You are on page 1of 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA


MTIHANI WA MOCK DRS LA SABA-2019.
HALMASHAURI YA BUSOKELO.
SOMO: MAARIFA YA JAMII

SEHEMU A: URAIA
CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI
1. Kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ni?..............................(A) spika wa bunge (B) jaji
mkuu (C) waziri (D) Rais (E) waziri mkuu.
2. Umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura ni miaka……………… (A) 10 (B) 15 (C) 18 (D)20 (E)50
3. Rangi ya njano katika bendera ya taifa inawakilisha………… (A) watanzania (B) uoto
(C) ardhi (D) madini (E) hifadhi.
4. Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia afya linaitwa……………. (A) WHO (B)UNHCR
(C) UNICEF (D)FAO (E) NEMC.
5. Vyanzo vya mapato katika serikali za mitaa ni……………….(A)tozo za biashara (B)tozo
katika leseni za biashara (C)ruzuku, kodi na michango (D)kodi ya kichwa na majengo
(E)kodi ya ardhi na majengo.
6. Jeshi linalohusika kurekebisha tabia za wahalifu ni…………….. (A)mgambo (B)polisi
(C)JWTZ (D)magereza (E)uhamiaji.
7. Wajibu wa kamati ya shule ni…………… (A)kusimamia maendeleo ya taaluma shuleni
(B)kusimamia ujenzi na maendeleo katika shule (C)kutoa ushauri nasaha kuhusu
UKIMWI (D)kusimamia nidhamu ya walimu (E)kutambulisha ajira ya walimu.
8. Umuhimu wa sensa ni…………….(A)kuvutia watalii (B)kujua tabia ya watu (C)kujua
viwango vya vizazi na vifo (D)kujua mipaka ya nchi (E)kurahisisha upangaji wa mipango
ya maendeleo.
9. Makubaliano ya kuanzisha umoja wa mataifa yalifanyika…………. (A)Newyork (B)San
fransisico (C)San diego (D)Washingtone (E)Los angels.
10. Neno moja linalosimama badala ya baba,mama na watoto ni………….. (A)ukoo
(B)wanadamu (C)wazazi (D)jumuia (E)familia.
11. Chombo cha sheria chenye mamlaka ya kutafsiri sharia huitwa……………. (A)mfumo wa
mahakama (B)serikali za mitaa (C)baraza la kutunga sheria (D)ofisi ya msajili wa vyama
vya siasa (E)ofisi ya waziri mkuu.
12. Kipi siyo chama cha siasa nchini Tanzania kati ya hivi vifuatavyo?............ (A)CHADEMA
(B)C.C.M (C)C.U.F (D)TMWA (E)ACT-wazalendo.
SEHEMU B: HISTORIA
CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI
13. Mataifa yapi ya kibepari yalihusika na mkataba wa 1886 wa kuigawa Afrika mashariki……
(A)wareno na waingereza (B)waarabu na waingereza (C)waingereza na wabelgiji
(D)wajerumani na waingereza (E)wabelgiji na wajerumani.
14. Sehemu ambapo ufuaji wa chuma ulifanyika hapo kale nchini, hujulikana kama…………
(A)Engaruka (B)Mawe (C)Isimila (D)mapango ya tanga (E)Kondoa Iringa.
15. Bahariya mpelelezi wa kwanza wa kireno kufika rasi ya tumaini jema mwaka 1488
alikuwa…………….. (A) Batholomeo diaz (B)Vasco da gama (C)Dr.David (D)mfalme Henry
(E)Jan van ribel.
16. Mkataba wa kufunga soko la watumwa wa unguja ulisimamiwa na Sultan aliyeitwa………
(A)Said said (B)Seyyid ally (C)Seyyid majid (D)Seyyid said (E)Seyyid bargash.
17. Harakati za kudai uhuru kamili barani Afrika zilianza……………… (A)baada ya vita ya
kwanza ya dunia (B)baada ya vita ya pili ya dunia (C)baada ya Marekani kupata uhuru
(D)kabla ya vita ya mwisho wa dunia.
18. Mwanadamu wa kwanza alianza kutembea kwa miguu miwili katika hatua ya………………
(A)primates(B)zinjanthropas (C)homo elactus (D)homo habilis (E)homo sapiens.
19. Hapa Tanzania michoro ya mapangoni iligundulika huko……………….. (A)Isimila (B)Kilwa
(C)Engaruka (D)Zanzibar (E)Kondoa irangi.
20. Mabaki ya mwanadamu wa kale yaligundulika huko…………………… (A)Kondoa irangi
(B)kalenga (C) bonde la oldivai (D)Isimila (E) Engaruka.
21. Wafanyabiashara wa kwanza wa kigeni walitoka……….. (A)Afrika (B)Amerika kaskazini
(C)Asia (D)Ulaya (E)Amerika kusini.
22. Katika kipindi cha zama za mawe za kati mwanadamu………….... (A)Alianza kufuga
wanyama kama ndege (B)aligundua moto (C)alijihusisha na biashara (D)aliongeza uwezo
wa kuzalisha chakula (E)alikuwa tegemezi katika mazingira.
23. Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi Tanganyi ulifanyika mwaka………………… (A)1992
(B)1990 (C)1961 (D)2005 (E)1995.
24. Waziri wa kwanza wa Tanganyika aliitwa………….. (A)Zuberi Mtemvu (B)Augustino Neto
(C)Julius.k.Nyerere (D)Edward Lowasa (E)Mizengo.P.Pinda.
25. Mkutano wa Berlin wa mwaka 1888 uliitishwa na……………… (A)John Krapf (B)Von
Bismark (C)Carl Peters (D)Henry Stanly (E)David Livingstone.
SEHEMU C: JIOGRAFIA.
CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI KATIKA SWALI LA 26-40
26. Mstari wa tarehe wa kimataifa umepitia nyuzi ngapi?............... (A)O 0 (B)3600 (C)1800
(D)1200 (E)23.50
27. Chanzo kikuu cha uharibifu wa mazingira barani Afrika ni…............ (A)silaha za
nyuklia(B)kilimo cha mazao ya chakula (C)kilimo cha mazao ya biashara (D)kilimo cha
matuta kwenye miinuko (E)ongezeko la watu.
28. Mikoa ipi inamashamba makubwa ya chai?.............. (A)Ruvuma na Morogoro (B)Coast
na Iringa (C)Kilimanjaro na Mbeya (D)Morogoro na Iringa (E)Mbeya na Iringa.
29. Badili sentigredi 20 kuwa farenheit………………… (A)68 (B)86 (C)200 (D)32 (E) +32.
30. Mistari inayotumika kutafuta mahali katika ramani kwa usahihi ni…………….. (A)latitudo
na ikweta (B)mstari wa longitudo (C)Greenwich na latitudo (D)kaprikon na kansa
(E)longitude na latitude.
31. Maeneo ya jangwani ambayo maji hupatikana huitwa………….. (A)chemichemi (B)visima
(C)oasisi (D)mito (E)bonde.
32. Jua huonekana ni nyota kubwakuliko zingine kwasababu…………… (A)ina joto kuliko
zingine (B)ina mwanga mwangavu (C)hutupatia mwanga (D)iko mbali kuliko dunia
(E)iko jirani na dunia.
33. Bonde la ufa limegawanyika katika matawi mawili ya mashariki na magharibi kuanzia
katika ziwa…………………… (A)Viktoria (B)Tanganyika (C)Natron (D)Nyasa (E)Manyara.
34. Vipi ni vyanzo vya umeme katika hivi…………… (A)maji,madini na nyaya (B)upepo,maji na
transfoma (C)maji,upepo na jua (D)makaa ya mawe (E)maji,transfoma na makaa yam
awe.
35. Kipi kati ya hivi ni chanzo kikuu cha maji…………… (A)mito (B)maziwa (C)mabwawa
(D)visima (E)mvua.
36. Nchi kubwa kuliko zote Afrika ni…………… (A)Afrika kusini (B)Jamhuri ya muungano wa
Tanzania (C)Nigeria (D)Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (E)Algeria.
37. Sehemu zenye mvua kidogo sana,joto jingi mchana na baridi sana usiku ni hali ipi ya
nchi?................ (A)Kimediteranian (B)jangwa (C)kisavana (D)kiikweta (E)kitropiki.
38. Chanzo cha nishati ya nyuklia ni madini ya………….. (A)Platnum (B)vanadium (C)berilium
(D)uranium (E)titanium.
39. Uchumi wa Tanzania unategemea Zaidi…………… (A)viwanda na madini (B)kilimo na
biashara (C)kilimo na ufugaji (D)viwanda na kilimo (E)viwanda na ufugaji.
40. Ramani iliyokamilika ina kuwa na mambo yafuatayo…………….. (A)barabara,dira,miji na
mipaka (B)mazao,pambizo,kipimio,kichwa na dira (C)kichwa,ufunguo,kipimio,dira na
pambizo (D)uoto,barabara,reli na ufunguo (E)ufunguo,barabara,kichwa mipaka na dira.
SEHEMU D: JAZA SEHEMU ZILIZO ACHWA WAZI KWA KUANDIKA JIBU SAHIHI.
41. Taja mizunguko mikuu miwili ya dunia.
(i)……………………………………………………………………………………………………………………………...
(ii)………………………………………………………………………………………………………………………….....
42. Taja miaka ambayo mikataba ifuatayo ya kukomesha biashara ya utumwa ilipitishwa.
(a) Heligoland treaty………………………………………………………………………….
(b) Frere treaty………………………………………………………………………………….
43. Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto huitwa?…………………………………..
44. Taja makabila mawili yaliyojihusisha na biashara ya masafa marefu Afrika mashariki.
(i)……………………………………………………………………………………………………………………..
(ii)………………………………………………………………………………………………………………….....
45. Kutoka ukubwa wa eneo la shamba kama lilivyoonyesha hapa chini,onyesha njia.

You might also like