You are on page 1of 5

JARIBIO LA 1 SOMO: KISWAHILI

23/7/2020

JINA: ALBERT JANUARY KADENGE DARASA LA NNE

Sehemu A ( Alama 10)

Swali la 1:

Sikiliza kwa makini sentensi zinazosomwa kisha uziandike kwa usahihi katika
nafasi zilizoachwa wazi.

(i) __________________________________________

(ii) __________________________________________

(iii) __________________________________________

(iv) __________________________________________

(v) __________________________________________

Sehemu B ( Alama 10)

Swali la 2:

Andika umoja na wingi wa sentensi zifuatazo.

(i) Umoja: Hiki ni kitabu changu.

Wingi: ___________________________________________

(ii) Umoja: Kiatu changu cheupe kimepotea.

Wingi: ______________________________________

(iii) Umoja: ______________________________________

Wingi: Wapishi wamepika chakula kitamu.

(iv) Umoja: Kalamu yako ilipotea darasani.

Wingi: ___________________________________________

(v) Umoja:___________________________________________

Wingi: Miti hii ilianguka juzi.


Sehemu C (Alama 10)

Swali la 3:

(a) Kamilisha methali ulizopewa kwa kuandika jibu sahihi katika

nafasi zilizoachwa wazi.

(i) Fahali wawili_______________________________________

(ii) Mvumilivu,________________________________________

(b) Toa maana ya methali zifuatazo kwa kuandika jibu sahihi katika

nafasi zilizoachwa wazi:

(i) Kidole kimoja hakivunji chawa ______________________

(ii) Ahadi ni deni ______________________________________

(c) Nahau “tia doa” ina maana gani? ___________________________

Sehemu D ( Alama 10)

Swali la 4:

Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihi
katika nafasi iliyoachwa wazi.

(i) Je______utafika saa ngapi______

(ii) Embe______ nanasi na papai ni matunda_______

(iii) Loo______kwani wewe ni nani____________

(iv) Oyee________nani amefunga goli___________

(v) Haba na haba ___________hujaza kibaba_______

Sehemu E (Alama 10)

Swali la 5:

Soma kwa makini shairi lifuatalo kisha jibu maswali yanayofuata kwa
kuandika jibu lililo sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi.
Nchi yangu naipenda, hakika nawaeleza,

Ni nchi yenye matunda, huwezi kuyamaliza,

Na asali tunapenda, nchi yajitokeza,

Tanzania Tanzania, nchi yangu nakupenda.

Kuna mrefu mlima, Kilimanjaro twakwea,

Ardhi ya wakulima, rutuba imeenea,

Pia mbuga za wanyama, Mikumi nawaambia,

Tanzania Tanzania, nchi yangu nakupenda.

Tamati ninaishia, mengi nimewaeleza,

Kabla sijaishia, mito ninawaeleza,

Bahari pia sikia, na maziwa yapendeza,

Tanzania Tanzania, nchi yangu nakupenda.

Maswali

(a) Nini maana ya neno “tamati” kama lilivyotumika katika ubeti wa

tatu?

___________________________________________________

(b) Shairi hili linahusu nini?

___________________________________________________

(c) Taja mlima mrefu uliotajwa na mshairi.

___________________________________________________

(d) Taja mbuga ya wanyama iliyotajwa katika shairi.

___________________________________________________

(e) Taja vyanzo viwili vya maji vilivyotajwa katika shairi hili.

(i) _____________________________________________

(ii) _____________________________________________
MAJIBU: KISWAHILI JARIBIO LA 1

Sehemu A: Imla

Swali la 1:

i. Baba ni fundi seremala.


ii. Kila asubuhi ninakunywa uji.
iii. Mwalimu wetu ni mshereheshaji.
iv. Bustani yetu imepandwa maua.
v. Mgeni ameporwa mali zake.

Swali la 2 (Umoja na Wingi)

i. Wingi: Hivi ni vitabu vyetu.


ii. Wingi: Viatu vyangu vyeupe vimepotea.
iii. Umoja: Mpishi amepika chakula kitamu.
iv. Umoja: Mti huu ulianguka juzi.

Swali la 3:

a) (i) hawaishi zizi moja (ii) hula mbivu


b) (i) jambo bila ushirikiano halifanyiki vizuri (ii) Mtu ukimwambia
utamfanyia kitu Fulani lazima ukifanye.
c) Maana yake ni kuharibu

Swali la 4:

Swali la 5:

a) Maana ya tamati ni mwisho


b) Shairi hili linahusu nchi ya Tanzania
c) Mlima mrefu uliotajwa katika shairi ni mlima Kilimanaro
d) Mbuga ya wanyama iliyotajwa ni Mikumi
e) (i) Bahari (ii) Mito
Majibu: SAYANSI JARIBIO LA 2

Sehemu A

1. C
2. C
3. B
4. D
5. C
6. A
7. B
8. C
9. D
10. B
11. F
12. D
13. E
14. B
15. C
16. Hadubini
17. Mvukizo
18. Wanga
19. Maji
20. Sumaku
21. Chembe hai nyeupe za damu
22. Kabonidayoksaidi
23. SI KWELI
24. SI KWELI
25. KWELI

You might also like