Professional Documents
Culture Documents
Darasa La Sita 2020
Darasa La Sita 2020
DARASA LA VI-2020
MTIHANI WA MAARIFA YA JAMII
JINA ---------------------------------------------------- MKONDO ---------------
--
SEHEMU: A
CHAGUA JIBU SAHIHI
1. Tanganyika ilipata uhuru mwaka gani? ____ (a) 1961 (b) 1956 (c) 1960
2. Madhara ya kufuga mifugo mingi katika seshemu ndogo ni_______
(a)uharibifu wa mazingira (b) kuendeleza mazingira (c)kuharibu majengo
3. Majanga ya asili yanayoyoweza kutokea katika mazingira ni (a) tetemeko la ardhi (b) ajali (c) elimu
4. Emil Von Zelewisky aliuawa wakati wa vita baina ya__ (a) waingereza na wahehe (b) wajerumani na wahehe
(c) Wajerumani na wanyamwezi
5. Chifu mangungo wa msovero alisaini maktaba wa ulaghai na (a) Willium macknon (b) Julius von sodden
(c) Karl peters
6. Mkuu wa familia kwenye jamii zetu za Tanzania ni___ (a)baba (b) watoto (c) babu na baba
7. Rais wa pili nchini Tanzania alikuwa ni (a) Ali Hassan Mwinyi (b) William Mkapa (c) J.K.Nyerere
8. kinjekitile ngwale ni maarufu katika historian chi yetu ya Tanzania kutokana na ___(a) mfumo mzuri wa
utawala wake huko kilwa (b) msukumo alioutoa kwa wananchi na hatimaye kupambana na wajerumani vita
vya majimaji (c) ubingwa wake katika kutumia na kutengeneza dawa a kienyeji
9. _____________ni kitu chochote kinachotuzunguka. (a)mazingira (b) maendeleo (c) utamaduni
10. Mfumo wa uzalishaji mali uliotegemea ardhi hujulikana kama (a) ujima (b)ukabaila (c) ubeberu
11. Ukataji wa miti ovyo husababisha_______ (a) mmonyoko wa udongo (b) uoto wa asili (c) maji mengi
12. Vitangulizi vya wakoloni walikuwa (a) wamisionari madaktari na wafanyabiashra
(b) wachuuzi na wafanya biashara (c) wapelelezi wafanya biiashara na wamisionari
13. Upepo mkal iunasababisha madhara makubwa kwenye mazingira____(a) kimbunga (b)majanga (b) upe
14. Makao makuu ya wareno katika Afrika mashariki yalikuwa ___(a) msumbiji (b) mombasa
(c) bagamoyo
15. Kifaa kinachotumika kupima mvua huitwaje?_____ (a) kipima maji (b) kipima mvua (c) kipima hewa
16. Jamii kutoka barala la ulaya zilizokuwa na uhusiano wa kibiashara na Tanzania ni ___(a) waingereza na
wareno (b) wareno na wahispania (c) waarabu na wareno
17. Kati ya mazao yafuatayo ni lipi zao la chakula_____ (a) pamba (b) katani (c) mahindi
18. Vipengele muhimu vya ramani ni_______ (a) ufungua (b) maneno (c) urefu
19. Mfumo wa ukabaila ulioenea zaidi katika pwani ya Afrika mashariki ulijulikana kama______ (a) ukabaila
(b) Umwinyi (c) ubugabire
20. Chimbuko la ukoo ni__________ (a) babu na bibi (b) baba (c) bibi
21. Watu wa zamani waliishi______ (a) majini (b) kandokando barabara za lami
(c) kwenye nyumba nzuri (d) kiukoo
22. Vyakula tunavyokula vinatokana na mimea na____ (a) kuku (b) wanyama (c) ndege (d) ng’ombe
23. Kila familia huhitaji______ (a) vitu vya anasa (b) fedha nyingi (c) mahitaji muhimu ya binadamu
24. Familia ambayo ina watoto peke yao huitwa (a) familia ya watoto peke yao (b) familia bora
(c) Familia ya ndugu moja (d) familia ya asali
25. Inasadikiwa kuwa fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa sehemu iitwayo (a) bondo la ngorongoro
(b) Kondoa irangi (c) olduva (c) mlima Kilimanjaro
26. Fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa mwaka 1945 (b) 1959 (c) 1955 (d) 1935
27. Kutengeneza mkaa husababisha ________ (a) hewa nzito (b) hewa nyepesi (c)utapiamlo
28. Kipindi cha mvua nyingi huitwaje(a) mafuriko (b) maafa (c) kiangazi (d)tetemeko la mvua
29. Zanzibar ilipata uhuru mwaka gani?______ (a) 1963 (b) 1964 (c) 1965
SEHEMU: B
JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
37. kiongozi wa mapinduzi ya unguja ya mwaka 1964 alikuwa __________________________________
38. Rais wa tatu nchini Tanzania ni_________________________________
39. Kulima karibu na vyanzo vya maji husababisha______________________________________
40. Tanganyika na Zanzibar ziliungana mwaka _________________________________________
41. Ndugu J.K.Nyerere kabla ya kuwa Rais alikuwa anafanya kazi gani? ___________________
42. Taja vitangulizi vya ukoloni________________________________________
43. Makao makuu ya nchi ya Tanzania yako mkoa gani? _______________________________
44. Utamaduni nini?________________________________________________________
45. Nini maana ya mazingira_____________________________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA VI-2020
MTIHANI WA KISWAHILI
JINA ---------------------------------------------------- MKONDO ---------------
--
SEHEMU A: Chagua jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu kwenye nafasi uliyopewa
1. Ilimbidi ___________ sana hadi afikie uamuzi wa busara
a) Atafahari b) Atakari c) Akatathari d) Atakathari
2. Neno gani lenye maasa sawa na baba mmoja mama mmoja? _____
a) Mpwa b) Shemeji c) Binadamu d) Ndugu
3. Sote _________ tuliposikia habari za kuzama kwa MV Bukoba
a) Tulifazaika b) Tulifadhilika c) Tulihifadhika d) Tulifadhaika
4. Mtu anayetengeneza vitu vya dhahabu na fedha ni _______________
5. Upi ni wingi wa sentensi “Panya mdogo alikula kiazi kichanga”?
a) Mapanya wadogo walikula kiazi kichanga b) Vijipanya vidogo walikula viazi vichanga
c) Panya wadogo walikula viazi vichanga d) Majibu yote si sahihi
6. Andika neno ambalo halilandani na mengine
a) Adhuhuri b) Alfajiri c) Mchana d) Jioni d) Wiki
7. Mama hakupata _________ hadi mwanawe alipopata ahueni
a) Balaa b) Huzuni c) Faraja d) Dukuduku
8. Nini kinyume cha neno “Ukwasi” _____
a) Umaskini b) Utajiri c) Uzembe d) Kufuja mali
9. Ni ____________ kuwa mtoto lazima atunzwe vizuri ili awe na afya bora
a) Shahiri b) Hasha c) Dhahiri d) Shime
10. Mtu anayelea watoto ambao si wake kwa malipo maalumu huitwaje?_______
a) Suruiama b) Yatima c) Shangazi d) Yaya
11. Majira ya jua kali ni __________
a) Masika b) Vuli c) Kipupwe d) Kiangazi
12. Mimi ninasimulia hadithi. Sentensi hii iko katika wakati ________
a) Uliopita b) Ujao c) Uliopo d) Mtimilifu
13. Kama Juma angalisoma kwa bidii _______ mtihani
a) Angefaulu b) Angalifauli c) Angefaulu
14. Neno lipi kati ya haya lina maana karibu sawa na neno “Kito”
a) Thamani b) Samani c) Fahari d) Sanamu
15. kinyume cha neno “potosha” ni_________
a) Adhimisha b) Zimua c) Ongoa d) Ongoza
16. Asia alivishwa kilemba cha ukoko na watazamaji waliokuwepo. Maana yake ni kuwa ___
a) Watu walimtengenezea Asia kilemba cha ukoko b) Asia alisifiwa kupita kiasi
c) Asia alisifiwa kwa sifa alizokuwa hastahili
d) Vilemba vya ukoko ni rahisi ili kubana matumizi
17. Maskini huyu hata umchangie namna gani haridhiki. Nini maana ya kitendawili hiki? ____
a) Bahili b) Tumbo c) Mlafi d) Paka
18. Simba mwenda pole ndiye mla nyama. Maana nzuri zaidi ya methali hii ni _____
a) Husaka Kimya kimya bila ya kupiga mbio
b) Mbio za sakafuni huishia ukingoni
c) Subura yavuta heri d) Kipenda roho hula nyama mbichi
19. “Hemed alikiona cha mtema kuni leo” Maana ya alikiona cha mtema kuni ni ipi? ___
a) Aliliona jambo analolifanya mtema kuni b) Aliona mambo ya kustaajabisha sana
c) Alipata adhabu kali d) Alikaripiwa sana
20. Kamilisha methali hii __________________________ ni kama sheria
21. Nini maana ya kitendawili: Kila ukiwakuta wanajitayarisha kupigana ni ____________________
22. Wanamuziki wetu walitia fora katika tamasha la sanaa. Kutia for a ina maana gani? ____
a) Kutia aibu b) Kutia madoido c) Kutumbuiza vizuri kuliko wengine
d) Kuimba nyimbo mpya
23. Kamilisha nahau hii: fanya mzaha, ddihaka _______________________________
24. Kifungu kipi cha maneno kinakamilisha methali ifuatayo ____________ hadi siku ya idi
a) Hawali kuku b) Hatufaidi pilau c) Mkaidi hafaidi d) Mtoto umleavyo
25. Baada ya kuona kwamba tumeonewa tulikata shauri kufungua kesi mahakamani. “Kukata shauri”
ina maana ipi? ___ a) Kuamua b) Kukataa c) Kubisha d) Kuamuliwa
26. Wengi wao walikuwepo walikubali kwa ulimi tu wazo la kuchanga fedha za kujenga choo cha pale mtaani “
Kukubali kwa ulimi tu” maana yake ni ipi? _____
a) Kukubali kwa dhati b) Kukubali kwa moyo mmoja
c) Kukubali kwa maneno siyo kwa moyo d) Kukubali kimoyomoyo
27. Kombe langu li wazi. Jibu sahihi la kitendawili hiki ni ________
a) Wino b) Kisima c) Chungu d) B na C ni sawa
28. Siku njema huonekana asubuhi. Methali hii inafanana na ipi katika hizi zifuatazo?___
a) Akumulikaye mchana usiku hukuchoma b) Dalili ya mvua ni mawingu
c) Huna pesa ukaokota asubuhi d) Mchumia juani hulia kivulini
29. Maana ya kitendawili watoto wa binadamu wakiondoka hawaduri ni _________
a) Wasafiri b) Mabaharia c) Nazi d) Majani
30. Toa jibu sahihi la nahau hii. Tumia mali ovyo ____________________________
SEHEMU C: UTUNGAJI
Umepewa sentensi 5 zilizoandikwa bila kufuata mpangilio maalum. Zipange sentensi hizi ili zilete mfululizo
wa mawazo kwa kuzipa herufi A, B, C, D na E
31. Mizizi ya mmea hunyonya viini hivyo na kuvifikisha katika majani ambako chakula cha mmea hutengenezwa
________
32. Pia husaidia katika usafirishaji wa chakula kutoka majini mpaka sehemu zingine za mmea_______
33. Maji ni muhimu kwa maisha ya viumbe vyenye uhai _______
34. Katika utengenezaji wa chakula maji huhitajika ______
35. Huhitajika kuyeyusha viini vya madini vilivyomo ardhini _______
Changua jibu sahihi kwa kuunganisha fungu A na B
MASWALI
41. Shairi hili lina sema heshima ya mtu huletwa na jambo gani?_______________
42. Neno “dhamaha” kama ilivyotumika katika ubeti wa pili lian maana gani:-___________________________
43. Vina katika ubeti wa mwisho vimeishia na silabi:- ___________________
44. Katika ubeti wa kwanza mstari wa kwanza kuna mizani mingapi :-____________
45. Katika shairi hili kuna beti ngapi:-_______________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
DARASA LA VI-2020
MTIHANI WA URAIA NA MAADILI
JINA ---------------------------------------------------- MKONDO ---------------
--
CHAGUA JIBU SAHIHI
1. ____ ni mtu mwenye haki za kisheria kutokana na kuzaliwa au kuandikishwa katika taifa Fulani (a) raia
(b) mwananchi (c) mtu
2. uchaguzi wa madiwani hufanyika kila baada ya miaka ___(a) 5 (b) 3 (c) 10
3. lugha ya Kiswahili ilipitishwa rasmi kuwa lugha ya taifa mwaka ___(a) 1964 (b) 1962 (c) 1963
4. Katika Tanzania kuna makabila zaidi ya ____(a) 120 (b) 50 (c) 90
5. Muungano wa mitaa au vijiji huitwa ___(a) kata (b) wilaya (c) mikoa
6. Tanganyika na Zanzibar ziliungana mwaka __(a) 1964 (b) 1961 (c) 1962
7. Lugha inayounganisha watanzania wote ni __(a) kiingereza (b) kichaga (c) Kiswahili
8. Msaidizi w mkuu wa wilaya ni ___(a) wananchi (b) raia (c) wabunge
9. ____hushiriki kutunga sheria ndogo ndogo za wilaya (a) madiwani (b) kamati (c) wanachi
10. ____ ni namna ya kujilinda au kujikinga na maadui (a) ulinzi (b) usalama (c) mgambo
(d) demokrasia
11. Wanyama kama samba chui na fisi __(a) ni hatari kwa maisha ya watu (b) wanapendwa na watu
(c) wana rangi ya kuvutia (d) hupendwa na watalii
12. Kazi ya mahakama ni ___(a) kutunga sheria za nchi (b) kutetea haki za binadamu
(c) kutoa haki kwa kuzingatia sheria
13. Jukumu la kuwashirikisha wananchi katika suala la ulinzi na usalama wa mitaa yao ni la ___
(a) bunge (b) serikali kuu (c) TAKUKURU (d) serikali za mitaa
14. Haki za binadamu hutolewa bila kujali __(a) rangi, dini, jinsia, na ukabila (b) uwepo wa mkataba ya
kimataifa (c) uwepo wa katiba ya nchi (d) mambo yanayostahili mtu yeyote
15. Umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura ni kuanzia miaka ___(a) 10 (b) 15 (c) 20 (d) 18
16. Haki ya kumilki mali ipo kwenye kundi la (a) haki za kisiasa (b) haki za makundi maalumu
(c) haki za kijamii (d) haki za kijamii na kiuchumi
17. Kiongozi mkuu wa wilaya anaitwa ___(a) mkuu wa wilaya (b) mkurugenzi (c) mbunge
(d) Rais
18. Rais wa awamu ya tatu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alikuwa ni ___(a) A.H Mwinyi
(b) J.M Kikwete (c) B.W Mkapa (d) J.K Nyerere
19. Tanganyika ilipata uhuru mwaka ___(a) 1957 (b) 1964 (c) 1961 (d) 1962
20. Baadhi ya maliasili ni _____(a) uhuru (b) mashamba (c) ardhi na madini
21. Ulinzi ni kuhakikisha ____(a) usafi (b) dawa (c) usalama
22. Serikali yenye utawala bora inazingatia ___zote binadamu (a) haki (b) sheria (c) mila
23. ____ ni mjumbe wa mkutano mkuu (a) mwenyekiti (b) diwani (c) ofisa mtendaji
24. Bendera ya Rais ina rangi ____(a) mbili (b) tatu (c) moja
25. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa tarehe ____(a) 1 mei (b) 26 April
(c) 24 April
26. Sikukuu ya wanyafakazi huadhimishwa kila mwaka tarehe ___(a) 3 Machi (b) 9 Mei
(c) 1 Mei
27. Mwenge unawakilisha _____katika nembo ya taifa (a) nuru (b) jua (c) joto
28. Fedha za Tanzania ni ___(a) noti (b) sarafu (c) sarafu na noti
29. Alama inayoonyesha mwanzo na mwisho (a) ramani (b) jirani (c) mpaka
30. Ushindani w vyama vingi vya siasa ___(a) huongeza vurugu (b) huwapa mikopo
(c) huongeza kasi ya maendeleo
31. mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania ulianza mwaka ___(a) 1971 (b) 1992 (c) 1991
32. Utawala bora unalenga __yaliyopo katika jamii inayotawala (a) mafanikio (b) matatizo
(c) ulinzi
33. Watu wenye umri kuanzia miaka 18 wanaweza ___(a) kupika chakula (b) kupiga kura
(c) kupiga porojo
34. Wimbo wa taifa la Tanzania una beti ___(a) kumi na tatu (b) tatu (c) mbili
SEHEMU:B
JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI
41. Rangi nyeusi kwenye bendera ya Taifa huakilisha nini?__________________________
42. Chombo kinachohusika na kupambana na rushwa ni ____________________________
43. Chombo kinachohusika na kutunga sheria ni ____________________________
44. __________________ni hali ya mtu kupenda nchi yake
45. Ulinzi ni jukumu la __________________________________________
MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY
STD VI-2020
ENGLISH- EXAMINATION
NAME ___________________________STREAM ______
SECTION A: Choose the most correct answer letter and write in the brackets
1. Did you ___________ the mangoes yesterday?
a) Bought b) Brought c) Buy d) Buying
2. Mary was ______________ to school when I met her last week
a) Going b) Went c) Gone d) Goes
3. The elephants haven’t _________ the fence
a) Break b) Breaks c) Broke d) Broken
4. When ___________ we close school?
a) Are b) Is c) Will d) Shall
5. Martha did not ___________ to school last year
a) Come b) Came c) Comes d) Coming
6. Abdul ________ to Dubai every weekend
a) Is go b) Has gone c) Go d) Goes
7. ____________ Craig know where his shoes are ?
a) Did b) Do c) Does d) Didn’t
8. His dog usually ____________ all night
a) Bark b) Barks c) Barking d) Howl
9. Winnie ___________ the window pane
a) Broke b) Break c) Broken d) Breaking
10. The thief was not _________ up by the villagers
a) Beat b) Bitten c) Beated d) Beaten
11. Tom _________ come to school tomorrow a) Will b) Shall c) Is d) Are
12. The thieves were ___________ this morning to death
a) Hang b) Hung c) Hanged d) Hang
13. An axe ___________firewood better than a Panga
a) Is split b) Splits c) Spitted d) Splitting
14. What were you ___________ in December?
a) Study b) Studied c) Studying d) Studding
15. Cats __________ mice a) Catch b) Catches c) Are catch d) Is catch
16. Your mother never visits you _____________?
a) Doesn’t she b) Do she c) Don’t she d) Does she
17. Yolanda fought with you? ______________
a) Didn’t you b) Didn’t she c) Did you d) Did she
18. These are ________ books
a) Douglas’ b) Douglas’s c) Douglasis d) Douglas
19. The thieves ran away ________ they saw the police coming
a) Before b) So c) When d) And
20. Agnes is tall _______slim a) But b) Or c) And d) The
21. My mother was cooking lunch __________ I went home
a) As b) When c) While d) Then
22. A jackal is in the dog family __________ the leopard is in the cat family
a) As b) When c) While d) And
23. Only Asha comes to school ___________ a bicycle
a) Through b) On c) By d) With
24. The tree was cut down _____________ an axe
a) By b) Through c) With d) For
25. I fell asleep while ____________ a plane to Cairo
a) On b) In c) With d) Inside
26. Please, climb ___________ the tree and get us some fruits
a) On b) In c) Along d) At
27. You will find many shops _____ the roads in towns
a) On b) In c) Along d) At
28. Mary is angry _________ her brother’s drunkardness
a) With b) At c) To d) For
29. Excuse me. Can I give this book _____________ Joel?
a) To b) From c) With d) For
30. The dogs barked ________us when we approached their master
a) For b) To c) At d) Against
SECTION B: COMPOSITION - Use the words to fill in the blank spaces sensibly
There are many (31) _____________________ all over the (32) ________________________. However, the most
(33) ____________________ ones are tea, cocoa and (34) ______________________. They are commonly cooked
and taken as (35) ____________________ or during morning tea – breaks.
Just like the other two, coffee is grown on large farms called (36) ____________________.Brazil is the largest
producer in the world while (37) ___________________is the largest coffee of coffee in Africa. Her coffee is grown
for (38) __________________ to America and Europe. The two main varieties of coffee are called (39)
___________________ and Robusta. The best places for growing it are the highlands because they have mostly cool
and wet (40) ____________________________
SECTION C:
Comprehension: Read the following story then answer the question that follow:
My grandfather’s names were Adam and I am called by his name. Before he died I used to live with him. One
day we took our cows, goats and sheep to the field. While we were resting under a tree, he started telling me stories.
This forest is very dangerous. One woman got lost for a week. She was later found dead with her neck cut and the
people who did this had not been found.
You know there are people who kill people, take their blood sell it. These killers are called “Chinja chinja”
sometimes appear in the forest carrying sharp knives and buckets. But with my bow and poisoned arrows nobody can
trouble us.
Questions:-
41. My grandfather’s name is Adamu and my name is:-_____________________
42. Grand father says that nobody can trouble us because:-___________________
43. Grandfather say that the forest is dangerous because:- ________________
44. People who kill people and take their blood, these killers are called_______________
45. Suggest the suitable heading of this passage ________________
24. Nyama ya kuku isipoiva inaweza kueneza ...................... ( A )Kupata minyoo ( B )Myai ya tegu
( C ) Mafua ya ndege ( D )Malale
25. Hatua ya mwisho katika kufanya uchunguzi wa kisayansi ni .......( A )Hitimisho ( B )Kuchambua data
( C )Kutafsiri matokeo ( D )Kukusanya data
26. Maji yanachemka katika kizingiti cha joto la .................( A )100ºC ( B ) 0ºC ( C ) 52ºC
( D ) 10ºC
27. Mimea inapukutisha majani yake ili .........( A )Kuhifadhi maji yanayoweza kupotea kupitia kwenye majani
( B )Kuleta tofauti kati ya kiangazi na masika ( C ) Kuuwezesha mmea uweze kupoteza maji mengi
1. 682 + 3327 =
2. 4701 – 702 =
3. 361 x 28 =
4. 3857 ÷ 19 =
5. 2 ¾ + 3 5/8 =
6. 3 1/3 – 1 5/9 =
7. 4 1/5 x 3 1/3 =
8. 3 ¼ ÷ 2 3/5 =
9. 0.29 + 0.718 =
10. 4.11 – 3.99 =
Sm 50
Sm 120 Sm 20
Sm 120 Sm 20
Sm 7
Sm 5
Sm 15
Sm 8
Sm 15
Sm 9
Sm 3
39. saa dk
2 30
X 4
__
40. siku saa
4 18
-1 19
___________
SEHEMU B:
41. Tina alipewa sh. 15,000 na babayake akanunua vitu vifuatavyo:
Mikate 3 @sh. 600, siagi kopo 4 @ sh. 800, sukari kg 5 @ sh.
450, mafuta ya kula lita 3 @ sh. 780 na mchele kg 7 @ sh. 550.
Je alibakiwa na shilingi ngapi?
42. Chumba kina urefu wa m.10 na upana m.8 Tafuta eneo lake ________
OANISHA SEHEMU A NA B
SEHEMU JIBU SEHEMU B
A
23 Kifani A Kitambaa kinachovaliwa juu ya nguo sehemu ya mbele
24 Magome B Wavu wa kuvulia samaki
25 Malighafi C Kitu kinachofanana na kitu kingine
26 Solfa D Maganda ya miti
27 Taswira E Mazao yanayotumika kutengeneza kitu kingine
28 Ala F Picha ya kitu inayomjia mtu akilini
29 Aproni G Zana za kufanyia kazi hasa kupiga muziki
30 Jarife H Noti katika wimbo hasa ulioandikwa kama do re mi fa
so la ti do