You are on page 1of 1

FRIENDS CHURCH-KAITUKO

KANISA/RAFIKI………………………………………………………………………………………..
Wakristo wapendwa pokeeni salamu yetu kutoka hapa Kaituko, tunawakaribisha kwenye maombi ya pole
itakoyofanyika nyumbani kwa mshirika wetu Esther Aita ambaye alimpoteza mme wake. Maombi hii
itafanyika tarehe 13-01-2024 kuanzia saa tatu unusu(9:30am) asubuhi, hadi saa tisa(3.00pm) jioni .
Wapendwa kufika kwako itakua baraka kwetu kwa kufanikisha ibada hii. Asanteni na Mungu wetu wa
upendo awatendee mema.
Mimi wako,
Alex Ewoi.
Mchungaji
(0713469102)

You might also like