You are on page 1of 1

SHULE YA MSINGI KIHONDA

MTIHANI WA SAYANSI DRS III


MUHULA WA KWANZA 2019
JINA________________________________________MKONDO_______

Chagua herufi ya jibu sahihi 14 Simu ni chombocha mawasiliano_____________

1 Kitendo cha kiumbe kutoka sehemu moja Oanisha fungu A na B ili ilete maana
kwenda nyingine kinaitwa_________ (a) 15 Fungu A Fungu B
kusimama (b)kujongea (c)kutambaa [ ]
16 Cherehani (A) kipitisho cha joto
2 Viumbe hai huthaminiwa kwa_____(a)
kupigwa (b)kufugwa (c)kutunzwa [ ] 17 Moto (B) hali zamaada

3 Vitu hatarishi katika maisha 18 Mazingira ( C) jumla ya vitu


ni_____(a)kijiko (b)kisu na msumari (c) vinavyotuzuka
panga na maua [ ] 19 Yabisi,kimiminika, (D) hutoa mwanga wa
Na gesi joto
4 Kati ya wadudu wafuatao wana sumu kali__ Chuma (E) kifaa cha
(a)mende (b)mbu (c)kiroboto [ ] 20 kurahisisha kazi

5 Mdudu anayeeneza ugonjwa wa malaria Chora vitu vifuatavyo


ni___ (a)Inzi (b)mbu (c)kipepeo [ ] 21 Mti

JIBU MASWALI YAFUATAYO


6 Taja sifa moja ya viumbe
hai___________________________
22 Eropleni
7 Kuna aina ___________za nishati

8 Sauti iliyoakisiwa inaitwa_______________

9 _________________ni kitu chochote 23 Tiara


chenye uzito na ambacho huchukua nafasi.

10 Vitu vinavyoweza kuelea kwenye maji ni


mtumbwi, mashua na__________________
Taja majina ya picha zifuatazo
Andika NDIYO au HAPANA
24
11 Maada ziko katika hali ya yabisi, ________________
kimiminika na
gesi________________________

12 Mawasilianoni kitendo cha kupashana 25


habari_________________________

13 Njia za mawasiliano zimegawanyika katika


__________________
sehemu mbili____________________

14 Simu ya mkononi ni simu inayoweza


kubebeka________________________

You might also like