You are on page 1of 1

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

MTIHANI WA KUFUNGA MUJULA WA KWANZA JUNE – 2019 DARASA LA 1V


URAI NA MAADILI S/ MINGI NG’WAMALWILO
SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI KATIKA KISANDUKU
1. Bendera ya Taifa ina rangi ngapi? A) Tano B) sita C) nne D) zote [ ]
2. Ni tabia zipi zisizopaswa kuigwa katika jamii au familia? A) kufagia uwanja B) kuosha
vyombo C) kuteka maji D) kutukana wenzake [ ]
3. Wimbo wa Taifa unabeti ngapi? A) Mbili B) Tatu C) nne D) tano [ ]
4. Kutumia vilevile na kushiriki Ngon katika umri mdogo ni vitendo? A) Hatarishi B)
salama C) vinavyopendwa D) vizuri [ ]
5. Matendo yanayosababisha usalama wa wanafunzi ni? A) Kushiriki katika ajira za utotoni
B) kucheza mpira C) kusoma vitabu D) kuongea sana [ ]
SEHEMU B : OANISH A

You might also like