You are on page 1of 5

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI

MTIHANI WA KABLA YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA SABA

04 HISABATI

Muda: Saa 2:00 Septemba, 2022

Maelekezo
1. Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali arobaini na tano (45).

2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.

3. Soma maelekezo yote yaliyoko katika fomu maalum ya kujibia (OMR)

4. Jaza taarifa zote katika fomu ya OMR

5. Weka kivuli katika kila tarakimu ya Namba yako ya Mtihani kwenye nafasi husika katika fomu
ya OMR

6. Weka kivuli katika herufi ya jibu lililo sahihi kwa swali 1 hadi 40 katika fomu yako ya kujibia
uliyopewa. Kwa mfano, kama jibu sahihi ni A weka kivuli kama ifuatavyo;

[A ] [ B] [C] [ D ] [ E]

7. Ukigundua kuwa herufi uliyoweka kivuli si jibu sahihi, futa kivuli hicho kwa umakini kwa
kutumia kifutio safi kabla ya kuweka kivuli katika herufi mpya.

8. Tumia penseli ya HB tu katika kujibu swali la 1 hadi 40, na kalamu ya wino wa bluu au mweusi
kwa swali la 41 hadi 45.

9. Onesha wazi njia iliyotumika katika kujibu swali la 41 hadi 45 katika nafasi iliyotolewa kwenye
fomu ya OMR.

10. Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi kutumika.

K a m a ti y a M i ti h a n i y a n d a n i M M C S e p t e m b a 2 0 2 2 U k u r a s a |1
SEHEMU A:(Alama 40)Kokotoa na kisha chaguo la herufi ya jibu sahihi katika karatasi ya kujibia (OMR)
Na SWALI KAZI
1 Kuna tofauti gani kati ya 3.4096 na 2.39?
(a) 2.1609 (b) 0.1096 (c) 1.0196 (d) 1.9016 (e) 0.0196
2 Andika namba ifuatayo kwa kifupi
700,000 + 20,000 +0000 + 700 + 60 + 5
(a) 942760 (b) 720765 (c) 92476 (d) 72000765 (e) 7200065
3 Msitu wa shule ulikuwa na miti 882009. Ikiwa miti 48878 ilivunwa na miti
33167 iliungua moto. Je, ilibaki miti mingapi?
(a) 799,969 (b) 979,964 (c) 799,064 (d) 9,799,964 (e) 799,964
4 Jumbabovu alikuwa na jumla ya ng’ombe 3,645,987. Ipi ni jumla ya mifugo
hiyo katika makumi elfu yaliyo karibu?
(a) 3,654,310 (b) 3,645,300 (c) 3,650,000 (d) 3,645,000 (e) 3,646,000
5 Makusanyo ya mapato kwa miaka mitano mfululizo yaliorodheshwa kwa
namba
3, 5, 8, 13 na 20 . Ni namba ipi ya mapato ya mwaka wa sita katika mfululizo
huo? (a) 27 (b) 31 (c) 20 (d) 29 (e) 30
6 Joan alikokotoa thamani ya (– 3) – (– 3) + (– 6). Ni lipi lilikuwa jibu sahihi?
(a) –6 (b) 6 (c) –12 (d) +12 (e) 0
7 Zidisha Kg 5 gm 50 kwa 50 (a) kg 252 gm 50 (b) kg 2500 gm 50
(c) kg 250 gm 2500 (d) kg 252 gm 500 (e) kg 252 gm 5000
8 Deka anauwezo wa kulima shamba kwa siku 6, na Cheko anauwezo wa kulima
shamba kwa siku 12. Je, wakilima shamba hilo kwa pamoja watalilima kwa siku
ngapi? (a) 18 (b) 8(c) 4 (d) 6 (e) 12
9 Fikiria namba, kisha toa kumi na mbili kutoka katika namba hiyo, jibu lake ni
sawa na robo ya namba hiyo. Je, namba hiyo ni ipi?
(a) 4 (b) –12 (c) 33 (d)12 (e) 16
10 Wanafunzi 5y + 15 walikula machungwa 350. Tafuta thamani ya “y” ikiwa
kila mwanafunzi alikula chungwa moja. (a) 77 (b) 37 (c) 67 (d) 186 (e) 87
11 Mwanaharusi ana shilingi 16,500/=. Amepungukiwa na asilimia ngapi ya
fedha ili kununua dazani 3 za daftari, iwapo bei ya daftari moja ni shilingi
500?
(a) 83.3% (b)8.3% (c)25% (d)0.83% (e) 12.7%
12 Jumla ya namba tano zinazofuatana na kupishana kwa nne ni 315. Ipi ni namba
ya kubwa kuliko zote kati ya hizo. (a)63 (b) 55 (c) 83 (d) 101 (e) 71
13 Kwetukahe ana punda na bata kiasi Fulani. Jumla ya miguu na vichwa vya bata na
punda wote ni 99. Iwapo idadi ya bata ni mara mbili ya idadi ya punda, tafuta
idadi ya punda wa Kwetukahe.
(a) punda 18 (b) punda 33(c) punda 9 (d) punda 31 (e) punda 12
14 Jafari na Mary waligawana shilingi 4,800. Jafari alipata shilingi 2000 na Mary
alipata sh. 2,800. Je, waligawana kwa uwiano gani?
(a) 7: 5 (b) 20:28 (c) 5:7 (d) 5:14 (e) 10:14
15 Wanafunzi watano walishindana kukimbia mbio awamu 4 kwa kupunguza
hatua 8 kwa kila awamu. Iwapo walianzia hatua ya 61, yupi alimaliza awamu
zote kwa mpangilio sahihi? (a) 61, 69, 77, 85 (b) 61, 55, 71, 78 (c) 61, 53, 41,
35
(d) 61, 53, 45, 37 (e) 61, 53, 47, 31
16 Ni aina gani ya sehemu ambazo zikirahisishwa hutupa sehemu mchanganyiko?
(a) Sehemu rahisi (b) Sehemu guni (c) Sehemu dufu
(d) Sehemu kubwa (e) Sehemu nyoofu
17 Chupa ya soda ina ujazo wa ml 500. Je, katoni 12 za chupa za soda zina
jumla ya dekalita ngapi ikiwa kila katoni ina chupa 24? (a) dekalita
14.4
K a m a ti y a M i ti h a n i y a n d a n i M M C S e p t e m b a 2 0 2 2 U k u r a s a |2
(b) dekalita 1.44 (c) dekalita 144 (d) dekalita 1440 (e) dekalita 144000
18 Bibi yake Sikujua alizaliwa mwaka 1788, na Sikujua alizaliwa mwaka 2018.
Je, nini tofauti ya umri wa Bibi yake Sikujua na Sikujua?
(a) MDCCLXXXV (b) MMXX (c) XCV (d) CCXXX (e) LXX
Na SWALI KAZI
19 Kokotoa kipeuo cha pili cha 948 676 (a) 664 (b) 974 (c) 976 (d) 984 (e) 90 704
20
Tafuta jumla ya namba zifuatazo 252 + (a) 36 (b) 61(c) 576 (d) 638 (e)
656
21 Rahisisha fungu la mtajo 2(3m – 2n + 5m).
(a) 11m-2n (b) 12+m-n (c) 16m-4n (d) 16m+4n (e ) 4m-4n
22 Tafuta thamani ya “y” katika mlinganyo ufuatao; 4 + 3(y – 1) = 10
(a)1 (b) 4 (c)- 2 (d) - 6 (e) 3
23 Mpangilio upi unaonesha namba tasa zote kati ya 60 na 70?
(a)61 ,63na 67 (b) 61 na 69 (c) 61 na 67 (d) 67 na 69 (e) 61 ,71 na 73
24 Ilichukua muda wa saa 192 kwa Mwamtumu kumaliza kazi zake
shambani. Je, muda huo ni sawa na wiki na siku ngapi?
(a)wiki 1 siku 1 (b) wiki 2 siku 3 (c) wiki 1 saa 24 (d) wiki 1.1 (e) wiki 2 siku
1
25 Wastani wa uzito wa magunia matano ya mpunga ni kg81. Ikiwa uzito wa
magunia matatu kati ya hayo ni kg73, kg91 na kg85. Tafuta uzito wa gunia
mojawapo kati ya yaliyobakia ikiwa uzito wake unafanana .
(a)kg156 (b) kg81 (c) kg91 (d) kg78 (e) kg71
26 Nafasi ya thamani ya tarakimu iliyopigiwa mstari katika numerali 504251 ni
(a) Makumi elfu (b) Maelfu (c) Makumi (d) Mamia(e) Mamia elfu
27 Tafuta ukubwa wa pembe ADR katika umbo lifuatalo.
(a) 1000 (b) 200
(c) 900 (d) 800
(e) 300

28 Wanariadha walikimbia umbali wa kilometa 24 kutoka uwanja wa Ushirika


hadi Mweka ambako ni Kaskazini mwa uwanja huo, kisha walielekea Kusini
Mashariki umbali wa kilometa 30 na kufika Himo. Tafuta umbali kati ya
uwanja wa Ushirika na Himo. (a) km 18 (b) km 14 (c) km 20 (d) km 42 (e)
km 24
29 Tafuta eneo la nyuso la umbo ukumbi huu ikiwa nyuso zake zote zimefungwa

(a) sm2 522 (b) sm21044


(c) sm2 450 (d) sm2900 (e)sm2744
30 Bwana Shamba aligawa lita 200.25 za dawa za kuulia wadudu kwenye mazao
kwa wakulima 267. Kila mkulima alipata ujazo wa kiasi gani?
(a) Lita 1.33 (b) lita 7.5 (c) mililita 1.33 (d) mililita 750 (e) mililita 7.5
31 Niliondoka Arusha saa 10:50 jioni na niliwasili Dodoma baada ya masaa 4:35.
Je nilifika Dodoma saa ngapi. Andika jibu lako katika mtindo wa saa 24.
(a)2125 (b) 1035 (c) 1845 (d) 2325 (e) 2025.
32 Chiku alinunua redio kwa shilingi 450,000 na kisha akaiuza kwa shilingi
360,000. Je, Chiku alipata hasara ya desimali ngapi?
(a) 0.2% (b) 20% (c) 90000/=(d) 0.25 (e) 0.2
33 Pembe ERM katika mchoro ufuatao inawakilisha pembe mojawapo ya paa la
nyumba ya Bwana Chatu. Pembe hii ni aina gani?
K a m a ti y a M i ti h a n i y a n d a n i M M C S e p t e m b a 2 0 2 2 U k u r a s a |3
(a) pembe kali (b) pembe butu (c) pembe kuu
(d) pembe mraba (e) pembe nyoofu
34 Mche mstatili una kimo cha sm 18, urefu wa sm 53, na upana wa sm 29.
Tafuta ukubwa wa mche mstatili huo .Andika jibu lako katika mamia ya
karibu.
(a)sm3 27,656 (b) sm3 27,700 (c) sm327,666 (d) sm2 6026 (e) sm3 6026
Na SWALI KAZI
35 Tafuta thamani ya “t” katika mchoro ufuatao

(a)1490 (b) 380 (c) 490 (d) 2110 (e) 620


36

Johari aliweka sh. 8 000,000 katika benki kwa miaka 3 na akapata faida ya

shilingi 1,540, 000, je benki hiyo hutoa riba ya kiasi gani?

(a) 5 % (b) 4 % (c) 3 % (d) 2 % (e) 1 %

37 Umri wa baba ni mara tatu ya umri wa mtoto wake. Ikiwa umri wa mtoto wake ni
miaka 24. Je, umri wa baba ni miaka mingapi?
(a) Miaka 54 (b) Miaka 51 (c) Miaka 60(d) Miaka 72 (e) Miaka 27
38 Umbo lifuatalo ni trapeza, tafuta mzingo wake.

(a) Sm 76 (b) Sm 84 (c) Sm 96 (d) Sm 384 (e) Sm 108


39 Kiwanja cha mpira wa miguu kina mzingo wa mita 140. Ikiwa upana wa
kiwanja hicho ni m (x – 2) na urefu wake ni m ( 2x - 5), tafuta eneo la
kiwanja hicho (a) m2540 (b) m2100 (c) m2500 (d) m2200 (e) m2640
40
Tafuta eneo la sehemu iliyotiwa kivuli. (Tumia π = )

(a) sm242 (b) sm2154 (c) sm222 (d) sm250 (e)


sm.(2x + 4) sm2196

sm.(4x – 6)
SEHEMU B(Alama 10)
Matendo ya kihisabati maumbo na mafumbo, kokotoa swali 41 – 45 ulilopewa kwa kuonesha
njia na tumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi katika nafasi iliyotengwa kwenye fomu
ya OMR.
41 Katika mashindano ya riadha Hamisi alizunguka kiwanja kifuatacho mara 10.

Je ni sawa na kukimbia kilometa ngapi? (π = )

K a m a ti y a M i ti h a n i y a n d a n i M M C S e p t e m b a 2 0 2 2 U k u r a s a |4
42 Massawe alikuwa na kalamu 16 na penseli 24. Aliamua kuwagawia rafiki zake kalamu
10 na penseli 15. Iwapo aliuza idadi ya kalamu zilizobaki kwa shilingi 300 kila moja,
penseli zilizobaki kwa shilingi 200 kila moja, je, alipata jumla ya kiasi gani cha fedha?
43 Irene alinunua vitu kama ifuatavyo: kg 10 za mchele @sh. 3,500, kg 3 unga @sh
1,200, kg3½ za sukari @sh. 2800, lita 2½ za mafuta @ 6000.
Alibakiwa na shilingi ngapi kama alikuwa na noti 7 za sh.10,000/=
44 Andika majira ya nukta “E” yanayokamilisha umbo la mraba EFGH kama
ifuatavyo.H(0, 0), G(0, 3), F(- 3, 3) na E(x, y).
45 Katika shule ya msingi Mjongweni, mwanafunzi akipata daraja A katika somo lolote,
mmiliki wa shule humlipa mwalimu shilingi 10,000 kwa kila A kama motisha kwenye
somo lake. Ikiwa mwalimu wa Sayansi alipata shilingi 450,000, je ni wanafunzi
wangapi walipata daraja A katika somo hilo?

K a m a ti y a M i ti h a n i y a n d a n i M M C S e p t e m b a 2 0 2 2 U k u r a s a |5

You might also like