You are on page 1of 10

Madiba SecondarySchool

Segerea,Ilala District P.O.Box 75325,DaresSalaam


TEL:0715863766,0765001814,Email :madibasecondary21@gmail.com

FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA SHULE


Utangulizi
Ndg…………………………………………………………………………………………..Uongozi wa shule ya sekondari madiba
unapenda kukupongeza kwa kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na shule yetu. Kwa mwaka wa
Masomo 2023.
Shule ya Sekondari Madiba yenye usajiri Na s.1826,ni shule ya Binafsi iliyosajiliwa na serikali
kama shule ya kutwa na Bweni,ikiwa ni miongoni mwa shule Bora na salama kwa ajili ya
Maendeleo ya elimu kwa mwanao. Shule yetu ina walimu Mahili na wenye uzoefu katika tasnia ya
Elimu na malezi kwa wanafunzi wa rika zote.
Shule inalenga kutoa elimu iliyobora nchini kwa gharama nafuu hasa kwa kizazi cha sasa
kinachosukumwa na uhitaji mkubwa wa habari,sayansi teknolojia na mawasiliano (ICT).
Kimsingi tunatambua hitaji na matamanio uliyonayo mzazi/mlezi kwa sasa. Sisi shule ya
sekondari Madiba tunakuhakikishia kutokuangusha kamwe,wajibu wetu kama Taasisi ni
kusimamia na kulea kipaji cha mwanao na kuendeleza ndoto ambazo ndio kipaumbele kwa kila
mtoto na kuziweka katika uhalisia kwa kuwatumia walimu wetu ambao ni wazoefu na wenye
Taaluma za kutosha kutoka vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini.
NAMNA YA KUFIKA MAHALI SHULE ILIPO
Shule ya sekondari Madiba ikoTabata Segerea-Chama,Manispaa ya Ilala Dar-es salaam
Nchini Tanzania.Ukipanda gari lolote ndani ya Jiji la Dar es salaam, shuka Segerea (mwisho)Bus
Stend,au Kituo cha daladala –chama,(Ofisi za Dawasa Tabata) Hapo unaweza kuuliza Madiba
sekondari.AU wasiliana nasi kwa Namba za simu tajwa hapo juu.
TAALUMA
Nipende kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kuwa na watoto
wema,watiifu na wanaohitaji kujua hatima ya kesho yao kwani ndiyo itakayoaksi mafanikio yao
ambayo ndiyo matamanio yao makubwa ya kuwa hapa Madiba sekondari.Aidha sera yetu kama
shule ni kila Mwanafunzi kupata ufaulu wa Daraja la kwanza Kwa Mitihani yote(ya ndani na nje
ya shule.kwa mwanafunzi anayepata ufaulu chini ya Wastani hataruhusiwa kwenda
Likizo,itampasa kubakia shule na kuendelea kusoma kwa Muda wote wa likizo hadi atakapokuwa
amefaulu mitihani yote ya vipimo kutoka kwa Mtaaluma.
Ikumbukwe kuwa shule yetu ni ya mchanganyiko(wavulana kwa wasichana),kuanzia kidato cha
Kwanza hadi cha Nne hivyo sisi Kama Taasisi tumedumu kubakia kwenye viwango vya Juu vyenye
kwa kuleta Matokeo chanya kitaaluma,Kimaadili na Kiroho pia,kwa kuwa na uongozi mathubuti na
kwa kumtegemea Mungu.

SCHOOL MOTTO. Rising to excellence


VISSION (Maono ya shule) Kuwa Taasisi bora itakayo heshimika kitaaluma nchini katika kutoa
elimu itakayosaidia jamii kujitegemea katika Nyanja zote za maisha.
NB.OFISI ZETU ZIPO WAZI MUDA WOTE, Ndg wazazi kumbuka kuwa wanafunzi wetu
ni wa BWENI Wanatakiwa kukaguliwa kikamilifu na kujaza Fomu maalumu ya makabidhiano
ya Mtoto hapa shuleni.Ufaulu wetu kwa matokeo yote ni Division One hivyo karibu Madiba
sec school,tuungane ktk jukumu hili.Kwa kidato cha kwanza masomo yataanza terehe
03januari 2023
Madiba SecondarySchool
Segerea,Ilala District P.O.Box 75325,DaresSalaam
TEL:0715863766,0765001814,Email:madibasecondary21@gmail.com

I. STUDENT APPLICATION FORM


CLASS INTENDED; …………………………………….. ACADEMIC YEAR ……………………….
FORM NO; …………………………………………..
A. APPLICATION PARTICULARS
1. Student’s full name; …………………………………………………………….
2. Date of birth ……………………………………………… PLACE; ………………………………
3. Nationality; ………………………………………………… Home address; ………………………….
4. Town …………………………………………
5. Female/male; ………………………………….
B. PARENTS/GUARDIANS PARTICULARS
1. Father’s name ………………………………………… Occupation ………………………….
Address …………………. Mobile no; …………………….
2. Mother’s name …………………………… Occupation …………………
Address …………………………….. Mobile no ………………………..
3. Guardian’s father’s name ……………………. Occupation ……………………
Address …………………………….. Mobile no; ……………………………………
C. PARTICULARS OF THE PREVIOUS SCHOOL;
1. Primary school attended; …………………………. Region; ………………………..
2. Address; ………………………………..
3. Examination number …………………………………….. Year; ……………………………..
D. STUDENT’S DECLARATION;
I ……………………………………………… declare that I have read and understand the rules
and regulations of the school and promise that;
1. I will abide by the school rules and regulations.
2. If I fail to meet the school average of 50% I will repeat the class.
Sign; …………………………………… date; ……………………………….
E. PARENT’S DECLARATION;
I …………………………………………… parent/guardian OF …………………………….Agree that;
1. I will cooperate with school administration to make sure my child obidies by all
school rules and regulations.
2. If my son/daughter fails to meet an average of 50% she/he will repeats the
class.
3. Will pay the required school fees and all other payments required for my
son/daughter’s education and well being on time.
Signature; ……………………………….. Date; ………………………………………

SEHEMU B.
SHERIA ZA SHULE

1. Mwanafunzi ngua shule afike muda uliopangiwa.


I. Siku za masomo afike kabla ya saa moja na nusu asubuhi. Akichelewa siku
tatu atatakiwa kujieleza kimaandishi.
II. Mara kengele ikilia ama muda ukifika awepo mahali husika.
III. Kuripoti shuleni KABLA YA SAA KUMI NA MOJA KAMILI JOINI.
2. Uvaaji wa sare ya shule.
Mwanafunzi anapaswa kuvaa sare ya shule ambayo imependekezwa na shule,na ni
lazima iwe katika mtindo wa ushonaji uliokubaliwa na shule.Hivyo mwanafunzi
anapaswa kuzingatia yafuatayo;
a) Kuvaa sare ya shule kwa wakati husika na vazi husika. Kama ifuatavyo;
-Masomo ya darasani
-Wanafunzi wanapotoka nje ya shule
-Mhadhara wa shule
-Wanafunzi wanapokwenda hospitalini
-Maandamano
-Wanafunzi wanaposafiri kuja shule au kwenda makwao wakati wa likizo
b) Kuhakikisha amechomekea vizuri na amevaa vile shule inavyotaka
avae sare.(Hii ni pamoja na kuwa na Tai husika na Viatu husika).
c) Kutochomekea inavyotakiwa na shule,au kutovaa tai, au kutovaa viatu vya
rangi husika au nguo za rangi husika mwanafunzi atahesabiwa kuwa hajavaa
sare ya shule,kwa kuvunja sheria hii mwanafunzi anaweza kupewa adhabu
kali au kusimamishwa masomo kwa muda, (kurudishwa nyumbani)
d) Vazi la kazi livaliwe wakati wa kazi tu.
e) Nguo za michezo zivaliwe wakati wa michezo tu.
3. Makosa yafuatayo yanaweza kumfukizisha mwanafunzi shule ama kupewa adhabu
kali;
I. Kutumia aina yoyote ya kilevi (sigara,mirungi,bangi,pombe n.k)
II. Kujihusisha na masuala ya mapenzi,uasherati,ubakaji na ushoga.
III. Kutoka nje ya eneo la shule bila ruhusa.
IV. Wizi au udokozi
V. Makosa ya jinai
VI. Kupigana au kusababisha kupigana
VII. Kesi ya ujauzito (Mimba)
VIII. Kugoma kutekeleza adhabu.
IX. Kuharibu kwa makusudi mali za shule na Umma kwa ujumla.
X. Kugoma, kuchochea na kuongoza au kuvunja Amani na usalama wa watu
XI. Kuchelewa kufika shuleni wakati wa kufungua shule
XII. Kwenda kinyume na sheria za nchi.
XIII. Kuoa au kuolewa
XIV. Kutoka au kuingia shule bila unifomu ya shule.
XV. Kutoroka,kukamatwa nje ya shule usiku/asubuhi/mchana bila kibari.
XVI. Kudharau Bendera na Wimbo wa Taifa
4. Mwanafunzi hapaswi kufanya mambo yafuatayo awapo shuleni au nje ya
shule,vinginevyo atapewa adhabu kali;
I. Kutumia lugha chafu.
II. Kuingia ndani ya Bweni ya jinsia tofauti.
III. Kukaa ndani ya Bweni muda wa masomo isipokuwa kwa ruhusa maalumu.
IV. Mwanafunzi haruhusiwi kuvaa kofia,viatu vya ghorofa na mapambo mengine
yeyote awapo shuleni (au anapokuwa nje ya shule akiwa na sare ya shule)
V. Mwanafunzi ni lazima awe na kitambulisho cha shule muda wote,hasa
anaposafiri nje ya shule au likizo.
VI. Kutohudhuria subject club na Dibeti,kama ilivyoanishwa kweny ratiba.
VII. Kutohudhuria vipindi vya ibada Au Siku yake ya ibada kama ilivyooanishwa
katika ratiba ya shule.
5. Mwanafunzi awapo darasani anatakiwa kuzingatia yafuatayo vinginevyo
ataadhibiwa;
I. Kutunza ukimya (asipige kelele)
II. Kutumia kingereza kama lugha kuu ya mawasiliano baina ya mwanafunzi
na mwanafunzi au mwalimu na mwanafunzi au mtumishi yeyote ndani ya
shule.
III. Kutokula,kutafuna kitu chochote.
IV. Kutunza usafi wa darasa na vifaa vyote vilivyomo.
V. Kukaa kwa mpango.
VI. Kutosumbua au kusababisha usumbufu kwa yeyote.
VII. Kutotoka ndani ya darasa kwa muda wa vipindi.
VIII. Kutovaa mavazi yasiyoruhusiwa darasani kama,bukta.
6. Mwanafunzi haruhusiwi kuwa na vifaa/vitu vifuatavyo akipatikana navyo
atanyang’anywa na kupewa adhabu.
I. Kitu chochote kinachotumia umeme (redio,heater n.k)
II. Kaseti zilizonakiliwa au zisizonakiliwa mfano (cassette,diskette,cd)
III. Simu za mkononi (mobile phones)
IV. Majalada na picha zisizofaa.
V. Kiwango cha pesa kilichozidi elfu kumi (Tshs 10,000), atatakiwa atunze
kwa walezi/ofisi ya mhasibu wa shule .
7. Kwa wakati wote mwanafunzi anatakiwa kuwa na haiba njema. Kwa hiyo
haruhusiwi yafuatayo vinginevyo ataadhibiwa.
I. Kuwa na nywele ndefu,au kuwa na ndevu.
II. Kujipamba kwa namna yoyote ile( mfano kupaka rangi kucha,kuvaa
hereni,pete n.k pamoja na kuweka dawa nywele.
III. Kuvaa mavazi yasiyofaa.
8. Kwa wakati wote, mwanafunzi atakuwa na Mtunzaji wa mali za shule na zake.kwa
hiyo anapaswa kuelewa yafuatayo;
I. Endapo ataharibu au kupoteza kifaa chochote atatakiwa kulipa gharama
yake.
II. Endapo ataona kitu au kifaa chochote kimeharibika atoe taarifa ofisini.
III. Kila mwanafunzi atakuwa mlinzi wa mwenzie; kutomlinda/kumvumilia
aliyefanya kosa.
9. Mwanafunzi anapougua atoe taarifa mapema kwa Matron/Patron na Uongozi wa
shule.
10. Utaratibu wa kutembelewa mwanafunzi;
I. Mgeni hataruhusiwa kumuona mwanafunzi wa Bweni isipokuwa kwa kibali
maalum.
II. Watu watakaoruhusiwa ni wale walioandikishwa kwenye daftari maalumu
la shule.
III. Wageni wasiojulikana na shule hawataruhusiwa kumchukua mwanafunzi
isipokuwa kwa ruhusa maalumu ya ofisi au kama atakuwa amekuja na
miongoni mwa walioandikwa kwenye daftari maalumu.
11. Utaratibu wa ruhusa ya mwanafunzi;
I. kujaza kibali maalum kinachotolewa na MKuu wa shule.
II. Kibali hiki kitasainiwa na matron,patron kisha Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi
na kurejeshwa Shuleni.
“MUDA WOTE TUMIA AKILI YA KUZALIWA. (Any time use your common sense)”

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;


a) Mwanafunzi anatikwa kutunza heshima yake wakati wote na kuwa na utii
kwa walimu,wazazi/walezi na wakubwa zake.
b) Hauruhusiwa kuwa na chakula cha aina yeyote bwenini.
c) Mwanafunzi anatakiwa kufanya tests zote au majaribio kama ilivyopangwa
katika ratiba,kutofanya mtihani wowote bila sababu ya msingi ni kosa.
d) Mwanafunzi anapotoka shule anapaswa kwenda moja kwa moja
nyumbani/bwenini akingali na sare za shule.Ni marufuku kuzurura mjini au
kusimama hovyo hovyo kwenye kituo cha daladala.
e) Mwanafunzi haruhusiwi kupokea mgeni wa aina yeyote shuleni. Mzazi/mlezi
anaweza kumtembelea mwanafunzi lakini lazima kwanza apate kibali cha
mkuu wa shule au wasaidizi wake.

NB.FOMU YA USAJILI NA YA UCHUNGUZI WA DAKTARI ZIJAZWE NA KURUDISHWA


SHULENI KWA MUDA,IKIWA NI KUFANYA MALIPO YA AWALI YA UNIFOMU ILI KUSHIKA
NAFASI.
SEHEMU C

II. VIFAA VYA LAZIMA KWA MWANAFUNZI ANAVYOTAKIWA AJE


NAVYO SHULENI.

A. KWA AJILI YA MASOMO


1. Counter book 14, mathematical set,ruler,rubber (eraser) Dictionary pamoja
na vitabu vya masomo yafuatayo
Mathematic,Physics,Chemistry,Biology,English,History,Geography,Kiswahi
li,na Civics ( Mwandishi ni TAASISI YA ELIMU) graph pad,penseli na peni
zakutosha,Four Figure.
2. Daftari ndogo(msomi) dozen moja
3. Ream 2 nyeupe na Ruled paper (ream 2) kwa mwaka (zote akabidhi siku ya
kwanza anapofika shule)
B. SARE.
Wavulana na wasichana.
1. Sare za shule;suruali/sketi,shati,tai pamoja na T shirt (ili kuwe na mfanano
sare zote zinapatikana hapa shuleni kwa Bei ya kawaida.
2. Viatu vyeusi na vyenye kisigino kifupi.Na soksi nyeupe
3. Mkanda mweusi kwa wavulana.
C. KWA MATUMIZI YA BWENINI
WAVULANA NA WASICHANA.
i)Sare ya Bwenini, suruali/sketi nyeusi na T shirt ambazo zinapatikana shuleni.
1
ii) Godoro (2 x4x6), Chandarua, shuka 2 za light Blue wavulana na Pinki kwa
2
wasichana.
iii)Ndoo moja ndogo,Sanduku la chuma (trunk) na kufuli.
Sabuni za kufulia za kutosha, Dawa ya mswaki,Dawa ya viatu (kiwi)
iv)Nguo za kulalia usiku (Night dress)Tracksuit (Rangi nyeusi kwa wasichana Na
lightblue kwa wavulana zinapatikana kwenye Duka la shuleni kwa bei nafuu sana)
v)Ndala pea moja taulo na nguo za ndani za idadi ya kumtosha.
D. KWA AJILI YA MICHEZO
-Bukta moja nyeusi na T-shirt moja nyekundu, zinapatikana kwenye Duka la shule.
-Viatu vya raba (sports shoes)
E. KWA AJILI YA CHAKULA
Vyombo vya chakula vinapatikana shule.
F. KWA AJILI YA IBADA
Mwanafunzi aje na Biblia/Quran na Daftari Dogo kulingana na Dini anayoabudu.
G. KWA AJILI YA KUTUNZA KUMBUKUMBU
Fomu ya uchunguzi wa afya (medical form), fika na Faili kubwa(Box File) la
kuhifadhia mitihani yake yote.
H. UFIKAPO SHULENI
Nenda moja kwa moja ofisi za utawala wa shule ili kupata maelekezo na utaratibu
wa mapokezi.
SEHEMU. D

GHARAMA ZA KUJIUNGA NA SHULE

1. ADA
I. BWENI (BOARDING) Kwa Mwaka Tshs. 1,400,000/=

ADA YA BWENI NAMNA YA ULIPAJI WA ADA KWA AWAMU

MUHULA WA KWANZA(tsh 700,000/=) MUHULA WA PILI(tsh 700,000/=)

January April July Sept


400,000/= 300,000/= Tshs.400,000/= Tshs.300,000/=

JUMLA YA ADA KWA MWAKA BWENI NI TSH. 1,400,000/=

2.MICHANGO MINGINE/OTHER CONTRIBUTIONS

I. ADMISSION FEE
REGISTRATION FEES Tshs. 10,000/=
IDENTITY CARD Tshs. 10,000/=
CAUTION MONEY Tshs. 30,000/=
LIBRARY Tshs. 20,000/=
ENVIRONMENT Tshs. 20,000/=
GRADUATION FEES Tshs. 10,000/=
HEALTH CONRIBUTION, PER YEAR TSh. 50,000/=
Total Tshs 150,000/=
II. UNIFORM
A. CLASS UNIFORM
2 pairs of class wear, trousers/skirts
2 Pairs of shirts, ties,
B. DOMITORY WEARS
2pairs ofSkirts and T-shirts for girls
2 pairs of trousers and T-shirts for boys.
TOTAL AMOUNT FOR SCHOOL UNIFORM Tshs. 200,000/=

NB; Malipo yote,Ada Pamoja na Michango Mingine ilipwe kwa Account ya


shule,HATUPOKEI PESA MKONONI.

Jina la Akaunt Madiba Sec school,Akaunt


Na.0150649704600,Jina la Benki ni CRDB
.Leta pay slip ya Malipo shule.
Madiba SecondarySchool
Segerea,Ilala District P.O.Box 75325,DaresSalaam
TEL:0715863766,0765001814,Email:madibasecondary21@gmail.com

REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION


TO; MEDICAL OFFICER FROM THE HEADMASTER
………………………………………….. Madiba Secondary School.
DATE ………………………………
Full name …………………………………………………………. Age ……………………………………
Please examine the above named student as to his/her physical and mental fitness for
entrance to this school.
Blood count (red &white) …………………………………………………………………………………………………..
Stool examination ……………………………………………………………………………………………………………….
UTI ………………………………………………………………………………………………………………………………………..
TB test ………………………………………………………………………………………………………………………………….
Syphilis test/venereal disease ……………………………………………………………………………………….
Eyes test ……………………………………………………………………………………………………………………………..
Ear test ………………………………………………………………………………………………………………………………..
Chest/limbs …………………………………………………………………………………………………………………………
Spleen test ………………………………………………………………………………………………………………………….
Abdominal test …………………………………………………………………………………………………………………..
Leprosy …………………………………………………………………………………………………………………………………
Epilepsy …………………………………………………………………………………………………………………………………
Asthma …………………………………………………………………………………………………………………………………..
Heart problem ……………………………………………………………………………………………………………………..
Kidney ……………………………………………………………………………………………………………………………………
Haptic ulcers ………………………………………………………………………………………………………………………..
Sickle cell anemia
……………………………………………………………………………………………………………………………..
Blood pressure ……………………………………………………………………………………………….
Check case of pregnancy in girls …………………………………………………………………
Additional information eg.physical defects or impairments (which require special care)
chronic or family diseases …………………………………………………………………………………………..
MEDICAL CIRTIFICATE
(To be completed by the medical officer)
I have examined the above named student and consider him/her physical and mentally
fit/unfit to join the school.
Date ………………………………………………………………………Signature ………………………………………………..
Station ……………………………………………………….. Destination ……………………………………………………
FORM MAALUMU YA MZAZI AU MLEZI WA MWANAFUNZI
Fomu hii ijazwe na Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi,ikiwa ni pamoja kuweka taarifa Muhimu
za Mzazi zitakazosaidia shule kwenye hili Jukumu la Malezi na taaluma kwa Mtoto kwa
kipindi chote atakapokwa hapa Madiba sekondari.

(i)MAJINA YA WAZAZI/WALEZI

(i) Baba______________________________ Namba ya simu ______

(ii) Mama _____________________________Namba ya simu ______

MAHALI ANAPOISHI(jina mashuhuri) _________________________

KAZI YA BABA ________________________________

KAZI YA MAMA ________________________________

JINA LA MLEZI/NDUGU WA KARIBU ___________________________

NAMBA YA SIMU MLEZI/NDUGU WA KARIBU ____________________

Hivyo,Mimi……………………………………………………………nimesoma na kuelewe sheria na Taratibu


zote za shule.hivyo nimekubali Mtoto wangu………………………………………………………….kidato
cha………………mwaka…………………..kujiunga na shule hii ya sekondari madiba leo
tarehe………………………….Hivyo nitafuata taratibu na maelekezo yote yatakayotolewa na
shule ikiwa ni pamoja na kulipa Ada na michango yote kwa wakati na kufuatilia
Maendeleo ya mwanangu,kitaaluma,kimaadili na kiroho kwa muda wote atakapokuwa
hapa shuleni.

Saini ya Mzazi/Mlezi(BABA) ___________________tarehe----------------

Saini ya Mzazi/Mlezi(MAMA)_________________ tarehe----------------

Picha ya Picha ya Mama


Weka picha hapo
Baba

MAELEZO KWA UONGOZI WA


SHULE-----------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------JINA LA MKUU WA SHULE
____________Saini ______Tarehe ________

NB .KWA WANAFUNZI WA MADARASA YA MTIHANI WA TAIFA(NECTA)


KIDATO CHA II, , IV.WANAPASWA KUCHANGIA.

A.) KIDATO CHA PILI.

1. Mtihani wa taifa na mock zote tsh.100,000/=


2. Fedha ya mitihani ya majaribio kwa mwaka mzima (wote form II na IV)
Tshs.50,000/= JUMLA Tshs. 150,000/=

B.)KIDATO CHA NNE.

 Mtihani wa taifa na mock zote kidato cha IV ni Tshs.120,000/=


 Fedha ya mitihani ya majaribio kwa mwaka mzima (wote form II
na IV) Tshs.80,000/= JUMLA Tshs 200,000/=
 MCHANGO WA MAHAFALI TSH 100,000/=

You might also like