You are on page 1of 7

NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MKOA WA MANYARA
MTIHANI WA UTAMIRIFI
KIDATO CHA PILI

MUDA:MASAA:2:30 CODE.021 KISWAHILI 01/08/2023

Maelekezo
1. Katatasi hii ina Sehemu sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali kumi(10).
2. Jibu maswali yote kutoka sehemu A na B na swali moja kutoka Sehemu C.
3. Zingatia maelekezo ya kila swali.
4. Majibu yote yaandikwe kwenye nafasi ulizopewa.
5. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu ya wino wa blue au nyeusi.
6. Andika namba yako ya upimaji katika kila ukurasa juu ya upande wa kulia.
SEHEMU A (ALAMA 15)
Jibu Maswali Yote Katika Sehemu Hii
1. Chagua herufi sahihi ya jibu lako kisha andika herufi ya jibu hilo katika kisanduku
ulichopewa katika kipengele cha (i-x).
i. Mwalimu Lugina katika Shule ya Sekondari Jamuhuri Jijini Dar es salaam
aliwafundisha wanafunzi wake wa kidato cha pili kuhusiana na dhima
mbalimbali za lugha katika mawasiliano, nidhima kuu ipi ya lugha ambayo
mwalimu Lugina aliwafundisha wanafunzi wake katika zifuatazo?
A. Kufundishia
B. Kutambulisha
C. Kupashana habari
D. Kutatua migogoro
ii. Mwantumu aliulizwa swali la methali na mwalimu wake methali isemayo
Kuvunjika kwa koleo ................kisha alimaliza methali kwa usahihi, ni lipi jibu
sahihi la methali hiyo aliyojibu Mwantumu?
A. Si mwisho wa kazi.
B. Ndio mwanzo wa kazi.
C. Ndio mwisho wa kazi.
D. Si mwisho wa uhunzi.
iii. Bibi Titi Mohamed alikuwa akighani mahairi yake kwa kupandisha na kushusha
sauti yake yenye utamu wenye kuwaburudisha hadhira, neno lipi lina afikiana
na mtindo wa wimbaji aliotumia Bibititi katika maghani ya shairi yake?
A. Kiimbo.
B. Kidatu.
C. Mkazo.
D. Madido/ Mtindo
Page 1 of 7
NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........…

iv. Wewe kama mwanafunzi wa kidato cha pili onesha umahiri wako katika kubaini
aina ya kivumishi kilicho pigiwa mstari katika sentensi ifuatayo “Wanafunzi
ambao wametoroka wataadhibiwa”
A. Kivumishi cha A. Unganifu
B. Kivumishi kirejeshi
C. Kivumishi cha pekee
D. Kivumishi cha umiliki

v. Amina alimwambia kaka yake Mussa “niandikie barua” Mussa hakumuelewa

Amina moja kwa moja ni sababu gani iliyopeleke Mussa kutomuelewa Amina?
A. Matumizi mabaya ya kiimbo au mkezo
B. Matumizi ya nahau
C. Kutozingatia taratibu za uandishi
D. Matumizi ya kauli ya kutedea

vi. Mabadiliko ya mazingira na wakati husababisha kuibuka kwa Misimu mipya

maneno kama vile “Mama anazingu”, Mama anaiuza nchi”, Misimu hiyo
imeibuka lini karibuni kutokanana na tukio la ....................
A. Kugoma kwa wafanya biashara wasoko la kimataifa Kariakoo jijini Dar
es salaam.
B. Katika mchakato wa uwekezaji wa Migodi nchini Tanzania
C. Katika uwekezaji wa bandari kati ya Tanzania na DP World Dubai
D. Katika uwekezaji wa bandari ya maziwa makuu nchini Tanzania.

vii. Tumia umahiri na ujuzi uliojifunza darasani kubaini mzizi asilia wa neno
“Amepotea”
A. -pote-
B. -pot-
C. -po-
D. -pote-
viii. Mizungu huwa ni kauli za picha zenye .......................
A. Mafumbo na huwa na ukinzani katika fikra au tukio
B. Pande mbili
C. Udadisi
D. Kukubaliana kutokana na fikra au matukio
ix. Silabi ni fungu sauti linalotamkwa mara moja na kwa pamoja katika sentensi,
neno lililokolezwa wino lina silabi ngapi? “Nzi”
A. Moja
B. Mbili
C. Tatu
D. Halina silabi

Page 2 of 7
NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........…
x. Vielezi vya kiswahili vina aina zake, ipi kati ya zifuatazo Si aina ya vielezi?
A. Namna/Jinsi
B. Idadi
C. Sifa
D. Wakati
Question i. ii. iii. iv. v. vi. vii. viii. ix. x.
Answer

2. Oanisha vipengele mbalimbali vya nyimbo kutoka Orodha B na maana zake kutoka
orodha A kisha andika jibu sahihi katika kisanduku ulichopewa.
ORODHA A ORODHA B
i. Nyimbo za kilimo A. Kongozi
ii. Nyimbo za baharini B. Mbolezi
iii. Nyimbo za kuuaga mwaka C. Nyiso
iv. Nyimbo za maombolezo katika misiba D. Kimai
v. Nyimbo za jandoni na Unyagoni E. Bembea
F. Wawe
G. Bembezi
H. Tendi
ORODHA A i. ii. iii. iv. v.
ORODHA B
SEHEMU B (ALAMA 70)
Jibu Maswali Yote Katika Sehemu Hii
3. Soma shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata.

Huwezi kuwazuia, walikubaliana,

Mimi wananitumia, wapate kuelewana
Kanuni wazingatia, ili kuwasiliana
Sauti zangu nasibu, hakuna wa kukanusha.
Mfumo wangu makini, Sauti hupangika,
Maneno kuyatumia, Yenye mpangilio sawa,
Sentesi kuzitumia, mawazo kupangilia,
Sauti yangu nasibu, hakuna wa kukanisha.
Maswali
i. Kila ubeti wa shairi ulilosoma una vipande vingine vya mshororo?
.........................................................................................................................

ii. Hili shairi limetumia mtindo gani?
........................................................................................................................
.........................................................................................................................

Page 3 of 7
NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........…
iii. Bainisha muundo wa shairi hili
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
iv. Taja kituo bahari cha shairi hili
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
v. Taja kina cha kati na cha mwisho katika ubeti wa kwanza wa shairi hili
.........................................................................................................................
.........................................................................................................................
4. Wewe kama mwanafunzi wa kidato cha pili onesha umahiri wako katika kutoa maelezo
kwa ufupi na mifano juu ya istilahi zifuatazo.
a) Mofimu tegemezi
..............................................................................................................................

b) Lakabu

c) Kitomeo

d) Mzizi wa neno

e) Simo

li li li li
5. (a) Onesha umahiri wako kuonesha dhima ya mofimu “li” zilizopo katika neno A 1 2 3 4a
li
i. ..................................................................
1
li
ii. ..................................................................
2
li
iii. ..................................................................
3
li
iv. ..................................................................
4

(b) Elezea dhima ya mofimu ku kama ilivyotumika katika tungo zifuatazo

i. Sikumcheka
..............................................................................................................................
ii. Alikumbuka
..............................................................................................................................
iii. Kucheza kwao kunamburudisha
..............................................................................................................................
iv. Kuimba ni kuzuri
..............................................................................................................................

Page 4 of 7
NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........…

6. “Matumiza ya maneno yenye maana zaidi ya moja husababisha kutokuelewana baina ya

wazungumzaji” eleza sababu tano na mifano kuntu zinazo pelekea hali hiyo ya
kutoelewana.
i. .........................................................................................................................
Mfano ...............................................................................
ii. .........................................................................................................................
Mfano ...............................................................................
iii. .........................................................................................................................
Mfano ...............................................................................
iv. .........................................................................................................................
Mfano................................................................................
v. ..........................................................................................................................
Mfano...............................................................................
7. (a) Fasihi simulizi huweza kujipambanua kutokana na sifa zake anuai. Thibitisha usemi huu
kwa kutoa hoja tano(5).
i. ..............................................................................................................................
ii. ..............................................................................................................................
iii. ..............................................................................................................................
iv. ..............................................................................................................................
v. ..............................................................................................................................
(b) Mzee fasihi ni baba mwenye watoto wawili ambao ni Simulizi na Andishi. Simulizi
ndiye mtoto wake wa kwanza na ndiye kongwe kuliko Andishi, simulizi akazaa watoto
wanne(4) ambao ni Hadithi, Semi, Ushairi na Sanaa za monesho. Taja vitukuu vitano
vya Mzee Fasihi kutoka kwa Mjuguu wake Sanaa za Monesho.
i. ..............................................................................................................................
ii. ..............................................................................................................................
iii. ..............................................................................................................................
iv. ..............................................................................................................................
v. ..............................................................................................................................

8. (a) Fikirisha akili yako kumalizia methali zifuatazo.

i. Hamadi kibindoni.............................................................................................
ii. ..........................................................................................Marejesho ngamani.
iii. ...................................................................................................hula na kwao.
iv. Ngoja ngoja......................................................................................................
v. Cha mlevi ........................................................................................................

(b) Onesha ujuzi wako kutoa maana ya nahau zifuatazo

i. Chungulia kaburi
.........................................................................................................................
ii. Juma amekata mguu

Page 5 of 7
NAMBA YA MTAHINIWA ………………………………………………..........…
.........................................................................................................................
iii. Jennifa anamkono mrefu
.........................................................................................................................
iv. Choggo ameasi ukapera
.........................................................................................................................
9. “Kamusi ni kitabu kinachovutia hasa kinapokuwa na picha na michoro ndani yake”
Bainisha dhima tano(5) za picha na michoro katika kamusi.
i. ...................................................................................................................
ii. ...................................................................................................................
iii. ...................................................................................................................
iv. ...................................................................................................................
v. ...................................................................................................................

SEHEMU C (ALAMA 15)

Jibu Swali La Kumi(10)

10. Kwa maneno yasiyopungua miambili hamsini (250) na yasiyozidi miatatu, Andika insha
kuhusu umuhimu wa uwekezaji na uboreshaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na
Serikali ya Dubai Dp World. Toa hoja sita.
........................................................................................................................................

Page 6 of 7

Page 7 of 7

You might also like