You are on page 1of 4

ENTRANCE HYMN: BABA THINA SINJE Na amani (kote) duniani

(Yes Lord, I want to love you) Kwa watu wa mapenzi mema.

Tribute Song to be sang by Spellcast Tunakushukuru mfalme wa mbingu


Media Choir Mwana wa pekee mwana wa Baba
ee Bwana

KYRIE: MISSA FADHILI Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni


Na amani (kote) duniani
Bwana Bwana utuhurumie ee Bwana Kwa watu wa mapenzi mema.
Bwana (Bwana) Bwana, Bwana
utuhurumie Unayeondoa makosa yetu
Utuhurumie tusikilize ee Bwana
Kristu Kristu Krsitu utuhurumie ee
Kristu - Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
Kristu (Kristu) Kristu, Kristu Na amani (kote) duniani
utuhurumie Kwa watu wa mapenzi mema.

Bwana Bwana utuhurumie ee Bwana Kuume kwa Baba unapoketi


Bwana (Bwana) Bwana, Bwana Mtakatifu mkuu tuhurumie ee
utuhurumie Bwana

Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni


GLORIA: MISSA FADIHLI Na amani (kote) duniani
Kwa watu wa mapenzi mema.
Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
Na amani (kote) duniani Roho Mtakatifu pamoja nawe,
Kwa watu wa mapenzi mema. Ndani yake Bwana unatukuzwa ee
Bwana
Tunakuheshimu tunakusifu,
Tunakuabudu twakutukuza ee
Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
Bwana
Na amani (kote) duniani
Kwa watu wa mapenzi mema.
Utukufu (kwako) Mungu Mbinguni
GOSPEL ACCLAMATION: (Maisha yetu kwa roho safi
GREAT HALELUYAH BY twakutolea ee Baba pokea) x2
HANDEL
(Sadaka, ee Baba pokea) x2
OFFERTORY HYMN: MUUNGU (Tunakutolea sadaka safi) x2
MUUMBA
(Mazao yetu ya mashambani
(Mungu Muumba twakutolea twakutolea ee Baba pokea) x2
sadaka safi ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2 (Tunakutolea sadaka safi) x2
(Tunakutolea sadaka safi) x2
(Matendo yetu mateso yetu
Mkate huu uwe mfano wa mwili twakutolea ee Baba pokea) x2
wako ee Baba pokea
(Sadaka, ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2 (Tunakutolea sadaka safi) x2
(Tunakutolea sadaka safi) x2
(Furaha yetu uchungu wetu
(Divai hii iwe ishara ya damu yako twakutolea ee Baba pokea) x2
ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2 (Tunakutolea sadaka safi) x2
(Tunakutolea sadaka safi) x2
(Kwa leo hii twakushukuru kwa
(Na fedha zetu za mifukoni wema wako ee Baba pokea) x2
twakutolea ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2
(Sadaka, ee Baba pokea) x2 (Tunakutolea sadaka safi) x2
(Tunakutolea sadaka safi) x2

SANCTUS: BENEDICTUS BY KARL


JENKINS

Sang by Spellcast Media Choir


MYSTERIUM FIDEI: FUMBO KUU ANAYEKULA MWILI WAKO
LA IMANI
Anayekula mwili wako, na anywaye danu
yako,
Fumbo Kuu la Imani Anaishi ndani yako, ye hatakufa milele.

(Fumbo Kuu la Imani Binadamu


Yesu wangu nakuomba, nishibishe na
Tuamini) mwilio,
Fumbo Kuu la Imani Nayo damu yako ninywe, japo sistahili
mimi.

(Fumbo Kuu la Imani Binadamu


Tuamini) Ndani yangu mwokozi yumo, kwa mwili na
damu yake,
Ni rafiki yangu kweli, name sitamwacha
(Ya Kuwa, kamwe.

Yesu Kristu Alikufa, Yesu wangu nakuomba, nishibishe na


mwilio,
Hmm… Nayo damu yako ninywe, japo sistahili
mimi.

Yesu Kristu Alifufuka, Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini,


Kwa kifo chake msalabani, naye katupa
uzima.
Hmm!

Yesu wangu nakuomba, nishibishe na


Yesu Kristu atarudi binadamu
mwilio,
tuamini) x2 Nayo damu yako ninywe, japo sistahili
mimi.

Yesu wangu unibariki, nifundishe njia


zako,
Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe
leo.

Yesu wangu nakuomba, nishibishe na


COMMUNION HYMN: mwilio,
Nayo damu yako ninywe, japo sistahili
mimi.
EXIT HYMN: DREAM IT POSSIBLE BY DELACEY

Tribute song to be sang by Spellcast Media Choir

You might also like