You are on page 1of 9

MINISRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY

STD II-2020
SUBJECT: ENGLISH

NAME: ……………………………………………. DATE ………………..

1. What is your name ____________________________


Write in words

2. 27 _______________ 3. 101______________ 4. 30_________________

Write in numbers
5. One hundred ________ 6. Sixty six _________ 7. Eight _____________

Write in capital letters


8. house ____________ 9. rubber ___________ 10. dog _____________

Write in small letters


11. PEN _____________ 12. DOOR ____________ 13. BED _____________

Choose the correct answer from the bracket


14.
This is a ________________ ( house, flower, pen )

15.
Water is ________ the glass ( on, under, in )

16. This is a __________ ( bell, ball, bone)

17. This is a _________ (cat, cup, cow)

18. This is a ( hen, snake, goat)

19.
This is a ( chair, table, bone)

20 How many eggs are there in the box . there


are ________ in the box ( two, six, five)
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA II-2020
SOMO: KUTUNZA AFYA
JINA ………………………………….. TAREHE………...

JAZA NAFASI ZILIZO ACHWA WAZI


1. Baadhi ya vyanzo vya maji ni _________________

2. Maji safi na salama ni yale ______________________

3. Dalili mojawapo ya UKIMWI ni ______________________

4. Unaweza kupata ugonjwa wa UKIMWI kwa ______________________

5. Vyakula hutokana na mimea na _____________________

6. Nyuki hutupatia ___________________

7. Mpunga hutupatia ____________________

CHAGUA JIBU KATIKA MABANO


8. Jua hutoa _____________ ( joto, baridi )

9. Sweta huvaliwa wakati wa ___________ ( baridi, joto )

10. Kucha ndefu huficha __________________ ( uchafu, usafi )

11. Kazi ya ulimi ni _______________ ( kuonja, kula )

12. Kazi ya ngozi ni _________ ( kuhisi, kuoga)

JAZA NDIO AU HAPANA


13. Maji yaliyochemshwa ni salama ___________________________

14. Mboga za majani na matunda hulinda mwili ______________________

15. Mizoga hutoa hewa chafu __________________________-

16. Kuna aina nne za vyoo ____________________________

17. Tuna piga pasi nguo ili kuua vijidudu ____________________

ANDIKA MAJINA YA VITU VIFUATAVYO


18.
19.

20.
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA II-2020
SOMO: MICHEZO NA SANAA
JINA ………………………………….. TAREHE………...

CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Bata ana sehemu kuu …………….. (kumi, saba)

2. Sehemu za mti ziko …………….. (sita, tatu)

3. Ukili hutengenezea …………….. (vyungu, mkeka)

4. Mwili wa samaki umefunikwa na …………….. (magamba, masikio)

5. Merikebu hutembea …………….. ……………(majini, vumbi)

JAZA NAFASI ZILIZO WAZI


6. Mpira huchezewa wapi? …………………………………

7. Udongo wa mfinyanzi hutengeneza ……………………….

8. Majani ya miti yanakaa ……………………….. ya mti

9. Tunachora kwa kutumia ……………………………….

10. Lipiku ni picha ya ………………………………………….

ANDIKA NDIO AU HAPANA


11. Rangi hupendezesha picha ……………………………………

12. Picha ya njiti ina mstari mmoja …………… ……………..

13. Picha ya bati ina mistari miwili ………………………….

14. Lipiku haivaliwi usoni ……………………………………

15. Udongo wa mfinyanzi hutengeneza sufuria ………………

ANDIKA MAJINA YA PICHA HIZI


16.

__________________________

17.

_________________________

18.
___________________________

19.

__________________________

20.

______________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA II-2020
SOMO: KISWAHILI
JINA ………………………………….. TAREHE………...

Tumia irabu a, e, i, o, u
Kujaza nafasi wazi ili uunde neno la kiswahili
Mfano:- S___f___r____ _____ = sufuria

1. L ___o = _______________

2. S____ b____ b _____ = _________________

3. k _______ k ____ = _________________

Huyu, hii, hiki, hili, huu

Chagua neno kwenye kisanduku ujaze nafasi wazi:

4. ………………………………. Ni mtoto wetu

5. ……………………………….ni kibanda chao

6. ………………………………ni barua aliyoniandikia

7. ……………………………….ni gari lao

8. ……………………………….ni ugali wa watoto.


Andika kwa tarakimu:
9. Mia tano kumi na tano…………………
10. Mia tisa arobaini na tatu……………….
11. Mia nne hamsini na sita ………………..
Andika maneno haya katika umoja

12. Vijiko ……………………………

13. Vikapu ……………………………


14. Wadudu ……………………………

15. Macho ……………………………

CHAGUA JIBU SAHIHI:


16. Madirisha makubwa yanaingiza ………………wa kutosha (joto, mwanga)
17. Sijasoma kitabu ……………………………ninaumwa (kwa sababu, kwa mfano)
18. Mchuzi umeungwa kwa ……………………………………. (matunda, nazi)
19. Shati langu lilipochanika nililipeleka kwa …………………………(fundi, mpishi)
20. Nawa mikono yako ………………………………………ya kula (kabla ya,
kuliko)

Taja majina ya picha hizi

21. __________ 22.___________ 23._______________

24.______________ 25. ___________


WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA II-2020
SOMO: KUHESABU
JINA ………………………………….. TAREHE………...

ANDIKA KWA TARAKIMU


1. Mia tano = ______________
2. Mia nne hamsini na saba = ____________
3. Mia tisa sitini na tisa = _______________

FAFANUA NAMBA
MAMIA MAKUMI MAMOJA
4 748
5 202
6 681

KUJUMLISHA NA KUTOA
7. 21 + 4 – 3 = 8. 323 + 270 = 9. 87 – 52 = 10. 174 – 105 =

11. 588 12. 212 13. 796


+ 2 + 142 - 254
____ ______ ______

14. 234 + 13 + 421 = 15. 716 + 345 + 252 =

16. 600 17. 857 18. 154 19. 777


- 246 - 59 223 +222
_____ _____ +121 _____
____

20. 865 – 325 = 21. 713 – 284 = 22. 569


-544
____
FUMBUA MAFUMBO
23. Rafaeli alikuwa na ng’ombe 489. Akauza ngombe 359. Alibakiwa na ng’ombe
wangapi?

24. Mama alinunua vifaranga 200 mwezi januari mwezi wa mei alinunua tena
vifaranga 300 Jumla ni vifaranga wangapi?

ANDIKA NAMBA INAYOKOSEKANA

25. 1000, 900, 800 _______ 600, 500, 400, 300, 200, 100
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA II-2020
SOMO: KUSOMA
JINA ………………………………….. TAREHE………...

SEHEMU A: SOMA MANENO HAYA KWA USAHIHI

Vyura Udongo, Jua, Vyakula, Mchezo,

Mboga

Mwezi, Ngamia, Mbuni, Wadudu, Mbalamwezi, Kofia

Mwalimu, Nazi, Punda, Mgomba, Vipepeo,

Maua

Taa, Magazeti, Shule, Nyumba.

SEHEMU B: SOMA SENTENSI KWA USAHIHI

1. Mimi ninachora picha.

2. Yule ni mwanafunzi wa darasa la pili.

3. Kaa kwenye kiti

4. Kesho tunafanya mtihani.

5. Pendo anasoma kitabu

6. Tunaimba na kucheza ngoma.

7. Juma amechomoa pochi.

8. Kiganja cha mkono kina vidole vitano.

9. Kuku ametaga mayai.

10. Nuru anasoma shule ya awali.

You might also like