You are on page 1of 39

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

URAIA NA MAADILI SIX- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA


DARASA LA SITA
MUDA: 1.30 
MAELEKEZOOFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO

i. Karatasi hii ina kurasa nne zenye maandishi yenye sehemu A,B, C,D na E zenye maswali
arobaini na tano (45).
ii. Jibu maswali yote katika kila sehemu ya mtihani huu.
iii. Kumbuka kuandika majina yako, na shule yako kwenye karatasi ya kujibia.
iv. Hakikisha kazi yako ni nadhifu sana.
v. Tumia kalamu ya wino wa bluu au nyeusi kwa maswali yote uliyopewa.

SEHEMU : A SARUFI
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha uiandike kwenye karatasi ya kujibia uliyopewa
1. Gari langu ni bovu, lake ni zima. Neno lake limetumika kama aina ipi ya neno?

A. Kielezi
B. Kitenzi
C. Kiwakilishi
D. Nomino
E. Kivumishi

2. Anakuja kufanya nini? Sentensi hii ipo katika nafsi ya ngapi?

A. Kwanza umoja 
B. Tatu wingi
C. Tatu umoja
D. Pili wingi
E. Pili umoja

3. Neno mlimbwende lina silabi ngapi?

A. Nne
B. Tatu
C. Sita
D. Saba
E. Kumi
4. Nitakula chakula changu chote. Ipi ni kauli taarifa ya sentensi hii?

A. Alisema kuwa atakula chakula chake chote 


B. Alisema kuwa nitakula chakula changu chote 
C. Alisema kuwa nitakula chakula        
D. Alisema nitakula chote
E. Alisema kuwa chakula chake chote atakula

5. Kipi ni kiambishi cha wakati katika neno watamaliza?

A. Ha
B. Wa
C. Ma
D. Li
E. ta

6. Kinyonga anatembea polepole. Neno polepole ni aina gani ya neno?

A. Kielezi
B. Kiwakilishi
C. Kivumishi
D. Kitenzi
E. Nomino

7. Ipi ni ngeli ya neno embe?

A. A-WA
B. LI-YA
C. U-YA
D. I-ZI
E. U-ZI

8. Kipi ni kinyume cha neno ezua?

A. Ezeka
B. Paa
C. Paua
D. Panua
E. Panda

9. Hakuna mwalimu__________ darasani

A. Yoyote
B. Yeyote
C. Lolote
D. Wowote
E. Kokote
10. Shangazi amejengewa nyumba na baba. Sentensi hii ipo katika kauli gani ? 

A. Kutenda
B. Kutendewa
C. Kutendeka
D. Kutendwa 
E. kutendesha

11. Neno lipi halilandani na mengine?

A. Bahasha
B. Stempu
C. Anwani
D. Sahihi
E. ukuta

12. Huko____ alikoelekea simba

A. Ndimo
B. Ndiko
C. Ndipo
D. Ndilo
E. ndicho

13. Wamekuja wote isipokuwa Munira. Neno isipokuwa llimetumika kama aina ipi ya neno?

A. Kitenzi
B. Kiunganishi
C. Kivumishi
D. Kiwakilishi
E. kihisishi

14. Kipindi cha mvua za rasha rasha hujulikana kama      

A. Kifuku
B. Kipupwe
C. Vuli
D. Kiangazi
E. Masika

15. Upi ni mzizi wa neno fundisha

A. fundi___
B. fund___
C. fundish____
D. fundis___
E. fundisha
16. Ipi ni nomino ya dhahania kati ya hizi?

A. Iringa
B. Usingizi
C. Miti
D. Ndege
E. jozi

17. Pete ya dada imetengenezwa na  mzoefu sana.

A. Mwashi
B. Mhunzi
C. Sonara
D. Rubani
E. Nahodha

18. Nilimsisitiza Aisha kuwa kusoma kwa bidii ili afaulu vizuri.

A. Hatuna budi
B. Hawana budi
C. Hana budi
D. Sina budi
E. Hamna budi

19. Nomino ya kitenzi lia ni…………

A. Kilio
B. Somo
C. Nakala
D. Mafundisho
E. Malio

20. Wingi wa sentensi paka anakunywa maziwa ni__ 

A. Mapaka yanakunywa maziwa         


B. Paka yanakunywa maziwa
C. Mapaka yamekunywa maziwa         
D. Paka wanakunywa maziwa
E. Paka anakunywa ziwa

SEHEMU B: LUGHA YA KIFASIHI


Chagua herufi ya jibu sahihi.
21.    Methali ipi haisisitizi juu ya ushirikiano?

A. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu


B. kidole kimoja hakivunji chawa
C. figa moja haliinjiki chungu      
D. kidole kimoja hakipigi kofi
E. chelewa chelewa utakuta mwana si wako

22. Methali ipi inasisitiza juu ya umuhimu wa undugu?

A. damu nzito kuliko maji  


B. haba na haba hujaza kibaba
C. upele humwota asiyekuwa na kucha
D. penye miti hapana wajenzi
E. siku za mwizi ni arobaini

23. Juma ana kichwa cha panzi. Hii ina maana kuwa Juma ni__________ 

A. mwongo
B. mzoefu
C. msahaulifu
D. mkweli
E. kichwa kikubwa

24.    Malizia methali hii, ukila nyama ukumbuke………

A. kuguguna mfupa wake 


B. kula mfupa wake 
C. kubeba
D. kubakiza 
E. kushukuru

25.  Fimbo ya mtemi haina fundo. Lipi ni jibu la kitendawili hiki?

A. Moshi
B. Njia
C. Nyoka
D. Mti
E. kichwa

26.  Kinachokufaa ni kile ulichonacho, methali yenye kubeba maelezo haya ni.

A. hamadi kibindoni
B. wema hauozi
C. ajali haina kinga
D.  kiburi si maungwana
E. mwenda pole hajikwai

27.   Tegua kitendawili hiki, kulia kwake ni kicheko kwetu____ 

A. radi
B. mvua
C. upepo
D. njia
E. popo

28. Metahli ipi inalandana na ile isemayo meno ya mbwa hayaumani

A. siku za mwizi ni arobaini


B. zimwi likujualo halikuli likakwisha
C. asiyeuliza hana hajifunzalo
D. chembe na chembe mkate huwa
E. sanda ya mbali haiziki maiti

29. Nahau ya kuwa popo ina maana gani?

A. Kigeugeu
B. kuwa mnyama
C. kuwa msahaulifu 
D. kuwa mwoga 
E. kuwa tajiri

30.  Nyumbani kwangu kuna jini mnywa maji. Jibu la kitendawili hiki ni

A. kikombe
B. kibatari
C. kitabu
D. kisima
E. shimo

SEHEMU C: USHAIRI
Soma shairi hili kisha jibu maswali yafuatayo

1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, watoto
wake wakaja , ili kumtaka hali, wakataka na kauli, iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa , ninaumwa kwelikweli, hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali roho
naona yachinjwa , kifo kinanikabili, kama wakata kauli , sema niseme nini?

MASWALI
Chagua herufi ya jibu sahihi kisha iandike kwenye karatasi ya kujibia.
31. Neno kauli kama lilivyotumika katika ubeti wa kwanza wa shairi lina      maana gani?

A. Tamko
B. Muhtasari
C. Maradhi
D. Ugonjwa
E. Vina

32. Kuna mizani mingapi katika kila mstari


A. Kumi
B. Nane
C. Kumi na sita
D. Tisa
E. Nne

33. Vina vya katikati ubeti wa pili ni?

A. li
B. wa
C. njwa
D. ja
E. nj

33. shairi hili lina beti ngapi?

A. Tatu
B. Tano
C. Nne
D. Moja
E. Mbili

34. wakakata na kauli, iwafae maishani lipi ni jina la mstari huu?

A. Mizani
B. Vina
C. Mkarara
D. Mshororo
E. Mstari

35. Shairi hili lina majibizano ya pande ngapi?

A. Nne
B. Tatu 
C. Nane
D. Moja
E. Mbili.

 SEHEMU D: UTUNGAJI
Panga sentensi zifuatazo kwa mtiririko unaofaa kwa kuzipa herufi A,B,C,na D
36. Ilikuwa ni usiku wa manane [  ]
37. Asubuhi yake tulianza safari ya kuelekea kijijini Manga [  ]
38. Baba alipigiwa simu na kupewa taarifa ya msiba wa bibi
[  ]
yetu
39. Baba alituamsha   na kutupa taarifa zile na kutusihi [  ] 
tulale lakini
hatukupata hata lepe ya usingizi
 SEHEMU E: UFAHAMU
Soma vizuri habari ifuatayo kisha jibu maswali yafuatayo kwa usahihi.
Mfalme Bwanyenye wa nchi ya Ahadi hakupenda kuongoza kwa haki. Kila alichokisema
yeye wapambe wake walikifanya kuwa sheria. Alivimba kichwa na kujiona yeye ndiye
mwamba shupavu. Ulikuwa ni ufalme wa kimabavu. Haswa! Wanazuoni wengi walidai kuwa huo
ni udiktekta. Kila mtu hakuwa salama, jela zilijaa watu wasio na hatia. Useme kipi uwe salama? Hilo
lilikuwa ni fumbo kubwa, wengi kwa kuogopa walinyamaza kimya na kujifariji kwa kusema hakuna
marefu yasiyokuwa na ncha. Walijiuliza yupo wapi Adolf Hilter, yule mtawala
wa Ujerumani aliyekuwa katili, yu wapi Mobutu wa Kongo aliyekuwa na nguvu tele? Naam, wote
wamepita mithili  ya radi.
MASWALI
40. Neno wanazuoni kama lilivyotumika katika habari hiyo lina maana gani
41. Mfalme Bwanyenye alitawala nchi gani?____________ 
42. Eleza maana ya methali iliyotumika katika habari hii ? __ 
43. Neno mithili kama lilivyotumika katika aya ya mwisho lina maana gani ?
44. Kichwa cha habari hii chafaa kuwa
DOWNLOAD | DOWNLOAD | 
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SIX KISWAHILI EXAM SERIES 12
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION
AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS                                                   2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS

1. This paper has four printed pages, forty five (45) questions with sections A                  and B
2. Answer all the questions in all sections.
3. Remember to write your full names and school name in the answer sheet              provided.
4. Make sure your work is neat without unnecessary cancelling to avoid loss of                
marks.
5. Use a blue or black ink ball pointed pen for all given questions.

 SECTION A: TENSES
Choose the most correct answer and write its letter in the answer sheet provided
1. The sun usually ____ at around 6:55 pm

A. Set
B. Sets
C. Rise
D. Rises
E. risen

2. The moon ………its light from the sun

A. Got
B. should get
C. get
D. gets
E. has got

3. Those who will………for the trip by tomorrow will not go with                   us

A. had not paid


B. will pay
C. have not paid
D. shouldn’t pay 
E. will have paid

4. Do you mind ____ me with some house chores?

A. Helped
B. Help
C. Helping
D. Helps
E. will help

5. Teachers have not arrived, neither ………. the head teacher

A. Had
B. Has
C. Was
D. Have
E. were

6. They should ………. for Mombasa now

A. Left
B. Leaving
C. Live
D. Leave
E. living

7. Young Africa football team ……. had they trained well

A. Would have won 


B. would win   
C. will win 
D. had won 
E. would have not won

8. Each and every fruit in the basket_ rotten

A. Were
B. Was
C. Are
D. have been
E. have

9. I………your book when I finish reading it

A. have returned 
B. am returning
C. returned
D. will return
E. return

10. Did you hear what the teacher……..?

A. is saying
B. says
C. said
D. will say
E. have said

11. The visitors their hats as the chief passed

A. Raised
B. Rised
C. Rose
D. Raise
E. risen

12. Donkeys carry heavy loads; ___ ?

A. can’t they
B. don’t they
C. aren’t they
D. do they
E. don’t they?

13. All of us but Lucy……………..present

A. has been
B. was
C. were
D. is
E. will

14. The crowd………….cheering loudly

A. Were
B. Have
C. Has
D. Was
E. are

15. None of the passengers………..hurt.

A. Were
B. Are
C. Was
D. Have
E. am

16. _______ there any children in that room?

A. Is
B. Had
C. Are
D. Have
E. was

17. Each of the boys will ………….a price

A. Gets
B. Get
C. Gotting
D. Got
E. have gotting

18. This lorry____ several times this month

A. was repaired
B. is being repaired
C. has been repaired
D. had been repaired
E. has repaired

 SECTION B: GRAMMAR
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet provided.
19. That bitch has lost……….two puppies

A.  it’s
B. Its
C. its’
D. it is
E. his

20. …………that yellow Toyota saloon, he has three other cars

A. a part
B. beside
C. not
D. besides 
E. together

21. _______ you see him, give me a call

A. one’s
B. ones
C. ones’
D. once
E. whether

22. The President’s___ excited the crowd

A. Arrives
B. Arrive
C. Arrival
D. arrived 
E. came

23. She has never been away______  last year

A. For
B. At
C. Since
D. although 
E.  about

24. Gracious is the girl……………we were talking about

A. Who
B. Which
C. Whom
D. whose 
E. that
25. The presents should be shared  all my fifteen children, please do it fairly

A. Between
B. To
C. With
D. amongst 
E. of

26. The police accidentally shot my uncle the window of his self contained bedroom

A. At
B. Over
C. Through
D. Above
E. for

27. The young one of a monkey is known as a____ 

A. monk let
B. calf
C. troop
D. baby
E. chatters

28. He likes neither football ____ athletics. his only interest is politics

A. Or
B. Not
C. No
D. Nor
E. even

29. Timothy was_____ annoyed that he decided to cry

1. Too
2. Enough
3. So
4. Very
5. such a

30. A place where coins and notes are made is known as a………

A. Factory
B. Bank
C. Mint
D. ginnery 
E. state house
SECTION C: VOCABULARY
Choose the most correct and then write its letter in the answer sheet provided
31. Dealing in hard drugs is against the law underlined words can be                                replaced by;
____

A. Impossible
B. Wrong
C. Dangerous
D. Illegal
E. legal

32. We seldom visit our grandparents. This means ____

A. Rarely
B. Never
C. several time
D. shall
E. always

33. Some of the arid parts of this country can be rehabilitated: the underlined word means;

A. Bad
B. Dry
C. Useful
D. Dirty
E. wet

34. Mr. Charity is among people who started this organization many years ago. The correct single
word for the underlined sentence is          

A. the beginners 
B. the establishers 
C. the founders
D. the owners 
E. strangers

35. His grandfather passed away before he was even born. This means _ he          

A. went some where far 


B. death
C. slept
D. died
E.  was born

 SECTION D: COMPOSITION:
Re-arrange the following sentences into correct order by giving them letters A-E so that the
story can make sense.
36. They told stories about their fertile land [  ]
37. They lived happily in the western land [  ]
38. In the early 1880’s trappers and trades traveled
[  ]
through western land
39. Some decided to travel to the west to settle and farm [  ]
40. People who live in   the east heard these stories [  ]
 SECTION E: COMPREHENSION:
Read the passage below carefully and then answer question that follow .
Once upon a time, there was a boy who used to steal chicken from his neighbours. One day he was
caught stealing a very big chicken from an old woman who lived all by herself. The boy was badly
beaten by the villagers before being taken to the police station. One of the policemen told the thief
that he was lucky that day and if he didn’t change his behaviours and stop stealing, he might end up
being burnt alive. The boy was asked if he knew that, and he answered calmly,” Yes Sir, I know that,
but because I am used to stealing, I can’t stop immediately. In the past I used to steal one chicken a
week, but from tomorrow I’ll steal one chicken a month. In this way by next year I will have stopped
being a thief.
QUESTIONS
41. From whom did the boy used to steal chicken?_______ 
42. The suitable word to replace the word change as used in the passage can be
43. What do we learn from the story?__________ 
44. When was the boy badly beaten___________
45. Which word from the passage can be replaced by the word at once?__
DOWNLOAD | DOWNLOAD | 
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SIX ENGLISH EXAM SERIES 11
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION
AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD SIX
TIME: 1.30 HRS                                                   2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS

1. This paper has four printed pages, forty five (45) questions with sections A                  and B
2. Answer all the questions in all sections.
3. Remember to write your full names and school name in the answer sheet              provided.
4. Make sure your work is neat without unnecessary cancelling to avoid loss of                
marks.
5. Use a blue or black ink ball pointed pen for all given questions.

 SECTION A: TENSES
Choose the most correct answer and write its letter in the answer sheet provided
1. The sun usually ____ at around 6:55 pm

A. Set
B. Sets
C. Rise
D. Rises
E. risen

2. The moon ………its light from the sun

A. Got
B. should get
C. get
D. gets
E. has got

3. Those who will………for the trip by tomorrow will not go with                   us

A. had not paid


B. will pay
C. have not paid
D. shouldn’t pay 
E. will have paid

4. Do you mind ____ me with some house chores?

A. Helped
B. Help
C. Helping
D. Helps
E. will help

5. Teachers have not arrived, neither ………. the head teacher

A. Had
B. Has
C. Was
D. Have
E. were

6. They should ………. for Mombasa now

A. Left
B. Leaving
C. Live
D. Leave
E. living

7. Young Africa football team ……. had they trained well

A. Would have won 


B. would win   
C. will win 
D. had won 
E. would have not won

8. Each and every fruit in the basket_ rotten

A. Were
B. Was
C. Are
D. have been
E. have

9. I………your book when I finish reading it

A. have returned 
B. am returning
C. returned
D. will return
E. return

10. Did you hear what the teacher……..?

A. is saying
B. says
C. said
D. will say
E. have said

11. The visitors their hats as the chief passed

A. Raised
B. Rised
C. Rose
D. Raise
E. risen

12. Donkeys carry heavy loads; ___ ?

A. can’t they
B. don’t they
C. aren’t they
D. do they
E. don’t they?

13. All of us but Lucy……………..present

A. has been
B. was
C. were
D. is
E. will

14. The crowd………….cheering loudly

A. Were
B. Have
C. Has
D. Was
E. are

15. None of the passengers………..hurt.

A. Were
B. Are
C. Was
D. Have
E. am

16. _______ there any children in that room?

A. Is
B. Had
C. Are
D. Have
E. was

17. Each of the boys will ………….a price

A. Gets
B. Get
C. Gotting
D. Got
E. have gotting

18. This lorry____ several times this month

A. was repaired
B. is being repaired
C. has been repaired
D. had been repaired
E. has repaired

 SECTION B: GRAMMAR
Choose the most correct answer and then write its letter in the answer sheet provided.
19. That bitch has lost……….two puppies

A.  it’s
B. Its
C. its’
D. it is
E. his

20. …………that yellow Toyota saloon, he has three other cars

A. a part
B. beside
C. not
D. besides 
E. together

21. _______ you see him, give me a call

A. one’s
B. ones
C. ones’
D. once
E. whether

22. The President’s___ excited the crowd

A. Arrives
B. Arrive
C. Arrival
D. arrived 
E. came

23. She has never been away______  last year

A. For
B. At
C. Since
D. although 
E.  about

24. Gracious is the girl……………we were talking about

A. Who
B. Which
C. Whom
D. whose 
E. that

25. The presents should be shared  all my fifteen children, please do it fairly

A. Between
B. To
C. With
D. amongst 
E. of

26. The police accidentally shot my uncle the window of his self contained bedroom

A. At
B. Over
C. Through
D. Above
E. for

27. The young one of a monkey is known as a____ 

A. monk let
B. calf
C. troop
D. baby
E. chatters

28. He likes neither football ____ athletics. his only interest is politics

A. Or
B. Not
C. No
D. Nor
E. even

29. Timothy was_____ annoyed that he decided to cry

1. Too
2. Enough
3. So
4. Very
5. such a

30. A place where coins and notes are made is known as a………

A. Factory
B. Bank
C. Mint
D. ginnery 
E. state house

SECTION C: VOCABULARY
Choose the most correct and then write its letter in the answer sheet provided
31. Dealing in hard drugs is against the law underlined words can be                                replaced by;
____

A. Impossible
B. Wrong
C. Dangerous
D. Illegal
E. legal

32. We seldom visit our grandparents. This means ____

A. Rarely
B. Never
C. several time
D. shall
E. always

33. Some of the arid parts of this country can be rehabilitated: the underlined word means;

A. Bad
B. Dry
C. Useful
D. Dirty
E. wet

34. Mr. Charity is among people who started this organization many years ago. The correct single
word for the underlined sentence is          

A. the beginners 
B. the establishers 
C. the founders
D. the owners 
E. strangers

35. His grandfather passed away before he was even born. This means _ he          

A. went some where far 


B. death
C. slept
D. died
E.  was born

 SECTION D: COMPOSITION:
Re-arrange the following sentences into correct order by giving them letters A-E so that the
story can make sense.
36. They told stories about their fertile land [  ]
37. They lived happily in the western land [  ]
38. In the early 1880’s trappers and trades traveled
[  ]
through western land
39. Some decided to travel to the west to settle and farm [  ]
40. People who live in   the east heard these stories [  ]
 SECTION E: COMPREHENSION:
Read the passage below carefully and then answer question that follow .
Once upon a time, there was a boy who used to steal chicken from his neighbours. One day he was
caught stealing a very big chicken from an old woman who lived all by herself. The boy was badly
beaten by the villagers before being taken to the police station. One of the policemen told the thief
that he was lucky that day and if he didn’t change his behaviours and stop stealing, he might end up
being burnt alive. The boy was asked if he knew that, and he answered calmly,” Yes Sir, I know that,
but because I am used to stealing, I can’t stop immediately. In the past I used to steal one chicken a
week, but from tomorrow I’ll steal one chicken a month. In this way by next year I will have stopped
being a thief.
QUESTIONS
41. From whom did the boy used to steal chicken?_______ 
42. The suitable word to replace the word change as used in the passage can be
43. What do we learn from the story?__________ 
44. When was the boy badly beaten___________
45. Which word from the passage can be replaced by the word at once?__

1. Mtihani huu una maswali 50


2. Fanya maswali yote
3. Andikamajibu yako katika nafasi iliyoachwa wazi.
4. Hakikisha kazi yako ni safi.

SEHEMU A. 
Chagua kibu sahihi, kisha andika herufi ya jibu sahihi katika nafasi ulioyoachwa hapo chini.
1. Msaidizi wa mkuu wa mkoa katika shughuli zake za utendaji ni nani?

A. ofisa elimu mkoa


B. katibu tawala wa mkoa
C. mkuu wa idara ya utawala na utumishi mkoa
D.  ofisa afya wa mkoa

2. Mwenyekiti wa halmashauri ngazi ya wilaya huongoza akina nani?

A. wenyeviti wa mtaa
B. makatibu tawala
C. madiwani wa halmashauri
D. mtendaji wa kata

3.   Katika ofisi ya kata, nani ni mtendaji mkuu?

A. Diwani
B. Ofisa mtendaji wa kata
C. Ofisa mazingira wa kata
D. Ofisa maendeleo wa kata

4. Wakuu wa idara katika halmashauri za wilaya huwajibika kwa nani?

A. mkurugenzi wa halmashauri
B. mkuu wa wilaya
C. mkuu wa mkoa
D. ofisa tawala wa wilaya

5. Mkurugenzi wa halmashauri anapatikanaje?

A. kwa kupigiwa kura na madiwani


B. kwa kuajiriwa na menejimenti ya utumishi wa umma
C. kwa kuteuliwa na rais
D. kwa kupigiwa kura na wananchi katika halmashauri inayohusika

6.   Katibu wa vikao vya baraza la madiwani ni nani?

A. Mwenyekiti wa Halmashauri
B. Diwani wa viti maalum
C. Katibu tawala
D. Mkurugenzi wa Halmashauri.

7. Anayesimamia manunuzi yote yanayofanywa na ofisi ya mkuu wa mkoa ni;

A. Katibu tawala mkoa


B. Ofisa ugavi mkuu
C. Mganga mfawidhi
D. Mkaguzi wa ndani

8. Kuna aina ngapi za uongozi katika kata?

A. 3
B. 5
C. 4
D. 2

9. Maana ya utamaduni ni:-

A. Ushabiki wa kitu au jambo unalolipenda


B. Mtindo wa jumla wa maisha ya watu katika jamii au taifa Fulani
C. Shughuli za asili zinazofanywa na watu
D. Ngoma zinazochezwa na jamii Fulani.

10. Baadhi ya alama zipatikanazo kwenye fedha ya Tanzania ni

A. Twiga Tembo, Nembo ya taifa na sura ya rais


B. Nembo , nyumbu na kifaru
C. Mwenge , twiga na sokwe
D. Ngao, Mkuki, Nyota

11. Umuhimu wa bendera ya rais ni 

A. Kutembelea katika ziara mbalimbali tu


B. Kuonyesha mamlaka ya rais
C. Kuhamasisha mwenge wa uhuru
D. Kujigamba kwa wapinzani wake

12. Chimbuko la sheria zote nchini Tanzania ni;

A. Fedha ya Tanzania
B. Katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
C. Vyama vya siasa
D. Ilani ya CCM

13. Rangi ya bluu iliyopo katika bendera ya taifa uwakilisha;

A. Watanzania
B. Madini
C. Maji ambayo ni mito, maziwa na bahari nchini Tanzania
D. Amani na upendo

14. Alama ambayo hutumika kuonyesha umiliki wa mali na nyaraka za serikali tu ni;

A. Picha ya makamu wa rais


B. Bendera ya taifa
C. Nembo ya Taifa
D. Twiga

15. Ni ishara gani inayoonyesha kwamba taifa limepatwa na msibu mkubwa?


A. Bendera zote kupepea nusu mlingoti
B. Bendera ya taifa kupepea nusu mlingoti
C. Bendera ya taifa kutopandishwa kabisa siku ya tukio
D. Wageni wengi kutoka nchi mbalimbali

16. Ni siku ambazo viongozi hupata fursa kueleza mafanikio na changamoto zinazohitaji kufanyiwa
kazi

A. Siku za kukimbizwa mwenge wa uhuru tu


B. Sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar tu
C. Sikukuu za kitaifa
D. Sikukuu ya mwaka mpya

17. Zipi kati ya hizi ni mila zisizofaa katika jamii?

A. Kufanya kazi kwa ushirikiano


B. Kuwakeketa wasichana
C. Kuhamasisha wanaume na wanawake kushirikiana kufanya kazi za nyumbani hili
kujiongezea kipato.
D. Kurithi wajane ili wasipate shida

18. Mifano ya vikundi vinavyoweza kuundwa shuleni ni kama;

A. Skauti, klabu za mazingira, klabu ya TAKUKURU. Klabu za masomo


B. Upatu, ushirikiano na vyama vya siasa
C. Skauti, singeli na ngoma za asili.
D. Soka, ngoma za asili, na vyama vya siasa

 19. Tunapaswa kuonesha upendo kwa watu

A. Wenye mahitaji maalum


B. Ndugu wa karibu
C. Watu wanotupenda
D. Watu wote bila ubaguzi.

20. Wafuatao wana mahitaji maalum isipokuwa:

A. Wazee
B. Watoto
C. Watu wenye ulemavu wa akili
D. Yatima na maskini.

21. Tofauti gani sio ya  kimaumbile kati ya mwanaume na mwanamke?

A. Kupata hedhi
B. Kupata mimba
C. Uwezo wa kuzaa
D. Kunyonyesha
22. Tendo gani kati ya haya halionyeshi usawa wa kijinsia.

A. Kutoa elimu sawa kwa mtoto wa kike na kiume


B. Kutambua kuwa mwanaume na mwanamke wote ni binadamu
C. Majukumu ya jikoni kuachiwa wasichana
D. Kutobagua wasichana katika elimu

23. Moja ya mabadiliko ya wasichana wanapo balehe ni 

A. Kuongezeka kwa kimo


B. Kuonyesha heshima zaidi
C. Kupata hedhi
D. Kuwa na mpenzi wa jinsia tofauti.

24. Wasichana wanaweza kujiepusha na mimba za mapema kwa;

A. Kuwa na marafiki waaminifu


B. Kwenda disko na jamaa zao
C. Kupokea zawadi kutoka kwa wavulana
D. Kuepuka matembezi yasiyo ya lazima usiku.

25. Kwanini tunapaswa kuvaa mavazi yaliyo na staha?

A. Yanaonyesha kujiheshimu
B. Yanasaidia kuepuka magonjwa
C. Ili tupendwe
D. Ili tuvutie watu

26. Kabila gani huvaa kaniki kwenye ngoma za asili?

A. Maasai
B. Wagogo
C. Wanyasa
D. Wasukuma

27. Mabadiliko ya kimwili ya mtoto wa kiume na wa kike kuingia utu uzima huitwa

A. Jinsia
B. Kuvunja ungo
C. Utu uzima
D. Balehe

28. Ipi sio staha katka jamii

A. Kuvalia nguo inayokustiri


B. Kucheza na wavulana sehemu za uchochoro
C. Kuwasalimia watu kwa heshima
D. Kupenda watu wote
29. Chanzo cha familia ni:

A. ndugu na rafiki
B. ukoo na kabila 
C. baba na mama
D. watoto
E. wazee na vijana

30. Mwakilishi wa wananchi katika vikao vya Wilaya vya Serikali za Mitaa ni ....

A.  Mkuu wa Wilaya.
B.  Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji.  
C. Afisa Mtendaji Kata.
D. Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama Tawala.
E.  Diwani wa Kata.

31. Ni wakati gani Bendera ya Taifa hupeperushwa nusu mlingoti? 

A. Wakati wa ziara za viongozi wa mataifa mengine. 


B.  Rais anapotangaza hali ya hatari.
C.  Linapotokea janga la kitaifa au tukio la huzuni. 
D.  Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa wa Taifa.
E.  Rais anapokuwa nje ya nchi.

32. Ni wakati gani Bendera ya Taifa hupeperushwa nusu mlingoti? 

A. Wakati wa ziara za viongozi wa mataifa mengine. 


B.  Rais anapotangaza hali ya hatari.
C.  Linapotokea janga la kitaifa au tukio la huzuni. 
D.  Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa wa Taifa.
E.  Rais anapokuwa nje ya nchi.

33. Lengo kuu Ia kuanzisha Serikali za Mitaa Tanzania ni

A.  kuimarisha demokrasia     
B.  kukusanya kodi ya maendeleo
C.  kuimarisha polisi jamii        
D.  kuboresha usafi wa miji 
E.  kuongeza ajira

34. Faida ya ushirikiano kati ya shule na jumuiya inayozunguka shule ni pamoja na:

A.  ulinzi na usalama wa shule kuimarika


B.  ongezeko Ia idadi ya watoto wanaoandikishwa shule
C.  nafasi za ajira kwa jamii inayozunguka shule kuongezeka 
D.  shughuli za biashara kuzunguka eneo Ia shule kuongezeka
E.  walimu wengi kupata nyumba za kupanga jirani na shule
35. Jukumu la ulinzi katika familia ni la nani?

A. Baba na watoto.          
B. Baba, jamaa na marafiki.
C.  Watoto, mama na jirani              
D.  Kila mtu katika familia 
E.  Watoto, jamaa na marafiki

SEHEMU B.
Andika kweli au si kweli katika sentensi hizi.
36. Misingiya democrasiainazingatiahaki zabinadamu…………………….
37. Utawala wa democrasia unatambulika kwa kutii sheria za nchi pekee……..
38. Katika mfumo wademokrasia wananchi ni wapokeaji tu hawawajibiki kwa lolote
39. Wanawake hawana haki sawannawanaume katika mfumo wa demokrasia….
40. Uvumilivu wa kisiasa kwa vyama vyote hudumisha amani…………………..
41. Mtanzania anatakiwa kufanya biashara zake hapa nchi tu………….
42. Tanzania hunufaika na uhusiano wa kibalozi na mataifa mengine kiutamaduni…
43. Uhusiano wa Tanzania na Kenya umesaidia koboresha uchumi wa nchi  hizi mbili
44. Ni marufuku kwa nchi iliyo nauchumi wachini kujiunga najumuiya yaa Africa Mashariki…
45. Taarifa zote za mitandao zinazingatia maadili…………………
SEHEMU C.
Oanisha maneno ya sehemu A na sentensi katika sehemu B ili kupata maana sahihi.
SEHEMU A SEHEMU B
46. Ushirikiano wa kimataifa A. Upotoshaji wa maadili
47. Jumuiya ambazoTanzania ni mwanachama B. Nchi zote huru dunianini wanachama wa
hiari
48. Kudumisha uhusiano wa kimataifa C. Kunakuza biashara
49. Hasaraza utandawazi D. Utengano
E. Ni uhusiano kati ya taifa moja na linguine
50. Umoja wa mataifa.
F. Umoja wa mataifa, umoja wa afrika,
jumuiya ya maendeleo kusini mwa afrika,
jumuiya ya madola na jumuiya ya afrika
mashariki.
G. Jumuiya yaafrikamashariki, umoja wa
utandawazi na teknolojia, umoja wa
kibiashara, umoja wa afrika na jumuiya ya
madola.

DOWNLOAD | DOWNLOAD | 
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SIX URAIA EXAM SERIES 17
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO

1. Mtihani huu unasehemu mbili


2. Jibu maswali yote 45
3. Hakikisha kazi yako ni safi

SEHEMU A. Chagua jibu sahihi.


1. Ukuaji wa viumbe hai unahusu uongezekaji wa yafuatayo isiopokuwa;

A. Kimo
B. Uzani
C. Unene
D. Umbo la seli

2. Kipi sio mahitaji muhimu ya ukuaji wa mimea 

A. Gesi ya kabonidayoksaidi
B. Maji
C. Gesi ya Nitrojeni
D. Mwanga na joto

3. Kazi ya umbijani ni:-

A. Kutengeneza chakula
B. Kunasa nishati ya jua
C. Kuchanganya maji na nishati ya jua
D. Kupatia mmea rangi ya kujani

4. Kitendo cha mimea kusanisi chakula kwa kutumia nishati ya mwanga wa jua huitwa

A. Usanisi
B. Fotosinthesis
C. Usanisuru
D. Husharabu

5. Shina la mmea likiwa jembamba, refu na majani kuwa na rangi ya manjano ni ukosefu wa:-

A. Madini
B. Maji
C. Jua
D. Hewa

6. Kipi kati ya hivi haviongezi hewa ya kabonidayoksaidi kwenye angahewa?


A. Moshi wa magari
B. Shughuli za viwandani
C. Ukataji miti
D. Gesi ya kupikia.

7. Ipi sio kazi ya maji katika mimea?

A. Kuyeyusha virutubisho
B. Kubeba kabohaidreti kutoka kwenye majani kwenda kwenye sehemu zingine.
C. Kufanya mimea kuwa imara
D. Husaidia mimea kutengeneza chakula

8. Mimea kudumaa na majani kukosa rangi yake husababishwa na:-

A. Potasi
B. Naitrojeni
C. Kolisiama
D. Fosiforasi

9. Tishu inayopitisha maji na virutubisho kutoka kwenye mizizi kwenda sehemu zote za mimea
huitwa?

A. Floemi
B. Zailemu
C. Vinyelezi
D. Vinywele

10. Gesi ambayo mimea hutumia kusanisi chakula ni:-

A. Oksijeni
B. Kabonidayoksaidi
C. Nitrogen
D. Agoni. 

11. Moto unahitaji gesi gani ili kuwaka?

A. Kabonidayoksaidi
B. Agoni
C. Oksijeni
D. Nitrojeni

12. Gesi mojawapo kati ya hizi hutumia kusindika vinywaji

A. Nitrojeni
B. Agoni
C. Kabonidayoksaidi
D. Nioni
13. Gesi ambayo inachangia asilimia 0.003 ya hewa kwenye angahewa ni:-

A. Nitrojeni
B. Kabonidayoksaidi
C. Agoni
D. Oksijeni

14. Ni lipi ambalo sio matumizi ya kabonidayoksaidi?

A. Kuzima moto
B. Kuhifadhi chakula
C. Kuunguza
D. Kusanisi chakula

15. Gesi hii hutumika kwenye taa za umeme

A. Agoni
B. Helium
C. Krypton
D. Oksijeni

16. Ni yapi sio matumizi ya Oksijeni?

A. Kuwasha moto
B. Kutengeneza kula
C. Kuhifadhi chakula
D. Hospitali kwa wagonjwa waliozidiwa

17. Gesi hii utumia kuunda mbolea.

A. Agoni
B. Nitrojeni
C. Kabonidayoksaidi
D. Amonia

18. Ipi sio sifa ya hewa

A. Ina harufu
B. Haina rangi
C. Haionekani
D. Inachukua nafasi

19. Ipi kati ya hizi sio sehemu ya hewa

A. Oksijeni
B. Hydrogeni
C. Agoni
D. Nitrojeni.
20. Kiwango cha maji kinachopotezwa na mmea huathiriwa na hali za hewa zifuatazo...

A.  joto na unyevu     
B.  unyevu na mwanga
C. upepo na mwanga wa jua               
D.  mawingu na upepo
E. unyevu na upepo

21. Kukosekana kwa chanikiwiti katika mmea huweza kusababisha:

A. mmea kukosa madini joto


B. mmea kushindwa kusanisi chakula
C. majani ya mmea kukauka 
D. majani ya mmea kuwa njano
E. maj ani ya mmea kupukutika.

22. Tendo Ia mimea kusafirisha maji kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani huitwa:

A. osmosis 
B. difyusheni 
C. msukumo
D. mgandamizo 
E. mjongeo

23. Ni Vipi kati ya viumbe hai vifuatavyo hujitengenezea chakula chao kwa kutumia klorofili?

A. Wadudu
B. Mimea 
C. Wanyama 
D. Virusi 
E. Ndege

24. Ipi kati ya zifuatazo siyo kazi ya mizizi katika mimea?..............

A.  Kusharabu madini ya chumvi. 


B.  Kusharabu maji
C.  kushikilia mmea 
D.  Kutengeneza chakula cha mmea
E.  Kutunza chakula cha mmea

25. Gesi ipi hupunguzwa angani na mimea?..................

A.  Kabondioksaidi 
B.  Oksijeni 
C.  Haidrojeni
D.  Kabonimonoksaidi 
E.  Naitrojeni
26. Ni mmea gani ya hizi hauifadhi chakula katika shina?

A. Miwa
B. Magimbi
C. Viazi
D. Karoti
E. Tangawizi..

27. Katika jani, umbijani hupatikana kwa wingi wapi?

A. Epidamisi ya juu
B. Epidamisi ya chini
C. Seli linzi
D. Stomata
E. Selisafu za kati

28. Ni sehemu gani ya jani yenye seli zenye kloroplasti?

A. Kikonyo
B. Lamina
C. Kingo
D. Kishipajani
E. Vena kuu

29. Usanishaji chakula hufanyika katika sehemu gani kuu ya mimea?

A. Mizizi
B. Majani
C. Shina
D. Ua
E. Jani

30. ………….Huruka juu kwa mabawa yenye manyoya

A. Ndege
B. Popo
C. Mbu
D. Kipepeo
E. Panzi

31. Lipi kati ya makundi yafuatayo ni sifa zinazotumika kutambua wanyama wa kundi la reptilia?

A. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kuishi majini. 


B. Kutaga mayai, kuishi majini na kuishi nchi kavu.
C. Kutaga mayai, kuwa na damu ya joto na kuishi nchi kavu.
D. Kutaga mayai, kuwa na damu baridi na kupumua kwa kutumia mapezi. 
E. Kutaga mayai, kupumua kwa kutumia ngozi na kuishi majini.
32. Kundi lipi limeainisha wanyama wenye uti wa mgongo?

A. Konokono, mjusi na kenge


B. Papasi, panzi na mbungo 
C. Chura, mamba na mchwa
D. Kuku, popo na bata 
E. Nyoka, panzi na mbuzi

33. …………..hutaga mayai majini hata kama yeye huishi nchi kavu

A. Kobe
B. Kasa
C. Chura
D. Mamba
E. Nyangumi

34. …………………huishi majini lakini hutaga mayai yake nchi kavu

A. Papa
B. Kobe
C. Mjusi
D. Kasa
E. Mamba

35. ……………ni mammalian lakini hana tezi za jasho

A. Popo
B. Nyangumi
C. Mbwa
D. Panya
E. Sungura

.36. ………………hunatoa mbegu lakini hautoi maua

A. Mchungwa
B. Mvinje
C. Mhindi
D. Mwembe
E. Mpera

37. Wakati unatoahuduma ya kwanza kwa mtu aluyeungua moto, hairuhusiwi kupaka….kwenye
jeraha.

A. Maji
B. Mafuta
C. Asali
D. Dawa
38. Kipi kati ya vimiminika vifuatavyo kinaweza kusababisha ajali ya kuungua moto?

A. Uji wa moto
B. Juisi
C. Asali
D. Soda

39. Mtu aliyeungua moto hupewa hudumaya kwanza kabla ya kupelekwa………………..

A. Nyumbani
B. Shule
C. Kulala
D. Hospitalini.

40. Tunafanya mazoezi kwa kucheza ili…………………………..

A. Kuwa na nguvu
B. Kuwafurahisha walimu
C. Tuendelee kusoma
D. Tuimarishe afya ya mwili.

SEHEMUB.  Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia neno sahihi.


41. Kirutubisho cha aina ya _____________ husaidia katika ukuaji wa maua.
42. Kirutubisho kinachosaidia katika ukuaji wa majani huitwa________________
43. Kirutubisho cha aina ya_________________ husaidia katika ukuaji wa mizizi
44. Maji na virutubisho husafirishwa kutoka kwenye mizizi hadi kwenye majani kwa njia
ya___________
45. Kitendo cha mimea kujitengenezea chakula huitwa______________
DOWNLOAD | DOWNLOAD | 
LEARNINGHUBTZ.CO.TZSTANDARD SIX SAYANSI EXAM SERIES 16
OFISI YA RAIS  WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA SITA
MUDA: 1.30
MAELEKEZO

1. Mtihanihuu una maswali 45


2. Jibu maswali yote kwenyekaratasi uliyopewa
3. Hakikisha kaziyako safi

SEHEMU A
Chagua Jibu sahihi.
1. Katibu kata anachaguliwa na:
A.  Wanachama wa chama tawala
B.  Mkutano mkuu wa kata
C.  Wananchi wa kata ile
D.  Mkutano wa kijiji wa mwaka 
E.  Kamati ya kijiji

2.  Kamati ya maendeleo ya kata inaundwa na wafuatao isipokuwa:

A.   Katibu kata
B.   Afisa mtendaji wa Kata
C.   Katibu Kata wa viti maalumu
D.   Afisa mtendaji wa Mkoa
E.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa

3.  Mwakilishi wa Rais katika ngazi ya mkoa ni:

A.  Katibu tawala wa Mkoa


B.  Mkurugenzi mtendaji wa manispaa
C.  Mkuu wa Mkoa
D.  Afisa mtendaji wa Mkoa
E.  kamanda wa Polisi wa mkoa

4. Kauli mbiu ya Tanzania iliyopo kwenye nembo ya taifa ni:

A.  uhuru na maendeleo
B.  uhuru na kazi
C. uhuru na umoja 
D.  uhuru na amani
E. umoja na amani

5.  Wimbo wa taifa una beti ngapi?

A.  Tatu 
B.  Mbili  
C.  Nne   
D.  Tano 
E.  Sita

6.   Kazi ya kamati ya shule ni:

A. Kusimamia maendeleo ya taaluma


B. Kutoa ushauri juu ya maambukizi ya UKIMWI
C. Kuidhinisha uteuzi wa waalimu 
D. Kusimamia nidhamu ya waalimu
E. Kusimamia ujenzi na maendeleo ya shule.

8. Mkutano wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika:


A. Berlin
B. London
C. Roma
D. Paris
E. New York

    9. Mwanasayansi aliyeelezea kuhusu mabadiliko ya kimaumbile ya mwanadamu alikuwa

A. Mary Leakey
B. Charles Darwin 
C. Louis Leakey 
D. Richard Leakey 
E. John Speke

10.  Sehemu ya muhimu ya ramani inayoelezea kuhusu alama zilizotumiwa katika ramani ni

A.  ufunguo         
B.  fremu          
C.  dira
D.  kipimio                                         
E.  kichwa cha ramani

11.  Ni rahisi sana kuthibitisha kuwa dunia ni duara kwakuangalia:

A.  umbo la tufe
B.  kupatwa kwa jua
C.  kupwa na kujaa kwa maji
D.  jua la utosini
E.  kupatwa kwa mwezi

12. Nchi ya Afrika iliyokuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1980 ni .....

A.  Zimbabwe. 
B.  Tanzania. 
C.  Botswana.
D.  Ghana.                                                    
E.  Ethiopia.

13. Familia inaweza kujikwamua kiuchumi iwapo . 

A.  mama atajishughulisha na kazi za ndani.


B. baba ataajiriwa.
C.  watoto watajishughulisha na masomo.
D.  wanafamilia watatimiza wajibu wao. 
E. wanafamilia watasali pamoja.

 14. Makoloni ya Ujerumani katika Afrika yalikuwa ..


A.  Naijeria, Namibia na Togo.
B.  Gambia, Togo na Namibia. 
C. Kameruni, Togo na Namibia. 
D. Namibia, Tanganyika na Naijeria.
E. Kameruni, Tanganyika na Senegal.

15. Wajerumani walitawala Tanganyika baada ya .....

A. Vita Kuu ya Kwanza.           


B. Vita Kuuya Pili. 
C. Mkutano wa Berlin.          
D. Kuundwa kwa UNO.
E. Kushindwa kwa Wareno.

16 Jukumu la kutunza  mazingira ni la;

A. Waalimu
B. Wanakijiji
C. Serikali 
D. Raia wote

17. Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?

A. Kulima
B. Kukata miti
C. Kupanda maua
D. Ufugaji wa nyuki

18. Ni njia ipi ya kisasa ya kutunza kumbukumbu  za matukio shuleni?

A. Kabati
B. Maktaba
C. Dawati
D. Computa

19. Mgandamizo wa hewa unapimwa kwa kutumia;

A. Haigromita
B. Anemomita
C. Thamomita
D. Baromita

20. Ipi ambayo sio dalili za mvua?

A. Mawingu mazito
B. Upepo mkali
C. Ngurumo na radi
D. Jua kali
SEHEMU B.
Andika neno kweli au si kweli katika maswali yafuatayo.
21. Mwenyekiti wa baraza na madiwani na kamati ya mipango ni kurugenzi za halmashauri
22. Jukumu la Afisa elimu ni kupambana na magonjwa mfano ikimwi
23. Mkuu wa mkoa huteuliwa na Raisi
24. Mkuu wa Wilaya huapishwa na Mkuu wa Mkoa
25. Matibu tawala wa Wilaya ni mshauri mkuu wa Mkuu wa Wilaya
26. Ofisa tarafa ana jukumu la kusimamia maofisa watendaji wa Kata, Vijiji na Vitongoji.
27. Katibu tawala wa Mkoa ni mratibu shughuli zote za kiutawala kimkoa.
28. Mganga mfawidhi anasimamia manunuzi yote yanayofanywa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
29. Ofisa maliasili Wilaya anasimamia na kubuni miradi ya biashara katika Wilaya yake.
30. Mkuu wa Wilaya humsaidia Mkuu wa Mkoa katika kusimamia halmashauri zake.
SEHEMU C.
Weka alama ya () kwenye taka ngumu na alama ya (x) kwenye taka laini. 
Taka Alama
31. Vipande vya chuma  
32. Karatasi  
33. Nyasi  
34. Vipande vya chupa  
35. Mabaki ya ugali  
36. Barafu  
37. Wembe  
38. Pamba zilizotumika  
39. Kinyesi cha binadamu  
40. Maji taka  
SEHEMU. D
JIBU MASWALI YAFUATAYO KWA KIFUPI.
41. Taja shughuli moja kuu ya uzalishaji ilianzisha nchini Tanzania baada ya Uhuru.
42. Taja njia zinazoiwezesha serikali kujipatia fedha kwa matumizi mbalimbali
43. Ili viwanda viweze kuzalisha bidhaa kwa wingi zaidi vinahitaji…….na……………..
44 Taja fursa za kibiashara zinazoweza kuwepo katika sehemu za wafugaji…..
45. Nini maana ya ujasiriamali?

You might also like