Professional Documents
Culture Documents
MTAKATIFU: FADHILI
Mtakatifu, mtakatifu Bwana MWANA KONDOO: FADHILI
Mtakatifu Mungu wa majeshi
Mwana Kondoo wa Mungu 7. Kristu Bwana Mungu
unayondoa dhambi za dunia ee tunakuomba leo
Bwana Tumiminie neema ya kupendana
tuhurumie, tuhurumie 8. Kanisa letu na yale ya wenzetu
Tuungane pamoja tunakuomba
Mwana Kondoo wa Mungu
unayondoa dhambi za dunia ee
Bwana MIMI NDIMI CHAKULA
tuhurumie, tuhurumie
Mwana Kondoo wa Mungu Mimi ndimi chakula cha uzima
unayondoa dhambi za dunia ee Chakula cha uzima
Bwana {Aulaye mwili wangu, na kuinywa
Tujalie amani damu yangu. Huyo anao uzima wa
milele }x2
NYIMBO ZA KOMUNIO 1. Mimi ndimi chakula cha uzima
TAZAMA TAZAMA kilichoshuka kutoka mbinguni
{ Tazama tazama ni vyema na vizuri Aulaye Mwili wangu ataishi
Ndugu kuishi pamoja kwa umoja } milele
X2 2. Chakula nitakachowapa mimi
1. Mapendo ya Kristu Ni mwili wangu pia na damu
yametuunganisha, yangu
Ndugu kuishi pamoja kwa umoja Ni kwa ajili ya uzima wa
ulimwengu
2. Tuwe na furaha tunapokusanyika,
Kwa moyo mnyofu tusameheane 3. Aulaye mwili na damu yangu
kweli, Huyo ana uzima wa milele
Nami nitamfufua siku ya mwisho
3. Na tuangalie tusitengane kamwe,
Tuache ugomvi tujenge mapatano 4. Mwili wangu ni chakula kweli,
damu yangu ni kinywaji kweli,
4. Kati yetu sisi akae Yesu Kristu, alaye hukaa kwangu, nami ndani
Yeye ni kiungo cha wanadamu yake
wote,
5. Awaunganishe waliotengana
nasi,
Tuwe kundi moja mchungaji
ndiye mmoja.
6. Tunapokusanyika kwa pamoja
Tuangalie tusitengane tena
ROHO YA YESU
1. Roho ya Yesu itutakase, MATOLEO
mwili wa Yesu utuokoe, MOYO WANGU FUNGUKA
damu ya Yesu ituchangamshe, { Moyo wangu funguka, iye iye
maji ya ubavu yatusarishe. iyelelele iye
Moyo wangu funguka, moyo wangu
2. Mateso yako `tutie nguvu,
jeraha zako maficho yetu; funguka }x2
tusitengane nawe, ee Yesu, { Kufuli la moyo, legea kidogo,
bali utukinge na yule mwovu. ili Bwana Yesu aingie moyoni }x2
5. Tunakosa kiongozi
Ili atutangulie
Tuweze kumfuata
Twakulilia wewe
Upate kutuongoza
Twakutamani sana
Njoo, Njoo, Njoo