You are on page 1of 3

HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI

MKOA WA MANYARA
SHULE YA MSINGI
MTIHANI WA KUJIPIMA DARASA LA NNE
SOMO LA URAIA NA MAADILI

SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Ni rangi gani katika bendera ya Taifa inayoonyesha utajiri wa madini? (a) Nyeusi (b) Njano
(c) blue (d) kijani [
2. Kiongozi wa serikali ya wanafunzi anaitwa (a) Mwalimu mkuu (b) kiranja mkuu
(c) kiranja wa darasa (d) mwalimu wa darasa [
3. Nchi yetu ina sifa ya kuwa nana (a) Ugomvi na vita
(b) uongo na ukweli (c) Amani na utulivu (d) Chuki na wivu [ ]
4. Fedha ya Tanzania inaitwa (a) shilingi (b) pesa (c) noti (d) Dola [
5. Katibu wa kamati ya shule ni (a) Mwalimu Mkuu (b) Wazazi (c) mwalimu
wa nidhamu (d) mwalimu wa taaluma [ ]
6. Kuheshimu utamaduni wa watu wengine huleta (a) upendo na mshikamano
(b) ujasiri na upendo (c) mshikamano na upole (d) kelele na utulivu [ ]
7. Ngombe, kondoo, paka, mbwa, mbuzi huitwa(a) wanyama wa shuleni (b) wanyama wa
nyumbani (c) wanyama wa porini
8. Ushirikishwaji wa raia katika serekali ya mitaa au Kijiji husaidia….
a)maendeleo (b) kupunguza malalamiko (c) kuzuia malalamiko (d) kuleta maelewano [ ]

9. Ni jumla ya mambo yote yanayounganisha watu kama Taifa (a) Utamaduni


(b) uzalendo (c) michezo (d) Makabila [
10. Ipi kati ya zifuatazo ni alama za Taifa letu (a) Mlima Kirimanjaro na Mkuki (b)
Jembe na mwenge wa uhuru (c) Mwenge wa Uhuru na ngao ya Taifa (d) Jembe na Ngao ya
Taifa [ ]

SEHEMU B: JAZA NAFASI ZILIZOWAZI


11. Mkuu wa Wilaya huteuliwa na
12. Kukata miti na kuchoma misitu ni wa mazingira
13. Rais wa awamu ya nne wa Tanzania anaitwa

14. Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka


15. Fedha ya Tanzania ni miongoni mwa vitu vinavyolitambulisha

SEHEMU C: ANDIKA KWELI AU SIKWELI


16. Ajira za watoto haziruhusiwi
17. Bendera ya Taifa ina rangi tano
18. Mkuu wa Mkoa huchaguliwa na wananchi
19. Kupanda miti ni njia ya kutunza na kuhifadhi mazingira
20. Kutumia vilevi na kushiriki ngono katika umri mdogo ni vitendo hatarishi
SEHEMU D: OANISHA SEHEMU A NA B ILI KULETA MAANA
SEHEMU A SEHEMU B

21. Ushirikishwaji wa raia A. Vyanzo vya maji Tanzania


B. Vitu vya thamani alivyonavyo mtu
katika serikali ya mitaa
C.
au kijiji husaidia D
Kujifanya mwema kumbe Sio
(a) kuleta . Sehemu anamoishi Rais
Demokrasia E. Kuchukua kitu cha mtu pasipo kuruhusiwa
22. Ikulu F. Kiongozi huchaguliwa kwa kupiga kura
23. Unafiki
24. Maziwa, mito na bahari
25. Rasilimali

You might also like