You are on page 1of 30

YALIYOMO

JARIBIO LA 1 .......................................................................................................................... 1
JARIBIO LA 2 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 3 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 4 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 5 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 6 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 7 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 8 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 9 ............................................................................ Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 10 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 11 ........................................................................................................................ 2
JARIBIO LA 12 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 13 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 14 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 15 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 16 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 17 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 18 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 19 ........................................................................................................................ 4
JARIBIO LA 20 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 21 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 22 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 23 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 24 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 25 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 26 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 27 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 28 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 29 ........................................................................................................................ 5
JARIBIO LA 31 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 32 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 33 .......................................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 34 SFNA 2018 .................................................... Error! Bookmark not defined.
JARIBIO LA 35 SFNA 2019 ................................................................................................... 6
JARIBIO LA 36 SFNA 2020 ................................................................................................... 7
JARIBIO LA 37 SFNA 2021 ..................................................... Error! Bookmark not defined.
MAJIBU ...................................................................................................................................... 8

Jiandae Vema katika Somo la Sayansi na Teknolojia Galaxy Stationery - 0764 968 345 Ukurasa wa i
UTANGULIZI
Kitini hiki kimeandaliwa kwa mtindo wa Maswali na majibu mahususi kabisa
kwaajili ya wanafunzi wa darasa la nne kwa Mahiri zote kuanzia darasa la tatu
hadi darasa la nne ili kumwezesha pia kufanya marudio ya mahiri alizojifunza
madarasa ya nyuma. Kitini hiki kina majaribio 37 yenye maswali 25 kila jaribio na
ndani yake upo upimaji wa kitaifa (SFNA) 2018 hadi 2021. Maswali yaliyomo
humu yametungwa kutoka kwenye mahiri zote zilizopo kwenye Muhtasari wa
Elimu Msingi wa somo la Sayansi na Teknolojia kwa darasa la tatu na darasa la
nne. Kitini hiki kinaweza kumsaidia Mwalimu kuwaongoza wanafunzi kufanya
marudio ya mahiri mbalimbali kwa kufundisha au kwa kutoa majaribio hivyo ni
rafiki kwa Mwanafunzi na Mwalimu. Kila jaribio limeenezwa kwenye ukurasa
mmoja ili kupunguza gharama za urudufishaji.

Ndugu mzazi/Mlezi, usibaki nyuma muandae Mwanao


Galaxy Stationery, Tumetimiza wajibu wetu bado wewe Mzazi.
Galaxy Stationery,
Uwepo wenu ndio Uhai wetu

Jiandae Vema katika Somo la Sayansi na Teknolojia Galaxy Stationery - 0764 968 345 Ukurasa wa ii
SHUKRANI
Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa wote mtakaotumia bidhaa yetu hii
kwani Uwepo wenu ndio Uhai wetu.

Mwenyezi Mungu awabariki Sana

Said Bunduki Chihungi

0764 968 345/0672 968 345/0784 678 250

bunduki76said@gmail.com

Jiandae Vema katika Somo la Sayansi na Teknolojia Galaxy Stationery - 0764 968 345 Ukurasa wa iii
JARIBIO LA 1
1. Chagua jibu sahihi katika machaguo uliyopewa kisha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano
i. Ni kitu gani kitatokea kwa panzi iwapo atafungiwa kwenye chupa?
A. Atashindwa kuruka B. Atataga mayai C. Atakosa hewa D. Atakosa mwanga ( )
ii. Vifuatavyo ni vitu ambavyo husabahisha uchangiaji mkubwa wa uharibifu wa mazingira ISIPOKUWA:
A. Moshi wa viwandani B. Mifugo mingi katika eneo dogo C. Miti na nyasi D. Ukosefu wa mvua ( )
iii. …………….. ni njia kamili ya umeme. A. sakiti B. betri C. waya D. taa ( )
iv. Vifuatavyo ni vifaa vya mawasiliano kwa njia ya kisasa isipokuwa:
A. runinga B. ngoma C. redio D. simu ( )
v. Yafuatayo ni magonjwa yanayoambukiza isipokuwa: A. pumu B. surua C. kifua kikuu ( )
2. Linganisha orodha kwenye orodha A na B kisha andika herufi ya jibu sahihi
ORODHA A JIBU ORODHA B
(i) Puru ( ) A. Hufyonza maji na madini
(ii) Utumbo mwembamba ( ) B. Hutoa asidi inayoua vijidudu kwenye chakula
C. Huhifadhi kinyesi kwa muda
(iii) Utumbo mpana ( )
D. Hufyonza chakula baada ya mmeng’enyo
(iv) Tumbo ( ) E. Huondoa sumu ndani ya chakula
(v) Umio ( ) F. Hupitisha chakula kwa njia ya mawimbi hadi tumboni
3. Jibu kipengele (i) - (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika
hutawanyika pande zote, Sauti, Nishati ya umeme, husafiri katika mstari mnyoofu,
Midia angavu tofauti, Kivuli,
i. Umbo lenye kiza baada ya mwanga kuzuiwa na kitu hujulikana kama ……………………………………
ii. ………………………………………………………………………….… husababisha mwanga kupinda.
iii. Huweza kubadilika katika aina mbalimbali za nishati kama mwanga, joto na sauti. ………….…………..
iv. Sifa ya mwale wa mawanga ……………………………………………………………………………….
v. ……………………………………………………………………………. husafiri kwa njia ya mawimbi.
4.Umepewa hatua A-F ambazo ni hatua za kufanya jaribio la kisayansi. Zipange hatua hizo katika mtiririko
mzuri. Andika sentensi hizo katika nafasi iliyoachwa wazi. Hatua ya sita imetolewa kama mfano.
A. Kuandaa vifaa HATUA SENTENSI
B. Kuchambua data i. Hatua ya 1
C. Kutafsiri matokeo ii. Hatua ya 2
D. Kufanya jaribio na kukusanya data iii. Hatua ya 3
E. Kubuni dhanio iv. Hatua ya 4
F. Kubainisha tatizo v. Hatua ya 5
vi. Hatua ya 6
Kutafsiri matokeo
5. Chunguza kwa makini michoro ifuatayo kasha jibu kipengele (i) - (v)
MASWALI
i. jiko lililopewa herufi A ni aina gani ya jiko? ……………………..
ii. Nishati gani inahitajika kwaajili ya jiko A? ……………………….
B iii. Ni jiko lipi kati ya hayo husababisha uharibifu wa mazingira kwa
kiasi kikubwa? ……………………………………………………..
iv. Kufungua koki ya mtungi wa gesi ili kuruhusu gesi ifike kwenye
jiko ni hatua ya kwanza ya kufuata wakati wa kutumia jiko
lililoonyeshwa kwa herufi ipi? …………………………………….
v. Taja athari moja ya kimazingira ambayo husababishwa na
D matumizi ya jiko B na C ………………………………...…………
JARIBIO LA 10
1. Chagua jibu sahihi katika machaguo uliyopewa kisha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano
i. Wataalamu wanaelekeza kuwa vitendo vya ukataji wa miti ovyo husababisha kuongezeka kwa hewa ya
…. katika anga. A. oksijeni B. kabonidayoksidi C. haidrojeni D. moshi ( )
ii. Moshi wenye sumu huathiri mapafu na kusababisha magonjwa kama vile:
A. ugonjwa wa moyo B. malaria C. saratani ya mapafu D. kuwasha ( )
iii. Udongo ni makazi ya: A. mazingira B. miti C. mawe D. wadudu mbalimbali ( )
iv. Maji yaliyochafuliwa kwa kemikali kutoka viwandani na migodini yanaweza kuwa na …….
A. virutubisho B. kemikali za sumu C. rangi ya kuvutia D. harufu ( )
v. Kifaa maalumu cha kukusanyia miale ya jua na kuzalisha nishati ya umeme kinaitwa:
A. betri B. Jua C. Mwanga D. Paneli ya sola ( )
2. Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya kujibia

KIFUNGU A MAJIBU KIFUNGU B


i. Mzani ( ) A. Kipimo rasmi cha uzito
ii. Silinda kipimio ( ) B. Kipimio kisicho rasmi cha urefu
iii. Futikamba na ( ) C. Kipimo rasmi cha uzito wa vitu kama sukari, maharage na
rula nyama
iv. Hatua ( ) D. Hupima ujazo wa vimiminika katika vipimo vya mililita
v. Kilogramu ( ) E. Kipimio rasmi cha urefu
3. Chagua jibu sahihi kutoka katika kisanduku ulichopewa kisha jaza kwenye sehemu iliyoachwa wazi.

Wanga, Protini, Vitamin, Mafuta, Maji na madini

i. …………………………hulinda mwili usipatwe na magonjwa pamoja na kuimarisha mifupa na meno.


ii. ……….hurekebisha joto la mwili na kuimarisha tishu za mwili na kussaidia mmeng’enyo wa chakula.
iii. ………………………………………………………………..ni vyakula vya kujenga na kukuza mwili.
iv. ……………………………………………………….………….. ni vyakula vya kuupatia mwili joto.
v. ………………………………………………………………… ni vyakula vya kuupatia mwili nguvu.
4. Panga hatua zifuatazo za kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyeumwa na nyoka kwa kuonyesha
hatua ya kwanza hadi ya mwisho kwa kuzipatia namba 1, 2, 3, 4, na 5
i. Mfunge vizuri sehemu ya juu alipoumwa na nyoka kwa kamba au kitambaa. ( )
ii. Mpeleke majeruhi hospitali. ( )
iii. Muwuke majeruhi kwenye eneo alilopatia ajali usimsogeze wala kumkimbiza mahali. ( )
iv. Vaa glovu kisha muoshe eneo lililojeruhiwa kwa maji mengi. ( )
v. Chukua maji na glovu. ( )
3. Chunguza picha zinazofuata kisha jibu maswali yafuatayo
MASWALI
i. Picha hizo zinaonesha kifaa kinachoitwa ……………...
ii. Kazi ya kifaa hicho ni ………………………….………
iii. Mama yako amekupa njegere, nyama na maziwa
ukavihifadhi katika kifaa hicho. Utaviweka kwenye
sehemu inayoitwa ………………………………….......
iv. Mama yako amekupa hotipoti lenye wali na dishi lenye
samaki waliopikwa. Utaviweka kwenye sehemu
inayoitwa ………………………..…………………….
v. Mama yako amekupa chupa iliyojaa maji ya kunywa na
dawa zaka ukavihifadhi katika kifaa hicho. Utaviweka
kwenye sehemu gani? ……………………………
……………………………………….
JARIBIO LA 15
1. Chagua jibu sahihi katika machaguo uliyopewa kisha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano
i. Sehemu ya jokofu inayogandisha vyakula huitwa: A.friza B. friji C. jokofu D. baridi ( )
ii. ………….. ni chanzo cha umeme. A. mwezi B. gesi C. nguzo D. Jua. ( )
iii.Maji yanaweza kuwa katika hali tatu ambazo ni A. jiwe, maji na fueli B. kimiminika, gesi au mvuke na
barafu au yabisi C. Yabisi, barafu na kimiminika D. kimiminika, gesi na mvuke. ( )
iv. …………… ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali zinazopatikana angani.
A. Gesi B. Hewa C. uchafu D.Mawingu. ( )
v. Zifuatazo ni baadhi ya fueli ……………. A. makaa ya mawe, dizeli, petroli, gesi asilia
B. Dizeli, gesi vunde, umeme C. sola, dizeli, jenereta D. petrol, gesi asilia na upepo. ( )
2. Oanisha kifungu A na B. ili kupata maana halisi
KIFUNGU A HERUFI KIFUNGU B.
i. Surua ( ) A. Kukojoa mara kwa mara
ii. Malaria ( ) B. Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo wenye damu
iii. Tetekuwanga ( ) C. Kutoka vipele vidogo vidogo usoni na mwilini
D. Joto kali na maumivu ya viungo
iv. Kichocho ( )
E. Hutoa vipele ambavyo hubadilika kuwa malengelenge
v. Kisukari ( )
F. Husababisha upungufu wa kinga mwilini

3. Chagua jibu sahihi kutoka katika kisanduku ulichopewa kisha jaza kwenye sehemu iliyoachwa wazi.

Dhanio, Kuzaliana, Vimeng’enya, Kichocho, runinga


i. Ni ugonjwa unaosababishwa na konokono anayeishi katika maji yaliyotuama……………………...……
ii. Kemikali zinazosaidia katika usagaji wa chakula tumboni…………………………………………..…….
iii. Chombo kinachopokea mawimbi ya sumakuumeme na kuyabadilisha kupata picha na sauti ……...……
iv. Ni utabiri wa awali juu ya sababu za tatizo lililobainishwa…………………………………………………
v. Kuongezeka idadi ya viumbe hai ………………………………………………………….……………….
4. Panga upya sentensi zifuatazo kwa kuzipa herufi A, B, C, B na E.
i. Tumia mafuta ya ngozi kujipakaa mwilini baada ya kuoga. ( )
ii. Safisha sehemu zote na viungo vyote vya mwili wakati wa kuoga. ( )
iii. Kuoga kunamaanisha kuosha mwili wote kwa maji safi, sabuni na dodoki. ( )
iv. Vaa nguo safi na kavu baada ya kuoga. ( )
v. Kausha mwili kwa kutumia taulo safi na kavu. ( )
5. Chunguza mchoro ufuatao kasha jibu kipengele cha (i) hadi (v)

C A A

B
i. Herufi A inawakilisha nini? ………………………………………………………….……………………
ii. Herufi B inawakilisha nini? ………………………………………………………………………….……
iii. Sehemu inayoruhusu taa kuwaka au kuzima imeoneshwa kwa herufi gani? ……….………………………
iv. Taja kazi ya sehemu iliyooneshwa kwa herufi C. ………………………………………………..…..…
v. Chanzo cha umemwe katika sakiti hii kimeoneshwa kwa herufi ipi? …………………………...…….…
JARIBIO LA 20
1. Chagua jibu sahihi katika machaguo uliyopewa kisha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano
i. Hali tatu za maada ni ……………. A. yabisi, mango, kimiminika B. gesi, yabisi, kimiminika
C. maji, kimiminika na Gesi D. yabisi, hewa na gesi. ( )
ii. Data ni ………… A. makisio au utabiri wa awali juu ya sababu za tatizo B. taarifa zinazotokana na
utafiti zinazotumika kuelezea au kuthibitisha jambo Fulani C. njia zinazotumika
katika kufanya jaribio D. uchunguzi wa kina wa kisayansi wa jambo maalumu ( )
iii. Ili mbegu iweze kuota inahitaji vitu muhimu vitatu ambavyo ni………………A. maji, hewa na joto
B. maji, udongo na hewa C. joto, hewa na udongo D. maji, joto na udongo ( )
iv. Kutafuna vitu vigumu kunaweza kumegua: A. sikio B. vidole C.meno D. misuli ( )
v. Nywele zikiwa chafu zinaweza kuficha: A. rangi B. chawa C. funza D. viroboto ( )
2. Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya kujibia

KIFUNGU A MAJIBU KIFUNGU B


i. Kuongezeka kwa uzito na urefu wa viumbe hai ( ) A. Kula
B. Kuzaliana
ii. Uingizaji na utoaji wa hewa ( ) C. Ukuaji
iii. Kitendo cha kutoa takamwili kutoka katika mwili wa kiumbe hai. ( ) D. Kuhisi
E. Utoaji
iv. Uwezo wa viumbe hai kuzalisha viumbe wengine wenye kufanana na wao. ( ) waTakamwili
v. Kitendo cha viumbe hai kusogea kutoka sehemu mojakwenda sehemu ( ) F. Upumuaji
nyingine. G. Kujongea

3. Chagua jibu sahihi kutoka katika kisanduku ulichopewa kisha jaza kwenye sehemu iliyoachwa wazi

Mvuke, Umeme, Upepo, Mpitisho, kuakisiwa, mnururisho, barafu,

i. Hewa iliyo katika mwendo huitwa …………………………………………………………………………


ii. Joto kutoka kwenye moto hufikia ngozi zetu kwa njia ya …………………………………………………
iii. Taswira ni matokeo ya ……………………………………………………………………… kwa mwanga
iv. Maji katika hali ya yabisi huitwa ……………….…………………………………………………………..
v. ……………………………..…… ni nishati ambayo inaweza kubadilika kuwa aina mbalimbali za nishati.
4. Zifuatazo ni hatua za kufagia darasa. Zipange hatua hizo kuanzia ya kwanza hadi ya tano kwa
kuzipanamba 1 hadi 5
i. Fagia darasa kisha zoa takataka uzitumbukize kwenye ndoo ya taka. ( )
ii. Kusanya viti, meza na madawati upande mmoja. ( )
iii. Andaa vifaa vya kufanyia usafi darasani. ( )
iv. Yapangilie vizuri madawati, meza na viti. ( )
v. Deki darasa kwa maji safi yenye povu la ssabuni kisha kausha sakafu vizuri. ( )
5. Chunguza kwa makini mchoro ufuatao kisha jibu kipengele cha (i) hadi (v)
A E
YABISI KIMIMINIKA GESI
D C
B
i. Mchoro huo unaonesha nini? ……………………………………………………………………………..
ii. Mchakato unaooneshwa na herufi E unaitwa …………………………………………………………….
iii. Ni herufi gani katika mchoro inawakilisha upunguaji/upungufu? …………….…………………………
iv. Taja mchakato unaooneshwa na herufi A ………………………………………………………………...
v. Kitendo kinachooneshwa kwa herufi D hujulikana kama …………………………………………………
JARIBIO LA 33
1. Chagua jibu sahihi katika machaguo uliyopewa kisha uandike herufi ya jibu sahihi kwenye mabano
i. Mvuke ni maji yaliyo katika hali ya: A. yabisi B. kimiminika C. gesi D. barafu ( )
ii. Kula nyama mbichi isiyoiva vizuri kunaweza kusababisha ugonjwa wa:
A. malaria B. minyoo ya tegu C. kichocho. D. kipindupindu ( )
iii. Mojawapo ya njia zifuatazo hueneza magonjwa.
A. kunawa mikono B. kukata kucha C. kujisaidia ovyo D. kupiga mswaki ( )
iv. Vijidudu vya mamagojwa huweza kuonekana kwa kutumia kifaa gani?
A. darubini B. hadubin C.kipimajoto D. miwani ( )
v. Umuhimu wa huduma ya kwanza ni:
A. Kuongeza maumivu B. kupunguza ajali C. Kuokoa uhai D. kusababisha kifo ( )
2. Oanisha maneno ya kifungu A na kifungu B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi katika sehemu ya kujibia

KIFUNGU A MAJIBU KIFUNGU B


Kunusa ( ) A. Muhogo
Uzito ( ) B. Kipindupindu
Nzi ( ) C. Alama ya ilani katika ubebaji
D. Kilogramu
Wanga ( )
E. Pua
Glasi yenye ufa ( ) F. Ulimi
3. Chagua jibu sahihi kutoka katika kisanduku ulichopewa kisha jaza kwenye sehemu iliyoachwa wazi.

uvukizaji, utoneshaji, upunguaji, uyeyushaji, ugandishaji, utoneshaji wa haraka


i. Kitendo ambacho dutu hubadilika kutoka hali ya kimiminika kuwa yabisi hujulikana kama ………………………
ii. Barafu ni yabisi inayotokana na maji na kama joto likipanga barafu hugeuka kuwa kimiminika (maji).
Kitendo hiki huitwa ………………………………………………………………………………………..………
iii. Maji yakichemshwa hugeuka na kuwa mvuke. Kitendo hiki hujulikana kama ……………………………………
iv. Kitendo ambacho mvuke hubadilika na kuwa barafu huitwa ………………………………………………………
v. Kitendo cha mvuke kubadilika kuwa maji hujulikana kama ………………………………………………………
4. Zifuatazo ni hatua za kumpatia huduma ya kwanza majeruhi aliyeumwa na nyuki ambazo hazipo
kwenye utaratibu mzuri. Zipange hatua hizo kwa kuzipa herufi A – E
i. Mfunike eneo lililoumwa kwa kitambaa kilicholoanishwa maji. ( )
ii. Mchukue majeruhi na umpeleke zahanati au hospitali. ( )
iii. Chukua kitambaa. ( )
iv. Mtoe mwiba wa nyuki. ( )
v. Loanisha kitambaa kwenye maji ya baridi. ( )
5. Chunguza picha zinazofuata kisha jibu maswali yanayofuata
Mfuniko Mfuniko mgumu
wa wavu usiopitisha hewa
MASWALI
i. Lengo la jaribio hili ni lipi? …………………….…..….
ii. Kwanini panzi kwenye kopo A yupo hai? ………………
……………………………………………………………
iii. Kwanini panzi kwenye kopo B amekufa? ………………
……………………………………………………………
iv. Jaribio hili linatuthibitishia nini? ………………………...
……………………………………………………………
Panzi na Panzi na v. Nini kinatokea endapo kiumbehai atakosa hewa?
majani majani ……………………………………………………………
JARIBIO LA 35 SFNA 2019
1. Jibu vipengele (i) – (v) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuiandika kwenye kisanduku.
i. Chakula salama ni kile ambacho: A kimepulizwa dawa ya kuua wadudu. B kimehifadhiwa katika chombo safi.
C kimehifadhiwa kwa muda mfupi. D kimehifadhiwa mahali penye mwanga. ( )
ii. Zifuatazo ni njia za kujikinga dhidi ya magonjwa isipokuwa: A kufunika mdomo wakati wa kukohoa.
B kulala mahali safi na salama.C kunywa maji safi na salama. D kunawa mikono kabla ya kwenda chooni. ( )
iii. Magojwa yapi hutokana na uchafuzi wa vyanzo vya maji? A Kifaduro na surua
B UKIMWI na kipindupindu C Malaria na trakoma D Kipindupindu na kichocho. ( )
iv. Nini kazi ya mate katika mmeng’enyo wa chakula? A Kulainisha chakula
B Kulainisha mdomo C Kulainisha meno D Kulainisha ulimi. ( )
v. Mmeng’enyo wa chakula huanza katika sehemu ipi katika mfumo?
A Tumboni B Kwenye umio C Kinywani D Katika kongosho. ( )
2. Oanisha maneno ya orodha A na yale ya orodha B kwa kuandika herufi ya jibu sahihi.
ORODHA A HERUFI ORODHA B
i. Hali ya maada nyepesi zaidi. ( ) A. Gesi
ii. Hali ya maada yenye umbo maalumu. ( ) B. Soda
C. Mvuke
iii. Mfano wa maada katika hali yabisi. ( ) D. Kimiminika
iv. Hali ya maada inayochukua umbo la chombo. ( ) E. Chembechembe
v. Mfano wa maada katika hali ya gesi. ( ) F. Chaki
G. Yabisi
3. Jibu kipengele (i) – (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi
uliyopewa.

kiungulia, kuvimbiwa, unyafuzi, kukosa choo, meno kuuma


i.
vidonda vya tumbo, mwozo wa meno.
Hali ya kupata kinyesi kigumu na chenye mkauko huitwa___________________________________________
hhhhhhh
ii. Hali inayosababishwa na kujaa kwa gesi nyingi katika tumbo huitwa__________________________________
iii. Hali ya kuhisi maumivu ya kuungua katika umio na kifua inaitwaje? _________________________________
iv. Katika mfumo wa chakula, michubuko ndani ya kuta za tumbo huitwa ________________________________
v. Ni madhara gani yatatokea katika meno kutokana na ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi _______________
4. Soma habari ifuatayo kisha jibu vipengele (i) – (v)
Aina nyingi za vyakula tunavyotumia katika maisha yetu ya kila siku huwa vimepikwa. Chakula hupikwa kwa kutumia
nishati ya joto. Vifaa vinavyotumika kuwezesha upikaji wa vyakula vyetu huitwa majiko. Nchini Tanzania, aina ya
majiko yanayotumiwa zaidi ni ya kuni na mkaa. Kwa miaka ya karibuni, kumekua na ongezeko la watumiaji wa
majiko ya gesi katika maeneo ya mijini na vijijini. Uchaguzi wa aina ya jiko hutofautiana kulingana na upatikanaji,
gharama na usalama wa aina ya fueli inayotumika. Hayo ni baadhi ya mambo ya kuzingatia wakati wa uchaguzi wa
aina ya jiko la kutumia.
MASWALI
i. Taja aina mbili za majiko yanayotumiwa na watu wengi Tanzania. i._________________ ii. _________________
ii. Ni aina gani ya nishati hutumika kupikia? ___________________________________________________
iii. Je, ni kitu gani kinatumika kutofautisha aina za majiko? ________________________________________
iv. Unafikiri ni kwa nini watu wengi hutumia majiko ya kuni? ________________________________________
v. Taja aina nyingine mbili za majiko tofauti na yaliyotajwa katika habari uliyosoma. ________________________

5. Chunguza picha uliyopewa kisha jibu vipengele (i) – (v)

i. Kifaa kilichooneshwa kwenye picha kinaitwaje? _____________________________


ii. Onesha sehemu inayosafirisha nishati kutoka kwenye soketi kwa kutumia herufi A.
iii. Onesha sehemu inayoonesha picha kwa kutumia herufi B.
iv. Onesha sehemu inayodaka mawimbi kwa kutumia herufi C.
v. Kwa nini kifaa kilichooneshwa kwenye picha ni muhimu kwetu? ___________
___________________________________________________________________
JARIBIO LA 36 SFNA 2020
1. Jibu vipengele (i) – (v) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuiandika kwenye kisanduku.
i. Vyakula vyenye wingi wa vitamini na protini ni: A maziwa, nyama, na samaki.
B nyanya, kitunguu na karoti. C embe, samaki na karoti. D samaki, mchele na mahindi ( )
ii. Aina gani ya chakula huupatia mwili nguvu? A Muhogo B Samaki C Maziwa D Matunda ( )
iii. Ni virutubisho vipi hupatikana katika maziwa? A Protini na vitamin
B Mafuta na vitamin C Wanga na mafuta D Protini na mafuta. ( )
iv. Nini kazi ya vyakula vyenye virutubisho vya protini? A Kuupa mwili nishati ya joto
B Kujenga na kukarabati mwili C Kuupa mwili nishati na madini D Kujenga na kulinda mwili ( )
v. Magonjwa yafuatayo yanasababishwa na ulaji wa chakula kichafu, isipokuwa?
A Homa ya matumbo. B Kuhara. C Kipindupindu. D Malaria. ( )
2. Jibu vipengele (i) - (v) kwa kuoanisha maelezo kuhusu vitendo vya uharibifu wa mazingira katika orodha A
na maana ya vitendo husika katika orodha B. Andika herufi ya jibu sahihi kwenye mabano uliyopewa.
ORODHA A JIBU ORODHA B
i. Kumwaga kemikali na uchafu kwenye mabwawa na mito ( ) A. Uharibifu wa mazingira
ii. Kufuga wanyama wengi katika eneo dogo B. Uchafu katka hewa
( ) C. Uchafuzi wa maji
iii. Matokeo ya uchafuzi wa maji, hewa na udongo. ( ) D. Mmomonyoko wa udongo
iv. Kusambaza takataka na kemikali katika udongo ( ) E. Udongo kuwa na rutuba
v. Ongezeko la moshi na vumbi katika anga hewa ( ) F. Uchafuzi wa ardhi
G. Ongezeko la kiasi cha mvua
1. Jibu kipengele (i) - (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na kuliandika kwenye nafasi
iliyoachwa wazi.
kuakisiwa, kupinda, kusharabiwa, kuzuiwa, kutawanyika, kupenya
i. Nini hutokea wakati mwanga unapopita kutoka midia moja kwenda nyingine? _______________________
ii. hhhhhhh
Nini hutokea wakati mwanga unapokutana na kitu angavu? ______________________________________
iii. Nini kinatokea mwanga unapogonga kitu kinachong’aa? ________________________________________
iv. Nini hutokea wakati mwanga unapogonga kitu chenye rangi nyeusi? _______________________________
v. Nini hutokea mwanga unapokutana na matone ya maji angani? ___________________________________
2. Umepewa hatua A-E mchakato wa mmeng’enyo wa chakula katika mfumo wa mmeng’enyo. Panga hatua hizo
kwa kuandika sentensi husika katika mtiririko mzuri. Andika sentensi hizo katika nafasi iliyoachwa wazi.
A. Kinyesi hutoka nje ya mwili kupitia puru.
B. Vyakula humeng`enywa na kusharabiwa katika utumbo wembamba.
C. Chakula kuingia kinywani.
D. Chakula kusafiri kupitia umio kuelekea kwenye tumbo.
E. Maji na madini husaharabiwa katika utumbo mpana na kuacha mabaki ya chakula.
MAJIBU
HATUA SENTENSI
i. Hatua ya 1
ii. Hatua ya 2
iii. Hatua ya 3
iv. Hatua ya 4
v. Hatua ya 5
3. Chagua picha zifuatazo kasha jibu maswali yanayofuata

i. Ni vifaa gani viwili vinawakilisha njia za kisasa za mawasiiano? (a) ________________ (b) _________________
ii. Ni vifaa gani viwili vinatumika kama njia za asili za mawasiliano? (a) _______________ (b) ________________
iii. Ni kifaa kipi ambacho hakitumiki katika mawasiliano? _______________________________________________
iv. Ni kwa vipi kifaa chenye antenna ni muhimu katika maisha ya kila siku? _________________________________
v. Ni kifaa kipi kinatoa mawasiliano bila sauti? ________________________________________________________
MAJIBU
JARIBIO LA 1 JARIBIO LA 2
i. C i. B

1 ii.
iii.
D
A 1 ii.
iii.
C
A
iv. B iv. B
v. A v. B
i. C i. D

2 ii.
iii.
iv.
v.
D
A
B
F
ii.
iii.
iv.
v.
B
C
A
A
i. Kivuli i. D

3 ii.
iii.
Midia andavu tofauti
Nishati ya umeme 2 ii.
iii.
B
G
iv. Sauti iv. F
HATUA SENTENSI v. E

4 Hatua ya 1 Kubainisha tatizo i. KUKOSA CHOO


Hatua ya 2
Hatua ya 3
Kubuni dhanio
Kuandaa vifaa vya 3 ii.
iii.
iv.
KUVIMBA
VIDONDA VYA TUMBO
MWOZO WA MENO
Hatua ya 4 Kufanya jaribio na
kukusanya data
Hatua ya 5 Kuchambua data i. BETRI
Hatua ya 6 Kutafsiri matokeo
i. Jiko la umeme 4 ii.
iii.
KUWASHA (b) KUZIMA
KUPIGILIA NA KUNG’OLEA
MISUMARI

5 ii. Umeme
iii. B
iv. D
v. Ukatwaji wa miti ovyo
iv.
v.
E
D
JARIBIO LA 3 JARIBIO LA 4
JIBU JIBU
1. C i. A v. C
2. D
3. B
4. B
5. A
1 ii.
iii.
iv.
i.
B
A
B
F
6. C
7. D
8. C
9. C
2 ii.
iii.
iv.
v.
G
C
A
E
10. B i. Mazingira
11. D
12. D
13. A
14. A
3 ii.
iii.
iv.
v.
Malaria
Maada
Mwangwi
Maji
15. B i. Taswira
16. C
17. A
18. D
19. E
4 ii.
iii.
iv.
v.
Kikinza nuru
Hupinda
Kuakisiwa kwa mwanga
Huruhusu mwanga kupenya
20. B i. 3
21. Kujongea
22. Darasani
23. C
5 ii.
iii.
iv.
1
5
2
24. Spika v. 4
25. Simu ( ya mkononi)
JARIBIO LA 5 JARIBIO LA 6
Na. JIBU Na. JIBU
i. D ii. B i. B
1 iii. C iv. B 1 ii. D
v. A vi. B iii. B
vii. C viii. D iv. A
ix. A x. C v. C
i. Taswira i. C
2 ii. Hewa 2 ii. D
iii. Huainisha vifaa iii. F
iv. Ngoma iv. E
v. Karanga na ufuta v. B
i. Ndiyo i. Sekunde , dakika na saa
3 ii. Ndiyo 3 ii. Sentigredi
iii. Ndiyo iii. ujazo
iv. Hapana iv. Urefu
v. ndiyo v. uzani
i. mashine i. Jumla ya vitu vyote

ii. Kuambukiza
4 ii.
vinavyomzunguka mwanadamu
Kutoa taka mwili
iii. Maada iii. Viumbe hai na viumbe visivyo hai

4 iv. Matano iv.


v.
Viumbe hai
Viumbe visivyo hai
v. Betri
i. Sanduku la huduma ya kwanza
5 ii. Kiwembe/mkasi/spiriti/ bandeji/pamba
iii. Kiwembe/mkasi/spiriti/ bandeji/pamba
iv. Nyumbani /shuleni/ viwanja vya
michezo
v. Nyumbani /shuleni/ viwanja vya
michezo
JARIBIO LA 7 JARIBIO LA 8
Na JIBU Na JIBU
i. C i. A
1 ii. A 1 ii. C
iii. C iii. C
iv. A iv. A
v. C v. D
i. F i. E
2 ii. E 2 ii. B
iii. G iii. F
iv. C iv. A
v. B v. C
i. Spika i. Upepo
3 ii. Runinga 3 ii. Hupunguza maumivu kwa majeruhi
iii. Jokofu iii. UKIMWI
iv. Skrini iv. Kuzirai
v. Baragumu/ tarumbeta v. Huduma ya kwanza
i. D i. Hadubini
4 ii. B 4 ii. Magonjwa/maradhi
iii. C iii. Kufuata kanuni za afya na chanjo
iv. E iv. Virusi / bacteria
v. A v. Watoto
i. Samaki i. Kuupa mwili nguvu/ nishati
5 ii. Chura 5 ii. B
iii. Majini iii. D
iv. B iv. Vitamin
v. Protini v. unyafuzi
JARIBIO LA 9 JARIBIO LA 10
Na JIBU Na JIBU
i. A i. D
1 ii. A 1 ii. A
iii. C iii. C
iv. C iv. C
v. C v. A
i. C i. D
2 ii. A 2 ii. C
iii. B iii. C
iv. F iv. B
v. E v. E
i. Oksijeni i. Mlo kamili
3 ii. Magonjwa yanayoambukiza 3 ii. Wanga
iii. 1000C iii. Utapiamlo
iv. Uyeyushaji iv. Vitamin
v. Sakiti v. Protini
i. Paneli ya sola i. D
4 ii. Betri 4 ii. C
iii. Kuangaza wakati wa usiku/
kuwasha runinga redio na iii. A
kuendesha mashine mbalimbali
iv. Upepo/ maji/ jenereta/ jua iv. E
v. Jenereta v. B
i. Simu ya mkononi i. Utoneshaji wa haraka
5 ii. Kuchaji simu
iii. Spika
5 ii. Ugandishaji
iii. M
iv. A iv. Uyeyushaji
v. Kuwasha/kukata na kuzima simu v. Utoneshaji
JARIBIO LA 11 JARIBIO LA 12
Na JIBU Na JIBU
i. A i. A
1 ii. D 1 ii. B
iii. B iii. B
iv. B iv. C
v. A v. D
i. C i. G
2 ii. D 2 ii. F
iii. E iii. C
iv. B iv. D
v. A v. B
i. Kichocho i. Antenna
3 ii. Vimeng’enya 3 ii. Kadi ya simu

iii. Runinga iii. Viumbe hai

iv. Dhanio iv. Protini

v. Kuzaliana v. Kujongea

i. E i. Taswira
4 ii. B 4 ii. Kikinza nuru

iii. A iii. Hupinda

iv. D iv. Kuakisiwa kwa mwanga

v. C v. Kuruhusu mwanga kupenya

i. Taa ya umeme/ glopu/ balbu i. Simu ya mezani


5 ii. Betri 5 ii. Baragumu/tarumbeta
iii. C iii. C
iv. Kuwasha na kuzima iv. D
v. B v. B
JARIBIO LA 13 JARIBIO LA 14
Na JIBU Na JIBU
i. C i. B
1 ii. D 1 ii. A
iii. C iii. C
iv. D iv. C
v. D v. A
i. D i. C
2 ii. E 2 ii. D
iii. B iii. A
iv. A iv. B
v. C v. F
i. Mazingira i. Huduma ya kwanza
3 ii. Jua 3 ii. Maji
iii. VVU iii. Maada
iv. Sauti iv. Hewa ya oksijeni
v. Kijongea v. Jaribio
i. Upungufu wa kinga mwilini i. E
4 ii. Seli nyeupe za damu
iii. Kifua kikuu (TB)
4 ii. B
iii. D
iv. Virusi vya UKIMWI iv. A
v. Seli nyeupe za damu v. C
i. Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula i. Malaria
5 ii. Tumbo 5 ii. F
iii. D iii. B
iv. A iv. C na E
v. Utumbo mwembamba v. machafu
JARIBIO LA 15 JARIBIO LA 16
Na JIBU Na JIBU
i. C i. C
1 ii. B 1 ii. C
iii. D iii. B
iv. B iv. B
v. B v. A
i. B i. D
2 ii. A 2 ii. E
iii. C iii. C
iv. E iv. B
v. F v. G
i. Kirutubisho i. Mwangwi
3 ii. Kuakisi 3 ii. Sauti
iii. VVU na UKIMWI iii. Tatu
iv. Baragumu iv. Mmonyoko wa udongo
v. Daktari v. Ngozi
i. Ili kuweza kusharabiwa na i. Mvuke
4 kutumika mwilini 4
ii. Kwenye utumbo mwembamba ii. Mvukizo
iii. Maji iii. Uyeyushaji
iv. Mdomoni iv. Kuganda
v. Kutunza kwa mda na kupitisha v. Nyuzi sifuri za sentigredi (00)
mabaki ya chakula kenda nje
i. Runinga i. Themometa/ kipima joto
5 ii. Antenna 5 ii. Kichocho/ homa ya matumbo
iii. Spika iii. Hewa
iv. D iv. mwanga
v. C v. Ametaja kitu sahihi?
JARIBIO LA 17 JARIBIO LA 18
Na JIBU Na JIBU
i. D i. D
1 ii. B
iii. D
1 ii. B
iii. B
iv. C iv. B
v. C v. C
i. F i. E
2 ii. C
iii. E
2 ii. C
iii. B
iv. B iv. F
v. A v. A
i. Mwangwi i. Msafara
3 ii. Mpitisho 3 ii. Mnururisho
iii. Kichocho iii. Mpitisho
iv. Kukwepana iv. Kuakisiwa
v. Barafu, maji na mvuke v. Kukausha
i. D i. Huuwa watu wengi
4 ii. E 4 ii. Plasimodiamu
iii. B iii. Anofelesi
iv. A iv. Homa/ kuumwa kichwa na
viungo/ kupoteza hamu ya kula
v. Kujifunika chandarua chenye
dawa/kufyeka nyasi
v. C ndefu/kufukia vidimbwi vya
maji
i. Ini i. Taa ya umeme
5 ii. Kongosho 5 ii. Swichi
iii. Utumbo mwembamba iii. Betri
iv. Tumbo iv. C
v. Mdomo/ kinywa v. Kuwasha na kuzima
JARIBIO LA 19 JARIBIO LA 20
Na JIBU Na JIBU
i. B i. A
1 ii. B 1 ii. A
iii. A iii. C
iv. C iv. B
v. B v. B
i. C i. D
2 ii. F 2 ii. F
iii. E iii. A
iv. B iv. C
v. G v. B
i. Upepo i. Mavazi
3 ii. Mnururisho 3 ii. Huduma ya kwanza
iii. Kuakisiwa iii. Mashine
iv. Barafu iv. Anofelesi
v. Umeme v. Protini
i. 3 i. Kitu chenye uzit na
4 ii. 2
4 kinachoshika nafasi
ii. 00c
iii. 1 iii. Maji
iv. 5 iv. Uvukizaji/ mvukizo
v. 4 v. Maji/damu/maiwa/soda/juisi

i. Mabadiliko ya maada i. Betri


5 ii. Uvukizaji 5 ii. Jenereta au kangavuka
iii. B iii. Dainamo
iv. Uyeyushaji iv. Upepo
v. Ugandisshaji v. 2
JARIBIO LA 21 JARIBIO LA 22
Na JIBU Na JIBU
i. B i. B
1 ii. C 1 ii. C
iii. A iii. B
iv. B iv. B
v. C v. A
i. E i. C
2 ii. D 2 ii. B
iii. A iii. E
iv. C iv. A
v. B v. D
i. Msafara i. Kabohaidreti
3 ii. Mnururisho 3 ii. Protini
iii. Mpitisho iii. Vitamin
iv. Nyuzi za sentigredi iv. Maji na madini
v. Themometa v. Fati na mapafu
i. 4 i. Kuona
4 ii. 2 4 ii. Jua na nyota
iii. Kuakisiwa/ kusafiri katika mstari
iii. 3 mnyoofu/kupinda
iv. 1 iv. Anavu

v. 5 v. Kupinda

i. Mfumo wa mmeng’enyo wa i. Sakiti


5 chakula
ii. Tumbo
5 ii. Selikavu/waya glopu
iii. 6 iii. Glopu
iv. iv. mwanga
v.
v. 2 Ω
JARIBIO LA 23 JARIBIO LA 24
Na JIBU Na JIBU
i. D i. A
1 ii. B 1 ii. C
iii. A iii. C
iv. D iv. A
v. D v. D
i. C i. C
2 ii. D 2 ii. D
iii. A iii. B
iv. B iv. A
v. F v. E
i. Vipimo visivyo rasmi i. Huduma ya kwanza
3 ii. Vifaa vya kurahisisha kazi 3 ii. Mzani
iii. Utapiamlo iii. Insulin
iv. Sambamba na mmfuatano iv. Friza
v. Protini v. Maada
i. D i. Huduma ya kwanza
4 ii. B 4 ii. Jokofu

iii. E iii. Antenna

iv. A iv. Hewa ya oksijeni

v. C v. Data

i. Upandaji wa miti i. Moshi


5 ii. Kutunza mazingira 5 ii. Viwanda na usafirishaji
iii. Kivuli/huwa safi/ kuzuia upepo iii. Uchafuzi wa hewa
mkali/ chanzo cha mvua
iv. Uhaba wa mvua/ upepo mkali iv. Kiwanda na lori
v. oksijeni v. Husababisha magonjwa kama
kansa
JARIBIO LA 25 JARIBIO LA 26
Na JIBU Na JIBU
i. D i. C vi. B
1 ii. C 1 ii. D vii. A
iii. D iii. A viii. A
iv. C iv. C ix. A
v. B v. C x. A
i. D i. D
2 ii. E 2 ii. E
iii. C iii. A
iv. B iv. F
v. A v. C
i. Si kweli i. Themometa
3 ii. Kweli 3 ii. UKIMWI
iii. Si kweli iii. Anofelesi
iv. Kweli iv. Hewa
v. Si kweli v. Nishati
i. Ulimi i. Kila
4 ii. Kuongea 4 ii. Mlo kamili
iii. Kabonidayoksaidi iii. Utapiamlo
iv. Huvutana iv. Afya bora/ kujikinga na magonjwa
v. Wanga/protini
v. Tano Vitamin/mafuta/madini na maji

i. Si ya mkononi
5 ii. A
iii. Kuchajia simu
iv. D
v. C
JARIBIO LA 27 JARIBIO LA 28
Na JIBU Na JIBU
i. A vi.B 1 i. C vi.
1 ii. C vii.C ii. C vii. C
iii. viii. iii. viii.D
C
iv. ix.B iv. ix.DA
v. C x. D v. C x. B
i. B 2 i. C
2 ii. C ii. E
iii. E iii. D
iv. D iv. B
v. A v. A
i. C i. Ogani za fahamu
3 ii. A 3 ii. Kichocho
iii. B iii. Kipindupindu
iv. E iv. Fueli
v. D v. Kupoteza fahamu
i. Simu ya mezani i. B
4 ii. Baragumu 4 ii. Hewa ya oksijeni
iii. Jiko la gasi iii. Maji
iv. Ngoma iv. Joto
v. Ndoo ya taka v. Mahitaji muhimu ya kuota kwa mbegu
JARIBIO LA 29 JARIBIO LA 30
Na JIBU Na JIBU
i. C i. A
1 ii. B 1 ii. A
iii. C iii. C
iv. B iv. A
v. C v. D
i. E i. D
2 ii. D 2 ii. B
iii. B iii. E
iv. A iv. F
v. C v. A
i. Ugandishaji i. Kivuli
3 ii. Uyeyushaji 3 ii. Mwangwi
iii. Uvukizaji iii. Radi
iv. Utonishaji wa haraka iv. Saratani
v. Utoneshaji v. Majini
i. D i. Kuelea
4 ii. E 4 ii. Kuzama
iii. Density ya meli ni ndogo kulio
iii. B ile ya maji umbo la meli
imechongoka mbele na nyuma
iv. A iv. Kiwembe kina dansiti kubwa
kuliko ile ya maji
v. C v. Puto/bakuli/chupa ya plastiki
i. Kuthibitisha umuhimu wa hewa i. Sakiti ya umeme
5 ya oksijeni kwa wanyama
ii. Anapata chakula na hewa
5 ii. Betri
iii. Amekosa hewa iii. Swichi
iv. Hewa ni muhimu kwa viumbehai iv. Mfuatano
v. Atakufa v. Kuwasha na kuzima/ kuruhusu
na kuzuka
JARIBIO LA 31 JARIBIO LA 32
Na JIBU Na JIBU
i. D i. B
1 ii. D 1 ii. C
iii. A iii. D
iv. C iv. B
v. B v. D
i. C i. C
2 ii. A 2 ii. E
iii. F iii. B
iv. E iv. A
v. B v. D
i. Redio i. Vitamin
3 ii. Baragumu na ngoma
iii. Runinga
3 ii. Majini
iii. Protini
iv. Burudani iv. Mafuta
v. Magazeti v. Wanga
i. Jumla ya vitu vyote vinavyotunzunguka i. 2
4 ii. Magonjwa
iii. Wanyama na mimea
4 ii. 5
iii. 1
iv. Viumbe hai na viumbe visivyo hai iv. 4
v. Ameweza v. 3
i. Oksijeni i. Jokofu
5 ii. KORONA 5 ii. Kuhifadhi vyakula
katika hali ya ubaridi
iii. Sakiti iii. Friza
iv. Taswira iv. Friji
v. Kuzaliana/kukua/kula/kujongea/kuitikia v. Mlangoni
vichocheo
JARIBIO LA 33
Na JIBU
i. C
ii. B

1 iii. B
iv. B
v. A
vi. B
vii. D

i. 8
ii. 7

2 iii.
iv.
v.
vi.
vii.
6
5
4
3
2
viii. 1
i. Zitakwepana

3
ii. Ncha za sumaku zinavutana
iii. Pasi ya umeme
iv. Joto
v. Kubebea mizigo mbalimbali
I. Zitakwepana

4
II. Ncha mbili za sumaku zinavutana
III. Pasi ya umeme
IV. Joto
V. Kubebea mizigo
JARIBIO LA SFNA 2018 JARIBIO LA SFNA 2019

Na. JIBU Na. JIBU


1 i. B 1 i. B
ii. A ii. D
iii. A iii. D
iv. D iv. A
v. A v. C
2 i. G 2 i. A
ii. E ii. G
iii. A iii. F
iv. F iv. D
v. D v. C
3 i. Skrini 3 i. Kukosa choo
ii. Antenna ii. Kuvimbiwa
iii. Chaji iii. Kiunguluia
iv. Betri iv. vidonda vya tumbo
v. Laini ya simu v. mwozo wa meno
4 i. Andaa maji safi na sabuni. 4 i. (a) majiko ya kuni
(b) majiko yamkaa
ii. Ziweke soksi kwenye beseni ii. nishati ya joto
la maji safi na pakaa sabuni.
iii. Fikicha sehemu za juuna iii. Fueli
chini za soksi.
iv. Zisuuze soksi katika maji safi iv. Kwasababu majiko ya kuni
kuondoa sabuni. hayana gharama
v. Anika soksi kwenye kamba v. jiko la gesi na jiko la
ili zikauke umeme
5 i. Wanaogelea 5 i. Runinga.
ii. Konokono ii. A
iii. Kichocho iii. B
iv. (a) kuumwa tumbo iv. C
(b) kukojoa damu
v. kibofu
JARIBIO LA SFNA 2020 JARIBIO LA SFNA 2021

Na. JIBU Na. JIBU


1 i. C 1 i. B
ii. A ii. A
iii. D iii. B
iv. B iv. C
v. D
2 i. C 2 i. C
ii. D ii. E
iii. A iii. G
iv. F iv. B
v. B v. F
3 i. Kupinda 3 i. Kubaini tatizo
ii. Kupenya ii. Kubuni dhanio
iii. Kuakisiwa iii. Kufanya jaribio
iv. Kusharabiwa iv. Kuchambua data
v. Kutawanyika v. Kutafsiri matokeo
4 i. Chakula kuingia kinywani 4 i. (A) maji safi (b)sabuni
ii. Chakula kusafiri kupitia umio ii. Husababisha harufu mbaya
kuelekea kwenye tumbo mwilini na magonjwa ya ngozi
iii. Chakula kumeng’enywa na iii. Kuua vimelea vya
kusharabiwa katika utumbo magonjwa na kumfanya
mwembamba mvaaji aonekane nadhifu.
iv. Maji na madini husharabiwa iv. Joto kali au moto wa pasi.
katika utumbo mpana
v. Kinyesi kutoka nje ya mwili v. Ziwe safi, zisichafuke, ni
kupitia puru sehemu safi na kavu, zisilowane.
5 i. Simu,runinga,na magazeti 5 i. Ndoo,
ii. Baragumu na ngoma ii. Silindakipimo,
iii. Gari iii. Rula.
iv. Kupasha habari/taarifa na iv. Mzani
kuroa burudani
v. Magaziti v. Hutoa majibu ya kufanana
auyasiyotofautiana mahali popote
0764 968 345/0672 968 345/0784 678 250

0764 968 345/0672 968 345/0784 678 250

0764 968 345

bunduki76said@gmail.com

You might also like