You are on page 1of 1

TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD IDARA YA CASFETA MOROGORO

MCHUNGAJI KIONGOZI

KANISA LA TAG………….

S. L. P………………………….

MOROGORO.

Ndugu ,

YAH: KUHUDHURIA KONGAMANO LA PASAKA (ESTER CONFERENCE) KWA WANAFUNZI


WA WOTE WA VYUO NA SEKONDARI.

BWANA YESU ASIFIWE!!!!!!

NI matumaini yangu kuwa mnaendelea vizur i na YESU KRISTO anazidi kuwatunza. Husika na kichwa
cha barua hapo juu.

Idara ya CASFETA mkoa wa Morogoro tunapenda kutoa wito wa kuhudhuria kongamano la pasaka yaani
ester conference litakalo fanyika pale dumila kingvision primary school kuanzia tarehe 06/ 004/ 2023
mpaka tarehe 09/ 04/ 2023. wahusika ni wanafunzi wote wa sekondari na vyuo vya kati na vyuo vikuu.

Kila mwanafunzi wa sekondari atatakiwa kuchangia Tsh. 10000/= na mwanafunzi wa chuo Tsh.
15000/= kama ada ya kongamano kwaajili ya malazi na chakula .

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako

wako katika utumishi

Rev. JORDAN PANTALEO

Mratibu CASFETA mkoa

0763646456

You might also like