You are on page 1of 7

6TH SUNDAY OF EASTER 14TH MAY 2023

ORDER OF SONGS
ENTRANCE
TWENDE SOTE NYUMBANI MWAKE
Twende sote nyumbani mwake, Bwana Mungu (ae),
twende sote nyumbani mwake aliyetuumba.
1. Yeye ndiye kinga yetu- Bwana Mungu (ae), twende sote nyumbani mwake
aliyetuumba
Yeye ndiye nguvu yetu- Bwana Mungu (ae), twende sote nyumbani mwake
aliyetuumba
2. Yeye Bwana wa majeshi-
Yeye Mungu wa Yakobo

3. Ni mfalme wa dunia-
Ni mfalme wa mbinguni-

4. Ndiye Mungu wa wokovu


Ni hakimu ya dunia

5. Yeye apendaye haki


Ndiye Mungu mwema kweli

MISA (CENTINARY)
BWANA UTUHURUMIE

{Utuhurumie ee Bwana ee
Ee Bwana (tuhurumie) ee Bwana
Utuhurumie ee Bwana ee
eh eh eh - ee Bwana, eh eh eh - ee Bwana } *2

/s/ Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie


Uturumie ee, ee Kristu tuhurumie, ee Kristu tuhurumie
/a/ Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie, ee Kristu tuhurumie,
Eee Kristu ee Kristu, ee Kristu tuhurumie
/t/ Ee Kristu tuhurumie tuhurumie
Eeh eeh, Ee Kristu tuhurumie

/b/ Ee Kristu, ee Kristu, ee Kristu, ee Kristu,


(Ee Kristu utuhurumie) *2
{Utuhurumie ee Bwana ee
Ee Bwana (tuhurumie) ee Bwana
Utuhurumie ee Bwana ee
eh eh eh - ee Bwana, eh eh eh - ee Bwana } *2

UTUKUFU
1. Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani iwe kwa watu wenye mapenzi
mema duniani kote.

Tunakusifu, tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza x2.

2. Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu ee Bwana ni mungu


ndiwe mfalme wa mbinguni.
3. Ee Baba Mwenyezi Bwana Yesu Kristu, ee Mwana wa pekee, ee Mungu
Mwana Kondoo wa Mungu Mwana wake Baba.
4. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, utuhurumie tuhurumie maombi yetu
Bwana uyapokee.
5. Mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie kwa kuwa ndiwe pekee yako ni
mtakatifu.
6. Peke yako Bwana peke yako mkuu, ewe Yesu Kristu pamoja naye Roho
Mtakatifu milele yote.
BIBLE PROCESSION
TING’O MUMA

1. Nating`o muma nalemo,


Nating`o muma, nalemo, nating`o ang`o
{ Ting`o muma, ting`o muma
Ting`o muma, nalemo (nating`o ang`o) } *2
2. Naweyo chode nalemo,
Naweyo chode nalemo naweyo ang`o
{ Weyo chode, weyo chode
Weyo chode, nalemo (naweyo ang`o) } *2
3. Naweyo kong`o nalemo . . .
4. Naweyo magpiny nalemo . . .
5. Naweyo njaga nalemo . . .
6. Naweyo kwede nalemo . . .
7. Naweyo kwalo nalemo . . .

OFFERTORY COLLECTION
CHA KUKUPENDEZA - T.P.H. KESSY
[Nikupe Nini Mungu Wangu, Nikupe nini Bwana wangu
chakukupendeza ]x2
[(chakukupendeza x4,) siku hii ya leo, ]x2

1. Ninacho kidogo, chakukupendeza Ewe Mungu wangu,


Nilichoandaa siku hii ya leo, Ndicho hiki Bwana

2. Sadaka ya leo, Ni sadaka safi isiyo na doa,


Twakuomba Bwana, twakuomba Bwana, upendezwe nayo

3. Twatoa mkate, twatoa divai, upendezwe nayo


Fedha nazo Bwana, tunakutolea, upokee Bwana

OFERTORY PRESENTATION
WIMUKUMIE WEE MWATHANI
(Wimukumie wee Mwathani,
Ngai wa thi na wa iguru,
Niundu wa utaana waku ,

Nitwamukirite matega maya twarehe.)*2

1. Mugate ohamwe na njohi -nitwagutegera Mwathani,


Maciaro ma migunda itu –twagikuria umamukire.

2. Magetha ohamwe na mbeca -nitwagutegera Mwathani,


Ni thithino ya moko maitu –twagikuria umamukire.

3. Mahiu ona migunda itu- nitwagutegera Mwathani,


Ona mawira maitu mothe –twagikuria umamukire.

MTAKATIFU

Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu
Mtakatifu Mtakatifu,
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi *2

1. Mbingu na dunia zimejaa utukufu


Mbingu na dunia, mbingu na dunia
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako

{ Hosanna juu, hosanna juu


Hosanna juu, hosanna juu mbinguni } *2

2. Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina


Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana
Ajaye kwa jina la Bwana

{Hosanna juu, hosanna juu


Hosanna juu, hosanna juu mbinguni } *2
PEACE
AMANI YA BWANA
1. Amani ya Bwana tupeane amani na roho mtakatifu, na roho mtakatifu
Shuka kwetu njoo)*2
Tiririka (tiririka ti) Tiririka (tiririka ti) Tiririka (ti ti ti ti ti ti)
La La La La (la la la) La La La la (la la la) La La La La (la la la la la la la)

2. Upendo wa Bwana………………..
3. Furaha ya bwana ……………………
4. Hekima ya Bwana …………………..
5. Faraja ya Bwana ……………………..

FUMBO LA IMANI
Yesu Kristu alikufa
Yesu Kristu alikufa,
Yesu Krisu alifufuka
Yesu Kristu atakuja kwetu tena x2
MWANA KONDOO
1. Ee Mwana Kondoo wa Mungu Uondoaye dhambi za ulimwengu ee,
Ee mwana tuhurumie.
Mwana Kondoo wa Mungu ee
B/T//: (eeh eh eh)
Ee mwana tuhurumie
(Ee mwana)
2. Ee Mwana Kondoo wa Mungu Uondoaye dhambi za ulimwengu ee,
Ee mwana tuhurumie.
Mwana Kondoo wa Mungu ee
B/T//: (eeh eh eh)
Ee mwana tuhurumie
(Ee mwana)
3. Mwana Kondoo wa Mungu ee, amani Utujalie,
Mwenye kuondoa dhambi zetu ee
Amani Utujalie.
Utujalie aamani ee
Amani Utujalie.
Utujalie aamani ee
Aamani U-utujalie.
COMMUNION
NINAKUPENDA EWE MWOKOZI WANGU

Ninakupenda ewe mwokozi wangu, Rafiki yangu mpenzi wa moyo wangu,


Ukae nami daima ndani yangu, Nipate nguvu na heri siku zote.

1. Ninakutolea mwili na roho yangu, Unipe neema zako nipate nguvu,


Nikae nikupendeze mwokozi wangu, shetani muovu kamwe asinipate

2. Nilinde niwe imara na mwenye nguvu, nisitubukie tena katika dhambi,


Unionyeshe yaliyo ya heri kweli, nipate kuishi Kwa kumpendeza bwana.

3. Nawe uliye njia kweli na uzima, niongoze vyenye daima siku zote,
Uniangazie mwanga palipo giza, nifikishe kwake baba kwa neema zako.

4. Nakukaribisha bwana moyoni mwangu, Nijalie ewe bwana Baraka yako,


Hata siku ya mwisho nitakuapia, Ni ile mbinguni kwenye heri milele

POKEA MOYO WANGU

Pokea moyo wangu ee Mungu wangu niweze kukupenda kwa pendo lako,
(unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozi wangu shinda kwangu nami daima
kwako) x2

1. Onjeni muone kwamba Bwana yu mwema na heri yule mtu ,anayetumaini


Yesu Kristu.

2. Katika nguvu za giza katutoa na kutukaribisha katika ufalme wa pendo lake.

3. Habari njema alituhubiria na kutufungulia, akatangaza mwaka wa neema .

4. Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu sikosi kitu kamwe kuniongoza
kwenye njia nyofu
THANKSGIVING
UTUKUFU NI WAKO (WANARUKA)- B. MUKASA
1. Mungu wangu ulinitendea mema
Ndugu zangu wote wakasimama
Wakakupa utukufu na asante
Asante yangu popote niendapo
Wanaruka (wote) kwa shangwe na vifijo
Wanacheza (Tena) kwa raha na madaha
Wimbo wao (ona) waimba hata mawe (ooh)
Nia yao (hawa) ni kumtukuza wewe
2. Mungu wangu sifa na haki kwako
Utukufu wako enzi milele
Ni wewe umeumba mbingu na nchi
Ni wewe umeumba mbingu na nchi

3. Mungu wangu wangu hima usikawie


Toka mbingu njoo utushikilie
Ujionee fuiraha ya wanao
Na sifa wanazokupa mungu(wanaruka)

EXIT
EE MAMA YETU MARIA
Ee Mama yetu Maria twaomba sana ee mama
usituache gizani kwa mwanao utuombee x2
1. Mama yetu Maria utusikilize, sisi wana wako tunaosumbuka,
maisha yetu Mama hayana furaha tujaze neema tupate baraka.
2. Utuombee kwake mwanao mpendwa, atutie nguvu tushinde maovu.
Dunia ina giza dunia ni ngumu, bila nguvu yake hatuwezi kitu.
4. Tuombee Maria, tuombee Mama, ili wana wako wafke mbinguni,
maisha yetu Mama hayana furaha tujaze neema tupate baraka.

You might also like