You are on page 1of 12

FRANCISCAN MASS

Bwana Utuhurumie 3. Akapaa juu mbinguni ameketi kuume


(Bwana) tuhurumie ee x3, Bwana ee kwake Baba Mwenyezi, nasadiki.
Bwana x2. (Kristu) tuhurumie x4. Atakapotokea kuhukumu watu wote
(Bwana) tuhurumie ee x3. Bwana ee wazima na wafu, nasadiki.
Bwana x2. [Tuhurumie ee Bwana ee 4. Nasadiki kwa Roho na Kanisa takatifu
Bwana] x3. katoliki la mitume, nasadiki.
Ushirika ule mwema wa watakatifu
Utukufu wote 'ndoleo la dhambi zetu, nasadiki.
Kwake utukufu Mungu juu mbinguni. 5. (Ufufuko wa mwili na uzima wa milele
1. Na kote amani hapa duniani, kwa ijayo amina, nasadiki) x2.
wote watu wa mapenzi mema. Tuna-
kushukuru Mungu kwa ajili, ya utu- Mtakatifu
kufu wako ule mkuu. 1. Mtakatifu (Bwana) Mtakatifu, Mtakatifu
Tunakusifu tunakuheshimu, tuna- Bwana Mungu wa majeshi. Mbingu na
kuabudu tunakutukuza. dunia (kweli), mbingu na dunia kweli
2. Ewe Bwana Mungu mfalme wa mbin- zimejaa utukufu wako.
guni, ni wewe Mungu Baba Mwen- Hosana juu Hosana juu mbinguni,
yezi. Bwana Yesu Kristu Mwana wa Hosana juu Hosana juu mbinguni
pekee, ee Bwana Mungu Mwana wa x2.
Baba. 2. Mbarikiwa (yule) anayekuja, na kwa
3. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, jina lake Mungu wa majeshi x2.
ee Bwana Yesu utuhurumie. Mwenye
kuondoa dhambi za dunia, ee Yesu Baba Yetu
pokea ombi letu. Baba yetu wa mbinguni jina lako litu-
4. Mwenye kuketi kuume kwa Baba, kuzwe, ‘falme wako na ufike utakalo
wetu Mwokozi utuhurumie. Peke yako lifanyike x2.
Bwana ndiwe mtakatifu, na peke yako 1. Duniani kama mbinguni – Baba ee
mkuu Yesu Kristu. Baba yetu.
5. (Pamoja naye Roho Mtakatifu, kwa Tupe leo mkate wetu –
utukufu wake Mungu Baba) x2. Mkate wetu wa kila siku –
2. Tusamehe makosa yetu –
Nasadiki Kama vile twawasamehe –
Nasadiki kwa Mungu mmoja, kwa Mungu Waliotukosea sisi –
mmoja. 3. Situtie kishawishini –
1. Muumba mbingu na dunia na kwa Walakini utuopoe –
Mwana wa pekee Yesu Kristu Bwana Maovuni utuopoe –
wetu, nasadiki. 4. Kwa kuwa ufalme ni wako –
Alitungwa kwa uwezo wake Roho Na nguvu na utukufu –
Mtakatifu kazaliwa na Bikira, na- Utukufu hata milele –
sadiki.
Nasadiki, kweli, nasadiki; Nasadiki, Mwana Kondoo
kweli, nasadiki. {(Mwana Kondoo) wa Mungu uondoaye
2. Aliteswa kwa Pilato pia alisulibiwa na dhambi za dunia tuhurumie utuhurumie}
akafa akazikwa, nasadiki. x2. (Mwana Kondoo) wa Mungu
Kashukia na kuzimu 'kafufuka yeye uondoaye dhambi za dunia utujalie
siku ya tatu toka wafu, nasadiki. amani, Amani.
Bwana Utuhurumie - Franciscan Mass
(Bwana) tuhurumie ee x3, Bwana ee Bwana x2. (Kristu) tuhurumie x4.
(Bwana) tuhurumie ee x3. Bwana ee Bwana x2. [Tuhurumie ee Bwana ee
Bwana] x3.

Utukufu - Franciscan Mass


Kwake utukufu Mungu juu mbinguni.
1. Na kote amani hapa duniani, kwa wote watu wa mapenzi mema. Tunaku-
shukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako ule mkuu.
Tunakusifu tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza.
2. Ewe Bwana Mungu mfalme wa mbinguni, ni wewe Mungu Baba Mwen-
yezi. Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee, ee Bwana Mungu Mwana wa
Baba.
3. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, ee Bwana Yesu utuhurumie. Mwenye
kuondoa dhambi za dunia, ee Yesu pokea ombi letu.
4. Mwenye kuketi kuume kwa Baba, wetu Mwokozi utuhurumie. Peke yako
Bwana ndiwe mtakatifu, na peke yako mkuu Yesu Kristu.
5. (Pamoja naye Roho Mtakatifu, kwa utukufu wake Mungu Baba) x2.
Mtakatifu - Franciscan Mass
1. Mtakatifu (Bwana) Mtakatifu, Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi.
Mbingu na dunia (kweli), mbingu na dunia kweli zimejaa utukufu wako.
Hosana juu Hosana juu mbinguni, Hosana juu Hosana juu mbinguni
x2.
2. Mbarikiwa (yule) anayekuja, na kwa jina lake Mungu wa majeshi x2.
Baba Yetu - Franciscan Mass
Baba yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe, ‘falme wako na ufike uta-
kalo lifanyike x2.
1. Duniani kama mbinguni – Baba ee Baba yetu.
Tupe leo mkate wetu –
Mkate wetu wa kila siku –
2. Tusamehe makosa yetu –
Kama vile twawasamehe –
Waliotukosea sisi –
3. Situtie kishawishini –
Walakini utuopoe –
Maovuni utuopoe –
4. Kwa kuwa ufalme ni wako –
Na nguvu na utukufu –
Utukufu hata milele –

You might also like