You are on page 1of 11

nikajiona mwema,/ nikasahau udhaifu wangu.

/ Na
Sala Kwa Yesu Kristu
kwa ajili hiyo nikajitia katika hatari bure,/
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II sikujilinda tena,/ nikampa shetani nafasi ya
Sala za Katoliki / Leave a Comment kunishambulia kwa hila zake zote./ Unihurumie ee
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Yesu wangu./
Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele
yako.// Waniangalia sana,/ siyo kwa kunipeleleza,/ Sasa nafahamu jinsi nilivyokuwa mjinga
lakini kwa sababu wapenda kuniona hivi karibu na kwelikweli./ Ndiyo maana nakuabudu kwa moyo
wewe,/ wafurahiwa nikija kukuabudu./ wangu wote./ Najiweka mikononi mwako/ ufanye
Wayasikiliza maneno yangu yote/ yenye kutoka nami vile unavyotaka./ Wewe utanitunza;/ Wewe
mdomoni mwangu,/ na zaidi wapokea maneno utanilinda vema;/ Wewe utaniongoza nijue namna
yangu yanayotoka moyoni./ Nataka kuzungumza na ya kuepa hatari zote,/ na jinsi ya kufukuza kila
wewe peke yako,/ na kusahau mambo mengine kishawishi./ Chukua moyo wangu kabisa,/ kwa
yote/ na watu wengine walioko kanisani pamoja sababu ni mali yako kamili;/ Wewe ndiwe
nami./
uliyeniumba,/ ndiwe uliyenipeleka katika Ukristo,/
nawe ndiwe utakayenihukumu siku ya mbele./
Yesu wangu,/ nakushukuru/ kwa sababu umekubali Ndivyo ninavyojitolea kwako./ Ndivyo
kutupa Sakramenti hii kuu kabisa,/ ukitaka kukaa ninavyokuabudu,/ wala sijui njia nyingine ya
pamoja na sisi,/ na hata ukakubali kuwa chakula kukusifu zaidi./
chetu/ chenye nguvu ya ajabu./ Mfalme wangu
Yesu,/ Sultani wangu Mkuu,/ naamini kabisa Yesu wangu mpenzi,/ naomba upokee kwa uzuri
kwamba upo katika Altare/ na kwamba umejificha heshima hiyo yangu./ Angalia: naitolea pamoja na
chini ya umbo la mkate./ Ulipokuwapo bado hapa heshima yote/ unayopewa daima na watakatifu
duniani mbele za watu,/ ulikuwa hujifichi kama wako/ na malaika wako./ Nikipiga magoti hapa
sasa;/ lakini hata siku zile/ watu hawakuweza mbele yako sasa,/ siko peke yangu,/ nakuabudu
kukuona vile ulivyo./ Hawakuweza kuutambua pamoja na Mama yako Bikira Maria,/ ambaye sala
Umungu wako,/ ikalazimu kukuamini tu sawa
zake zinakupendeza kabisa./ Sala zangu naweka
kama sisi./ Wakainama kichwa wakisema,/ “Bwana
pamoja na sala zake yeye,/ uzipokee zote pamoja,/
wangu na Mungu wangu”./ Na mimi kadhalika
zikupendeze zote sawa./ Ee Mama Maria!/
naungama/ U Bwana wangu na Mungu wangu/ na
Nifundishe maneno ya kumsifu Mwanao Yesu
Mkombozi wangu/ na salama yangu yote./ U Yesu vizuri./ Nipeleke kwa Yesu tumwabudu pamoja./
wangu tu,/ siwezi kusema zaidi./ Nakuabudu ee Nifunike na utakatifu wako/ kusudi Yesu asiangalie
Yesu./ Najua sana, mimi ni mdogo kabisa,/ sina tena umaskini wangu/ na makosa yangu,/ aniponye
maana hata kidogo./ Mimi ni dhaifu na maskini katika huruma yake./
mno./ Lakini Wewe katika hruuma yako kubwa/
waniita nije kwako./ Wewe huuangalii umaskini
wangu,/ bali wanivuta katika mapendo yako./ Sasa najisikia vizuri, Yesu wangu./ Sasa nina moyo
wa kuweza kuendelea vema/ katika njia njema./
Sasa ninatumaini kwamba/ nitakaa mkristo
Nasikia maneno yako usemayo:/ “Njooni kwangu mwema,/ nitakuwa mtumishi wako mwaminifu./
ninyi nyote mnaoelemewa na mizigo/ nami Nasikia amani kubwa sana moyoni mwangu,/ kwa
nitawasaidia”./ Kwa ajili ya maneno hayo/ nakuja kuwa nimo mikononi mwako./ Baada ya dakika
kwako bila hofu./ Najua kwamba wanipenda,/
chache/ nitaondoka tena kanisani,/ nitarudi
najua wataka kunisaidia na kuniponya,/ najua kuwa
nyumbani kwangu,/ lakini hatutaachana,/ hapana./
wataka kunitakasa./
Mapendo yetu yatatuunganisha pamoja daima./
Wewe utanikumbuka nikiwa kazini,/ nikilala
Nahitaji sana msaada wako, hakika./ Unaniona usingizi,/ nikienda njiani,/ kila mahali nilipo,/
katika mwendo wangu wa kila siku,/ Jinsi Wewe utaniona,/ utafuatana na mimi./ Kadhalika
ninavyohangaika na vishawishi mara nyingi;/ jinsi nitakukumbuka tu./ Nitafanya bidii nisikuache
nilivyo na lazima ya kushindana kila siku/ nikitaka kabisa./ Amina.
kukaa mwema na safi katika utumishi wako./
Naungama mbele yako Wewe Mkombozi wangu,/
kwamba sikukaa imara siku zote vile WhatsAppTwitterLinkedInEmail
nilivyopaswa./ Naungama kwamba nimeshindwa ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
mara nyingine/ na kwa hivi naomba toba./ Lakini
kwa nini nimeshindwa mara nyingine?/ Kwa nini Sala za Katoliki / Leave a Comment
nikakosa?/ Ni kwa sababu nalikuwa nimekwenda Tumia tasbihi ya kawaida yenye chembe ndogo
mbali nawe;/ nalianza kujitegemea mwenyewe./ 53.
Katika majivuno yangu nikajisifu mwenyewe,/
Kwenye Msalaba Sali:
Ee Damu na Maji, yaliyotoka moyoni mwa
“Ee Yesu tupe moyo wako kama amana ya upendo Yesu kama chemchemi ya Huruma kwetu.
wako na kimbilio letu, ili tupate pumziko salama Nakutumainia.
wakati wa maisha yetu na faraja tamu saa ya kufa
kwetu”. (Mara tatu)
Baba Yetu ……..
Salamu Maria ……. (mara tatu)
Nasadiki ………..

Kwenye chembe kubwa Sali (Badala ya ‘Baba


Yetu’): WhatsAppTwitterLinkedInEmail
SALA YA MTAKATIFU INYASI
“Ninakuabudu, ninakutukuza na ninakupenda, Ee
Sala za Katoliki / Leave a Comment
Moyo wa Yesu wangu mpenzi, uliopenywa na
Roho ya Kristo unitakase
huzuni nyingi kwa ajili ya dhambi, ambazo
Mwili wa Kristo uniokoe
zimekuwa zikitendwa hata leo, dhidi ya Sakramenti
Damu ya Kristo unifurahishe
Takatifu sana ya Altare. Ninakutolea hapo kwa
Maji ya ubavu wake Kristo yanioshe
kuridhika, moyo wa Mama yako mpendevu, na
Mateso ya Kristo nguvu yanizidishie
mastahili ya watakatifu. Amina”.
Ee Yesu mwema unisikilize
Katika madonda yako unifiche
Usikubali nitengwe nawe
Kwenye chembe ndogo sali (Badala ya ‘Salamu
Na adui mwovu unikinge
Maria’): Saa ya kufa kwangu uniite
Uniamuru kwako nije
“Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, uwakao mapendo Na watakatifu wako nikutukuze
kwetu, washa nyoyo zetu kwa mapendo yako” Milele na milele.
Amina.

WhatsAppTwitterLinkedInEmail
Sala ya Saa Tisa WhatsAppTwitterLinkedInEmail
SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA
Sala za Katoliki / 1 Comment
EKARISTI TAKATIFU
Sala za Katoliki / Leave a Comment
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU
KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Sala ya saa tisa
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/
ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho
Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki
Mtakatifu. A mina
cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa
niliyonayo ya kukuabudu Wewe/ bila kuchoka/ na
Yesu, ulikufa, lakini chanzo cha uhai kilitoka kwa kukushukuru kwa mapendo yako makubwa/ yasiyo
ajili ya watu, na bahari ya huruma ilifunguka kwa na kipimo/ ambayo Moyo wako Mtakatifu sana/
ajili ya ulimwengu mzima. Ee chemchemi ya Uhai, unawaka katika Sakramenti Takatifu hii./ Siwezi
huruma ya Mungu isiyo na mwisho, ikafunika kukushukuru vizuri zaidi/ kuliko kama ningetolea
ulimwengu mzima na ukajimwaga mwenyewe juu kwako/ matendo yangu yote ya kukuabudu/
yetu. unyenyekevu wangu/ uvumilivu na mapendo/
ambayo huu Moyo Mwabudiwa ulifanya,/ bado
unafanya/ na utaendelea kufanya katika uzima wa
milele mbinguni./ Ninaahidi kupitia Moyo huu,/
nitakupenda,/ nitakutukuza,/ na nitakuabudu kama
nitakavyoweza./ Ninajiunganisha na hii Sadaka
Takatifu/ ambayo unatoa kwa Baba Mungu/ na
ninatolea kwako utu wangu./ Ninakuomba
kuangamiza ndani yangu/ dhambi zote pamoja na ulimkazia Mama yako mstahivu/ Macho yako ya
majeraha yake/ na usikubali kunitenga nawe hisani na mapendo/ na unyenyekevu,/ ndiye Mama
milele./ Amina. yako asiyekosa hata mara moja/ wala kukubali
dhambi yeyote./ Ulimweka katika ulinzi
mwaminifu/ wa Mfuasi wako ili kumtuliza./
(Na Mt. Margareta Maria Alakoki)

Milele utukuzwe, ee Bwana wangu Yesu Kristo./


Ulipokuwa mwenyewe taabani,/ uliwapa wakosefu
wote/ matumaini ya kuondolewa dhambi/ kwa
kumwahidia mnyang’anyi aliyekuendea/ utukufu
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU I wa paradisi kwa huruma yako./

Utukuzwe ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Uliagua


kifo chako./ Katika karamu ya mwisho ulitumia Sifa ya milele iwe nawe, Bwana wangu Yesu
mkate wa kidunia/ ukafanya mwujiza na kuugeuza/ Kristo,/ kwa kila saa ulipovumilia uchungu/ na
kuwa Mwili wako azizi./ Kwa mapendo ukawapa taabu kubwa mno msalabani kwa ajili yetu sisi
Mitume Mwili huo/ uwe kumbukumbu la mateso wakosefu,/ maumivu makali sana/ yaliyotoka
yako mastahivu./ Uliwaosha miguu kwa Mikono katika majeraha yako,/ yakapenya bila huruma
yako Mitakatifu./ Roho yako Takatifu./ Yakaingia kikatili katika
Moyo wako Mtakatifu/ hata ukakatika,/ ukapumua
Roho yako,/ ukainama Kichwa,/ ukaweka Roho
Uheshimiwe, ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Kwa yako mikononi mwa Mungu, Baba yako./ Na baada
kuhofu mateso na kifo,/ Mwili wako usio na kosa ya kufa uliacha nyuma Mwili baridi./
ulitoka jasho la damu/ badala ya maji./ Juu ya hayo
uliutimiza wokovu wetu/ uliokuwa umetaka
kuufanya./ Hivyo ulionyesha waziwazi mapendo Utukuzwe, ee Bwana wangu Yesu Kristo,/ kwa
yako/ uliyo nayo kwa wanadamu./ Damu yako azizi na kwa kifo chako kitakatifu/
ulizifidia roho za watu,/ ukazitoa ugenini/ na
kuzipeleka kwa hisani yako katika uzima wa
Utukuzwe, ee Bwana wangu Yesu Kristo./ milele./
Ulipelekwa kwa Kayafa,/ Wewe uliye Hakimu wa
wote./ Ukaruhusu kwa unyenyekevu kutolewa kwa
Pilato/ uhukumiwe naye./ Milele uheshimiwe, Wewe Bwana wangu Yesu
Kristo./ Siku ya tatu ulifufuka katika wafu,/
ukajionyesha kwa wafuasi wako,/ ukapaa
Utukufu uwe nawe, Bwana wangu Yesu Kristo,/ mbinguni/ mbele ya macho yao siku ya arobaini./
kwa kuwa ulivumilia kuchekwa tena/ uliposimama
huko,/ umevaa joho jekundu,/ umetiwa taji ya
miiba mikali sana Kichwani,/ ukavumilia kwa Shangilio na sifa ya milele upate Wewe, Bwana
saburi kubwa/ kutemewa mate katika Uso wako wangu Yesu Kristo,/ kwa kuwa umewapelekea
mzuri,/ kufumbwa Macho,/ na kupigwa mno na wafuasi wako mioyoni mwao/ Roho Mtakatifu,/
wajeuri/ ngumi na makofi Mashavuni na Shingoni./ ukawasha rohoni mwao mapendo makuu ya
Mungu./

Sifa iwe nawe, Bwana wangu Yesu Kristo,/ Kwa


uvumilivu mkubwa ulikubali kufungwa nguzoni,/ Pia, utukuzwe, usifiwe na kushangiliwa milele,
kupigwa mijeledi kijeuri,/ kujaa damu na hivyo Bwana wangu Yesu Kristo./ Umekaa katika ufalme
kusukumwa barazani kwa Pilato./ Ulionekana kama wako wa mbinguni/ juu ya kiti cha enzi cha
mwanakondoo asiye na kosa./ Umungu wako,/ ukaishi pamoja na Viungo vyako
vyote Vitakatifu./ Na hivyo utakuja tena/
kuzihukumu roho za wazima na wafu wote./
Heshima iwe nawe, Bwana wangu Yesu Kristo./ Unaishi na kutawala/ pamoja na Baba na Roho
Umehukumiwa Mwili wako mzima/ Mtukufu Mtakatifu,/ milele. Amina.
wenye kutoka damu/ ufe msalabani./ Ulichukua
msalaba kwa Mabega yako Matakatifu/ na kuumwa
sana./ Kwa ghadhabu walikusukuma mbele/ mpaka (Na Mt. Birgita wa Sweden)
mahali pa mateso,/ wakakunyang’anya nguo zako./
Hivyo ulikubali kupigiliwa msalabani./

Heshima ya milele upate Wewe,/ Bwana wangu


Yesu Kristo./ Ulipokuwa katika taabu kubwa hii,/ SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika kunishambulia kwa hila zake zote./ Unihurumie ee
Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele Yesu wangu./
yako.// Waniangalia sana,/ siyo kwa kunipeleleza,/
lakini kwa sababu wapenda kuniona hivi karibu na
wewe,/ wafurahiwa nikija kukuabudu./ Sasa nafahamu jinsi nilivyokuwa mjinga
Wayasikiliza maneno yangu yote/ yenye kutoka kwelikweli./ Ndiyo maana nakuabudu kwa moyo
mdomoni mwangu,/ na zaidi wapokea maneno wangu wote./ Najiweka mikononi mwako/ ufanye
yangu yanayotoka moyoni./ Nataka kuzungumza na nami vile unavyotaka./ Wewe utanitunza;/ Wewe
wewe peke yako,/ na kusahau mambo mengine utanilinda vema;/ Wewe utaniongoza nijue namna
yote/ na watu wengine walioko kanisani pamoja ya kuepa hatari zote,/ na jinsi ya kufukuza kila
nami./ kishawishi./ Chukua moyo wangu kabisa,/ kwa
sababu ni mali yako kamili;/ Wewe ndiwe
uliyeniumba,/ ndiwe uliyenipeleka katika Ukristo,/
Yesu wangu,/ nakushukuru/ kwa sababu umekubali nawe ndiwe utakayenihukumu siku ya mbele./
kutupa Sakramenti hii kuu kabisa,/ ukitaka kukaa Ndivyo ninavyojitolea kwako./ Ndivyo
pamoja na sisi,/ na hata ukakubali kuwa chakula ninavyokuabudu,/ wala sijui njia nyingine ya
chetu/ chenye nguvu ya ajabu./ Mfalme wangu kukusifu zaidi./
Yesu,/ Sultani wangu Mkuu,/ naamini kabisa
kwamba upo katika Altare/ na kwamba umejificha
chini ya umbo la mkate./ Ulipokuwapo bado hapa Yesu wangu mpenzi,/ naomba upokee kwa uzuri
duniani mbele za watu,/ ulikuwa hujifichi kama heshima hiyo yangu./ Angalia: naitolea pamoja na
sasa;/ lakini hata siku zile/ watu hawakuweza heshima yote/ unayopewa daima na watakatifu
kukuona vile ulivyo./ Hawakuweza kuutambua wako/ na malaika wako./ Nikipiga magoti hapa
Umungu wako,/ ikalazimu kukuamini tu sawa mbele yako sasa,/ siko peke yangu,/ nakuabudu
kama sisi./ Wakainama kichwa wakisema,/ “Bwana pamoja na Mama yako Bikira Maria,/ ambaye sala
wangu na Mungu wangu”./ Na mimi kadhalika zake zinakupendeza kabisa./ Sala zangu naweka
naungama/ U Bwana wangu na Mungu wangu/ na pamoja na sala zake yeye,/ uzipokee zote pamoja,/
Mkombozi wangu/ na salama yangu yote./ U Yesu zikupendeze zote sawa./ Ee Mama Maria!/
wangu tu,/ siwezi kusema zaidi./ Nakuabudu ee Nifundishe maneno ya kumsifu Mwanao Yesu
Yesu./ Najua sana, mimi ni mdogo kabisa,/ sina vizuri./ Nipeleke kwa Yesu tumwabudu pamoja./
maana hata kidogo./ Mimi ni dhaifu na maskini Nifunike na utakatifu wako/ kusudi Yesu asiangalie
mno./ Lakini Wewe katika hruuma yako kubwa/ tena umaskini wangu/ na makosa yangu,/ aniponye
waniita nije kwako./ Wewe huuangalii umaskini katika huruma yake./
wangu,/ bali wanivuta katika mapendo yako./
Sasa najisikia vizuri, Yesu wangu./ Sasa nina moyo
Nasikia maneno yako usemayo:/ “Njooni kwangu wa kuweza kuendelea vema/ katika njia njema./
ninyi nyote mnaoelemewa na mizigo/ nami Sasa ninatumaini kwamba/ nitakaa mkristo
nitawasaidia”./ Kwa ajili ya maneno hayo/ nakuja mwema,/ nitakuwa mtumishi wako mwaminifu./
kwako bila hofu./ Najua kwamba wanipenda,/ Nasikia amani kubwa sana moyoni mwangu,/ kwa
najua wataka kunisaidia na kuniponya,/ najua kuwa kuwa nimo mikononi mwako./ Baada ya dakika
wataka kunitakasa./ chache/ nitaondoka tena kanisani,/ nitarudi
nyumbani kwangu,/ lakini hatutaachana,/ hapana./
Mapendo yetu yatatuunganisha pamoja daima./
Nahitaji sana msaada wako, hakika./ Unaniona Wewe utanikumbuka nikiwa kazini,/ nikilala
katika mwendo wangu wa kila siku,/ Jinsi usingizi,/ nikienda njiani,/ kila mahali nilipo,/
ninavyohangaika na vishawishi mara nyingi;/ jinsi Wewe utaniona,/ utafuatana na mimi./ Kadhalika
nilivyo na lazima ya kushindana kila siku/ nikitaka nitakukumbuka tu./ Nitafanya bidii nisikuache
kukaa mwema na safi katika utumishi wako./ kabisa./ Amina.
Naungama mbele yako Wewe Mkombozi wangu,/
kwamba sikukaa imara siku zote vile
nilivyopaswa./ Naungama kwamba nimeshindwa
mara nyingine/ na kwa hivi naomba toba./ Lakini
kwa nini nimeshindwa mara nyingine?/ Kwa nini
nikakosa?/ Ni kwa sababu nalikuwa nimekwenda SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA
mbali nawe;/ nalianza kujitegemea mwenyewe./ BWANA YESU KATIKA EKARISTI
Katika majivuno yangu nikajisifu mwenyewe,/
nikajiona mwema,/ nikasahau udhaifu wangu./ Na
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/
kwa ajili hiyo nikajitia katika hatari bure,/
ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea
sikujilinda tena,/ nikampa shetani nafasi ya
kwa ajili yangu,/ nashindwa kuelewa./ Unaficha
Ukuu wako usiofahamika/ na kujidhihirisha kwa
ajili yangu mimi mnyonge./ Ee Mfalme wa nitakapokuwa nimelala,/ pigo la mwisho la moyo
utukufu,/ unaficha uzuri wako,/ lakini jicho la wangu/ liwe utenzi mpendevu/ usifuo Huruma yako
moyo wangu/ linapenya pazia na kuona Majeshi ya isiyo na kipimo./ Amina
Malaika/ wakikuimbia kwa heshima bila kukoma/
na nguvu zote mbinguni zikikusifu bila mwisho
zikisema:/ “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu..”/ (Na Mt. Faustina Kowalska).

Ni nani awezaye kufahamu Upendo wako/ na


huruma yako isiyo na kipimo kwa ajili yetu!/ Ee
Mfungwa wa Upendo,/ nafungia moyo wangu
masikini/ kwenye Tabarnakulo hii/ ili niweze SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU
kukuabudu usiku na mchana bila mwisho./ Najua WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
hakuna kizuizi/ na hata kama naonekana kukaa
mbali,/ lakini moyo wangu u pamoja nawe/ katika
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/
ibada hii./ Hakuna kinachoweza kuzuia upendo
ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa
wangu kwako./ Kwangu hakuna kizuizi chochote./
sana,/ Moyo Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu
Kristu/ ambao ninataka kumpenda/ na kukusalimu
Ee Utatu Mtakatifu,/ Mungu Mmoja kwa usikivu unaoendelea./ Kamwe nisikuudhi tena/
usiyegawanyika,/ utukuzwe kwa zawadi yako hii kwa sababu Wewe ni Mwema sana;/ Ee Mwema
kuu/ na agano hili la huruma!/ sana./ Ee Moyo Mtakatifu sana/ ninakupenda/ na
ninataka kukupenda zaidi ya vitu vyote,/ kwa
nguvu zangu zote/ na kwa uwezo wangu wote,/
Nakuabudu,/ Bwana na Muumba uliyefichika ninatamani kuwa mali yako/ Wewe uliyejitoa
katika Sakramenti Takatifu!/ Ee Bwana,/ Msalabani kwa ajili yangu/ kwa mateso makali./
nakuabudu kwa kazi zote za mikono yako/ Unionee huruma na udhaifu wangu/ na usiniruhusu
zinazonifunulia Hekima yako kuu,/ Wema wako na kupotea./
Huruma yako kuu./ Uzuri uliousambaza hapa/
Uzuri ulio nao Wewe mwenyewe/ ambaye U Uzuri
usioelezeka;/ na ingawaje umejificha na kusitiri Ninajitoa kabisa kwako/ ee moyo wa mapendo,/
uzuri wako,/ jicho langu,/ kwa mwanga wa imani kwa makusudi kuwa utu wangu,/ maisha na mateso
linafika kwako,/ na roho yangu inapata kumtambua yangu/ yalipie kukupenda,/ kukuheshimu/ na
Muumba wake/ aliye Uzuri usiopimika,/ ulio juu ya kukutukuza Wewe sasa na milele./ Ninakupenda ee
kila uzuri,/ na moyo wangu unazama kabisa katika Moyo Mwabudiwa wa Mwokozi wangu,/
sala ya kukuabudu./ ninakuomba kwako/ uamuru moyo wangu na kila
kitu ndani yangu/ kikutukuze sasa na milele./
Amina.
Bwana wangu na Muumba wangu,/ wema wako
wanitia moyo wa kuongea nawe,/ Huruma yako
huondoa kiambaza/ kitenganishacho Muumba na (Na Mt Margareta Maria Alakoki)
kiumbe./ Furaha ya moyo wangu,/ ee Mungu, ni
kuongea na Wewe./ Yote ambayo moyo wangu
unayatamni nayapata kwako./ Hapa ndipo mwanga WhatsAppTwitterLinkedInEmail
wako unaponiangaza akili yangu/ na kuiwezesha SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II
kukujua Wewe zaidi na zaidi/ – ndipo mikondo ya
neema inapoutiririkia moyo wangu,/ ndipo roho Sala za Katoliki / Leave a Comment
yangu inapochota uzima wa milele./ Ee Bwana na Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika
Muumba wangu,/ licha ya mapaji yote haya,/ Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele
unajitoa mwenyewe kwangu,/ ili uweze yako.// Waniangalia sana,/ siyo kwa kunipeleleza,/
kujiunganisha na kiumbe dhaifu na maskini./ lakini kwa sababu wapenda kuniona hivi karibu na
wewe,/ wafurahiwa nikija kukuabudu./
Wayasikiliza maneno yangu yote/ yenye kutoka
Ee Kristu,/ nafurahi sana nionapo kwamba mdomoni mwangu,/ na zaidi wapokea maneno
unapendwa/ na kwamba sifa na utukufu wako yangu yanayotoka moyoni./ Nataka kuzungumza na
vinaongezwa/ hasa ya Huruma yako./ Ee Kristu,/ wewe peke yako,/ na kusahau mambo mengine
sitaacha kamwe kuutukuza wema wako na huruma yote/ na watu wengine walioko kanisani pamoja
yako,/ hadi dakika ya mwisho ya maisha yangu./ nami./
Kwa kila tone la damu yangu/ na kwa kila pigo la
moyo wangu/ naitukuza Huruma yako./ Natamani
kugeuzwa kabisa/ na kuwa utenzi wa utukufu Yesu wangu,/ nakushukuru/ kwa sababu umekubali
wako./ Naomba siku ya kufa kwangu/ popote kutupa Sakramenti hii kuu kabisa,/ ukitaka kukaa
pamoja na sisi,/ na hata ukakubali kuwa chakula ninavyokuabudu,/ wala sijui njia nyingine ya
chetu/ chenye nguvu ya ajabu./ Mfalme wangu kukusifu zaidi./
Yesu,/ Sultani wangu Mkuu,/ naamini kabisa
kwamba upo katika Altare/ na kwamba umejificha
chini ya umbo la mkate./ Ulipokuwapo bado hapa Yesu wangu mpenzi,/ naomba upokee kwa uzuri
duniani mbele za watu,/ ulikuwa hujifichi kama heshima hiyo yangu./ Angalia: naitolea pamoja na
sasa;/ lakini hata siku zile/ watu hawakuweza heshima yote/ unayopewa daima na watakatifu
kukuona vile ulivyo./ Hawakuweza kuutambua wako/ na malaika wako./ Nikipiga magoti hapa
Umungu wako,/ ikalazimu kukuamini tu sawa mbele yako sasa,/ siko peke yangu,/ nakuabudu
kama sisi./ Wakainama kichwa wakisema,/ “Bwana pamoja na Mama yako Bikira Maria,/ ambaye sala
wangu na Mungu wangu”./ Na mimi kadhalika zake zinakupendeza kabisa./ Sala zangu naweka
naungama/ U Bwana wangu na Mungu wangu/ na pamoja na sala zake yeye,/ uzipokee zote pamoja,/
Mkombozi wangu/ na salama yangu yote./ U Yesu zikupendeze zote sawa./ Ee Mama Maria!/
wangu tu,/ siwezi kusema zaidi./ Nakuabudu ee Nifundishe maneno ya kumsifu Mwanao Yesu
Yesu./ Najua sana, mimi ni mdogo kabisa,/ sina vizuri./ Nipeleke kwa Yesu tumwabudu pamoja./
maana hata kidogo./ Mimi ni dhaifu na maskini Nifunike na utakatifu wako/ kusudi Yesu asiangalie
mno./ Lakini Wewe katika hruuma yako kubwa/ tena umaskini wangu/ na makosa yangu,/ aniponye
waniita nije kwako./ Wewe huuangalii umaskini katika huruma yake./
wangu,/ bali wanivuta katika mapendo yako./
Sasa najisikia vizuri, Yesu wangu./ Sasa nina moyo
Nasikia maneno yako usemayo:/ “Njooni kwangu wa kuweza kuendelea vema/ katika njia njema./
ninyi nyote mnaoelemewa na mizigo/ nami Sasa ninatumaini kwamba/ nitakaa mkristo
nitawasaidia”./ Kwa ajili ya maneno hayo/ nakuja mwema,/ nitakuwa mtumishi wako mwaminifu./
kwako bila hofu./ Najua kwamba wanipenda,/ Nasikia amani kubwa sana moyoni mwangu,/ kwa
najua wataka kunisaidia na kuniponya,/ najua kuwa kuwa nimo mikononi mwako./ Baada ya dakika
wataka kunitakasa./ chache/ nitaondoka tena kanisani,/ nitarudi
nyumbani kwangu,/ lakini hatutaachana,/ hapana./
Mapendo yetu yatatuunganisha pamoja daima./
Nahitaji sana msaada wako, hakika./ Unaniona Wewe utanikumbuka nikiwa kazini,/ nikilala
katika mwendo wangu wa kila siku,/ Jinsi usingizi,/ nikienda njiani,/ kila mahali nilipo,/
ninavyohangaika na vishawishi mara nyingi;/ jinsi Wewe utaniona,/ utafuatana na mimi./ Kadhalika
nilivyo na lazima ya kushindana kila siku/ nikitaka nitakukumbuka tu./ Nitafanya bidii nisikuache
kukaa mwema na safi katika utumishi wako./ kabisa./ Amina.
Naungama mbele yako Wewe Mkombozi wangu,/
kwamba sikukaa imara siku zote vile
nilivyopaswa./ Naungama kwamba nimeshindwa
WhatsAppTwitterLinkedInEmail
mara nyingine/ na kwa hivi naomba toba./ Lakini
SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU
kwa nini nimeshindwa mara nyingine?/ Kwa nini
WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
nikakosa?/ Ni kwa sababu nalikuwa nimekwenda
mbali nawe;/ nalianza kujitegemea mwenyewe./ Sala za Katoliki / Leave a Comment
Katika majivuno yangu nikajisifu mwenyewe,/ Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/
nikajiona mwema,/ nikasahau udhaifu wangu./ Na ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa
kwa ajili hiyo nikajitia katika hatari bure,/ sana,/ Moyo Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu
sikujilinda tena,/ nikampa shetani nafasi ya Kristu/ ambao ninataka kumpenda/ na kukusalimu
kunishambulia kwa hila zake zote./ Unihurumie ee kwa usikivu unaoendelea./ Kamwe nisikuudhi tena/
Yesu wangu./ kwa sababu Wewe ni Mwema sana;/ Ee Mwema
sana./ Ee Moyo Mtakatifu sana/ ninakupenda/ na
ninataka kukupenda zaidi ya vitu vyote,/ kwa
Sasa nafahamu jinsi nilivyokuwa mjinga nguvu zangu zote/ na kwa uwezo wangu wote,/
kwelikweli./ Ndiyo maana nakuabudu kwa moyo ninatamani kuwa mali yako/ Wewe uliyejitoa
wangu wote./ Najiweka mikononi mwako/ ufanye Msalabani kwa ajili yangu/ kwa mateso makali./
nami vile unavyotaka./ Wewe utanitunza;/ Wewe Unionee huruma na udhaifu wangu/ na usiniruhusu
utanilinda vema;/ Wewe utaniongoza nijue namna kupotea./
ya kuepa hatari zote,/ na jinsi ya kufukuza kila
kishawishi./ Chukua moyo wangu kabisa,/ kwa
sababu ni mali yako kamili;/ Wewe ndiwe Ninajitoa kabisa kwako/ ee moyo wa mapendo,/
uliyeniumba,/ ndiwe uliyenipeleka katika Ukristo,/ kwa makusudi kuwa utu wangu,/ maisha na mateso
nawe ndiwe utakayenihukumu siku ya mbele./ yangu/ yalipie kukupenda,/ kukuheshimu/ na
Ndivyo ninavyojitolea kwako./ Ndivyo kukutukuza Wewe sasa na milele./ Ninakupenda ee
Moyo Mwabudiwa wa Mwokozi wangu,/
ninakuomba kwako/ uamuru moyo wangu na kila Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu ….
kitu ndani yangu/ kikutukuze sasa na milele./ Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono
Amina. safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu,
ninakutolea mateso na mahangaiko makali sana ya
moyoni, ya Bwana wetu Yesu Kristu katika mlima
(Na Mt Margareta Maria Alakoki) wa mizeituni na kila tone la jasho lake la damu,
kwa ajili ya malipizi ya dhambi zangu za
kimoyomoyo, na dhambi za namna hiyo
WhatsAppTwitterLinkedInEmail zinazotendwa na dunia nzima, kwa ajili ya ulinzi
Sala za kuheshimu Damu Takatifu ya Yesu dhidi ya dhambi za moyoni na kwa ajili ya kueneza
upendo wa kiMungu na wa kindugu.
Sala za Katoliki / Leave a Comment
Tusali kila siku sala hizi, angalau kwa mwezi wa
saba (Julai) kila mwaka, mwezi wa kuheshimu 3. Yesu anapigwa mijeledi.
Damu Takatifu ya Mkombozi wetu.
Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu ….
Yesu alimwahidi Mt. Brigita wa Sweden kwamba Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono
wale watakaosali Baba Yetu 7 na Salamu Maria 7 safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu,
kwa miaka 12 kwa kuheshimu damu yake takatifu ninakutolea majeraha elfu elfu aliyopata, maumivu
na kutafakari juu ya Kutahiriwa kwake, jasho lake makali sana na Damu Takatifu sana aliyomwaga,
la damu, kupigwa kwake mijeledi, kuvikwa taji la alipopigwa mijeledi, kwa ajili ya malipizi ya
miiba, kuchukua kwake Msalaba, kusuliwa kwake dhambi zangu za tamaa ya mwili, kwa malipizi ya
na kuchomwa ubavuni; watapata neema 5 dhambi za tamaa ya mwili za wanadamu wote, kwa
zifuatazo: (1) Hawataingia toharani, (2) Yesu ajili ya ulinzi dhidi ya dhambi za tamaa ya mwili,
atawapa cheo cha mashahidi waliomwaga damu na kwa kulinda usafi wa moyo, hasa kati ya ndugu
yao kwa ajili ya imani, (3) Yesu atawadumisha zangu.
jamaa zake watatu katika hali ya neema, (4) Roho
za jamaa zake zitakingwa na Jehanam mpaka kizazi
cha nne, (5) Mwezi kabla ya kufa, Yesu 4. Yesu anavikwa taji la miiba.
atawajulisha. Wakifa kabla ya kutimiza miaka ile,
watahesabiwa wamemaliza. Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu ….
Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono
safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu,
Ee Yesu, sasa ninataka kusali Baba yetu mara saba
ninakutolea majeraha, maumivu na Damu Takatifu
nikiungana na ule upendo ambao kwao uliitakasa
kutoka katika Kichwa Kitakatifu cha Yesu wakati
sala hii katika Moyo wako. Uichukue kutoka
alipovikwa taji la miiba, kwa ajili ya malipizi ya
mdomoni mwangu hadi moyoni mwako. Uiboreshe
dhambi zangu za rohoni, kwa malipizi ya dhambi
na kuikamilisha hivyo kwamba iupatie heshima na
za rohoni za wanadamu wote, kwa ajili ya ulinzi
furaha kwa Utatu Mtakatifu kama vile Wewe
dhidi ya dhambi za rohoni, na kwa ajili ya kueneza
ulivyoupatia kupitia sala hii wakati ulipokuwa bado
Ufalme wa Kristu hapa duniani.
hapa duniani. Utukuzwe ee Yesu, itukuzwe Damu
Yako Takatifu sana uliyoimwaga kutoka katika
Majeraha Yako Matakatifu.
5. Yesu anachukua Msalaba.

1. Yesu anatahiriwa. Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu ….


Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono
safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu,
Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu ….
ninakutolea mateso ya njia ya Msalaba, hasa donda
Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono
lake la begani na Damu Takatifu iliyomwagika,
safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu,
kwa ajili ya malipizi ya dhambi zangu za ukaidi
ninakutolea Majeraha ya kwanza, maumivu ya
dhidi ya msalaba, na dhambi za ukaidi dhidi ya
kwanza na Damu ya kwanza aliyomwaga Mwanao
msalaba za wanadamu wote, malalamiko yote dhidi
mpenzi, Bwana wetu Yesu Kristu, kwa ajili ya
ya mipango yako mitakatifu na dhambi zote za
malipizi ya dhambi zangu na dhambi za dunia
ulimi, kwa ajili ya ulinzi dhidi ya dhambi za ulimi
nzima, kwa ajili ya ulinzi dhidi ya dhambi ya
na kwa ajili ya upendo wa kweli kwa Msalaba.
kwanza ya mauti, hasa kati ya ndugu zangu.

6. Yesu anasulibiwa.
2. Yesu anatokwa Jasho la Damu bustanini
Gethsemane.
Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu …. Na watakatifu wako nikutukuze
Salamu Maria …. Baba wa Milele, kupitia mikono Milele na milele.
safi ya Maria na Moyo Mtakatifu wa Yesu, Amina.
ninakutolea Mwanao Msalabani, kupigwa kwake
misumari na kuinuliwa kwake, madonda yake
mikononi na miguuni na mifereji mitatu ya Damu
WhatsAppTwitterLinkedInEmail
yake Takatifu iliyomwagika kutoka katika
Sala ya Saa Tisa
majeraha haya, mateso yake makali sana ya mwili
na roho, kifo chake kitakatifu, ukumbusho usio wa Sala za Katoliki / 1 Comment
kumwaga wa damu wa kifo hiki katika Misa zote
Takatifu ulimwenguni, kwa ajili ya majeraha yote
yanayosababishwa na ukaidi wa nadhiri na kanuni
katika madaraja matakatifu, kwa ajili ya malipizi ya
dhambi zangu zote na za ulimwenguni mzima, kwa
ajili ya wagonjwa na wanaokufa, kwa ajili ya Sala ya saa tisa
mapadre watakatifu na walei, kwa ajili ya nia za
Baba Mtakatifu za kukarabati familia za kikristu,
kwa ajili ya kuimarika kwa imani ya kikristu Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho
ulimwenguni, kwa ajili ya nchi yetu na muungano Mtakatifu. A mina
kati ya mataifa ndani ya Kristu na Kanisa lake, na
kwa ajili ya wokovu wa dunia nzima. Yesu, ulikufa, lakini chanzo cha uhai kilitoka kwa
ajili ya watu, na bahari ya huruma ilifunguka kwa
ajili ya ulimwengu mzima. Ee chemchemi ya Uhai,
7. Yesu anachomwa kwa mkuki moyoni. huruma ya Mungu isiyo na mwisho, ikafunika
ulimwengu mzima na ukajimwaga mwenyewe juu
Tafakari fupi (kimya kidogo). Baba Yetu …. yetu.
Salamu Maria …. Baba wa Milele, ukubali
kupokea, kwa ajili ya mahitaji ya Kanisa Takatifu
na kwa ajili ya malipizi ya dhambi za wanadamu
wote, Damu na Maji Takatifu vilivyomwagika
kutoka jeraha la Moyo Mtakatifu wa Yesu.
Utuhurumie. Damu Takatifu ya Yesu, tone lile la
mwisho lililomwagika kutoka katika Moyo wake
Mtakatifu, unioshe mimi na wengine wote dhambi Ee Damu na Maji, yaliyotoka moyoni mwa
zetu zote! Ee Maji kutoka katika Moyo Mtakatifu Yesu kama chemchemi ya Huruma kwetu.
wa Yesu, unioshe na adhabu zote za dhambi zangu Nakutumainia.
na uizime miale ya moto wa toharani kwa ajili
yangu na kwa ajili ya roho zote zilizomo toharani.
(Mara tatu)
Amina.

Katika mwaka wa Kanisa wa kiliturjia, mwezi


Julai ni wa kuiheshimu Damu Takatifu ya Yesu.

WhatsAppTwitterLinkedInEmail WhatsAppTwitterLinkedInEmail
SALA YA MTAKATIFU INYASI ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU

Sala za Katoliki / Leave a Comment Sala za Katoliki / Leave a Comment


Roho ya Kristo unitakase Tumia tasbihi ya kawaida yenye chembe ndogo
Mwili wa Kristo uniokoe 53.
Damu ya Kristo unifurahishe
Maji ya ubavu wake Kristo yanioshe
Mateso ya Kristo nguvu yanizidishie Kwenye Msalaba Sali:
Ee Yesu mwema unisikilize
Katika madonda yako unifiche “Ee Yesu tupe moyo wako kama amana ya upendo
Usikubali nitengwe nawe wako na kimbilio letu, ili tupate pumziko salama
Na adui mwovu unikinge wakati wa maisha yetu na faraja tamu saa ya kufa
Saa ya kufa kwangu uniite kwetu”.
Uniamuru kwako nije Baba Yetu ……..
Salamu Maria ……. (mara tatu) Moyo wa Yesu, unaostahili sifa zote Utuhurumie
Nasadiki ……….. Moyo wa Yesu, unaotawala mioyo yote
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, zinamokaa hazina za hekima na
Kwenye chembe kubwa Sali (Badala ya ‘Baba elimu Utuhurumie
Yetu’): Moyo wa Yesu, uliopendelewa na Mungu Baba
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliotuenezea maziada yake
“Ninakuabudu, ninakutukuza na ninakupenda, Ee Utuhurumie
Moyo wa Yesu wangu mpenzi, uliopenywa na Moyo wa Yesu, mtamaniwa wa vilima vya milele
huzuni nyingi kwa ajili ya dhambi, ambazo Utuhurumie
zimekuwa zikitendwa hata leo, dhidi ya Sakramenti Moyo wa Yesu, wenye uvumilivu na huruma
Takatifu sana ya Altare. Ninakutolea hapo kwa nyingi Utuhurumie
kuridhika, moyo wa Mama yako mpendevu, na Moyo wa Yesu, tajiri kwa wote wenye kukuomba
mastahili ya watakatifu. Amina”. Utuhurumie
Moyo wa Yesu, chemchemi ya uzima na utakatifu
Utuhurumie
Kwenye chembe ndogo sali (Badala ya ‘Salamu Moyo wa Yesu, malipo kwa dhambi zetu
Maria’): Utuhurumie
Moyo wa Yesu, ulioshibishwa matusi Utuhurumie
“Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu, uwakao mapendo Moyo wa Yesu, uliovunjika kwa sababu ya ubaya
kwetu, washa nyoyo zetu kwa mapendo yako” wetu Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliotii mpaka kufa Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliochomwa kwa mkuki
Utuhurumie
WhatsAppTwitterLinkedInEmail Moyo wa Yesu, chemchemi ya faraja zote
LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA Utuhurumie
YESU Moyo wa Yesu, uzima na ufufuo wetu Utuhurumie
Sala za Katoliki / Leave a Comment Moyo wa Yesu, amani na upatanisho wetu
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Utuhurumie
Kristo utuhurumie Kristo utuhurumie Moyo wa Yesu, sadaka ya wakosefu Utuhurumie
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Moyo wa Yesu, unamokaa wokovu wao wenye
Kristo utusikie Kristo utusikilize kukutumaini Utuhurumie
Baba wa mbinguni Mungu Utuhurumie Moyo wa Yesu, matumaini yao wenye kuzimia
Mwana, Mkombozi wa dunia Mungu Utuhurumie kwako Utuhurumie
Roho Mtakatifu Mungu Utuhurumie Moyo wa Yesu, sababu ya furaha ya watakatifu
Utatu Mtakatifu Mungu mmoja Utuhurumie wote Utuhurumie
Moyo wa Yesu Mwana wa Baba wa Milele Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
Utuhurumie dunia Utusamehe Bwana
Moyo wa Yesu uliotungwa na Roho Mtakatifu Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
mwilini mwa Mama Bikira Maria Utuhurumie dunia Utusikilize Bwana
Moyo wa Yesu ulioungana na Neno wa Mungu Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
Utuhurumie dunia Utuhurumie
Moyo wa Yesu ulio na utukufu pasipo mfano
Utuhurumie
Kiongozi: Yesu mwenye Moyo mpole na
Moyo wa Yesu, hekalu takatifu la Mungu
mnyenyekevu,
Utuhurumie
Wote: Ufanye mioyo yetu ifanane na Moyo wako
Moyo wa Yesu, hema la Yule aliye juu Utuhurumie
Moyo wa Yesu tanuru lenye kuwaka mapendo
Utuhurumie TUOMBE: (W) Ee Mungu Mwenyezi milele,
Moyo wa Yesu, nyumba ya Mungu na mlango wa uuangalie Moyo wa mwanao mpendelevu, pia na
Mbingu Utuhurumie heshima na malipo aliyokutolea kwa ajili ya wenye
Moyo wa Yesu, tanuru yenye kuwaka mapendo dhambi, uridhike, uwaondolee wenye kuomba toba
Utuhurumie kwako kwa njia ya huyo Mwanao Yesu Kristo
Moyo wa Yesu, chombo cha haki na upendo anayeishi na kutawala nawe pamoja na Roho
Utuhurumie Mtakatifu, Mungu milele. Amina.
Moyo wa Yesu, unaojaa upendo na wema
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, kilindi cha fadhila zote
Utuhurumie WhatsAppTwitterLinkedInEmail
SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA Ee Kristu,/ nafurahi sana nionapo kwamba
BWANA YESU KATIKA EKARISTI unapendwa/ na kwamba sifa na utukufu wako
vinaongezwa/ hasa ya Huruma yako./ Ee Kristu,/
Sala za Katoliki / Leave a Comment
sitaacha kamwe kuutukuza wema wako na huruma
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/
yako,/ hadi dakika ya mwisho ya maisha yangu./
ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea
Kwa kila tone la damu yangu/ na kwa kila pigo la
kwa ajili yangu,/ nashindwa kuelewa./ Unaficha
moyo wangu/ naitukuza Huruma yako./ Natamani
Ukuu wako usiofahamika/ na kujidhihirisha kwa
kugeuzwa kabisa/ na kuwa utenzi wa utukufu
ajili yangu mimi mnyonge./ Ee Mfalme wa
wako./ Naomba siku ya kufa kwangu/ popote
utukufu,/ unaficha uzuri wako,/ lakini jicho la
nitakapokuwa nimelala,/ pigo la mwisho la moyo
moyo wangu/ linapenya pazia na kuona Majeshi ya
wangu/ liwe utenzi mpendevu/ usifuo Huruma yako
Malaika/ wakikuimbia kwa heshima bila kukoma/
isiyo na kipimo./ Amina
na nguvu zote mbinguni zikikusifu bila mwisho
zikisema:/ “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu..”/
(Na Mt. Faustina Kowalska).
Ni nani awezaye kufahamu Upendo wako/ na
huruma yako isiyo na kipimo kwa ajili yetu!/ Ee
Mfungwa wa Upendo,/ nafungia moyo wangu WhatsAppTwitterLinkedInEmail
masikini/ kwenye Tabarnakulo hii/ ili niweze LITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA
kukuabudu usiku na mchana bila mwisho./ Najua YESU
hakuna kizuizi/ na hata kama naonekana kukaa
Sala za Katoliki / Leave a Comment
mbali,/ lakini moyo wangu u pamoja nawe/ katika
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
ibada hii./ Hakuna kinachoweza kuzuia upendo
Kristo utuhurumie Kristo utuhurumie
wangu kwako./ Kwangu hakuna kizuizi chochote./
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utusikie Kristo utusikilize
Ee Utatu Mtakatifu,/ Mungu Mmoja Baba wa mbinguni Mungu Utuhurumie
usiyegawanyika,/ utukuzwe kwa zawadi yako hii Mwana, Mkombozi wa dunia Mungu Utuhurumie
kuu/ na agano hili la huruma!/ Roho Mtakatifu Mungu Utuhurumie
Utatu Mtakatifu Mungu mmoja Utuhurumie
Moyo wa Yesu Mwana wa Baba wa Milele
Nakuabudu,/ Bwana na Muumba uliyefichika Utuhurumie
katika Sakramenti Takatifu!/ Ee Bwana,/ Moyo wa Yesu uliotungwa na Roho Mtakatifu
nakuabudu kwa kazi zote za mikono yako/ mwilini mwa Mama Bikira Maria Utuhurumie
zinazonifunulia Hekima yako kuu,/ Wema wako na Moyo wa Yesu ulioungana na Neno wa Mungu
Huruma yako kuu./ Uzuri uliousambaza hapa/ Utuhurumie
Uzuri ulio nao Wewe mwenyewe/ ambaye U Uzuri Moyo wa Yesu ulio na utukufu pasipo mfano
usioelezeka;/ na ingawaje umejificha na kusitiri Utuhurumie
uzuri wako,/ jicho langu,/ kwa mwanga wa imani Moyo wa Yesu, hekalu takatifu la Mungu
linafika kwako,/ na roho yangu inapata kumtambua Utuhurumie
Muumba wake/ aliye Uzuri usiopimika,/ ulio juu ya Moyo wa Yesu, hema la Yule aliye juu Utuhurumie
kila uzuri,/ na moyo wangu unazama kabisa katika Moyo wa Yesu tanuru lenye kuwaka mapendo
sala ya kukuabudu./ Utuhurumie
Moyo wa Yesu, nyumba ya Mungu na mlango wa
Mbingu Utuhurumie
Bwana wangu na Muumba wangu,/ wema wako
Moyo wa Yesu, tanuru yenye kuwaka mapendo
wanitia moyo wa kuongea nawe,/ Huruma yako
Utuhurumie
huondoa kiambaza/ kitenganishacho Muumba na
Moyo wa Yesu, chombo cha haki na upendo
kiumbe./ Furaha ya moyo wangu,/ ee Mungu, ni
Utuhurumie
kuongea na Wewe./ Yote ambayo moyo wangu
Moyo wa Yesu, unaojaa upendo na wema
unayatamni nayapata kwako./ Hapa ndipo mwanga
Utuhurumie
wako unaponiangaza akili yangu/ na kuiwezesha
Moyo wa Yesu, kilindi cha fadhila zote
kukujua Wewe zaidi na zaidi/ – ndipo mikondo ya
Utuhurumie
neema inapoutiririkia moyo wangu,/ ndipo roho
Moyo wa Yesu, unaostahili sifa zote Utuhurumie
yangu inapochota uzima wa milele./ Ee Bwana na
Moyo wa Yesu, unaotawala mioyo yote
Muumba wangu,/ licha ya mapaji yote haya,/
Utuhurumie
unajitoa mwenyewe kwangu,/ ili uweze
Moyo wa Yesu, zinamokaa hazina za hekima na
kujiunganisha na kiumbe dhaifu na maskini./
elimu Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliopendelewa na Mungu Baba
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliotuenezea maziada yake
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, mtamaniwa wa vilima vya milele
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, wenye uvumilivu na huruma
nyingi Utuhurumie
Moyo wa Yesu, tajiri kwa wote wenye kukuomba
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, chemchemi ya uzima na utakatifu
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, malipo kwa dhambi zetu
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, ulioshibishwa matusi Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliovunjika kwa sababu ya ubaya
wetu Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliotii mpaka kufa Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uliochomwa kwa mkuki
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, chemchemi ya faraja zote
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, uzima na ufufuo wetu Utuhurumie
Moyo wa Yesu, amani na upatanisho wetu
Utuhurumie
Moyo wa Yesu, sadaka ya wakosefu Utuhurumie
Moyo wa Yesu, unamokaa wokovu wao wenye
kukutumaini Utuhurumie
Moyo wa Yesu, matumaini yao wenye kuzimia
kwako Utuhurumie
Moyo wa Yesu, sababu ya furaha ya watakatifu
wote Utuhurumie
Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
dunia Utusamehe Bwana
Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
dunia Utusikilize Bwana
Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye dhambi za
dunia Utuhurumie

Kiongozi: Yesu mwenye Moyo mpole na


mnyenyekevu,
Wote: Ufanye mioyo yetu ifanane na Moyo wako

TUOMBE: (W) Ee Mungu Mwenyezi milele,


uuangalie Moyo wa mwanao mpendelevu, pia na
heshima na malipo aliyokutolea kwa ajili ya wenye
dhambi, uridhike, uwaondolee wenye kuomba toba
kwako kwa njia ya huyo Mwanao Yesu Kristo
anayeishi na kutawala nawe pamoja na Roho
Mtakatifu, Mungu milele. Amina

You might also like