TAREHE 30/05/2023, SIKU YA JUMANNE RISALA FUPI KWA MGENI RASMI. 1. UTANGULIZI Ndugu mgeni Rasmi, Ndugu Meneja wa Misitu Tarafa ya tatu, Ndugu Mwenyekiti wa kijiji cha Ihalimba, Ndugu Mtendaji wa Kijiji cha Ihalimba, Ndugu wafanyakazi wa misitu tarafa ya tatu, Ndugu wanakijiji cha Ihalimba, Ndugu wageni waalikwa wote, Ndugu marafiki wa Marehu Edward Simon Gavambale Kalole na wanafamilia wote. Kamwene, Mnoge yi-nyenye, Bwana yesu asifiwe, Tumsifu yesu kristo, Asalam Aleikum. Wakubwa kwangu wote shikamooni, na wa rika langu mambo vipi, wadogo kwangu hamjambo, nawakaribisha sana Katika Kumbukizi na Kuenzi maisha ya mpendwa wetu Marehemu Edward Simon Gavambale Kalole.
Ndugu mgeni Rasmi: Kwa heshima kubwa napenda kukushukuru
wewe kwa dhati kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika hafla hii ya kuenzi Maisha ya Marehemu Edward Simon Gavambale Kalole. Pia, natambua na kukupongeza kwa kazi kubwa unayoendelea kuitendea kata yetu pamoja na Taifa kwa ujumla, inguluvi ye-yina mbefili yikukwamilage ili watanzania waweze kuendelea kulijenga Taifa vema kupitia utendaji wako adhimu. Ndugu mgeni Rasmi: shule ina miundo mbinu ya kisasa na ya kutosha .Shule ina jengo la utawala lenye sifa za viwango vya juu .Shule ina madarasa 14 ambayo mpaka sasa yanayotumika ni tisa na mengine matano yapo hatua za mwisho kukamilika ,Shule ina vyoo vya kisasa kwa wanafunzi wote yaani wanafunzi jumuishi. Ndugu mgeni Rasmi :shule ina uzio, unaofanya shule iwe salama , kwa wakati wote.Shule ina viwanja kwa ajili ya michezo kwa watoto.
MAFANIKIO.
Ndugu mgeni Rasmi :shule imefanikiwa kutoa elimu bora kwa
watoto ,kwasababu ya kuwa na walimu bora na watumishi bora sana kwa kila idara. Ndugu mgeni Rasmi: shule ya msingi Jordan imefanikiwa kuwafundisha wanafunzi kwa ufasaha na matokeo yake ,watoto wanakuwa mfano huko mitaani. Ndugu mgeni rasmi: shule ya msingi Jordan imefanikiwa kufanya mitihani ya kitaifa ambapo wanafunzi wake wamefaulu kwa daraja A. CHANGAMOTO. Ndugu mgeni Rasmi: shule ina changamoto ya ukumbi kwaajili ya wanafunzi kutumia wakati wa chakula ,mikutano, michezo ya ya ndani na sherehe mbalimbali zinazohusu shule kama vile ;Mahafali ya kumaliza darasa la saba na mahafali kama ya siku ya leo. Japo kwa sasa tumeanza hatua ya msingi . Ndugu mgeni Rasmi:katika ujenzi wa bweni tumefikia hatua ya boma Ndugu mgeni Rasmi: shule ina upungufu wa vifaa vya michezo ususani mpira wa pete (netball) , mpira wa miguu, na mpira wa mikono (basketball) SHUKRANI. Nawashukuru Wazazi wote kwa kuiamini Jordani na kuichagua Jordani, kuwa ni shule bora kwa watoto wao nawashukuru sana, kwa uamuzi wenu huo . Nawashukuru walimu wote waliohusika kuwafundisha na kuwaandaa watoto mpaka kufika siku ya leo wakiwa tayari ni watarajiwa wa darasa la kwanza mwaka 2023. Nawashukuru sana,bodi ya wakurugenzi kwa ushirikiano wao wa kutuandalia na kufanikisha mahafali ya siku ya leo. Tunakushukuru sana Mgeni Rasmi kwa kukubali kuja kushiriki nasi siku ya leo katika mahafali hii ambayo ni muhimu sana kwa watoto wetu . Mwisho: Nawakaribisha sana wazazi wote kwa mwaka wa masomo 2023.Hapa ndipo mwanao atakaposoma na kupata ufaulu wa daraja A. Mwisho kabisa:Nikuombe mkurugenzi mkuu wa Jordan ,uweze kumwinua mgeni Rasmi ili aweze kusema machache. Ahsanteni kwa kunisikiliza.