JARIBIO LA URAIA NA MAADILI DRS LA IV MWEZI JULY 2020
JINA LA MWANAFUNZI……………………………………………………………………………………………………………
CHAGUA JIBU SAHIHI
1. Viongozi wa dini Tanzania hupatikana kwa njia ya _________ (a) uchaguzi (b) uteuzi (c) upendeleo. 2. Kiongozi wa serikali ya mtaa ni _____________ (a) katibu (b) mwenyekiti (c) mbunge. 3. Familia ni muungano wa __ (a) Baba, Mama na watoto (b) Dada, Kaka na mama (c) Bibi, Babu na shangazi 4. Raisi jakaya mrisho kikwete Kikwete alikuwa raisi wa awamu ya _____ (a) Kwanza (b) Tatu (c) Nne. 5. Wimbo wa Taifa ni mmojawapo ya _____________ (a) Msingi wa uchumi (b) Nembo (c) Alama. 6. Mtoto anapougua ana haki ya kupata _____________ (a) Matibabu (b) Viboko (c) Kuangaliwa sana. JAZA NAFASI WAZI KWA KUCHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI a) TAKUKURU 7. Mmoja wapo wa alama za Taifa __________ b) John P Magufuli 8. Sikukuu ya wafanyakazi ______________ c) Nembo ya Taifa d) Mei mosi 9. Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania__ e) Raisi 10. Taasisi ya kuzuia na kupambana na f) Pembe za ndovu rushwa______ g) Mkapa JAZA NAFASI WAZI 11. Wimbo wa Taifa ni sala/dua ya kuombea _____________________ 12. Sikukuu ambayo hufanyika tarehe 25 desemba ni _____________________ 13. Rangi inayoelezea maziwa, mito na bahari ni ___________________________ 14. Virusi vya ukimwi huharibu _____________________ ya mwili 15. Mwenyekiti wa serikali ya kijiji au mtaa huchaguliwa na wananchi baada ya miaka ____________ ANDIKA NDIYO AU HAPANA 16. Kiongozi ni mtu anayesimamia wengine _______________ 17. Kiongozi hatakiwi kushirikiana na wengine _______________ 18. Viranja wanachaguliwa hawana kazi ya kufanya ______________ 19. Babu na bibi huunda ukoo wao _____________________ 20. Moja kati ya haki za mtoto ni kutokulindwa _________________ OANISHA FUNGU A NA FUNGU B FUNGU A FUNGU B 21. Bendera ya Raisi ina rangi a. Mpaka 22. Wimbo wa Taifa una beti b. 12.1.1964 23. Shughuli yeyote inayompatia mtu kipato cha kukudhi c. Kazi mahitaji yake d. 2 24. Alama zinazoonesha mwanzo na mwisho wa kitu e. Kijani kibichi huitwa 25. Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea