You are on page 1of 4

JINA LA MWANAFUNZI_______________________________

NAMBA YA MPIMWA________________________________
JINA LA SHULE______________________________________

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA MJI NJOMBE

UPIMAJI WA WILAYA DARASA LA IV

0KTOBA – 2023

05 SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MUDA: SAA 1:30

MAELEKEZO:
Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali matano (5)
1.
Jibu maswali yote katika kila sehemu
2.
3.
Andika majibu katika nafasi zilizotolewa.
Majibu yote yaandikwe kwa kutumia kalamu ya wino wa bluu au mweusi.
4.
Simu za mkononi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha
5.
upimaji.
6. Andika jina lako, namba ya upimaji na shule yako katika sehemu ya juu kulia
katika kila ukurasa.
7.
SEHEMU A:
1. Chagua herufi ya jibu sahihi na kuandika katika kisanduku.
I. Ifuatayo ni orodha ya vifaa vya kisasa vya mawasiliano isipokuwa _________________

(A) Kompyuta (B) Runinga [ ]


(C) Ngoma na baragumu (D) Simu

II. Aina gani ya chakula huupatia mwili nguvu? ____________________ [ ]


(A) Samaki (B) Matunda
(C) Maziwa (D) Muhogo
III. Kitendo cha kiumbe hai kutoka sehemu moja kwenda nyingine huitwa______________
(A) kupaa (B) mjongeo [ ]
(C) upumuaji (D) kujongea

Ukurasa 1 Kati 4
JINA LA MWANAFUNZI_______________________________
NAMBA YA MPIMWA________________________________
JINA LA SHULE______________________________________

IV. Vyakula vyenye wingi wa protini ni pamoja na ____________________ [ ]


(A) Maziwa, Maharage na Mayai (B) Mbogamboga na embe
(C) Mihogo na Karanga (D) Nyanya, chungwa na embe

V. Kitu chochote chenye uzito kinachochukua nafasi ni ____________________ [ ]


(A) Meza
(B) Maada
(C) Joto
(D) Hewa

2. Jibu maswali yafuatayo kwa kuoanisha sehemu A na B ili yalete maana na kisha
andika herufi ya jibu sahihi katika mabano

NA. SEHEMU A MAJIBU SEHEMU B


i Hufanyika nyuma ya kioo bapa [ ] A. Chura

ii Vyanzo vya nishati ya umeme [ ] B. Taswira

iii Hujongea kwa kuruka [ ] C. Mimea

iv Ni viumbe vinavyojitengenezea [ ] D. Jua, upepo na Fueli


chakula chake
v Pua, Ulimi, Ngozi, Macho na [ ] E. Milango ya fahamu
Masikio
F. Nyoka

3. Jibu kipengele (i) – (v) kwa kuchagua neno sahihi kutoka kwenye kisanduku na
kisha kuandika kwenye nafasi zilizoachwa wazi.

Hita, kutu, Moshi, Oveni, Jiko la mkaa,


Jiko la utambi, Matundu

i) Majiko ya mkaa na kuni hutoa__________ ambao husababisha uchafuzi wa mazingira.

Ukurasa 2 Kati 4
JINA LA MWANAFUNZI_______________________________
NAMBA YA MPIMWA________________________________
JINA LA SHULE______________________________________

ii) Jiko linalotumia mafuta ya taa hujulikana kama __________________ iii) Jiko la mkaa

lina ________________ ambayo husaidia kudondosha majivu iv) Jiko la utambi

limetengenezwa kwa bati lililopakwa rangi ili kuzuia _________________

v) Sehemu iliyopo kwenye jiko la umeme au gesi yenye mlango ambayo hutumika

maalumu kupashia vyakula, kukaushia au kuoka hujulikana kama_________________

SEHEMU B
4. Umepewa hatua A – E za mchakato wa mmeng’enyo wa chakula katika mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula. Panga hatua hizo kwa kuandika sentensi husika katika
mtiririko mzuri. Andika sentensi hizo katika nafasi iliyoachwa wazi. A. Chakula
kusafiri kupitia umio kuelekea kwenye tumbo.
B. Maji na madini husharabiwa katika utumbo mpana na kuacha mabaki ya chakula
C. Chakula kuingia kinywani.
D. Vyakula humeng’enywa na kusharabiwa katika utumbo mwembamba.
E. Kinyesi hutoka nje ya mwili kupitia njia ya haja kubwa.
i) ________________________________________________________________________________
ii) ________________________________________________________________________________
iii) ________________________________________________________________________________
iv) ________________________________________________________________________________
v) ________________________________________________________________________________

5. Chunguza mchoro ufuatao kisha jibu maswali kipengele (i) – (v)

Ukurasa 3 Kati 4
JINA LA MWANAFUNZI_______________________________
NAMBA YA MPIMWA________________________________
JINA LA SHULE______________________________________

i) Sehemu iliyoonyeshwa kwa herufi A inaitwa _____________________________________

ii)ii) Mchoro unaoonekana hapo juu unaitwa _________________________________________

iii) Herufi C inawakilisha __________________________________________________________

iv) Herufi D inawakilisha __________________________________________________________

v) Sehemu iliyooneshwa kwa herufi E inawakilisha chanzo cha nishati ambayo


husababisha umeme kuwaka. Nini kitatokea endapo selikavu zote zitaondolewa?
____________________________________________________________________

Ukurasa 4 Kati 4

You might also like