You are on page 1of 2

OFISI YA RAIS-TAMISEMI

HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA


MTIHANI WA KUJIANDAA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI - 2023
SOMO: HISABATI DARASA: VII MUDA: SAA 2
Mtihani w a Kujipima – Darasa VII – Juni 2021

SEHEMU A: 19.Idadi ya wanafunzi shuleni kwetu ni 1500.


1. Kampuni fulani iligawa miche 6363 kwa Iwapo kila mwaka wataandikishwa
vijiji saba vya kata yetu. Je kila kijiji wanafunzi wapya 150, je baada ya miaka 5
kilipata miche mingapi? shule itakuwa na wanafunzi wangapi?

2. 350550 – 150542 =(Andika jibu kwa maneno) 20.Kamanda alitembelea vituo vifuatavyo.
A(-2,-3), B(+1,-3), C(+1, 0) na D(-2,0).
3. Kuna 0.125 ngapi katika ? Baada ya kumaliza safari yake alitengeneza
umbo gani?
4. Tafuta zao la namba tasa zilizopo kati ya
21.Tafuta eneo la umbo lifuatalo:
50 na 60
sm 10
5. Tafuta tofauti kati ya namba witiri ndogo
zaidi na kubwa zaidi zilizopo kati ya 80 na
98.

6. Sehemu rahisi ya ( ) ni ipi? sm 5

22.Kasha likiwa na vitabu 9 ndani yake


7. Ni namba gani ikijumlishwa na 150,542
linakuwa na uzito wa kg 14.7. Ikiwa kasha
jibu lake ni 200,008?
hilo likiwa tupu lina uzito wa kg 1.2, tafuta
8. Andika thamani ya tarakimu ya kwanza uzito wa kila kitabu.
katika namba hii; 72,262,189 23.Tafuta thamani ya ‘m’, iwapo (3m + 45) na
(2m – 5) zinaunda pembe nyoofu?
9. Jumlisha 125% ya sh. 16000/= na 1 ya
sh. 10000/= 24.Zawadi alichanganya unga wa mahindi na
unga wa ulezi kwa uwiano wa 4:3. Ikiwa
10.Andika saa kumi na mbili kasorobo jioni mchanganyiko huo ulifikia kg 1400, tafuta
kwa mtindo wa saa 24 kilogramu za unga wa ulezi.
p
11.Tafuta kipeuo cha pili cha; √ 25. Tafuta ukubwa wa
pembe ‘p’
12.Kitabu kimoja cha Hisabati kina kurasa
80. Je vitabu 12 vitakuwa na kurasa ngapi 370
jumla? (Andika jibu kwa kirumi)

13.Toa: 15.21 x 10 kutoka 2.3 x 100


26.Bei ya redio ni shilingi 46,000/-. Ikiwa bei
14. Ni nini tofauti ya saa 3 dakika 15 na saa
hii itaongezeka kwa 5 %, Je, kiasi gani cha
2 dakika 45?
fedha kitakuwa kimeongezeka?
15. ‘M’ inasimama badala ya namba gani
katika mfululizo huu? 81, -27, M, -3, 1. 27.Tafuta eneo la umbo
hili. (Tumia = )
16. Nini thamani ya; (-41) – (-25) =

17. Jora la nguo lina urefu wa meta 38 . sm 14


Iwapo jora hilo litakatwa katika vipande
11 vinavyolingana, tafuta urefu kila
kipande.
28. Daudi anapata posho ya sh. 54,000/=.
18. Deus hufanya mazoezi kila baada ya siku Anatumia sh. 25,000/= kwa chakula na
7, Romana hufanya kila baada ya siku 4. sh. 11,000/= kwa mavazi na kiasi
Ni baada ya siku ngapi Deus na Romana kinachobaki anaweka akiba. Je ni sehemu
watafanya mazoezi kwa pamoja? gani ya posho yake anaweka akiba?
29.Gharama ya kuongea kwa simu ya 37.Joji alinunua kalamu kumi na mbili elfu na
mkononi ni sh. 300 kwa dakika 3 za mia nne na Sofia akanunua kalamu robo
mwanzo na sh. 100 kwa kila dakika ya kalamu za Joji. Jumla walinunua kalamu
inayoongezeka. Tafuta gharama ya ngapi?
kuongea kwa dakika kumi
38.Chande alikula ya muwa na rafiki yake
30.Tafuta ukubwa wa alikula muwa huo mara tatu ya kipande
pembe OQP ikiwa alichokula Chande. Je, ni sehemu gani ya
O ni kitovu cha O muwa ilibaki baada ya wote wawili kula
duara. vipande vyao?
1200
39. Tanki la maji lina urefu wa sm 200, upana
P Q wa sm 150 na kimo cha sm 100. Utachota
maji mara ngapi kujaza tanki hili kama
utatumia kopo lenye ukubwa wa sm3 60?
31.Kampuni iliuza kwa mnada magari sita.
Magari matatu yaliuzwa kwa shilingi 40. Nikiwa na sh. 40,000/=, nitakuwa
850,000 na magari mawili yaliuzwa kwa nimepungukiwa kiasi gani kununua vitu
shilingi 750,000. Ikiwa thamani ya magari vifuatavyo? Jozi 2 za viatu @sh. 9,500/=,
hayo kwa jumla ilikuwa shilingi 2,000,000. suruali 3 @sh. 7,200/= na jozi 2 za soksi
Nini gharama ya gari la tano. @sh. 1,500/=.

32.Tafuta eneo la SEHEMU B:


mraba huu;
Kokotoa kwa kuonesha njia
sm (3k + 4)

41. Nini thamani ya x katika: 3x2 + 9 = 36

42. Eneo la mche duara ulio wazi pande zote ni


sm (2k + 5) sm2 880. Iwapo kipenyo chake ni sm 14,
tafuta kimo chake
33.Shimo la choo cha shule linaweza
kuchimbwa na watu 12 kwa muda wa siku 43.Kielelezo cha duara kifuatacho kinaonesha
4. Ikiwa watu 4 zaidi wataongezeka, Je namna Ali alivyotumia
kazi hiyo itafanywa kwa siku ngapi? mshahara wake wa sh.
420,000/=. Alitumia 2 0.2
34.Umri wa Hassani ni ya umri wa baba kiasi gani kwa nauli? 5
yake. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka
0.2
60. Je, Hassani ana umri wa miaka
mingapi?

35. Tafuta thamani ya ‘p’


44.Gari lilisafiri kwa muda wa saa 2 na dakika
45 kwa mwendokasi wa km 80 kwa saa.
5p
Tafuta umbali wa safari hiyo.
4p

36.Abdul aliweka 20% ya amana yake ya 45.Boaz alikimbia kuzunguka uwanja huu
sh. 500,000/= katika benki inayotoa riba mara mbili. Je alikimbia kilometa ngapi?
kiasi cha 12% kwa mwaka. Ikiwa alipata
sm 700

riba ya sh. 36,000/=. Je aliweka pesa


zake kwa muda gani?

sm 1100

You might also like