Professional Documents
Culture Documents
.............................................................................................
S.L.P…………………………………………………………………
1. Nafurahi kukuarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano katika shule
hii mwaka 2019 tahasusi ya HGK /HKL .
2. Shule ya Sekondari Mdabulo ipo umbali wa kilometa 45 Mashariki mwa mji wa Mafinga.
Usafiri wa basi kutoka mjini Mafinga unapatikana katika kituo cha mabasi Mafinga nauli
ni shilingi 4000/=(Elfu Nne). Mabasi huondoka Mafinga saa 7:30 Mchana. Pia kuna usafiri
wa ziada wa NOAH hadi saa 09:30 Mchana kwa nauli ya Tsh. 5,000/=. Wanafunzi
1
wanaotokea mikoa ya mbali watakao chelewa kufika muda wa kuondoka mabasi ni vema
wawasiliane na uongozi wa shule Kwa kutumia namba hizo hapo juu kwa msaada zaidi.
3. Muhula wa masomo unaanza tarehe 08/07/2019. Hivyo unakiwa kuripoti shuleni tarehe
06/07/2019.
4. Mambo Muhimu ya kuzingatia:-
Sare za shule
a) Sketi mbili za kijivu mpauko na ndefu (mshono wa rinda boksi pana nyuma na mbele
na marinda mawili madogo kila pembe)
b) Mashati mawili meupe mikono mirefu
c) Tai mbili za kijivu mpauko
d) Koti moja la kijivu mpauko
e) Sweta la kijivu mpauko lisilo na kofia
f) Viatu vyeusi vya kamba jozi mbili visivyo na kisigino kirefu
g) Soksi nyeupe jozi mbili na kuendelea
h) Hijabu nyeupe isiyokuwa na urembo kwa waislam
i) Nywele zinatakiwa kuwa fupi zinazofaa kuchana
a) Rimu A4 bunda mbili (2) moja mhula wa kwanza na nyingine mhula wa pili
b) Jembe moja (01) jipya lenye mpini
c) Panga (01)
d) Chelewa moja (01)
e) Ufagio laini (Soft Broom) ( 01)
f) Flat file 1
g) Cheti cha matokeo (Result Slip)
h) Cheti cha kuzaliwa
2
4.3. Vifaa binafsi
a) Madaftari makubwa ya kutosha kwa mahitaji yako ya masomo
b) Mkebe wa zana za hisabati (Mathematical set) mmoja
c) Kikokotozi (Calculator) 1 kwa watakaosoma somo la Jiografia
d) Ndoo mbili ndogo za lita 10 zenye mifuniko kwa ajili ya kuchotea maji na kuogea
(Ndoo moja itabaki ofisini kwa ajili ya usafi wa mazingira ya shule)
e) Godoro la futi 21⁄2
f) Blanketi 1
g) Shuka mbili (02), moja rangi ya pinki na nyingine rangi ya blue bahari (light blue)
h) Sanduku linalofunga vizuri (Tranker) kwa ajili ya kuhifadhia nguo na vifaa vingine
i) Tochi au taa ya solar kwa matumizi wakati umeme ukisumbua
j) Vyombo vya chakula kama Sahani, bakuli, kijiko, jagi la maji ya kunywa na kikombe
k) Begi la kubebea daftari
Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000/= unaweza kulipa shilingi 35,000/= kwa muhula
au kulipa yote kwa mara moja.
4
PRESIDENT’S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
MUFINDI DISRICT COUNCIL
MDABULO SECONDARY SCHOOL
To be completed by medical officers in a recognized Hospital in respect of all new entrants of Mdabulo
Secondary School
Full Name………………………………………………………………………………………………….
Age………………………………………………………………………………………………………….
MEDICAL CERTIFICATE
I certify that the above mentioned has been examined and found fit to pursue for further
education
Signature……………………………………………………………………………………………
Designation…………………………………………………………………………………………
Station………………………………………………………………………………………………
Official stamp………………………………………………………………………………………
Date…………………………………………………………………………………………………
5
KUMBUKUMBU MUHIMU ZA MWANAFUNZI
Saini...................................................................Tarehe.............................................
A.HISTORY
1. History 1 by Shibitari
2. History 1 by Salehe Yasin
3. History 2 by Saleh Yasin (Essentials)
4. History 2 by Bakari Madaya
B.GEOGRAPHY
1. A Comprehensive Approach to PHYSCAL GEOGRAPHY For Secondary Schools- by D.T Msabila
2. General Geography in diagrams – by R.B.Bunnet
3. Photography interpretation and Elementary Surveying for Secondary Level New Edition –by S.E.
Dura
4. Certificate Human and Economics Geography –By Morgan and Leong Chan
C.KISWAHILI
(a) USHAIRI
1. Kimbunga – G. Gora (Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili –TUKI) 1994
2. Chungu Tamu –T.A. Mvungi (Tanzania Publisher House) 1985
3. Mapenzi Bora –S.Robert (Mkuki na Nyota) 2003
4. Fungate ya Uhuru –M.S. Khatibu (Macmillan and Aidan) 2007
(b)RIWAYA
1. Vuta n’kuvute -A. Shafi (Mkuki na Nyota ) 1999
2. Kufikirika –S .Robert (Mkuki na Nyota) 2003
3. Mfadhili -Hussein Tuwa (Mathew B/W and stationery) 2007
4. Usiku utakapokwisha (Mbunda Msokile (Macmillan and Aidan) 2007
(c)TAMTHILIYA
1. Morani E. Mbogo (DUP)
2. Kivuli kinaishi –Said Mohamed (Oxford University Press) 2007
3. Kwenye ukingo wa Thim –E. Hussein (University press)
4. Nguzo ya mama –DUP (1982)
D.GENERAL STUDIES
1. General studies (Communication Skills for A –Level M. Kadeghe)
2. General studies notes (For A –LEVEL For V & VI) G. Mshiu and N.Nyangwine
ENGLISH LANGUAGE
1. A complete course for form V & VI –Michael Kadeghe
2. English for form V & VI –BY Michael Kadeghe
3. Teaching English as a foreign language –G. Broughtone et.Al
4. A grammar of Contemporary English –Quirk, et Al
7
5. Longman English Grammar –L.G. Alexander
6. The real English textbook for Advanced Level –by M. Kadeghe
7. Advance English Dictionary
PART II
A. NOVEL
1. The Beautiful One are not yet born –A.K Amah
2. A man of the people –C. Achebe
3. Divine providence –Mkuki na nyota
4. Encounters from Africa –Macmillan
5. The rape of the peal –Macmillan
B. PLAYS/DRAMA
1. Any Enemy of the people –H. Ibsen
2. I will marry when I want –EAEP
3. Rwanda Magere by Okot Omtatah 1991 –Heinemann, Kenya
4. The bride - EAEP
5. Black mamba – EAEP
C.POETRY
1. Selected poem from institute of education
2. The wonderful surgeon and other poem –Mkuki Na Nyota