Professional Documents
Culture Documents
Mock Mtwara
Mock Mtwara
3
SEHEMU A:SARUFI 18. Katika neno “hatutakamilisha” kiambishi kinachoonesha nafsi ni kipi?
(A) - ka - (B) -ha- (C) - mi - (D) ta (E) - tu -
1. Mkali kuliko wote amekufa. Neno lililopigiwa mstari ni:- 19. “Serikali imetoa ilani juu ya unywaji wa pombe za kienyeji vilabuni”
(A) Kivumishi (B) Kiwakilishi (C) Kielezi (D) Kitenzi (E) Kitenzi kisaidizi Neno ilani lina maana ipi?
2. “Ningejua ukweli wa mambo kabla ________hapa saa hizi” neno gani linakamisha (A) Onyo (B) Cheti (C) Maelekezo (D) Leseni (E) Ruhusa
sentensi hiyo? 20. Kilimo cha mseto ni kilimo kinachohusisha.
(A) nisingalikuja (B) ningalikuja (C) singelikuja (D) msingelikuja (A) Zao la aina moja (B) Mazo mchanganyiko (C) Mazo ya biashara
(E) nisingelikuja (D) Mazao ya chakula (E) Mazao ya mbegu
3. “KIFADURO kinaua, mwalimu alisema. Ipi ni kauli taarifa ya sentensi hiyo kati
ya hizi zifuatazo? SEHEMU B: LUGHA YA KIFASIHI
(A) Mwalimu aliwaambia KIFADURO kinaua Chagua herufi ya jibu sahihi katika swali la 21 - 30
(B) Mwalimu alisema KIFADURO kinaua 21. Ni jibu la kitendawili “ Mazishi yake ni furaha kwa watu”
(C) KIFADURO kinaua mwalimu alisema (A) Mbegu (B) Majani (C) Mbolea (D) Maiti (E) Mzoga
(D) Mwalimu alisema kwamba KIFADURO kinaua 22. Walikaa kivulini wakipiga domo tu.
(E) Mwalimu alieleza KIFADURO kinaua (A) Kusengenya (B) Kubarizi (C) Kucheka (D) Kusifia (E) Kufurahia
4. “Anna anatembea polepole ______ twiga” 23. Somoe rafiki yangu; hebu nikuuume sikio. Nini maana ya nahau “uma sikio”
(A) mithili ya (B) mathalani ya (C) mahadhi ya (D) maridhawa ya (A) Shika sikio (B) Ng’ata sikio (C) Nong’oneza siri (D) Busu (E) Tafuna sikio
(E) midhali ya 24. Kamilsha methali ifutayo ________ ungali maji
5. Looh! Mzee ali amemwaga unga. Neno lililopigiwa mstari ni:- (A) Ugali uwahi (B) Uji uwahi (C) Udongo uwahi (D) Nyama uwahi
(A) kiungo mshangao (B) Kiunganishi (C) mshangao (D) kihisishi (E) Mchanga uwahi
(E) Nomino 25. Maria na Asha hawapikiki chungu kimoja. Maana yake ni
6. Neno lipi halilandani na mengine? (A) Chungu ni kidogo (B) Hawatembeleani (C) Moto hautoshi
(A) Msonge (B) Tembe (C) Daraja (D) Kibanda (E) Ghorofa (D) Wanapendana sana (E) Hawaelewani
7. Sehemu ambayo ng’ombe huogeshwa ili kuwaepusha na magonjwa huitwaje? 26. Babu yetu bado anaonekana madhubuti lakini “ameshakula chumvi nyingi”
(A) Mto (B) Bwawa (C) ziwani (D) Josho (E) Joshi maana yake ni ipi?
8. “Mboga haina chumvi ya kutosha” Wingi wa sentinsi hiyo ni upi? (A) Ameshamaliza chumvi yote (B) Amefanya mazoezi mengi
(A) Mboga hazina chumvi ya kutosha (C) Ameishi miaka mingi (D) Amechoka sana
(B) Mboga haina machumvi ya kutosha (E) ana umri wa juu sana
(C) Mboga hayana chumvi ya kutosha 27. Kisawe cha nahau kufa moyo ni kipi?
(D) Mamboga hayana chumvi za kutosha (A) Ona fahari (B) Tia moyo (C) Pole za tumaini (D) Kata tamaa (E) Aga dunia
(E) Mboga haina chumvi za kutosha 28. “Anajihami bila silaha” Nini jibu la kitendawili hiki?
9. Nywele zinazoota kuanzia karibu na masikio mpaka kwenye mashavu huitwaje? (A) Nyoka (B) Mbwa (C) Kinyonga (D) Paka (E) Chui
(A) Mvi (B) Sharafa (C) Ndevu (D) Masharubu (E) Kope 29. “Kidagaa kimemwozea” Msemo huu una maana gani?
10. Neno “Anazungusha” mzizi wa kitenzi ni upi? (A) Kukwepa kulipa deni (B) Kutowajibika kulipa (C) Kuelemewa na jambo
(A) - angusha (B) anazung- (C) -zung- (D) zungush- (E) anaz- (D) Kupoteza matumaini (E) Kulipa deni maradufu
11. Kinyume cha neno “Nadra”ni _________________ 30. “Bwana mkubwa amelala ndani lakini ndevu zipo nje zapepea”
(A) Aghalabu (B) Mara chache (C) Mara nyingi (D) Bora (E) hafifu (A) Ulezi (B) Mpunga (C) Ngano (D) Mahindi (E) Mtama
12. Neno “CHUPA” lipo katika ngeli ipi?
(A) U-ZI (B) U-I (C) I-ZI (D) Ki-vi (E) I-Ya SEHEMU C: USHAIRI
13. Neno “Maruperupe” lina irabu ngapi? Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu swali la 31 - 36
(A) Sita (B) Tisa (C) Tano (D) Kumi na moja (E) kumi
14. Kisawe cha neno “Shaibu” ni 1. Hili letu jukumu, uzalendo sisi sote
(A) Ajuza (B) Mkongwe (C) Buda (D) Rais (E) Mwanaume mzee sana Kwani limetulazimu, kulima ardhi yote,
15. Amina anafanya kazi zake kwa umakini. Badala ya neno makini ungeweza Wala hapana msimu, kilimo ni siku zote
kutumia neno lipi kati ya haya? Iwe kufa na kupona, Kilimo nchini humu.
(A) Busara (B) Hekima (C) Ujasiri (D) Upole (E) Uangalifu
16. Kipi ni kinyume cha neno shuruti? 2. Njaa si kutu kingine, nani asiyetambuwa
(A) Haraka (B) Sharti (C) Hiari (D) Lazima (E) Makubaliano Watu huvila vingine, ambavyo havijaliwa
17. Fundi atengenezaye meza, viti, kabati, (samani) huitwa? Basi hamna jingine, kilimo jaribu sawa.
(A) Sonara (B) Mtengenezaji (C) Mwashi (D) Muajimu (E) Seremala Iwe kufa na kupona, kilimo nchini humu.
1 2
SEHEMU C: JIOGRAFIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
31. Latitude yenye 231/2 kusini huitwa __________________ OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
(A) Ikweta (B) Tropiki ya kaprikon (C) Greenwhich (D) Tropiki ya kansa
(E) Atlantiki MTIHANI WA KWANZA MOCK MKOA DARASA LA VII - 2019
32. Visiwa vya Japani ni maarufu kwa ___________________ MKOA WA MTWARA
(A) Utengenezaji wa karatasi (B) Uzalishaji wa mbao (C) Ujenzi wa meli
(D) Ujenzi wa ndege (E) Kilimo cha ngano
33. Madini gani yanapatikana Arusha na huliingizia taifa fedha nyingi za kigeni?
(A) Dhahabu (B) Shaba (C) Chuma (D) Makaa ya mawe (E) Tanzanite. 03 MAARIFA YA JAMII
34. Kitendo cha Dunia kujizungusha katika muhimili wake husababisha. MUDA: SAA 1:30
(A) Kupatwa kwa jua (B) Madini ya shba (C) Usiku na mchana JUMATANO: TAREHE 16/05/2019
(D) Kupatwa kwa mwezi (E) Pepo za kusi
KUANZIA SAA: 8:00 - 9:30 Alasiri
35. Uvinza imepata umaarufu kwa sababu ya
(A) Mafuta ya chikichi (B) Majira ya mwaka (C) Madini ya chuma
MAELEKEZO:
(D) Madini ya chumvi (E) Tumbaku
1. Karatasi hii ina sehemu A,na B
36. Mto mrefu kuliko yote barani Afrika ni _________________
2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
(A) Mto Rufiji (B) Mto Zambezi (C) Mto Nile (D) Mto Ruvuma (E) Mto kongo
3. Fuata maelekezo kwa kila sehemu.
37. Mambo muhimu kuzingatia katika uchoraji wa ramani ni ________________ 4. Swali la 1 - 40 kila swali lina alama moja
(A) Kontua, Latitudo na Tropiki (B) Ufunguo, Kipimo na dira 5. Weka kivuli katika herufi ya jibu sahihi kwa swali la 1 - 40 katika
(C) Kalamu, karatasi na rula (D) Grid, Latitudo na longtide karatasi yako ya kujibia uliyopewa, kwa mfano kama jibu sahihi ni A
(E) Kamera, Darubini na usafiri Weka kivuli kama ifuatavyo: -
38. _____________ ni chemchem inayopatikana jangwani. [A] [B] [C] [D] [E]
(A) Kisiwani (B) Mto (C) Bonde (D) Chemchem (E) Oasisi.
39. Katika nchi za Afrika Mashariki na kati ni nchi ipi ni maarufu kwa zao la 6. Tumia penseli ya HB tu kwa swali la 1 - 40
pareto? 7. Ukigundua kuwa herufi uliyowekea kivuli si jibu sahihi futa kivuli
(A) Uganda (B) Tanzania (C) Zambia (D) Kenya (E) Rwanda hicho kwa umakini kwa kutumia KIFUTIO SAFI kabla ya kuweka
40. Jua ni ________________ kivuli katika herufi mpya
(A) Sayari kubwa kuliko zote (B) Nyota inayozunguka Dunia
(C) Nyota yenye joto kali na kubwa kuliko zote 8. Tumia peni ya BLUU au NYEUSI kujibu swali la 41 - 45 kila swali
(D) Nyota iliyokaribu sana na dunia
lina alama mbili
(E) Nyota yenye mwanga mkali
9. Andika Namba yako ya mtihani kwenye karatasi yako ya kujibia.
SEHEMU D:
10. Simu za mkononi haziruhusiwi ndani ya chumba cha mtihani.
41. Maana ya utamaduni ni nini?
42. Eleza maana ya neno utalii.
43. Ukoloni maana yake ni?
44. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifariki mwaka ____________
45. Kwa nini mito mingi ya Afrika haitumiki kwa usafirishaji. _________
3
SEHEMU A: URAIA (A) Angola (B) Guinea Bisau (C) Zimbabwe (D) South Afrika (E) Namibia
15. Mkusanyiko wa kanuni ambazo huwezesha taasisi kutawala au kuendesha
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha jaza kwenye sehemu iliyoachwa wazi shughuli zake ni ______________
(A) Sheria (B) Fursa (C) Katiba (D) Uongozi (E) Maandiko
1. Mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania ulianza mwaka _____________
(A) 1973 (B) 1990 (C) 2005 (D) 1995 (E) 1992 SEHEMU B: HISTORIA
2. Ni alama ipi ya Taifa inaoesha Amani na Upendo miongoni mwa watanzania? Chagua jibu sahihi na kisha weka kuvuli katika herufi inayohusika mbele ya nam-
(A) Bendera ya Taifa (B) Nembo ya Taifa (C) Mwenge ba ya kila swali katika karatasi yako ya kujibia.
(D) Picha ya Twiga na Punda (E) Bendera ya umoja 16. Baraza la mawaziri Tanzania limetokana na baraza kiongozi lililoanzishwa
3. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilizaliwa ______________ mwaka 1920 na _______________
(A) 26.4.1964 (B) 9.12.1961 (C) 26.1.1964 (D) 12.1.1964 (E) 9.12.1962 (A) Sir Donald Cameroon (B) Sir Richard Tumbull (C) Horace Byatt
4. Wakimbizi wengi waliopo Tanzania wanasababishwa na tatizo la ______ kutoka (D) Sir Edward Twinning (E) Willium Macknon
kwenye nchi jirani. 17. Serikali ya kidemokrasia huendeshwa na __________________
(A) Njaa (B) Mafuriko (C) Vita vya wenyewe kwa wenyewe (A) Watu wachache (B) Wananchi wote (C) Wanajeshi
(D) Majanga ya asili ikiwemo kuripuka kwa volkano (E) Ukoloni mamboleo. (D) wawakilishi wa wananchi (E) Madiawani
5. Katibu Tawala wa Mkoa huteuliwa na ____________________ 18. Mfumo wa uzalishaji mali uliofuata baada ya mfumo wa ujima uliitwa.
(A) Mkuu wa mkoa (B) Rais (C) Kamati ya usalama (D) Jeshi (E) Waziri Mkuu (A) Ubeberu (B) Ubepari (C) Utumwa (D) Nyarubanja (E) Umwinyi
6. Waziri Mkuu wa Tanganyika baada ya uhuru aliitwa __________________ 19. Mtawala wa kwanza wa kiarabu katika visiwa vya Unguja aliitwa ____________
(A) Edward M. Sokoine (B) Julius K. Nyerere (C) Rashid M. Kawawa (A) Tipp Tipp (B) Seyyid Said (C) Sayyid Barghash (D) Sultan Majid
(D) Kasim M. Majaliwa (E) John P. Magufuli (E) Amani Karume
7. Ulinzi na Usalama wa watanzania na mali zao ni jukumu la 20. Wafanyabiashara wa mwanzo wa kigeni kuingia Tanganyika walitoka?
(A) Jeshi la Wananchi (B) Jeshi la Polisi (C) Wabunge (D) Raia wote (A) Marekani (B) Amerika kaskazini (C) Asia (D) Ulaya (E) Amerika ya kusini
(E) Madiwani. 21. Mkutano wa Berlin uliitishwa na kiongozi wa Ujerumani aliyeitwa?
8. Moja ya sababu ya kuanguka kwa umoja wa nchi za Afrika Mashariki mnamo (A) Vasco da Gama (B) Henry Stanley (C)Olto von Bismark
1977 ilikuwa _______________ (D) Johan Rubman (E) Carl Peters
(A) Vita kati ya Tanzania na Idd Amin wa Uganda. 22. Moto uliogundulika katika zama zipi za mawe?
(B) Utofauti wa kibiashara kati ya mataifa shiriki. (A) Zama za mwanzo za mawe (B) Zama za mwisho za mawe.
(C) Kuongezeka kwa mapigano dhidi ya ukoloni. (C) Zama za chuma (D) Zama za kati za mawe (E) Zama za zinja.
(D) Kuanzishwa kwa jamii nyingine ndani ya Afrika ya kusini 23. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mwaka
(E) Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Uganda. (A) 1962 (B) 1964 (C) 1967 (D) 19677 (E) 1864
9. Mzalendo ni nani? 24. Ni kwenye mfumo upi wa uzalishaji mali ambapo njia kuu ya uzalishaji
(A) Anayefanya kazi sana (B) Mzawa wa nchi yake ilitegemea ardhi?
(C) Anayesaidia wakati wa matatizo (A) Ubepari (B) Umwinyi (C) Utumwa (D) Jamii (E) Ukabaila.
(D) Ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake. 25. Nchi zipi zilipata uhuru wao kutoka kwa wakoloni bila vita?
(E) Ambaye anajihusisha wakati wa uchaguzi kuchagua na kuchaliwa kuwa (A) Namibia, Rwanda na Angola (B) Tanganyika, Malawi na Ghana
kiongozi. (C) Burundi, Mozambique na Zambia (D) Guinea Biscaau, Kongo na Malawi
10. Ukoo ni kundi la watu? (E) Nigeria, Angola na liberia.
(A) Wenye uhusiano wa damu (B) Wanaoishi pamoja kama familia 26. Gavana wa mwisho wa kiingereza Tanganyika aliitwa?
(C) Wanaofuata mila na desturi zenye kufanana (D) Wanaotoka jamii moja (A) Richard Turbull (B) William Macknon (C) Horace Byatt
(E) Wenye asili moja (D) Edward Twinning (E) Carl Peters.
11. Ipi sio sahihi kwa vyama vya siasa vilivyoshika mtutu kupigania ukombozi wa 27. Mfumo wa unyonyaji ulioshamiri sehemu za pwani ya Tanzania ni ___________
nchi zao? (A) Nyarubanja (B) Ubusore (C) Amukama (D) Umwinyi (E) Ubugabire.
(A) ZANU, PF - Zimbabwe (B) FRELIMO - Mozambique (C) UNIP - Zambia 28. __________ ni shirika la umoja wa mataifa linaloshughlikia wakimbizi
(D) MPLA - Angola (E) SWAPO - Namibia (A) UNESCO (B) WHO (C) UNHCR (D) GATT (E) ILO
12. Ipi kati ya haya mashirika ya UNO inahusika na chakula? 29. Mau mau walipigana na ukoloni ndani ya __________________
(A) UNICEF (B) UNESCO (C) FAO (D) ILO (E) UNHCR (A) Angola (B) Msumbiji (C) Malawi (D) Kenya (E) Unguja
13. Mahakama ipi inahusika na kesi za mauaji kwa Tanzania? 30. Baada ya mkutano wa Berlini, uliopelekea kugawanywa kwa Bara la Afrika
(A) Mahakama ambayo mauaji yalitokea (B) Mahakama Kuu miongoni mwa Mataifa ya Ulaya Tanganyika ilikuwa chini ya ?
(C) Mahakama yoyote (D) Mahakama ya Rufaa (E) Mahakama ya Mwanzo (A) Wajerumani (B) Waingereza (C) Wareno (D) Wafaransa (E) Waitalia.
14. Nchi ya mwisho kujipatia uhuru kwa bara la Afrika ni ____________________
2
33. The evening meal is called _________________ THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
(A) breakfast (B) dinner (C) lunch (D) tea (E) meal
34. My uncle’s wife is known as _________________ PRESIDENT’S OFFICE
(A) Niece (B) Mother-in-laws (C) Nephew (D) Aunt (E) Cousin REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
35. The citizen of Sudan is a ___________________ AUTHORITIES
(A) Sudans (B) Sudan (C) Sudanist (D) Sudanian (E) Sudanese
FIRST REGIONAL MOCK EXAMINATION FOR STANDARD VII -
36. A person who sells thing in a shop is called _______________
2019
(A) A shopkeeper (B) A teacher (C) A tailor (D) carpenter (E) A driver.
MTWARA REGION
SECTION C: COMPOSITION
In question 37 - 40, you have been given incorrectly arranged sentences, there- 02 ENGLISH LANGUAGE
fore, arranged these sentences in a good order by giving them letter A, B, C, and TIME: 1:30 HRS
D in order to provide a clear meaning. THURSDAY: : 17/05/2019
37. When her mother came from work, she did not find the meat. Starting time 8:00 - 9:30 Moning
38. Jane opened the cupboard and took the meat.
39. One day Jane’s mother bought same roosted meat and put in the cupboard INSTRUCTIONS:
before she left to work. 1. This paper consists of 45 question in section A, B, and D
40. The girl was punished as she was a thief. 2. Answer all questions in each section.
3. Read all the given instructions in each section.
SECTION D: COMPREHENSION 4. Question number 1 - 40 carries 01 mark each. Shade the letter of the
Read the passage carefully, and then answer the question 41 - 45 by writing the correct answer for each question in the answer sheet provided; for
correct answer in the answer sheet provided. example, if the correct answer is A shade as follows:-
Malingumu lives with his parents. On a school day , Malingumu wakes up eary in the [A] [B] [C] [D] [E]
morning. He brushes his teeth. He puts on his school uniform. He eats brakfast and
goes to school. After school he returns home. He does his homework in the evening. He 5. Use HB pencil only.
eats dinner and goes to bed. 6. If you have to change your aswer, you must rub out the shading very
neatly before shading the new one. Use a clean rubber.
QUESTIONS 7. In Questions 41 - 45 use BLUE of BLACK pen and question carries
41. What does Malingumu eat before he goes to school? 02 marks each.
42. Where does Malingumu go after school? 8. All answers should be written in the answer sheet provided.
43. When does Malingumu do his homework? 9. Write your Examination Number in every page of the answer sheet
44. Whom does Malingumu live with ? provided.
45. What else does Malingumu do when he wakes up early in the morning? 10. Cellular phones are not allowed in the Examination room.
3
SECTION A: GRAMMAR (A) Writing (B) written (C) writes (D) wrote (E) write
Choose the words(s) that complete the sentence by shading the letter of the cor- 18. The head prefect ___________ more about school baraza next Monday.
rect answer in the answer sheet provided. (A) is explaining (B) has explain (C) will explain (D) explains (E) explaining
1. They are going to ________________ football. 19. __________of being intelligent, Juma didn’t pass his examinations.
(A) Plays (B) Playing (C) Play (D) Played (E) Player (A) because (B) although (C) inspite (D) even (E) despite
2. ________ Erastus and Ashura are in class three. 20. This is a pupil ___________ bag was stolen.
(A) All (B) Also (C) So (D) Either (E) Both (A) which (B) whom (C) because (D) which (E) whose
3. This is her pencil. It is ______________ 21. While the Doctor was prescribing the medicinal, said and Abdallh ______________
(A) hers (B) his (C) mine (D) he (E) her watching.
4. Is there ____________ orange in the bucket? (A) was (B) were (C)are (D) has (E) is
(A) An (B) any (C) a (D) some (E) the 22. My mother is suffering ______________ malaria
5. No body can pass the examination __________he/she worked hard. (A) from (B) at (C) are (D) has (E) is
(A) if (B) both (C) just (D) unless (E) those 23. _________________ teachers ________________ pupils arrived to schoo early.
6. Six years a go, our class monitor __________ four years old. (A) As ---- as (B) So ----- that (C) Neither ---------nor
(A) were (B) is (C) are (D) was (E) have (D) Either ----or (E) Too ------ to
7. How __________ cups of tea do you drink a day? 24. We usually go to school _________________ foot
(A) many (B) much (C) some (D) any (E) soft (A) by (B) at (C) With (D) on (E) in
8. She was a school girl. _________________________ 25. A cat gets out of the room ____________ the windows
(A) Was she? (B) Isn’t she? (C) Wasn’t she? (D) Didn’t she? (E) Won’t she? (A) on (B) through (C) out (D) in (E) by
9. My mother is a tailor, she makes __________________ 26. They _______ letters every weekend
(A) Chairs and table (B) Chairs and mates (C) Ports and cups (A) wrote (B) written (C) writing (D)writes (E) write
(D) Mates and chairs (E) Dresses and shirts 27. ________ she goes to school; she will not perform better in the examinations
10. Magreth is the ________ girl in class seven. (A) Unless (B) When (C) But (D) Although (E) If
(A) strong (B) strongest (C) stronger (D) more stronger (E) strongs 28. They are ________ than others.
11. They walk as slowly ___________tortoise. (A) Most clever (B) Cleverest (C) More clever (D) Clevers (E) Most cleverest
(A) not only (B) to (C) but also (D) as (E) like 29. Not only Anna is tall ____________ strong
12. The President Magufuli ____________ Mikumi National Park next week. (A) enough (B) for (C) either (D) but also (E) because
(A) Visit (B) Visits (C) Will visit (D) Visiting (E) Visited 30. The snake entered in my bedroom ___________ the opened window.
13. Our head teacher will be _____________ at this time tomorrow. (A) Between (B) through (C) from (D) at (E) on
(A) flew (B) fly (C) to fly (D) flies (E) flying
14. The football players have _______ to Arusha. SECTION B: VOCABULARY
(A) Gone (B) going (C) goes (D) go (E) went Choose the best answer and write its letter in the answer sheet provided to
15. I bought _______________ umbrella for seven thousand question 31 - 36
(A) An (B) some (C) a lot (D) much (E) a 31. Oranges, mangoes, pineapples and watermelon can generally be called _____
16. After I had ___________ my work, I went out (A) fruits (B) food (C) flowers (D) beverages (E) gardeners.
(A) finish (B) finished (C) finishing (D) finishes (E) was finish 32. A word “purchase” can also be known as ________________
17. A girl who __________ this story died three years a go. (A) exchange (B) import (C) buy (D) export (E) sell
1 2
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MKOA WA MTWARA
05 SAYANSI
MUDA: SAA 1:30
JUMATANO: TAREHE 17/05/2019
MAELEKEZO:
1. Karatasi hii ina sehemu A,na B
2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
3. Fuata maelekezo kwa kila sehemu.
4. Swali la 1 - 40 kila swali lina alama moja
5. Weka kivuli katika herufi ya jibu sahihi kwa swali la 1 - 40 katika
karatasi yako ya kujibia uliyopewa, kwa mfano kama jibu sahihi ni A
Weka kivuli kama ifuatavyo: -
[A] [B] [C] [D] [E]
6. Sehemu ya ndani kabisa ya jicho ambapo picha ya kitu hufanyika anaitwa ____
(A) Lenzi (B) Retina (C) Mboni (D) Mboni ya jicho (E) Nyusi
7. Vitu vipi huitajika wakati wa kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyevunjika
mfupa?
(A) Mkasi, bandeji, vibanio vya bandaji, pini, pamba na spiriti
(B) Tatulo, sabuni, machela, pamba na spriti.
(C) Taulo, maji, mafuta na sabuni
(D) Blanketi, kiti, sabuni, kamba na makasi
(E) Blanketi, bandeji, mkasi na kamba.
Sm 2 Sm 4 13. Ukiweka sarafu katika beseni lenye maji, sarafu hiyo itaonekana imepanda juu.
Hali hiyo hutokea kwa sababu _____________
(A) Sarafu hiyo ni nyepesi (B) Macho yana matatizo
(C) Mwanga umenyooka (D) Maji ni kidogo (E) Kuakisiwa kwa mwanga
41. Maji yaliyochemka kwa nyuzi 100 za sentigredi (C). Je hiyo ni nyuzi ngapi za 16. Mshipa wa ARTERI hujigawa katika mishipa midogomidogo iitwayo ___________
Farenhaiti? __________________ (A) Vena kava (B) Bronchiole (C) Valvu (D) Kapilari (E) Veini
42. Ni aina ipi ya Asidi ambayo husaidia kuua bakteria tumboni ________________ 17. Kipi kati ya hivi vifuatavyo hutumika katika kubuni tatizo katika utafiti wa
kisayansi?
43. Muungano wa kikemikali kati ya gesi ya haidrojeni na oksijeni huundwa (A) Mkusanyiko wa data (B) Mabunio (C) Uchambuzi wa data
kompaundi iitwayo _________________________ (D) Hitimisho (E) Utoaji wa maoni
44. Sehemu ya ubongo inayoratibu matendo yasiyo ya hiari hujulikana kama 18. Kutu ni matokeo ya mmenyuko wa kikemikali kati ya chuma + y + maji”
______________________ katika mlinganyo hu, “y” imewakilisha.
(A) Oksijeni (B) Tindikali (C) Naitrojen (D) Unyevunyevu (E) Kabonidayoksaidi
45. Chunguza mchoro ufuatao wa seli na andika sehemu iliooneshwa kwa herufi
M. ________________________ 19. Mchoro ufuatao unaonesha jaribio la mwale wa mwanga katika kioo bapa.
y° 35°
Mwale mtuo Kioo bapa
5 2
22. Chunguza kwa makini mchoro ufuataokisha jibu swali. Iwapo balbu ya pili ikiungua, balbu ya ________________
(A) 3 tu itaendelea kuwaka (B) 1 na 3 zitaendelea kuwaka
Kamba (C) 1 tu itaendelea kuwaka (D) 1 na 3 nazo ziitaungua (E) 3 itaungua.
Keni ya yureka 30. Mtu mwenye tezi ya shingo (goita) iliyovimba huwa na upungufu wa madini ya
____________________
(A) Kasiamu (B) Potasimu (C) Madini joto (D) Fosforasi (E) Mawe ya chokaa
24. Tezi inayopatikana eneo la shingo uzalisha homoni iitwayo __________________ 34. Vitundu vidogo vidogo kwenye majani ya mimea huitwa. ______________
ambayo hudhibiti mmeng’enyo wa kalisiamu (chokaa) mwalini. (A) Spirako (B) Vinyweleo (C) Milija hewa (D) Matumvua (E) Stomata
(A) Pathormon (B) Thaimosis (C) Adrenalini
(D) Chakula katika kongosho (E) Testosterone 35. Lipi kati ya yafutayo linaonesha hatua sahihi za ukuaji wa inzi?
(A) Yai, Pupa, Lava, mdudu kamili (B) Yai, Lava, Pupa , Mdudu kamili
25. Mvutaji wa sigara huwa katika hatari kubwa ya kupata ______________ (C) Lava, Yai, Pupa, Mdudu kamili (D) Pupa, Mayai, Lava, Mdudu kamili
(A) Vidonda vya tumbo (B) Pumu (C) Tezi ya shino (E) Mdudu kamili, Lava na Yai
(D) Saratani ya mapafu (E) Mtoto wa jicho
36. Ili mbegu iweze kuota huitaji vitu vifuatavyo:
26. Kitu chochote chenye uzito na huchukua nafasi huitwa _______________ (A) Maji, Hewa na Jotoridi (B) Kabonidayoksaidi, maji na mwanga
(A) Atomu (B) Molekuli (C) Ombwe (D) Maada (E) Masi (C) Mwanga na Oksijeni (D) Maji, Oksijeni na Udongo
(E) Oksijeni, Maji na jotoridi
27. Kitu gani kati ya hivi vifuatavyo hakitumii sumaku?
(A) Hadubini (B) Luninga (C) Saa (D) Genereta (E) Miwani 37. Kitendo cha mmea kukua kufuta mwanga ujulikana kisayansi kama
(A) Haidrotropismu (B) Jiotropsmu (C) Movement
28. Kizio cha kazi (work) ni _________________ (D) Phototropismu (E) Osmosi
(A) Kilo (B) Newton (C) Tani (D) Juli (E) Gramu
38. Kemikali inayotumika kubaini uwepo wa chakula aina ya wanga inaitwa ______
29. Chunguza mchoro hapa chini kisha jibu swali linalofuata. (A) Besi (B) Asidi (C) Ayodini (D) Spiriti (E) Chumvi
Balbu
Balbu Balbu
3 2 1
3 4
Kokotoa swali 41 – 45 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
7
Na SWALI SEHEMU YA KAZI JIBU Na SWALI SEHEMU YA KAZI JIBU
5. 65/11 - 22/15 =
(A) 43/15 (B) 475/165 (C)415/33
(D) 4 /165 (E) 453/165
22
6. 2.04 - 1.947 =
(A) 0.093 (B) 9.8 (C) 9.3 (D) 0.93 (A) m 99 (B) m 90 (C) 35 m
(E) 0.98 (D) m 89 (E) m 92
7. 31/5 + 91/2 =
(A) 13 (B) 137/10 (C) 122/10
(D) 122/7 (E) 127/10
8. 0.0024 0.08 =
(A) 3 (B) 0.3 (C) 0.003 (D) 0.03
(E) 0.042
10. -
9 + (-4 + +3) =
(A) (+10) (B) (-10) (C) (-9) (D) (-7)
(E) (-2)
(A) M 700 (B) M 34 (C) M 420 15. Tafuta namba mraba ya 22/5
(D) M 480 (E) M 280 (A) 24/10 (B) 12/5 (C) 144/25 (D) 400/25
(E) 16/5
36 Tafuta thamani ya pembe “m”
16. Rahisisha 3(m - n) + 5n - 7m
(A) 4m - 2n (B) -4m - 2n
m° (C) 2n - 4m (D) 3m - 3n
A B (E) -4m - 8n
C
17. Badili 2.28 kuwa asilimia
D
145° (A) 228% (B) 0.228% (C) 2.28%
(D) 0.0228% (E) 22.8%
(E) 4/2000
3a
(A) 900 (B) 200 (C) 250 (D) 300
(E) 350
(A) 240 (B) 260 (C)480 (D) 120 (E)210
34. Tafuta eneo la mstatili ABCD wenye
30. Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo mzingo wa sm 50.
Sm (4a – 10) A B
m (x + 2)
Sm (2a -15)
C m (2x + 5) D
Sm (2a + 40)
(A) m2 126 (B) m2 1360 (C) m2 14.6
(A) Sm 150 (B) Sm 250 (C) Sm 520 (D) m2 156 (E) m2 225
(D) Sm 1500 (E) Sm 534
4 5