You are on page 1of 3

57120 Mwengemshindo, 0755174103; 0752400400

P.O. Box 1036, Whatsapp: 0678888880


SONGEA. info@cavendish.sc.tz
Cavendish Pre and Primary School
Nambari ya Usajili EM19566

Mzazi wa:

HUDUMA YA HOSTELI YA CAVENDISH MKUZO

1. UTANGULIZI
Hosteli ya Cavendish MKUZO imekuwa ikitoa huduma za hosteli kwa wanafunzi wetu kuanzia Januari
2022 kwa mafanikio makubwa. Huduma hii ya hosteli inajumuisha masomo ya ziada wakati wa usiku na
siku za mapumziko; usafiri kuja na kurudi shuleni na “remedial” kwa Watoto wenye mahitaji maalumu.

Wanafunzi wa madarasa ya mitihani ndio kipaumbele kwa huduma ya hosteli ili kutoa muda kwa walimu
wetu kuwaandaa na kuwaweka tayari kwa mitihani.

2. GHARAMA ZA HOSTELI
1. Chakula na Malazi 720,000.00 Muda wote anapokuwa Hosteli. Chakula hicho ni staftahi ya
alfajiri na chakula cha jioni kwa siku za masomo, na kwa siku
za mapumziko ni milo minne ambayo mtoto anapaswa kula
kwa siku,

2. Usafiri 100,000.00 Kwenda na kurudi shuleni.


Jumla 820,000.00

Malipo haya yalipwe kwa AWAMU tatu kama ifuatavyo:


Januari April Julai
300,000/= 300,000/= 220,000/=

Malipo yafanyike kwenye akaunti ifuatayo yakionyesha jina la Mwanafunzi na neno “Hosteli” kwenye
mabano:
Jina la Benki: NMB
Jina la Akaunti: CAVENDISH EDUCATIONAL SERVICES
Namba ya Akaunti: 61810050128

3. SARE ZA HOSTELI
Track suit 2 moja ya light blue na nyeusi zenye mistari myeupe.

4. VIFAA VYA MICHEZO


Raba rangi yoyote (isipokuwa nyeupe) na Stockings (soksi ndefu) – pea mbili.

5. VIFAA VYA MALAZI


a. Mashuka mawili (2) rangi ya bluu bahari na Blanketi 1
b. Chandarua kimoja (1) rangi ya bluu
c. Mto (Pillow) na Foronya bluu bahari (Light blue)
d. Pajama (nguo za kulalia/ Night dress) 2
e. Sahani moja (1) na tray ya bati
f. Kikombe kimoja (1) (cha mfupa)
g. Kijiko kimoja (1)

6. VIFAA BINAFSI
a. Ndoo ndogo moja (1) ya lita 10
b. Dawa kubwa za meno mbili (2), na miswaki miwili (2)
1
57120 Mwengemshindo, 0755174103; 0752400400
P.O. Box 1036, Whatsapp: 0678888880
SONGEA. info@cavendish.sc.tz
Cavendish Pre and Primary School
Nambari ya Usajili EM19566
c. Kanda mbili za kuogea jozi moja (1)
d. Viatu vya wazi vya kushindia sandals (aina ya yeboyebo) jozi moja (1)
e. Sabuni za kufulia na kuogea zitumike za mche hivyo alete miche 4 na sabuni ya unga kila nne kwa
muhula
f. Begi moja (1) dogo la kubebea nguo wakati wa likizo
g. Begi moja (1) dogo la kubebea madaftari
h. Kiwi nyeusi kubwa mbili (2)
i. Mafuta ya kupaka mwili ya kutosha
j. Brashi ya viatu moja (1)
k. Leso 5
l. Tranka (kasha la kuhifadhia vitu) na makufuli mawili (2)
m. Mwamvuli moja (1)
n. Chupi nane (8),
o. Soksi nyeupe jozi nne (4)
p. Taulo moja jeupe au bluu
q. Kanga moja (1) kwa wasichana
r. Fedha za matumizi binafsi ya mwanafunzi Tsh. 20,000 kwa mhula ikabidhiwe kwa Matron wa
shule. (kwa muhula)
s. Vifaa vya usafi binafsi mfano taulo za kike (pad) za kutosha
t. Godoro futi mbili na nusu (21/2) na unene inchi 4

7. SHERIA ZA HOSTEL
Chakula
• Utakula chakula kinachopikwa ndani ya shule tu.
• Usipeleke, usitunze,usipike au kuchemsha chakula ndani ya hosteli au katika eneo la shule.

Sare za Hostel
• Utavaa sare za hostel kila siku baada ya muda wa shule na siku za mapumziko
• Nguo nyingine haziruhusiwi. Zikibainika utanyang’anywa na hazitarudishwa.

Usafi na Afya
• Utapaswa kuwa msafi wa mwili na mavazi kila siku
• Utafanya usafi ndani na nje ya hosteli kila siku.
• Utapaswa kutibiwa zahanati unapougua na kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo ya daktari.
• Marufuku kuwa na dawa na kuzitumia bila ya kuwa na maaelekezo ya daktari.
• Ni MUHIMU sana kuwa na BIMA YA AFYA.
Mipaka na Usalama
Shule ina mfumo wa kamera maeneo yote ya nje na ndani isipokuwa maeneo ya kulala, vyoo na mabafu.
Mwanafunzi haruhusiwi kutoka nje ya mipaka ya hosteli bila ruhusa.
Ukibainika umetoroka utafukuzwa hostel na kuwa mwanafunzi wa kutwa.
Ndani ya Hosteli
• Ni marufukuku kumwingiza mgeni yeyote ndani ya hosteli.
• Ni marufuku mwanafunzi kulala nje ya hosteli bila ruhusa ya shule na ridhaa ya mzazi.
• Ukibainika umeiba utafukuzwa shule
• Ni marufuku mwanafunzi kupiga/kupigana.
• Ni marufuku mwanafunzi kwenda kwenye hosteli ya wanafunzi wa jinsia tofauti,
Siku ya Kutembelea Wanafunzi
Siku ya kutembelea wanafunzi ni Jumamosi, kuanzia saa 8 hadi saa 12 jioni. Wanaoweza kumtembelea
Mwanafunzi ni walionainishwa kwenye daftari la hosteli kama wazazi au walezi.

2
57120 Mwengemshindo, 0755174103; 0752400400
P.O. Box 1036, Whatsapp: 0678888880
SONGEA. info@cavendish.sc.tz
Cavendish Pre and Primary School
Nambari ya Usajili EM19566

FOMU YA HOSTELI YA CAVENDISH MKUZO


SEHEMU YA I
1. Jina kamili la Mwanafunzi …………………….……….…………………………….
Tarehe ya kuzaliwa …………………...…., Shule na darasa: ………,…...………………
2. Jina kamili la Mzazi/ Mlezi ……………………………………..………….…………
Mahali anapoishi…………………………… Mtaa ……………..…,,,,,,,,………………
3. Anuani kamili ya Mzazi/ Mlezi ………………………………………………………
Simu (i) …………………………….…… (ii)…………………..……….…………….
4. Je, Mwanafunzi ana matatizo ya kiafya kama? Ndiyo/ hapana.
Kama jibu ni NDIYO yataje ………………………… …………………… …………..,
…………………………………………………… (Ambatanisha vyeti vya daktari)
5. Orodhesha majina MATATU ya wanaotakiwa kuarifiwa kukiwa na dharula:
JINA UHUSIANO SIMU

Sahihi ya Mzazi / Mlezi ……………………………………………………………………………

SEHEMU II
Sehemu hii ijazwe/ Mlezi wa mwanafunzi baada ya kusoma na kukubaliana na masharti na
sheria za kukaa Hostel. (zimeambatishwa)
Mimi ………………………………………….. Mzazi/ Mlezi wa ……………………………
naahidi kumlipia mwanafunzi mtajwa kwa kadri ya uwezo wangu. Nitafuatilia maendeleo yake
kitaaluma na tabia mara kwa mara. Na kufuata taratibu zilizowekwa.

Sahihi: ………………………………………………….. Tarehe: ………………………………

You might also like