month, for
nothing is impossible to God.’ ‘I am the handmaid of the Lord,’ said Mary, ‘let what
you have said be done to me.’ And the angel left her.

NASADIKI
1. Nasadiki
Kwa Mungu moja, muumba mbingu, pia dunia
Na kwa Mwana
Ee wa pekee, Yesu Kristu, ni Bwana wetu
Ninasadiki
Ninasadiki, ninasadiki, ninasadiki
2. Aliteswa
Kasulubiwa, alikufa, na akazikwa
Kashukia
Na kuzimu, kafufuka, siku ya tatu
3. Akapaa
Juu mbinguni, ameketi, kuume kwa Baba
‘Tatokea
Kuwahukumu, watu wote, wazima na wafu
4. Nasadiki
Pia kwa Roho, na kanisa, la katoliki
Ushirika
Wa watakatifu, ondoleo, la dhambi zetu
5. Ufufuko
Hata wa miili, na uzima, ee wa milele
Ufufuko
Hata wa miili, na uzima wa milele
OFFERTORY SONG
TUSIMAME NDUGU
1 Tusimame ndugu twende kwake Bwana
Usisite ndugu amka twende hima x2
Beba mikononi (Mwako) uliyojaliwa (leo)
Peleka kwa Bwana upate Baraka x2
2 Peleka kwa moyo, moyo wa mapendo
Peleka kwa Bwana uliyojaliwa x2
3 Sadaka ya fedha, fedha za mifuko
Amka upeleke mezani mwa Bwana x2

5
4 Mavuno, mifugo, ni mali ya Bwana
Tupeleke kwake atazipokea x2
5 Mkate divai tupeleke kwake
Tupate Baraka mbele zake Bwana x2

MTAKATIFU
V: Mtakatifu, mtakatifu
W: Mtakatifu, Bwana Mungu.
V: Mtakatifu, Mtakatifu
W: Mtakatifu Bwana Mungu, wa Majeshi (x2)
Mbingu na dunia zimejaa utukufu
Mbingu na dunia, mbingu na dunia,
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako,
Zimejaa utukufu wako
Hosana juu, hosana juu,
Hosana juu, hosana juu mbinguni. x2
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina Mbarikiwa yeye, Mbarikiwa yeye,
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana,
Ajaye kwa jina la Bwana.
Hosanna ………..

FUMBO LA IMANI
V: Yesu Kristu alikufa
W: Yesu Kristu alikufa,
V: Yesu Kristu alifufuka
W: Yesu Kristu atakuja kwetu tena. x2

AMANI
Amani ya Bwana isambae Upendo wa Bwana...
Amani ya Bwana isambae Faraja ya Bwana...
Amani ya Bwana, isambae Neema ya Bwana...
Amani ya Bwana isambae Fadhili ya Bwana...
Furaha ya Bwana...
MWANA KONDOO
Ee Mwana kondoo wa Mungu Uondoaye dhambi za dunia, ee,
Ee Mwana, 'tuhurumie.
Mwana kondoo wa Mungu ee, Ee Mwana, 'tuhurumie. x2
Mwana kondoo wa Mungu, ee
Amani utujalie. Mwenye kuondoa dhambi zetu, ee
Amani utujalie, utujalie amani, ee,
Amani utujalie, utujalie amani, ee, Amani utujalie.

6
COMMUNION
NAKWABUDU YESU
Nakuabudu Yesu katika Hostiya, U mgeni wetu toka
U Mungu kweli na mbinguni,
mwanadamu, twakuja kuabudu.
katika sakramenti. 2. Baraka yako, Yesu utupatie,
(nakwabudu) nakwabudu tukinge na maovu ya leo,
fudifudi tuishi kwa amani.
Ee mfalme mtukufu wa 3. Uwabariki pia wapenzi wetu,
milele. uwajalie neema yako,
1. Ee Yesu, kwa mapendo watoe shukrani kuu.
unakaa kwetu,

EXIT
MOYO WANGU WAMTUKUZA BWANA
Moyo wangu wamtukuza Bwana 5. Hushusha wote wenye vyeo
Roho yangu inafurahi x2 Kutoka vitini vya enzi
1. Kwa kuwa ameniangalia Nao wote wanyenyekevu
Kwa huruma mtumishi wake Wote hao huwainua
Hivyo sasa tangu watu wote 6. Huwashibisha wenye njaa
Wataniita mwenye heri Na matajiri huwaacha
2. Kwa sababu mwenyezi Mungu Waende mikononi mitupu
Amenifanyia makuu 7. Hulilinda taifa lake
Jina lake ni takatifu Teule na mtumishi wake
3. Huruma yake ni kwa wote Kikumbuka huruma yake
Wote wale wanaomcha 8. Kama alivyo waahidia
Kizazi hata na kizazi Baba zetu kuwasaidia
4. Huyatenda mambo makuu Ibrahim na uzao wake
Kwa nguvu za mkono wake 9. Atukuzwe Baba na Mwana
Wenye kiburi hutawanya Naye Roho Mtakatifu
Leo kesho hata milele
Kwa shangwe milele amina.
PROCESSIONPROCESSION
AS I KNEEL BEFORE YOU
2. All I have I give you,
1 1. As I kneel before you,
Every dream and wish are
As I bow my head in prayer, yours,
Take this day, make it yours Mother of Christ, Mother of
And fill me with your love. mine,
Ave Maria, gratia plena, Present them to my Lord.
Dominus tecum, benedicta tu.
7
3. As I kneel before you, Every thought, every word,
And I see your smiling face, Is lost in your embrace.

2 HOLY VIRGIN, BY GOD'S DECREE


1. Holy Virgin, by God's decree, 3. Refuge for your children so
You were called eternally, weak,
That he would give his Son to Sure protection all can seek;
our race; Problems of life you help us to
Mary, we praise you, hail full of face,
grace. Mary, we trust you, hail full of
Ave, ave, ave, Maria. grace.
Ave, ave, ave, Maria. 4. To our needy world of today
2. By your faith and loving accord, Love and beauty you portray,
As the handmaid of the Lord, Showing the path of Christ we
You undertook God's plan to must trace
embrace; Mary, our Mother, hail full of
Mary, we thank you, hail full of grace.
grace.

SALVE REGINA
3
1. Salve Regina, Mater misericordiae,
Vita, dulcedo, et spes nostra, salve.
Ad te clamamus, exsules, filii Hevae.
Ad te suspiramus, gementes et flentes
In hac lacrimarum valle.
Eia ergo Advocata nostra,
Illos tuos misericordes oculos ad nos converte.
Et Jesum, benedictum fructum ventris tui,
Nobis post hoc exsilium ostende.
O clemens, O pia
O dulcis Virgo Maria.

4 MAMA UTUOMBEE
1.Mama Maria mama wake Yesu - Mama utuombee
Mama Maria mama wa neema - Mama utuombee
Mama Maria mama mtkatifu - Mama utuombee
Ee – e Mama
Mama Maria Mama, ee mama( x2)
Mama utuombee
2. Mama Maria, mwenye mwoyo safi
Mama mwenye ubikikira
Mama Maria, usiye na dhambi
8
3. Mama Maria, mama Mama Maria, kilio cha haki
mpendelevu Mama Maria, kikao cha hekima
Mama Maria, mama 7. Mama Maria, sababu ya furaha
mstaajabivu Mama Maria, chombo cha
Mama Maria, wa shauri njema neema
4. Mama Maria, Mama wa Mama Maria, chombo cha
Muumba heshima
Mama Maria, mama wa 8. Mama Maria, chombo cha
Mkombozi ibaada
Mama Maria, bikira mtaratibu Mama Maria, waridi lenye
5. Mama Maria Bikira mwenye fumbo
heshima Mama Maria, mnara wa Daudi
Mama Maria, Bikira mwenye sifa 9.Mama Maria, mnara wa pembe
Mama Maria, Bikira mwenye Mama Maria, nyumba ya
huruma dhahabu
6.Mama Maria, Bikira mwaaminifu Mama Maria, sanduku la agano

5 TUNAKUSHUKURU MAMA MARIA


Tunakushukuru Mama Maria
Kwa neema unazotujalia,
Ahsante Mama wa Yesu uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.
1. Mama wa Yesu, Mama mfariji huruma
wetu, 4. Mama wa Yesu, wee Mama
asante sana kwa kutusimamia Maria,
2. Neema zako zinatutia nguvu, tusaidie kushinda vishawishi
asante Mama Maria mtakatifu 5. Katika nguvu ndiwe mbarikiwa,
3. Tuna furaha, tuna matumaini katika maisha ndiwe kinga
kwa kuwa tunawe Mama wa yetu.

MAMA MARIA
6
Mama Maria (Maria)
Bikira mwema (Mama yetu salamu)
Twakusalimu Maira mama wa Mungu
Umejaa neema Bwana yu nawe x2
1 Ulikubali mapenzi ya Mungu Ukawa Mama wa wote, tuombee
Ukawa Mama wa Kristu, 3 Ulizaliwa pasipo na doa
tuombee Ukawa Mama wa Mungu,
2 Ulikubali zawadi ya mbingu tuombee

9
7 NISEME NINI BASI
Niseme nini basi, juu ya mama yetu Maria(Mama Bikira Maria)
Mama mpendelevu; mama mwenye Neema.
1 Wakati wa majaribu mwombezi wetu ni Maria (Mama yetu)
Wakati wa mashaka kimbilio letu ni mama; Maria
2 Mama uliyeumbwa pasipo dhambi ya asili (Mama yetu)
Ukamzaa mwanao mkombozi wa ulimwengu; Maria
3 Moyo wako wa heri moyo safi moyo mweupe (Mama yetu)
Nijalie neema nishinde majaribu yote; Maria
4 Mama wa Mkombozi mnara wetu wa mbinguni (Mama yetu)
Mwanga wetu sisi tunaosafiri gizani; Maria
5 Shika mkono wangu nionyeshe njia ya kweli (Mama yetu)
Nifike kwa mwanao anakoketi uwinguni; Maria

8 EE MAMA YETU MARIA


Ee mama yetu Maria
Twaomba sana ee mama
Usituache gizani
Kwa mwanao tuombee (x2)
1 Mama yetu Maria, utusikilize;
Sisi wana wako, tunaosumbuka
Maisha yetu mama, hayana furaha
Tujaze neema, tupate faraja.
2 Utuombee kwake, mwanao mpendwa;
Ututie nguvu, tushinde maovu.
Dunia ina giza, dunia ni ngumu
Bila nguvu zako, hatuwezi kitu.
3 Tuombee Maria, tuombee mama;
Ili wanawako, tufike mbinguni
Dunia ina giza, dunia ni ngumu
Bila nguvu zako, hatuwezi kitu.

10
Reflection
By Blessed Joseph Allamano
1. Is not Our Lady Consolata our Mother and are we not
her sons and daughters? She is our very tender mother
who loves us like the apple of her eye. She has
supported us both materially and spiritually and she is
always quick to respond to our needs.
2. Undoubtedly everything we accomplish is the work of
Our Lady, the Consolata. She performs daily miracles….
In times of trial Mary has always intervened
miraculously… I believe Our Lady is responsible for this
too –our daily bread. I have never lost sleep or appetite
worrying about the enormous expenses. My prayer to
Mary, the Consolata, is: “You worry about these things!
We know you will do what is necessary”.
3. We are a living manifestation of the miracles Our Lady
performs. We must look on the fact that we bear Our
Lady’s name as a blessing. We must be piously proud to
belong to Our Lady Consolata. Your name should be an
incentive to become all that you ought to be
4. Filial love is of its very nature tender. Just as children are
always turning to their mother we must have constant
recourse to her all day long.

Prayer
Here we are, O Mary Consolata
in this Solemn day consecrated to you in this Shrine.
We are gathered around your Altar to console you and to
receive your consolation. Dear Mother, bless us from your
throne of glory with your Divine Son and grant us all those
graces which we ask for. We pray to you for our lost brothers,
console all and save all. Amen
11
Announcements
1. Today we celebrate the Solemnity of Our Lady Consolata, flowers are being sold for
Christians to take home or to place at the foot of Our Lady, either in the Church or at the
Grotto.
2. We welcome you to come and honor Our Lady this evening with the candle lit
procession after the 5.30pm mass.
3. Today the bookshop will offer special discount on selected titles. Kindly visit the desk
outside the church and at the bookshop.
4. The Construction of the Allamano Centre to build a new block of pastoral offices, hall
and parking is on-going. We kindly request you to stop by the tables at the entrances of
the church and get detailed information about the project. We also invite you to give
your contribution or make a pledge towards the project.
5. Last week, 4 parishioners got the 4 prizes. Two smartphones and two brand new
Renault Kwid. New prizes are won every week! DONATE and WIN is still ongoing
Consolata Shrine Raffle. Every Monday we announce the winners and tomorrow might
be you. The more you participate the more chances of winning! Remember the code is
*369*2# or M-pesa Pay Bill 804877 and Account WIN.
6. Next Sunday is the first Sunday of the month. There is a second collection of
St Vincent de Paul to assist the needy of the parish.
7. Next Sunday also, we will have the Rosary being prayed in front of the
Eucharist after the twelve o’clock Mass.
8. The Charismatic group has organized Life in the Spirit Seminar that will start from 9th
July to 17th September 2017. The seminar will be conducted every Sunday from 2pm to
5pm in the tent behind the nursery School. The Seminar is open for everyone. All are
welcome.
Weekly meeting
 Perpetual Eucharist Adorers on Tuesday 27th at 6.30pm
 Community Committee on Friday 30th at 6.15pm

Prayer for Expectant Mothers & Father


Lord God, Creator of the human race, your Son, through the working of
the Holy Spirit, was born of a woman, so that he might pay the age-old
debt of sin and save us by his redemption. Receive with kindness the
prayer of your servants as they ask for the birth of a healthy children.
Grant that they may safely deliver sons and daughters to be numbered
among your family, to serve you in all things, & to gain eternal life. We
ask this through Christ our Lord.

Happy Feast to all!!!


PARISH WEBSITE: www.consolatashrine.org; PARISH E-MAIL: info@consolatashrine.org;
PARISH PRIEST’S E-MAIL: parishpriest@consolatashrine.org;
PARISH MPESA BUSINESS NUMBER: 508702; P.O. Box 14930 - Nairobi; TEL.: 0722-615105

You might also like