You are on page 1of 4

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA

MTIHANI WA NUSU MUHULA WA KWANZA

SOMO LA SAYANSI NA TEKNOLOJIA DARAS LA IV

            MUDA;1:30                   APRILI 2022


1.Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye boksi

i/Mazingira hujumuisha viumbe hai na_______

A.wanyama

B.Visivyo hai                                  / /

C.Mmea

D.Mawe

ii/Dizel,Petrol,Makaa ya mawe na Gesi asilia kwa pamoja huitwa_____

A.mafuta

B.fuel

C.umeme / /

D.yote sawa

iii/______hutambua ladha ya vitu mbalimbali

A.Pua

B.ulimi

C.macho / /

D.ngozi

iv/Kifuatacho ni chanzo kikuu cha asili cha mwanga

A.Nyota

B.Jua

C.Radi / /

D.Kibiriti
v/Gesi ipi hutumiwa na wanyama ili kuishi?

A.Oksijeni

B.Kaboni

C.Haidrojeni / /

D.Nitrojeni

2.Oanisha kutoka kifugu A na yale kifungu B

i. Jokofu A. Njia ambaypo umeme hupitia au hutiririka

ii. Redio B. Ni jiko ambalo hutumia mafuta ya taa ili


kutoa moto
iii. Jiko la mafuta ya taa
C. Nyuki
iv. Sakiti ya umeme
D. Kifaa kinachonasa mawimbi ya sumaku na
v. Mdudu hatari kuyabaili kuwa mawimbi ya sauti

E. Hutumika kuhifadhi barafu ili zisiharibike

F. Panzi

3.Jaza nafasi zilizo achwa wazi


i.Mwanga husafiri katika _______

ii.Viumbe hai ni wanyama na ________

iii/Makazi ya samaki ni________

iv.Hewa ni mchanganyiko wa _________mbalimbali.

v.Unapotazama kioo unaona ________ya usowako kwenye kioo

4.Andika KWELI au SIKWELI katika sentensi zifuatazo

i.Mwezi una mwanga wake wa asili__________

ii.Sauti iliyo akisiwa huitwa mwangwi_________

iii.Vyakula vya vitamini hupatikana katika matunda _________

iv.Kirefu cha UKIMWI ni ukosefu wa kinga mwilini__________

v.Ukataji miti ovyo unaboresha mazingira ___________

5.Soma habari ifuatayo kisha jibu swali namba 5

Maji yako katika hali tatu ambazo ni yabisi, kiminiminika na gesi.Katika hali yabisi maji huitwa 
barafu ,vilevile joto linapoongezeka barafu huyeyuka na kuwa maji,hali hiyo ya maji huitwa
kimiminika. Pia joto linapoongezeka hadi nyuzijoto sentigredi 100, maji hayo huchemka na kutoa
matone madogomadogo ya maji ambayo ni mvuke hivyo maji katika hali ya mvuke huitwa gesi

Kizingiti cha mgando wa maji ni nyuzijoto za sentigredi O au farenaiti 32 na kizingiti cha


mchemko wa maji ni nyuzijoto za sentigredi 100 au farenaiti 212.Kizingiti cha mgando wa maji ni
muhimu kwasababu husaidia kuhifadhi vyakula na vinywaji na kizingiti cha mchemko wa maji husaidia
kupata maji safi na salama

MASWALI

i.Kulingana na habari uliyosoma maji yapo katika hali ngapi__________

ii.Umuhimu wa kizingiti cha mgando wa ,maji ni_________

iii.Maji ktika hali yabisi huitwa _________


iv.Maji katika hali ya gesi huitwa________

v.Maji yaliyo katika nyuzijoto za farenaiti 212 yapo katika aina gani ya kizingiti cha
maji________

You might also like