You are on page 1of 12

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

DARASA LA IV-2020
SOMO: KISWAHILI
JINA …………………………………………….. TAREHE………...

Jibu maswali yote


IMLA
1. Sikiliza na andika sentensi Kwa usahihi.
i. _____________________________________
ii. _____________________________________
iii. _____________________________________
iv. _____________________________________
v. _____________________________________
2. MATUMIZI YA LUGHA
Chagua herufi ya jibu lililo sahihi.
i. Nilikunywa maji ______________nilipotoka shuleni.
A) Nyingi B) Vingi C) Mengi D) zingi ( )
ii. Ninaomba umpe maji _____________kunywa.
A) za B) cha C) ya D) wa ( )
iii. Ndege amejenga_______________kwenye tawi la mti.
A) banda B) kiota C) barabara D) zizi ( )
iv. Walijipanga juu ya______________wakaimba nyimbo nzuri.
A) meza B) daraja C) jukwaa D) nyasi ( )
v. Dada amevaa_________________za dhahabu masikioni
A) bangili B) mkufu C) hereni D) kipini ( )
3. METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI
Chagua herufi ya jibu lililo sahihi.
i. Kwenda haja ni _________
A) kula chumvi nyingi B) kuzunguka mbuyu ( )
C) kujisaidia haja kubwa au ndogo D) kuzunguka polisi
ii. Utatumia methali ipi kuonesha kuwa wanafunzi wa darasa la tatu,
walipata shida ambazo walizivumilia mpaka wakamaliza darasa hilo__________
A) Haba na haba hujaza kibaba B) Mvumilivu hula mbivu
C) Ngojangoja yaumiza matumbo D) hasira hasara ( )
iii. Mtu aliyekula chumvi nyingi ni________
A) mzee B) mlafi C) mjinga D)mwerevu ( )
iv.Mwanangu analia mwituni.Tegua kitendawili hiki________
A) mbwa B) shoka C) mkonga D) kuku ( )
v. Kuona cha mtema kuni ni ________
A) kufunga kuni B) kukata kuni ( )
C) kupata adhabu kwa kosa ulilofanya D) kukosoa watu

UTUNGAJI
4.Panga sentensi zilizochanganywa katika mtiririko unaoleta maana kwa kuandika herufi A, B, C, D na E
katika mabano

i. Maua hupendezesha mazingira ( )

ii. Tunapata asali kwa sababu ya Maua ( )

iii. Nimeenda kupanda maua ( )

iv. Mimi naitwa Zubeda ( )

v. Pia ni chakula cha wadudu ( )


5.Soma habari hii kisha jibu maswali yafuatayo:-
Nyumbani kwetu tupo watoto watatu tu. Mtoto wa kwanza ni mimi Aisha. Ninasoma Darasa la Saba. Mtoto wa pili
ni Hamisi ambaye anasoma Darasa la Tano. Anayemfuata Hamisi anaitwa Juma. Juma ana umri wa miaka mitano.
Yeye anasoma katika Shule ya Awali.
Baba na mama ni wakulima hodari. Wanalima mazao mbalimbali. Pamoja na kilimo, vilevile wanafanya kazi
nyingine kwa bidii. Baba na mama wanatusisitizia kufanya kazi kwa bidii. Mtu asiyefanya kazi ni mvivu. Wanasema
tukiwa shuleni inatupasa tufanye bidii katika masomo na kazi zote za nje ya darasa. Kazi hizo ni kufagia, kumwagilia
bustani za maua na kuchoma takataka. Baba na mama wanasema tukifanya kazi kwa bidii maisha yetu yatakuwa
mazuri na tutakuwa raia wema.
MASWALI:-
i. Mtoto wa kwanza katika nyumba yetu ni ___________
A) Amina B) Asha C) Hamisi D) Aisha ( )
ii. Baba na mama ni __________hodari.
A) wafugaji B) wakulima C) wafagizi D) walimu ( )
iii. Ili uweze kuwa na maisha mazuri na uwe raia mwema inakupasa
ufanye kazi zote kwa____________
A) bidii B) uvivu C) wastani D) sana ( )
iv. Mwanafunzi akiwa shuleni anatakiwa kufanya kazi za _______
A) darasani na za nje B) kufagia na kuchoma takataka ( )
C) kumwagilia na kulima D) kulima na kufagia
v. Kitinda mimba wetu ana umri wa miaka_________
A) miwili B) mitatu C) mitano D) sita ( )
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA IV-2020
SOMO: URAIA NA MAADILI

JINA …………………………………………….. TAREHE………...

SEHEMU A : CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI

SEHEMU A : CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Chombo cha utawala kilicho karibu zaidi na wananchi ni
(A) serikali kuu (B) shirika la reli na posta
(C) serikali ya mtaa na serikali ya kijiji [ ]
2. Serikali ya mtaa au ya kijiji huwajibika kwa
(A) wageni na walemavu (B) watoto na wazazi wakotofi
(C) wanachi wakazi katika mtaa au kijiji [ ]
3. Kuna njia …….. za kuwapata viongozi (A)nne (B) tatu (C) mbili [ ]
4. ………. Ndiye msemaji wa serikali ya mtaa au serikali ya kijiji
(A) mwalimu mkuu (B) mwalimu wa darasa (C) mwenyekiti [ ]
5. Tunapoimba wimbo wa Taifa tunamwomba Mungu atuepushe na
(A) afya njema (B) utawala bora (C) majanga mbalimbali [ ]
6. Jina jingine la familia ni ……(A) kaya (B) kijiji (C) balozi [ ]
7. Kila kata ipo ndani ya ………….. fulani (A) kijiji (B) ukoo (C) tarafa [ ]
8. Wilaya au mkoa hugawanywa kata wilaya ili kurahisisha
(A) utajiri (B) mawasiliano na utoaji wa huduma za jamii (C) nyeusi tu [ ]
9. Bendera ya raia wa Tanzania ina (A) rangi ya kijani na nyeusi
(B)rangi ya kijani na nembo ya taifa (C) nyeusi tu [ ]
10 Je, ni nani wakuhusika na utoaji wa elimu ya jadi ?
(A) watu wenye ujuzi (B) walimu wa shule (C) vijana wenye nguvu [ ]

OANISHA SEHEMU A NA B ILI KULETA MAANA KAMILI


SEHEMU A SEHEMU B
11 Baadhi ya watanzania A Ni kosa la jinai
12 Kuwepo kwa bomba la maji kijijini B Kushiriki shughuli kwenye jamii
13 Kutompeleka mtoto shule C Hapa kazi tu
14 Uzalendo D Huduma muhimu kwa jamii
15 Kauli mbiu E Hawakujua kusoma na kuandika

SOMA PICHA HII KISHA JIBU MASWALI


16. Taja alama ya taifa hapo juu _______________________
17. Ni mwaka gani alama hii ilipandishwa mlima Kilimanjaro?______________
18. Taja jina la Rais huyo alieyeshika alama hii ya taifa______________________
19. Taja jina la Rais wa kwanza aliyepandisha alama hii katika mlima
Kilimanjaro_______

SEHEMU B: JAZA NAFASI WAZI


20. Mwalimu mkuu ni nani? ___________________________________
21. Mwenge wa uhuru ulipowashwa kwa mara ya kwanza ulipandishwa juu mlima
_______________________________
22. Juma anaishi na wazazi wake na wadogo zake watatu. Familia yao ina watu
__________________________________
23. Wimbo wa taifa una beti ngapi? __________________________________
24. Kiongozi mkuu wa wanafunzi ni nani? ______________________________
25. Nini maana ya neno Uzalendo_____________________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA IV-2020
SOMO: MAARIFA YA JAMII

JINA …………………………………………….. TAREHE………...

SEHEMU A : CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Rais wa ________Tanzania
(a) pili (b) kwanza (c) nne [ ]
2. Maumbo ya nchi huunda _______
(a) mabonde (b) sura ya nchi (c) uwanda [ ]
3. Umbo tambarare katika sura ya nchi huitwa _________
(a) uwanda (b) mto (c) mlima [ ]
4. Sehemu maji yanapotiririka kutoka kwenye chazo hadi yanapoishia huitwa
(a) mto (b) ziwa (c) bahari [ ]
5. Mifugo mingi katika eneo dogo_________
(a) nidalili ya utajiri (b) huharibu mazingira (c) huvutia wanunuzi [ ]
6. Wakati wa asubuhi jua huanza kuchomoza upande wa ________
(a) mashariki (b) kusini (c) kaskazini [ ]
7. Nchi ya Tanzania kwa upande wa Mashariki imepakana na bahari ya
(a) Pasifiki (b) Hindi (c) Atlatiki [ ]
8. Tanganyika ilipata uhuru mwaka________(a) 1962 (b) 1961 (c) 1963
[ ]
9. Mtama, uwele na ulezi ni mazao ya jamii ya_______
(a) mikunde (b) mizizi (c) nafaka [ ]
10. Zanzibar ilipata uhuru mwaka gani?_________
(a) 1963 (b) 1964 (c) 1966 [ ]

SEHEMU B: CHUNGUZA PICHA ZIFUAUTAZO KISHA UJIBU MASWALI


11. Picha hii inaonesha Rais wa ngapi Tanzania_________________________

12.Kiongozi huyu aliingia madarakani mwaka________hadi__________


13.Kauli mbiu ya kiongozi huyu wakati alipokuwa madarakani ilikuwa ni________
14.Jina la Rais aliyefuata baada ya huyu kutoka madarakani ni______
15. Taja jina la kiongozi hapo juu____________________
16 Kabla hajapata cheo cha urais alikuwa anafanya kazi gani?_____________
17.Kiongozi huyu alizaliwa katika Mkoa wa_________________________
18.Alitoka madarakani mwaka gani?_______________________________
19.Mwaka_________________aliunganisha Tanganyika na Zanzibar.
20. Alikufa tarehe_________na mwezi__________na Mwaka_____________

SEHEMU C: JAZA NAFASI ZILIZO WAZI

15. Rangi ya bluu huwakilisha maeneo yenye ………………..

16. Uoto wa Tanzania umegawanyika sehemu kuu ………………….

17. Ramni ninnini?...................................................................................

18. Taja vitu vitatu vinavyopatikana katika mazingira …………………,……………..,……...

19. Nini maana ya mazingira …………………

20. Ramani huchorwa kwa kipimo maalumu kinachoitwa…………………………..


MINISRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY
STD IV 2020
SUBJECT: ENGLISH
NAME: ……………………………………………. DATE ………………..

SECTION A : DICTATION
1. ………………………………………………………

2. ……………………………………………………..

3. …………………………………………………….

4. ……………………………………………………

5. …………………………………………………..

SECTION B: CHOOSE THE CORRECT ANSWER

6. The boy is going to school ………… foot


(a) by (b) with (c) on [ ]

7. She is ………… than Anna


(a) brightest (b) brightest (c) more bright [ ]

8. We always go to school ……. Bus


(a) with (b) by (c) on [ ]

9. That is my bicycle. It belongs to ………………


(a) me (b) mine (c) him [ ]

10. We have a ball. It belong to ……………………..


(a) them (b) our (c) us [ ]

11. Ndamatile eats food ……….. a spoon.


(a) for (b) by (c) with [ ]

12. There isn’t ………….sugar in the tea pot


(a) many (b) some (c) any [ ]

13. How …………… pupil are in the class?


(a) much (b) many (c) a lot of [ ]

14. Please John, can I play with ………… ball?


(a) you (b) me (c) your [ ]

15. Neema is cutting …………… orange with a knife


(a) the (b) an (c) your [ ]
SECTION C: UNDERLINE THE DIFFERENT WORD FROM THE GIVEN GROUP

16. Father, mother, children, teacher

17. Orange, rice, banana, Babati.

18. Soda, juice, beer, shirt, tea

19. Lion, elephant, zebra, hen, cow.

20. Khanga, kitenge, shirt, trouser, desk

21.

What is the time? It is ………………………………………..

SECTION D: READ THE FOLLOWING STORY AND ANSWER QUESTIONS

Sara is eighty five years old. She can not go to the farm. She can only walk slowly
with her stick go to the farm. She can not go to the river. But she can sing well with
a nice voice. Sara is Bahati’s grand mother.

22. How old is Sara ? …………………………….


(a) 85 years old (b) 65 years old (c) 25 years old [ ]

23. What is the name of Sara’s grand doughier?............


(a) Juma (b) Asha (c) Bahati [ ]

24. Can Sara walk to the form?......................


(a) yes, she can (b) no, she can’t (c) yes he can [ ]

25. How does Sara sing?......................


(a) badly (b) loudly (c) well with a nice voice [ ]
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA IV-2020
SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA
JINA …………………………………………….. TAREHE………...

SEHEMU: A
CHAGUA JIBU SAHIHI
1. Barafu ni maada iliyo katika hali ya … (A) yabisi (B) kimiminika (C) gesi [ ]
2. Kula nyama mbichi isiyoiva vizuri kunaweza kusababisha ………
(A) malaria (B) minyoo ya tegu (C) kichocho [ ]
3. Mojawapo ya njia ziifuatazo hueneza magonjwa
(A) kunawa mikono (B) kukata kucha (C) kujisaidia ovyo [ ]
4. Kuna njia …………. Za kuambukiza magojwa
(A) nne (B) tano (C)tatu [ ]
5. Trakoma au vikope ni ugojwa wa ……………….
(A) macho (B) upele (C) ngono [ ]
6. Vijidudu vya amagojwa huonekana kwa kutumia
(A) darubini (B) hadubin (C)kapani [ ]
7. Mahitaji muhimu ya binadamu ni
(A) chakula ,mavazi na makazi (B) makazi malezi na vvchakula
(C) chakula michezo na matibu [ ]
8. Kabohaidreti huupatia mwili …………..
(A) mafuta (B) nishati (C) chakula michoro na matibabu [ ]
9. Ili moto uwake unahitaji ……………..
(A) mvuke (B) naitrojeni (C) oksjeni [ ]
10. Upepo ni ……. (A) hewa iendayo kasi (B) hewa iliyotuia
(C) hewa inayopaa [ ]

SEHEMU B: OANISHA MANENO YA A NA B ILI YALETE MAANA


KIFUNGU A JIBU KIFUNGU B
11. Seli hai nyeupe A Kimbunga
12. Kuna sipika zinazotumia B Periskopu
13. Aina mbili za kinga C Sakiti
14. Upepo mkali na wenye nguvu D Sumaku
15. Darubini ya kuenea juu ya E Huteketeza sumu na viini vya
upeo wa macho magonjwa
F Kinga ya asili na kinga ya
chanjo

SEHEMU: C
ANDIKA MAJINA YA PICHA HIZI
16.

_________________

17.

______________

18.

______________

19. Maambukizi maana yake ni ………………………………………


20. Mbung’o hueneza ugojwa wa ……………………………………….
21. Maada huainiswa katika hali kuu ……………………………………

22. ukataji wa miti hovyo husababisha …………….. wa udongo


23. Kimiminika kilichopo kwenye themometa huitwa ……………………..
24. Jasho huutoka mwilini kupitia kwenye ……………………………………..

25. Kifaa kinachotumika kupima jotoridi huitwa………………………………

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA


DARASA LA IV-2020
SOMO: HISABATI
JINA …………………………………………….. TAREHE…………………….

SWALI KAZI JIBU


1. 4581 + 6343 =
2. 50082 - 31246 =
3. 48500
+19299
________
4. 8565
- 1265
______
5. 1205 x 4 =
6.
36 8840

7. 623
X 23
____
8.
Andika XXXIX kwa tarakimu za
kawaida

9.
Andika nusu ya 44

10. andika kwa maneno namba ifuatayo :


10,236
11. Andika kwa tarakimu namba ifuatayo
Themanini na moja elfu mia nne na
tisa
12. Meta 4 ni sawa na sentimeta ngapi?
13. Kuna mistari mingapi katika T
A

K M

D B
14. Kg 51/2 ni sawa na gramu ngapi?

15. Umbo lifuatalo lina pande ngapi?

Taja sehemu iliyotiwa kivul

16.
17. Sh 312 x 6 =
18. 26 - 19 =
40 40

19. 13 + 5 =
26 26

20. John ana uzani wa kg 5 na Hamisi


ana uzani wa gramu 600 Yupi ana
uzaini mkubwa zaidi ?

21. Taja majina ya pembe hizi

22.

23.
Watoto wawili walipewa mayai 244
kila mmoja atapata mayai mangapi?

24. Kuna miraba mingapi kwenye


umbo hili

25. Andika namba ifuatayo kwa numera


za kiarabu XLIV

You might also like