You are on page 1of 7

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MAJARIBIO TOKA SEHEMU ZOTE TANZANIA


JARIBIO LA SAYANSI NA TEKNOLOJIA: JUNI 2021 : DARASA LA IV

JINA LA MWANAFUNZI:________________________ TAREHE:__________


1. SEHEMU A: kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuiandika katika kisanduku.
i. Watoto wanahitaji vyakula vyenye ___________ ili kuimarisha mifupa na meno. ( )
(a)Protini na madini (b) Vitamini (c) Wanga (d) Mafuta
ii. Ni mlango upi wa fahamu unasaidia kutambua harufu?________ ( )
(a) Ulimi (b)Pua (c)Sikio (d) Ngozi
iii. Tunatunza mazingira ili _________________________________ ( )
(a)Tuepukane na magonjwa (b) Mandhari yavutie (c) kuepuka upepo (d) Tupate ajira
iv. Mzunguko kamili wa Umeme huitwa____ (a) Waya (b_) Sakiti (c) Betri (d) Soketi( )
v. Upungufu wa Kinga Mwilini ni kirefu cha neno _______________ ( )
(a) VVU (b) UKUTA (c) UKIMWI (d) UKUBWA
2. Oanisha maneno ya fungu A na B ili kupata maana sahihi
NA FUNGU A JIBU FUNGU B
i. Upungufu wa protini mwilini husababisha ugonjwa a. Uchunguzi
ii. Jenereta, jua, maji na betri ni vyanzo vikuu Vya b. Jaribio
iii. Alama huwakilisha nini kwenye sakiti c. Swichi
iv. ni namna ya kusaidia kupata jibu la tatizo fulani d. Balbu
v. ni hali ya kukosa virutubisho e. Utapiamlo
f. Kwashakoo
g. Umeme
h. Mwanga
i. Kiatu farasi
j. Ncha ya kusini na kaskazini

3. Kamilisha sentensi kwa kutumia maneno uliyopewa kwenye kisanduku.


(Malaria, Ngoma, Mazingira, Simu, Faili)

i. Vitu vyote vinavyotuzunguka huitwa _________________________________________


ii. Anofelesi ni mbu jike anayeeneza ugonjwa wa _________________________________
iii. Yabisi , kimiminika na Gesi ni hali tatu za __________________________________
iv. __________________________ni taarifa iliyohifadhiwa katika jarada au kompyuta.
v. _____________________________ ni kifaa cha asili cha mawasiliano.
4. Soma kifungu cha habari kifuatacho kwa umakini kisha jibu maswali.
Mwalimu Rebeka alifundisha darasa la nne kuhusu nishati ya mwanga kama ifuatavyo:
Mwanga ni nishati inayowezesha vitu mbalimbali kuonekana, hivyo kwenye giza vitu
havionekani. Pia mwanga hupenya kwa vitu vinavyoruhusu mwanga kupenya ambavyo
huitwa angavu. Lakini pia mwanga hauwezi kupenya kwa vitu visivyoruhusu mwanga
kupenya ambavyo huitwa Vikinza nuru.
Mwanga una tabia mbalimbali kama kusafiri katika mstari mnyoofu, husaidia kutokea
kwa kivuli unapozuiliwa na vikinza nuru, hivyo kivuli ni matokeo ya kuzuiliwa kwa mwanga
kupenya kwa vitu visivyo angavu, mwanga huakisiwa unapotua katika vitu vyenye nyuso
nyororo au vinavyong’aa na kufanya mtu ajione taswira yake. Kwa mfano ukijitazarna katika
kioo bapa unajiona, kujiona ni matokeo ya kuakisiwa kwa mwanga; pia mwale wa mwanga
hupinda unapopita katika midia
tofauti. Kwa mfano midia ya hewa kwenda midia ya maji.

Maswali
i. __________________ni matokeo ya kuakisiwa kwa mwanga.
ii. Nini maana ya kivuli _____________________________________________________
iii. Nini hutokea pale miale ya mwanga unapopita katika midia moja na nyingine__________
iv. Ukijitazama katika kioo bapa unajiona, kitendo hiki ni matokeo ya ___________________
v. Nini maana ya Vikinza nuru _________________________________________________

5. Chunguza mchoro ufuatao kisha jibu maswali

i. Sehemu iliyopewa herufi A huitwa _________________________________


ii. Sehemu iliyopewa herufi B huitwa _________________________________
iii. Sehemu iliyopewa herufi C huitwa _________________________________
iv. Kwa nini wakati wa kiangazi mimea hupukutisha majani ________________
v. Sehemu ya mmea inayotumika kufyonza maji na madini huitwa _____________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MAJARIBIO TOKA SEHEMU ZOTE TANZANIA
JARIBIO LA URAIA NA MAADILI : JUNI 2021 : DARASA LA IV

JINA LA MWANAFUNZI:________________________ TAREHE:__________


1. Chagua herufi ya jibu sahihi
i. …………………….ni kuzingatia jambo lenye manufaa katika maisha
yako [a]kujijali [b]kujichukia [c] kuwapenda { }
ii. Uwezo alionao mtu ambao humwezeshakufanya jambo vizuri
huitwa………………[a]nadhifu [b]kipaji [c]ustadi { }
iii. Kutumia madawa ya kulevya ni mojaya matendo …………….[a]furaha
[b]hatarishi [c]huzuni { }
iv. Kiongozi mkuu na msimamizi mkuu wa majukumu ya viranja ni
[a]kiranja [b]baba [c]kiranja mkuu { }
v. Eneo dogo la utawala lililopo mjini huitwa………………. [a]uzalendo
[b]kujali [c]kuthamini { }
vi. Lugha kuu ya taifa letu ni……………. [a]kiingereza [b]kinyamwezi
[c]Kiswahili { }
2. Oanisha Fungu A na Fungu B ili kuleta maana sahihi
SN JIBU

i. Utamaduni A. Tabia inayoweza kuleta madhara

ii. Demokrasia B. Mamlaka ya kuwaonyesha watu


njia kwa vitendo

iii. Kujipenda C. Bendera kupepea nusu mlingoti

iv. Majonzi, majanga D. Mfumo wa maisha ya watu Fulani


ya kitaifa au jamii

v. Ustahimilivu E. Ni kujikubali na kujithamini

vi. Uongozi F. Mfumo unaokubali uamuzi wa


watu wengi katika kuongoza kwa
manufaa ya watu

vii. Tabia hatarishi G. Hali ya kufanya jambo kwa


uvumilivu
3. Andika kweli au si kweli
i. Kujali ni kuatambua uwepo wa mtu na kutambua mahitaji yake……………………….
ii. Katibu wa vikao vya serikali ya mtaa ni ofisa mtendaji ……………………………
iii. Rasimali ni maji yanayotoka ardhini……………………………..
iv. Muasisi ni hali ya kutaka kufahamu mambo ………………………….
v. Kushiriki michezo ni moja ya vitendo vinavyosaidia kuachana tabia hatarishi……..
vi. Kamati ya shule ndiyo ngazi ya kwanza katika muundo wa uongozi shule…………
4. Jaza nafasi ziliachwa wazi

(i) Mali alizonazo mtu, jamii au Taifa huitwa………………………………………..


(ii) …………………………………….ni hali ya kutaka kufahamu mambo.
(iii)Eneo lililopo ndani ya mji hujulikana kama……………………………………..
(iv) …………………………………..ni hali ya ustahimilivu wa jambo au tatizo .
(v) Ili kuepusha ajali za barabarani hatuna budi kuzingatia………………………………………..
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MAJARIBIO TOKA SEHEMU ZOTE TANZANIA
JARIBIO LA KISWAHILI : JUNI 2021 : DARASA LA IV

JINA LA MWANAFUNZI:________________________ TAREHE:__________

MUDA:SAA 1.00
SEHEMU A: IMLA.
1. i)_______________________________________________________________________
ii)______________________________________________________________________
iii)______________________________________________________________________
iv)_______________________________________________________________________
v)_______________________________________________________________________
SEHEMU B: SARUFI NA MSAMIATI. Chagua herufi ya jibu sahihi.
2. i)Besau aliwaomba radhi ndugu zake. Sentensi hii ipo katika wakati gani? A. Ujao B.Uliopo
C.Kamili D.Uliopita. ( )
ii)Wakati wa likizo tulikwenda kwa bibi kumtembelea.Ukanushui wa neno"tulikwenda" ni_____.
A.Tulienda B.Hatukwenda C.Tutakwenda D.Hatuendi. ( )
iii)Katika majira ya mwaka kipindi ambacho kina baridi kali huitwa _______.A.Vuli. B.Kiangazi
C.Masika D.Kipupwe. ( )
iv)Kitendo cha kuzungumza na mtu mwingine kwa sauti ya chini sana ni______. A. Kunong'ona
B.Kupayuka C.Kutweta D.Kulia. ( )
v)Mboji na samadi ni ______. A.Matunda pori B.Mbolea za asili C. Chakula D.Lishe bora.
SEHEMU C: METHALI, NAHAU NA VITENDAWILI.
Andika jibu fupi au Chagua jibu kwa maswali yafuatayo;
3.i)Kuvuja kwa pakacha _____________________________________
ii)__________________________________________ huambulia koroma.
iii)Ongeza maneno ya uongo ni maana ya nahau gani? ___________________________.
iv)Wezi walivunja mlango na kuiba nyumbani kwa mzee Msofe kwa kuwa alikuwa umelala
(fofo, fofofo, zizizi, fofofofo) ____________

SEHEMU D:UTUNGAJI
Panga vizuri sentensi zifuatazo ili zilete mtiririko mzuri kwa kuzipa herufi A,B,C,D na E.
4.i) Hamidu hakusimama. ( )
ii) Alipoingia darasani wanafunzi walisimama na kumsalimia. ( )
iii) Mwalimu aliuliza, "Kwa nini Hamidu hakusimama?" ( )
iv) Mwalimu Paulo anafundisha somo la Sayansi. ( )
v) Rehema alimwambia mwalimu kuwa Hamidu anaumwa. ( )
SEHEMU E: UFAHAMU. Soma habari kisha jibu maswali yanayofuata;
Maji ni kitu muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Wanyama na mimea wote hutegemea
maji kwa maisha yao. Kuna vyanzo vingi vya maji kama vile mito, maziwa, bahari, visima na
chemchemi. Bila maji viumbe vyote vitakufa. Ama hakika maji ni Uhai.
MASWALI:
5.i)Taja chanzo kimoja cha maji chenye maji mengi zaidi duniani ___________________.
ii)Wanyama wakikosa maji watapata madhara gani? ______________________________.
iii)Mimea iliyokosa maji kwa muda mrefu huonesha dalili gani? ____________________.
iv)Chanzo cha maji yanayobubujika toka ardhini kinaitwa __________________________.
v)Kipi kingefaa kuwa kichwa cha habari hii? ______________________________________.
PRESIDENT OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION
AND LOCAL GOVERNMENT
MAJARIBIO TOKA SEHEMU ZOTE TANZANIA
ENGLISH LANGUAGE EXAMINATION: JUNE 2021 : STANDARD IV
Name of Candidate …………………………………………………………..School…..……………
1. SECTION A. DICTATION
i. …………………………………………………………………………………
ii. ………………………………………………………………………………
iii. ……………………………………………………………………………….
iv. …………………………………………………………………………….
v. …………………………………………………………………………………
2. SECTION B. Choose the correct answer and write its letter in the space provided.
i. I _________football every day. (playing, play)
ii.Don’t make so much noise. Noriko _________to study. (is trying, was trying)
iii.
Sorry, she can’t come to the phone. She ________ a bath. (is having, was having)
iv.__________ rains many times every autumn. (it rains, it rained)
v. Babies ________ when they are hungry. (cries, cried)
3. SECTION C. Choose the correct word from the box and then fill in the blanks.
SHORTER, IN, ON, SHORT, MANGO, MANGOES, WENT, WITH
i. John is ………………………………than Juma.
ii. I go to school ……………………… foot.
iii. There are seven ………………………in the basket.
iv. My mother………………………… to Mbeya last week.
v. Sister Mariam is cutting meat…………………knife.
4. SECTION D Re-arrange the following days to make good order by writing letter
A- E.
i. Wednesday………………………………….
ii. Friday ……………………………………….
iii. Monday………………………………………
iv. Thursday …………………………………..
v. Tuesday …………………………………….
5 SECTION E COMPREHENSION.
Read the following passage and answer questions that follow
Jessica and Jane are twins, they live in Tabora. They are in class four at Isila primary
School. Their sister Eliza is in class five at Leaders primary school. It is a boarding school.
One day Allen and Magreth decided to write a letter to their sister. They wanted to tell
her about their progress in studies.
QUESTUONS
i. What are the twin’s names………………………………………………………………………..
ii. What is the sister’s names …………………………………………………….
iii. Where do the twins live……………………………………………………………..
iv. What is the name of their school? ………………………………………………
v. What is Eliza’s school name?……………………………………………

You might also like